MCHUNGAJI MOSES KULOLA SALA ZA MAREHEMU HAZIKUPELEKI MBINGUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 422

  • @JuliusMnkondo-fk9kv
    @JuliusMnkondo-fk9kv 21 วันที่ผ่านมา +1

    Unaepokea Roho mtakatifu na kufunguliaa 2024 kuelekea 2025 gonga like nyingi

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 6 หลายเดือนก่อน +9

    YESU NI BWANA NA MWAOKOZI WA MAISHA YANGU 🙏 2024 NOW BADO MAHURI YA MTUMISHI YAKO MOTO

    • @agnessjoseph9069
      @agnessjoseph9069 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sanaaa sanaa haya mahubiri ndo yanatakiwa yahubiriwe sasa 😢lakin sikuzi n kuhubiriwa umerogwa umerogwa, njoo upate muujiza wako, hakuna cha kukataza dhambi wala kuambiwa mwisho wa dunia 😢😢😢😢oh God 🙌

  • @remimaterutv9139
    @remimaterutv9139 5 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah. Hi ndio injili ya kweli,habari njema kwa wore,waaminio na wasioamini.Kuujenga Ufalme wa Mungu

  • @bernardmsanga2735
    @bernardmsanga2735 8 ปีที่แล้ว +72

    naamini siku yaja nami nitahubiri injili ya amani injili ya kweli injili isiyo ya kuchakachuliwa injili isiyo na upendeleo injili ya kweli yenye lengo madhubuti ya watu kufika mbinguni nakupenda Sana Bishop Moses Kulala naamini Tutaja onana mbinguni Kwa Bwana wetu Yesu Kristo
    Mungu nijaalie niishi maisha matakatifu yenye kukupendeza wewe Ni ihubiri kweli yako
    Ameen

    • @deborahelias943
      @deborahelias943 7 ปีที่แล้ว

      BERNARD MSANGA Amen

    • @naftaljacob6311
      @naftaljacob6311 6 ปีที่แล้ว

      BERNARD MSANGA jaman wokovu nilazma naftari kabeja

    • @naftaljacob6311
      @naftaljacob6311 6 ปีที่แล้ว

      BERNARD MSANGA Natamani kuwa nahuduma kama hii mungu nisaidie

    • @changarawemichael5397
      @changarawemichael5397 6 ปีที่แล้ว +1

      Injili isiyo ghoshiwa

    • @emmanuelfario9897
      @emmanuelfario9897 6 ปีที่แล้ว

      +Naftal Jacob neno Mungu laandikwa kwa Herufi kubwa

  • @michaelevarist5518
    @michaelevarist5518 6 ปีที่แล้ว +44

    Anae sikiliza maubili haya mwaka huu 2018 gonga like tujuwanee

  • @josephmakau6515
    @josephmakau6515 7 ปีที่แล้ว +46

    You will remain to be father to many Tanzanians.

    • @beneditokabisa
      @beneditokabisa 7 ปีที่แล้ว +1

      kwa kwel kaka makau

    • @paulelias3194
      @paulelias3194 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mzee huwa ananibariki sana mpaka naona hahibu tushirikishane neno

  • @japhetkyando1023
    @japhetkyando1023 8 ปีที่แล้ว +64

    TUPATE WAPI WACHUNGAJI SERIOS HIVII... lakini bwana yesu atatenda tenaa

    • @billtheadviser894
      @billtheadviser894 8 ปีที่แล้ว +4

      mbona yupo japhet!!! kwani humjui mtoto wake wa kiroho prophet hebron??

    • @japhetkyando1023
      @japhetkyando1023 8 ปีที่แล้ว +4

      huyu wa arusha! bado sana na kulola hawapend manabii na mitume alikua anawapinga sana angalia hata katunzi na daniel kulola vile wako

    • @bernardmsanga2735
      @bernardmsanga2735 8 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akusaidie atuinulie watumishi wasio jikweza Kama huyu mtumishi wake alivyo kuwa

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 ปีที่แล้ว +1

      Japhet Kyando 'Karne hii hakuna mchungaji kama huyu ndugu'Na kama wapo bac me siwajui

    • @emmanuelpascal3324
      @emmanuelpascal3324 6 ปีที่แล้ว +1

      Aliye wa Mungu humsikiliza Mungu.. Nimebarikiwa na neno hili na hakuna atakaye inuka mwenyewe injili serious kama BMK

  • @esterjuma5682
    @esterjuma5682 6 ปีที่แล้ว +1

    Amen na barikiwaa sana na mafundisho yako baba yetu kulola mungu atuongoze ktk njiaa zetu👏❤❤

  • @loserianlaizer7662
    @loserianlaizer7662 7 ปีที่แล้ว +21

    Hakika nimekutana na neno la Mungu ,injili ya kweli,Bwana Yesu tusaidie,mtumishi M Kulola alitufundisha sana uwanja wa Unga Limited Arusha

    • @veredinachacha6464
      @veredinachacha6464 6 ปีที่แล้ว

      hakika mungu alimtumia kulola kwaviwango vikubwa nikumbuke namm bwana

    • @Yesuniwokovu
      @Yesuniwokovu 6 ปีที่แล้ว

      Jamani jamani nulikuepo umenikumbusha mbali

    • @chricenciakanogole1570
      @chricenciakanogole1570 6 ปีที่แล้ว

      mungu tusaidie

    • @erastobias4671
      @erastobias4671 6 ปีที่แล้ว

      Loserian Laizer

    • @lamecklameck8921
      @lamecklameck8921 6 ปีที่แล้ว

      Sina la kuongeza hapo ila napaswa tu kulekebisha maisha yangu mana nimechomwa sana ndan ya moyo wangu.ee mungu nisaidie kumalza salama kabla aijaja ile mbaya

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 7 ปีที่แล้ว +9

    Injili ikemeayo uovu.....ooooh I want to praise Jesus! Just him for This man, Halleluya!

  • @jovianusmusimo5652
    @jovianusmusimo5652 7 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki baba yetu mpendwa tunakukumbuka sana hajainuka mtumishi kama wewe tanzania hii Mungu akuripe taji yako huko uliko

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 6 ปีที่แล้ว +2

    Umetupa njia baba kazi kwetu kuilinda ... kuitetea na kuishindania imani hadi mwisho..... nakaza mwendo...Mungu nisaidie nifike salama........

  • @nubaevaristnubha135
    @nubaevaristnubha135 8 ปีที่แล้ว +28

    sifa na utukufu kwa Mwenyezi Mungu kwa maisha ya mzee huyu , Amen.

    • @annakitundu8494
      @annakitundu8494 7 ปีที่แล้ว +1

      mungu. akulinde
      huko mbinguni akuvishe. taji. milele

    • @wenderoserie1538
      @wenderoserie1538 6 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @rosemarymtanga6983
      @rosemarymtanga6983 6 ปีที่แล้ว

      Utukufu kwa Bwana kwa kujitoa kumtumikianMungu aliye hai kwa ajilinya watanzania

    • @rosemarymtanga6983
      @rosemarymtanga6983 6 ปีที่แล้ว +1

      Injili hii ya ya matendo na siku za mwisho wa dunia iendelee kwa watumishi waliompokea zamu kutoka kwa huyu mzee.

    • @carenmunisi7587
      @carenmunisi7587 6 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akutunze.

  • @johnkushoka1031
    @johnkushoka1031 7 ปีที่แล้ว +18

    nakumbuka mbali ilikuwa 2002 nikiwa form two Dodoma mchungaji alikuwa anahubiri maeneo ya maili mbili amen

    • @khatibujumakhatibu8458
      @khatibujumakhatibu8458 6 ปีที่แล้ว

      Adelina stephano, Haya ndio mahubiri yanayotakiwa kuhubiriwa sio unakuta mchungaji anahubiri mambo ya mwilini tu.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Mungu aliye hai hata Sasa ni hai..

  • @patrickmunisi44
    @patrickmunisi44 8 ปีที่แล้ว +5

    Amen.Mungu nisaidie nitembee katika njia ya utakatifu,ili niwe na sifa ya kuiona ile njia kuu aliyoitaja nabii isaya(Isay 35;8)

  • @mazongholabarakabrux4267
    @mazongholabarakabrux4267 6 ปีที่แล้ว

    Mungu tujalie, tumalize salama dunia isutudanganye, Mungu akubariki baba askofu Dr Moses Kulola

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 8 ปีที่แล้ว +16

    Yesu Kristo Nna kupenda. kweliiii Yesu nimuweza. alimtumia Askofu kwa viwango vikubwa sana.
    Hata kwangu Yesu nitumie upendavyo

  • @PeterCharles-d6m
    @PeterCharles-d6m หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana watumishi simameni kufanya kazi ya mungu

  • @BrightnessLyimo-t9y
    @BrightnessLyimo-t9y 2 วันที่ผ่านมา

    Baba hakika uliubili vyema. Mungu na akupe rahaya milele

  • @joycegama3019
    @joycegama3019 6 ปีที่แล้ว +4

    Tunakukumbuka babu yetu kwa kazi nzito ulioifanya

  • @geofreymollel6973
    @geofreymollel6973 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba Mungu akup maisha ya furaha uko mbinguni

  • @gabriellaoketch4035
    @gabriellaoketch4035 6 ปีที่แล้ว +3

    tutabaki kusikiza maubiri yako nabarikiwa nikiwa Nairobi Kenya.I receive blessings in Jesus name. God is mighty.

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 6 ปีที่แล้ว +2

    Neno la Bwana laishi Milele..... asante baba kutuonyesha njia.....

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa Mungu atufanyie mwisho mwema atusamehe dhambi zetu Amina

  • @MaicJelemela-ei4in
    @MaicJelemela-ei4in 8 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa BWANA, MUNGU AKUBARIKI mtumishi

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 2 ปีที่แล้ว

    Wapendwa tumuombe Mungu atuinulie wahubiri kama hawa, wanaofundisha kweli ya Mungu, wenye kutufundisha kweli kuhusu maisha ya baadaye ( maisha ya milele). Hero wafu wafao katika BWANA

  • @tmscb9725
    @tmscb9725 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho mazuri . Mungu akutiye nguvu Baba muchungaji.

  • @doricedeucy5824
    @doricedeucy5824 5 ปีที่แล้ว +2

    Alikua nabii wa ukweli huyu....can't stop watching his teachings

  • @derickilomo9014
    @derickilomo9014 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wamechukulia mazoea dhambi, na neno la Mungu kulipuuza Yesu nisaidiwe kuepuka dhambi.

  • @fredrickmuia8855
    @fredrickmuia8855 6 ปีที่แล้ว

    MUNGU nisaidie nikutii kama mtumishi huyu niongoze, sala zote nitakazo zileta mbele zako siziwe na kiburi Bali zikawe zakutoka ndani ya kilindi cha moyo wangu AMEN.

  • @johnmumbe3872
    @johnmumbe3872 6 ปีที่แล้ว

    Mungu nisaidie kuacha dhambi na kuishi maisha matakatifu mapenzi yako yatimie maishani mwangu Ee mungu nirehemu

  • @euniceenock9869
    @euniceenock9869 6 ปีที่แล้ว

    Mwanadamu anaweza kufa lakini neno LA Mungu halifi. Li hai tena ni upanga. Ahsante Yesu kwa kifo chako uliachilia neema ya mamlaka ndani yetu. Heshima na utukukufu zirudi kwako Mungu uliyehai.

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mungu akulaze mahali sahii akika ulikuwa real real pastor

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 ปีที่แล้ว +11

    hakika huyu alikuwa mtumishi wa Mungu 25/01/2019

  • @dr.djshigongo4927
    @dr.djshigongo4927 6 ปีที่แล้ว +8

    Nakutizama TH-cam babu yangu 2019

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 7 ปีที่แล้ว +25

    Huyu alikuwa NABII wa kweli hawa wengine wanaigiza huyu ni mfano wa kuigwa ndugu zangu

    • @bigirimanasamson2064
      @bigirimanasamson2064 5 ปีที่แล้ว

      kwa kweli nibajifunza mengi hakika huyu alikuwa mtumishi wa Mungu

    • @elaineeliudi2497
      @elaineeliudi2497 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen Ameen

  • @samwelisiza8437
    @samwelisiza8437 ปีที่แล้ว

    Wow, was so amazing gospel 🔥

  • @DastanMapunda-qr8iv
    @DastanMapunda-qr8iv ปีที่แล้ว

    Nashukuru Kwa mafundisho yenye nguvu Za Mungu wa Kweli Amen! RPC

  • @francishoza7979
    @francishoza7979 8 ปีที่แล้ว +21

    I love Jesus, rest in peace Dr kulola!

    • @mikaellucas8160
      @mikaellucas8160 6 ปีที่แล้ว +1

      sifa kwa mungu

    • @JohnMesenda
      @JohnMesenda ปีที่แล้ว +1

      ❤❤❤❤

    • @godwinuroki2592
      @godwinuroki2592 ปีที่แล้ว

      Amen.Nakupenda sana.pumzika kwa amani mbinguni.taji yako iko

  • @neemamwalende9740
    @neemamwalende9740 7 ปีที่แล้ว +3

    Asante baba kwa mahubiri yako ya kweli na kumutukuzaa mwanao wa kiroho mtume na nabii Hebron ambayee yupo ss ,Arusha-mushono.

    • @veronicamucharles6975
      @veronicamucharles6975 6 ปีที่แล้ว

      ameee kwa mafudisho mazuri asate kwa naibii Hebron akiwa arusha

    • @yohanakisusi2699
      @yohanakisusi2699 6 ปีที่แล้ว

      nakumbuka sengerema kwa wawa migombani by yohana samwel kisusi

    • @yohanakisusi2699
      @yohanakisusi2699 6 ปีที่แล้ว

      eagt musipo musipo mfuata na kumuenzi huyu mzee mtapata taabu sana

  • @imaniamani7671
    @imaniamani7671 6 ปีที่แล้ว

    Nakumiss sana baba.watumishi mliomheshimisha Mungu dunia nzima inamheshim Mungu

  • @neemaemanuel5689
    @neemaemanuel5689 6 ปีที่แล้ว +17

    tupate wapi tena mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake

  • @laurentalfred4739
    @laurentalfred4739 7 ปีที่แล้ว +11

    Kamanda aliekuwa na dhamira safi ktk kuipigania injili ya Yesu kristo. BWANA YESU AUKUMBUKE UTUMISHI WAKO NA AKULIPE KWA HAKI, PAMOJA NA MAPUNGUFU YA KIBINADAMU AMBAYO INAWEZAKANA ULIKUA NAYO LAKINI VITA ULIYOPIGANA INAISHI HATA SASA, BWANA YESU AKULIPE TU.

  • @emmanuelpascal3324
    @emmanuelpascal3324 6 ปีที่แล้ว

    I really likes Dr. & Bishop Moses Kulola's Priches

  • @dayanamichael4305
    @dayanamichael4305 6 ปีที่แล้ว

    injili isiyo kuwa na mawaa yesu tusaidie kukujua zaidi baba yesu aendelee kukupumzisha na kukupa furaha ya milele Asante kwa neno linalo jenga mioyo yetu mpaka sasa

  • @janemichael9671
    @janemichael9671 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe mtumish wa Mungu, hakika unafungua miyoyo yetu balikiwe sana

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 7 หลายเดือนก่อน +1

    Injiri ya sasa si kama ya uyu mtumish! Naona kama imejikip ktk michango sana!

  • @asifiwenicksonjob940
    @asifiwenicksonjob940 7 ปีที่แล้ว +4

    Neema ya bwana yesu iende pamoja nasi aturehemu cc wakosaji

  • @georgeeesamwesongo5985
    @georgeeesamwesongo5985 6 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu kW mtumishi wako haleluyaaaa

  • @charleskanyanga4777
    @charleskanyanga4777 4 ปีที่แล้ว

    God I'm thirsty for this grace,grace for Holiness.

  • @MichaelMushilu
    @MichaelMushilu 2 หลายเดือนก่อน

    Tutakumba kazi yake daima

  • @franciskushokad5676
    @franciskushokad5676 5 ปีที่แล้ว

    Anasema aendaye kwa Kristo awe na sura ya Kristo.Je una sura ya Kristo ndani?Amen!!!

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 ปีที่แล้ว

    Nilikupenda sana baba nilibahatika sana kuhudhuria mikutano uliyohubiri, real love you my dad r.i.p

  • @johnmhoja6878
    @johnmhoja6878 7 ปีที่แล้ว +1

    safi baba sio kama vijana wako akina jilala shinyanga kazi kutamani wanawake tu si kweli oberd jilala

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 7 หลายเดือนก่อน

      Yupo sehem gan uyo

  • @willygidion8226
    @willygidion8226 6 ปีที่แล้ว +1

    mbegu uliyoipanda yazidi kumea, askofu aliyemjua Mungu ipasavyo, Tz tunajivunia

  • @givenmphokymwaipasi1049
    @givenmphokymwaipasi1049 6 ปีที่แล้ว

    What a beautiful inspiring this man of God is awesome

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 4 หลายเดือนก่อน

    Da aiseeee mungu tusaidie tu

  • @evelyneernest8854
    @evelyneernest8854 5 ปีที่แล้ว +2

    ASANTE SANA
    MUNGU TUHURUMIE
    SIYE SISI WATOTO WAKO
    TUSAMEHE SANA E MUNGU ....
    AMEN

  • @MSILUTV1994
    @MSILUTV1994  6 ปีที่แล้ว

    Kama Unaipenda Hii Video Naomba Usiache Kusubcribe sasa hivi Kwenye Hii Channel Kwenye Hiyo Alama Nyekundu Bonyeza Hapo halafu Bonyeza Alama ya Kelele.

    • @mashakamagonze2655
      @mashakamagonze2655 6 ปีที่แล้ว

      MSILU TV MUNGU Wangu nabalikiwa n neono lako Amina

  • @Rebecca-d7l
    @Rebecca-d7l 3 หลายเดือนก่อน

    Tumupate wapi uyu??❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @eliyaleonard137
    @eliyaleonard137 6 ปีที่แล้ว

    Natamani niweshujaa kama mtumishiwa mungu moses kilola ee mungu nisaidi nifike mbinguni. kama alivyofika babu yangu kulola.

  • @patrickmkandi2899
    @patrickmkandi2899 7 หลายเดือนก่อน +1

    Injili yako itaishi milele na milele

  • @agliventures
    @agliventures 8 ปีที่แล้ว +6

    Hallelujah to the lamb of God!!

  • @wenderoserie1538
    @wenderoserie1538 6 ปีที่แล้ว

    Baba yangu wa kiroho. Nilipoona as a teenager (14) years old because of hearing The Word from this great Man of God. He spoke the absolute truth. He didn't compromise the word.

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu kristo apewe sifa

  • @emmykyando9120
    @emmykyando9120 7 ปีที่แล้ว +14

    ashukuriwe Mungu kwaaji ya mtumishi wake

  • @konde24ful
    @konde24ful 7 ปีที่แล้ว +9

    Kiukweli Mtu wa Mungu waukwel hafi kamwe Dk askofu Kulola yupo hapa na anahubili kwani kupitiya mafunzo yake anaendeleza injili abalikiwe sana milele yote waitwao Watumishi niwengi lakini lakini wanao hubili neno la okovu wacace sana

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu aSifiwe

  • @kimararunguosee6313
    @kimararunguosee6313 4 ปีที่แล้ว

    Haleluya Haleluya Haleluya
    Mtumishi wa mungu tuta kuona mbinguni
    Umefanya yote kwa wakati wako

  • @yusufumwanawadaudi4670
    @yusufumwanawadaudi4670 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee MUNGU alimtumia kwa viwango vikubwa sana, Ee YESU nisaidie na mimi BABA

  • @franciskushokad5676
    @franciskushokad5676 5 ปีที่แล้ว

    Amen!!Huwezi kwenda Mbinguni kwa kusaliwa kwenye kaburi.

  • @samwelombeni6850
    @samwelombeni6850 8 ปีที่แล้ว +11

    Halleluya! Jaman nampenda sana huyu Baba, yaan kweli Mungu alikuwa anamtumia wala hapana mfano wake katika wakati huu! I need more naombeni kuzipata!

    • @gabrielmushi3378
      @gabrielmushi3378 7 ปีที่แล้ว

      mpira inglandi

    • @alicethoyathoya1773
      @alicethoyathoya1773 6 ปีที่แล้ว

      Amen kama baba yetu Hebron

    • @deboraadam4962
      @deboraadam4962 6 ปีที่แล้ว

      hebroni hamfikii huyu baba wee hata kidgo angekuepe hadi saiv duu

    • @OmanOman-iq1wj
      @OmanOman-iq1wj 6 ปีที่แล้ว

      +Alice Thoya Thoya kweli kabisa hujakosea mimi kama nimebadilika kutoka katika dhambi ni sababu ya kumfuata prophet Hebron kweny you tube afu natamani nikamuone live.... Mungu azidi kum'bariki na kumvika nguvu mpyia ... amiina!

    • @OmanOman-iq1wj
      @OmanOman-iq1wj 6 ปีที่แล้ว

      +Debora Adam 😃😃😃 wote ni wenye nguvu za injili ya kweli wote mimi nawakubali maana wameniokoa kwa kweli na nnatamani siku moja nikatoe ushuhuda kanisani kwa baba Hebron....

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo Injili kuisikia ni Mara chache sana

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 5 ปีที่แล้ว

    Najua upo kwa baba Mzee wangu.tutakukumbuka daima

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 3 ปีที่แล้ว

    Hii injili watumishi wengi leo hii wanaikwepa.dah yani Mungu uturehemu.

  • @yvesnzunguri2446
    @yvesnzunguri2446 6 ปีที่แล้ว

    Baba wambinguni nisayidiye niweze kuubili kama uwu mzee wetu amen

    • @onesmomsalilwa114
      @onesmomsalilwa114 6 ปีที่แล้ว

      Yves Nzunguri I would like to invite you at Silali Tz there is a branch of Pentecost's shilo and you will enjoy a real &truth gospal word,just consult the site you will hear alot of it.

  • @nosigwebuya5537
    @nosigwebuya5537 7 ปีที่แล้ว +11

    Ubarikiwe Mtumishi kutuletea Mahubiri ya baba yetu wa Kiroho kwa makanisa ya Tanzania, ombi langu, ni kukuomba jaribu kuweka angalau hotuba iwe ndefu kidogo.Maana sio wote wanao zlikiliza wapo TZ. ili wanunue DVD. Barikiwa sana!

  • @danielbasilwango4402
    @danielbasilwango4402 7 ปีที่แล้ว +11

    sisi kwetu ni ku chukuru mungu kwa mtumishi wake Dr Moses Kolola ambayo alikuwa shuka wa injli kwa karne hiyi rest in peace

  • @miriamsimwanza6371
    @miriamsimwanza6371 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani Baba, bado nakutazama 2021

  • @kadetwafidrle7013
    @kadetwafidrle7013 6 ปีที่แล้ว

    Amena ubarikiwe najina la yesu kristu liimi diwe

  • @dorcusnsemwa3442
    @dorcusnsemwa3442 5 ปีที่แล้ว

    ulituhubiri babu mungu atusaidie kushinda

  • @mosseszyherizonic2584
    @mosseszyherizonic2584 6 ปีที่แล้ว +2

    Eeeh YESU KRISTO nitie nguvu nimalize mwendo salama....

  • @ezekieljoseph421
    @ezekieljoseph421 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @elishajoseph8291
    @elishajoseph8291 4 หลายเดือนก่อน +1

    29/8/2024 tena

  • @habilikasekwa3212
    @habilikasekwa3212 7 ปีที่แล้ว +9

    Hakika mtumishi huyu alitumiwa na Mungu

  • @Louez24
    @Louez24 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu huwaita Watu kwa Nyakati

  • @NgwambaSaguda
    @NgwambaSaguda 7 วันที่ผ่านมา

    Amina Babu yangu

  • @officialsethmwaigomole.1155
    @officialsethmwaigomole.1155 6 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie vijana tuenende katika unyoodu na kifkia viwango vya imani katika kumtegemea mungu

  • @patrickmulwa3082
    @patrickmulwa3082 6 ปีที่แล้ว

    mahubiri ya mchungaji moses kulola yana bariki sana u barikiwe

  • @thomasselemani2331
    @thomasselemani2331 5 ปีที่แล้ว

    Mungu umejawa rehema na neema

  • @nancyenock5601
    @nancyenock5601 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mtu ni neno La Mungu kweli

  • @marysusuma3837
    @marysusuma3837 7 ปีที่แล้ว +17

    Tunakukumbuka baba yetu tumeimiss injilì ya namba hii.

    • @thomassenga2526
      @thomassenga2526 2 ปีที่แล้ว

      Hawa ndoo walikuwa wachungaji wa kweli

  • @rehemakalipa7494
    @rehemakalipa7494 7 ปีที่แล้ว +4

    yooooooooo,tutakukumbuka askofu wetuuu klora

  • @agnesylyelu6395
    @agnesylyelu6395 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kweli ukiskiliza mahubiri haya ndipo napoamini aliye was Mungu anajulikana kwa matendo tu

  • @wilbardmussa8232
    @wilbardmussa8232 7 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli huyu Baba Dr Moses Mahubiri yake yalikuwa hayajachakachulia tofauti sana na akina Gwajima, Mzee wa upako, Kakobe, Lwakatare, Baba God n.k.ndo muhimu sana kuhubiri injili ya kwaya

    • @JAZZ_VIBES
      @JAZZ_VIBES 6 ปีที่แล้ว

      Amina rip askofu

  • @geofreymwatonoka1628
    @geofreymwatonoka1628 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu moses kulola

  • @reganpaul8542
    @reganpaul8542 7 ปีที่แล้ว +5

    roho ya baba kulola ipate kibali Machoni pa Mungu Baba

  • @philbertluhunga7706
    @philbertluhunga7706 7 ปีที่แล้ว +11

    Kuna mahubiri ya Moses akiwa Tabora na kigoma alisoma neno heri wenye moyo safi, nani anayo????

  • @fredianniyo4558
    @fredianniyo4558 8 ปีที่แล้ว +7

    Amen amen mille na milele tutashangilia