EPUKA DHAMBI HII AINA MSAMAHA KWA MUNGU /ASKOFU MOSES KULOLA HUU NI MWISHO WA DUNIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- #SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079
Shujaa uyu alietumwa na Mungu Ili ahubiriye ulimwengu abari njema ileteyo wokovu kwa mwanadamu
Mimi mwenyewe sijaona mtu kama uyo ambaye amehanza na kweli na kumaliza na kweli Mzee alikua wakipekee Tutumiye Imani kama yake Ili tupate kumuona YESU mwanawa Mungu
Ee mungu naomba uniwezeshe niwe mwaminifu daima katika wokovu wangu jeanamu inatisha nadunia inawayawaya sioni pakukimbilia yesuulienjia yangu yauzima wamilele nisaidie
Mungu ni mwema. Mtumishi Kulola hakupenda utani na dhambi
Mungu ni Mungu, neno lake ni la milele kinadumu. Wanadamu tunatoweka kimwili lakini neno linasimamia milele.
Mzee huyu mala ya mwisho kumuona akiubili injili viwanja vya biafra km sikosei alichapa injili watu waliokoka watu walilia,mbaka saa moja usku watu walitamani asiondoke nilimpenda ila mungu kampenda zaid 2013 km sikosei mungu akamwitaji mtumishi wake wapendwa fanyeni kazi ya mungu bila kujali mazingila
Nawaona wakina musa wakina daniel wakina yakobo nawengine wengi ndani yangu naona uchungu mkubwa mungu tupe kumaliza mwisho mwema
Mtumishi huyu Mungu ambariki sana, hayupo Duniani lakini Mahubiri yake utadhani anahubiri sasa hivi
Kwakweli 😮💨
Lala jemadari wa Bwana. Hakika umeacha alama duniani
🎉
Ameni nami ktk ujana wangu niifanye kazi ya Mungu kwa mapenzi ya mungu
HAKIKA mungu Ni mungu tu
NA atabakia kuwa mungu
HAKIKA hiki chuma hakitawah kutokea km kingne labda mungu atukumbuke upya
amini alitenda kazi ya Mungu hakika na kweli
Hakika ndivyoitakavyokuwa, hizi no nyakati za mwisho tukae na Bwana yesu Kristo,
Baba nimekukumbuka Sana wasukuma mungu amewajalia sana
Amen'Yesu ni Bwana mwenye nguvu
Ahsante Sana Sylas TV, kwa kuhubiri Injili kwa njia memories.
Mungu asante kwakumleta mtumishi huyukwetu tulijifunza kupitia yeye
Mungu nifundishe kukuogopa me peke yangu siwez roho ya kiburi itoke ndani yangu
Syllas mubarikiwe hii injili ya shujaa huu itaendeleya ku ponya nafsii za watu mpka mwisho ya Dunia n kurudi kwa yesu Kristo mungu atupe mtuu kama n huu mu Afrique
Bwana Yesu unirehemu mimi mwenye dhambi
Je! Ww unaexkia huu ujumbe unajifunza nn ebu mtumikie mung kwa uaminifu jaman mungu yupo
Ubarikiwe kwa uamuzi huo,kwakua ulichaguliwa na Mungu
Kweli mzee, umenibariki saaaana. Hakika uli hubiri ukweli
Unakumbukwa daima ktk kazi njema ya kueneza habari njema kwa Ulimwengu mzima vijijini na mjini INJILI
Ahsante kwa kutukumbusha kuitafuta uso wa Mungu
Kweli Amen ah Moses Kills may your soul rest in Peace ha tu. Ta kusahabu Una maliza kasi ya Mungu Veape acha kasi ya Mungu Ulitumika Kasi ya Injili ya Bwana Yesu Ikusindikise kua Baba amen
Mungu ni mwema lala pema
Nimekuwa nakusikia tu Kwa mch.wangu ikabid nitafute alau kumbukumbu ya mahubili Yako......hakika mungu azidi kukupumzisha hatimae tufufuliwe ufufuo wamilele
YESU nisaidie tu nifike mbinguni,,nikupendeze MUNGU na kuwa na amani na watu wote na utakatifuu
Tumwombe Mungu amwinue mtu kama Dr MCH moses kulola
Amina alikuwa msafisha njia ya mteule wa bwana Mfalme Zumaridi.
Nilimjua ushuda waaliye kuwa agent wa shetani kwa sahi ni mtumishi wa mungu saa nilitakujua huyu aliyebeba nguvu zamungu ni yupi.nilimtafuta moses kulola live just to know ashalala usingizi wa milele.God......
Tumpate wapi tena mtu kama huyu alie kuwa na huruma na roho za watu, dah..!!! 😭😭 Ee Mungu naomba unipe roho ya kuthamini roho za watu kama huyu....na kuhubiri Injili ya kweli....
Jmn kizur hakidumu tutapata wp tena mafundisho km haya😭😭
Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu a tusaidie
Nashaghaa jinsi Mungu alivo !! Rev Ben siele kenya
👏👏👏👏huyo ndye Mungu tunaye mtumikia Amina🙏
Bwana Yesu asifiwe mm nilkuwa mdogo najitambua kias ila tulikuwa tukienda na bibi angu kwenye mahubiri yake
Mungu nibariki na ndugu jamaa wte tuishi kwa kukutegemea wewe
Bsrikiwa saana kwa Ujumbe
Amina
Amina mtumish wa mungu mung akutie nguvu
@@daniellalashe623 Asante
@@jairoschiute4852 Amina mtumish
Asante mzee wetu wa hekma kwa kazi nzr ya Mungu
Mungu atuokowe sisi !!
Hakika Mungu ni mwenye REHEMA, Ee Mungu nisaidie
Amen shujaa wa Bwana
Mungu wa moses kulola naomba uwe Mungu wangu piah
Mungu atusaidie sana
Mungu azidi kukuhifadhi baba uliko tunakumiss sanaa injili za sasa zimezidi mchanganyo
Ni kweli Leah, tukaze mwendo cku moja tutamwona baba kwa Baba yetu MUNGU aishie
BWANA MUNGU WA MAJESHI NI MUNGU WA MOTO.
MUNGU NISAIDIE NIFIKE KWAKO MBINGUNI NIKIWA SHUJAA WAKO. AMENI
Wenzio tuomuona tuliokoka Kila siku alipokuwa anahubiri mwache Mungu aitwe Mungu kwa habari ya mtumishi wa Mungu huyu
Ameen Baba pumzika kwa.amani
Kila kunapokucha tujikague nakuchunguza km tunavofanya kwenye magari kabla safari tukifanya hivo tutakuwa na mwisho mwema mungu awabariki
Mungu atuokowe sisi !! 6:09
Ameeeeen Ahsante kwaujumbe mzuri
Mungu ni mwema
sikumoja kwa machoyangu nitamwona kulola tena; asante yesu weweni mkufunzi wamashujaa.
Nasikia ako mbinguni fanya bidii utamuona tu
Hakika tunaye mungu wa upendo.
Asante Sana MUNGU KWA AJILI YA WEMA WAKO KWETU SS WANADAMU NA PIA MUNGU ASANTE SANA KWA UKUU WAKO NA WW UTABAKI KUWA MUNGU MILELE NA MILELE
Amen barikiwa
Amen, asante sana
Ahsanteee Mungu
Kweli
Bishop Joseph at gwajima
asante kwa mungu
MUNGU nifundishe kukuogopa ili nikutumikie vizuri zaidii😔🙏
I'm blessed my later father
Nikisikiliza mahubiri haya najawa na hofu
Mbona vifupi sana tunataka kijifunza zaidi
YESU ni BWANA
Hakika Mungu ni mwema
Eeh MUNGU yaweke haya maneno ya huyu mtimishi wako vizazi Hadi vizazi
🙏🙏
Cjawai kumuona live huyu Mzee, lakini Kwa injili hii lazima niokoke
Amen karibu Sana kwa Yesu
Unakaribishwa kwa mikono miwili
Karibu Alpher kwa YESU Ni kuzuri sana ukiabudu ktk Roho na kweli
Amen
Pia sikiliza mahubiri ya Mwakasegr
Huyu n alikuwa n comando wa yesu
AMINA
UKWELI KABISAA PASTOR EZEKIEL WA MOMBASA AMEYAPITIA
@sylastv natamani mpost clip nzima bila kukatwakatwa
Amina
Mungu tumpate wapi mtu Kama huyu? Nimekumis tutaonana kwa Baba mbinguni
😥
Amen🎉🎉🎉
BABA yetu tunakukumbuka san
Mungu ni mungu tu
Mbn nusu nusu 😭😭
Bado tunajifunza mengi kutokkwako
R,I,P
Aina vs Haina
MUNGU NI MWEMA
Ameeeen
🙌
❤🙏
Hii ilikua injili hai,yakweli,sio wachumia tumbo wa Leo, wametukatisha tamaa kwa tamaa zao
Safari ya mbinguni ni wewe binafsi unaangalia watu?wanakukatisha tamaa ?acha mara moja kukata tana maana hakuna hata mtummoja mwenye mbingu ndungu yangu mwangalie Yesu Alie kufia
Ijiri kama hii Leo hakuna,
Neema na maarifa zikuongoze mtumishi !!?
❤️❤️❤️
Rest in peace dady
Ameen
Amen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
AINA/HAINA MSAMAHA
Injili ya kweli haihitaji kurembaremba. Mzee Moses Kulola alikuwa ananyoosha mstari hata kama mtu hapendi.
Hiyo ni kweli kabisa katika jina la Yesu Kristo, hata maneno ya Yesu Kristo yalikuwa hayana majivuno, kujigamba, kujikweza
sasa kuna wakina reality of christ
Z
I don't think Jesus came to bring the Gospel of fear. Something is wrong with these teachings
U
Mungu akumbuke kazi ile uko naifanya
ameni
Mungu atuokowe sisi !!