The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 เม.ย. 2023
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Wanao sikiliza hii story nzuri uku tunakula ngulue tujuane apa
Tamu sana
Tena rost ndo usisemee
Kavu bhanaa na kachmbariii uwii
🤣🤣🤣
Mtakuja kupata magonjwa kwa uroho wenu
kwa wale tunaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho basi hatuna budi kujitahidi kuacha yale tuliyokatazwa na Mwenyezi Mungu.
Nimekupa big up vile ambavyo umebalance story nilidhani utaegemea upande wa imani yko lkn umenyoosha namna ambayo mtu mwenyewe anachagua upande wa kufata!!!
Kazi iendelee
5. AL - MAIDA
3. Mmeharimishiwa nyamafu, na
damu, na nyama ya nguruwe
na mnyama aliye chinjwa si kwa
ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye
kufa kwa kunyongeka koo, na
aliye kufa kwa kupigwa, na aliye
kufa kwa kuanguka, na aliye
kufa kwa kupigwa pembe, aliye
liwa na mnyama, ila mkimdiriki
kumchinja. Na pia ni haramu kula
nyama aliye chinjiwa masanamu
Na ni haramu kupiga ramli. Hayo
yote ni upotovu. Leo walio kufuru
wamekata tamaa na Dini yenu; basi
msiwaogope, bali niogopeni Mimi
Leo nimekukamiliishieni Dini yenu
na nimekutimizieni neema yangu
na nimekupendeleeni UISLAMU uwe
ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa
na njaa, bila ya kupendelea dhambi,
basi hakika Mwenyezi Mungu ni
Msamehevu na Mwenye kurehemu
Amin, but hatutoacha hii 🪑🔥.....😁😁😁
@@waynekennedy9521 nyinyi endeleeni kula ndugu zanguni hamuwakomoi waislam wala yule alieharamisha.
@@waynekennedy9521 hakuna tetizo we kula bibi zako tu
@@waynekennedy9521 kabisa👌
Makafiri hawataki kuelew
Professa Jamaal una toaga mafunzo mengi sana katika stori zako hakika Mungu awe na ww kwa kila jambo ulifanyalo uwe na afya njema akila kukuchapo ili uendelee kutufundisha Life ya vitu mbali mbali ambavyo tulikuwa hatuvijui
Hii inanifunza vitu vingi huwa najitidi sana kufatilia jamal April unajua sana
@@enosscolonely7629 sio ww peko yako kiti kizuri lazima watu wajifunze wengi kuna kubadilishana mawazo ya hapo na pale life ina zidi kwenda
Waislamu wengine tu wasiowahi kula nguruwe kabisa ,ila wanakifafa
Ni uongo tu
No one comes close to this guy in this field. You are a professor bro. You are doing a great job; a lot of investigation and research goes into this! Kongole from Kenya!
Story nzuri sana naenjoy nikiwa Kisumu Kenya.
Tafadhali utuletee uhondo kamili kuhusu huu mchezo wa Wrestling sababu hatuelewi ni kweli ama uwongo. Big up Man,🙏🙏🙏
Wrestling imeandikwa na mshindi hujulikana hata kabla ya mchezo
Wrestling ni scripted kila kitu wanaigiza
Siku ukijua wrestling ni acting kama tu movie zingine utaacha kupoteza muda kuangalia wrestling
Wrestling ni kama video za ngono tu
Kitu alichokikataza mungu lazima kiwe na madhara
As a Tanzanian i'
m very proud of you prof. Jamal April your very talented brother
Kila mtu afate imani yake sisi kwetu haramu ambao imani yao wanasema halali basi wale hamna sababu ya kugombana kila mtu afate akili yake uzur ubaya wataona wenyewe
Hakuna kitabu ambacho kimesema sio haramu, vyote vinasema ni haramu
@@amanichanga3448 una uhakika? Nioneshe hilo andiko Kwa injili
@@madetetv6576kumbu kumbu la taurat ,14:8
@@ambarnelly6071uko sahihi man , hakuna bible iliyosema nguruwe ni halali
Iyo biblia inasema haramu......
Mwamba wew ungekuwa mwalimu wangu .....nisingekuwa hapa nilipo yaan nakuelewa sana
Siyo Nguruwe tu ndo ina mahazara. Hata ngombe,mbuzi,kuku, mahana ukila ahina ya nyama moja kila siku au kila mara lazma ugonjwe. Mzee baba tupe story book yenye mazara ya kula nyama ya ngombe mara kwa mara usi bakiliye ku nguruwe tu kwasababu hata mbuzi ukimla mara kwa mara lazma ugonjwe.
Usiache kufanya hiki kitu ni vzr sana na upo vizuri sana kiukweli 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Ubarikiwe hapa umeokoa wengi Mungu akupe maisha marefu zaidi.
Wewe Jamaa Unatisha Sana🙏
Ukipata Muda Tuletee Bomu Lililowafanya Wajapani Kuwa Wafupi, (Au Tuliongopewa)
Kweli tuleteye tunatamani kujiwa
Weee wajapani gani hao ?? 😂😂😂🙌🏻
Aliwahi kugusia kwenye stori ya Nyuklia ipitie
🤣🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja
Mimi nitaendelea kula nguruwe hadi mwisho wa maisha yangu nakupenda sana kiti moto ivi unajuwa utamu wa nyama yake ?❤❤
Mungu ajalie utakapo kula tena kwa mara nyengine ayo madhara yote yalotajwa apo uyapate
@@mahadboy5124 hakuna mungu wa ivyo hahahahahahahahahahahha
@@mahadboy5124 uko kwenu yupo MUNGU wa hivyo au una bahatisha naww 😅
@@mahadboy5124 hahahha na hayawezi nipataaa
😂😂😂😂😂
"Indeed ,It's not the eyes that are blind, but the heart.''
Quran 22:46
Note the heart it is the core al-qalb sio moyo ni core...sijui core inaitwaje kwa kiswahili
Uhalali wa Kila kitu ni kwa Mungu maana yeye ndie Alie umba Kila kitu. Kula au kutokula ni juu yako.
@@paulpeter9655 kama ndo hvyo mle wale nyoka porini, mkalee na mende wa chooni, msisahau pia mijusi na kenge wa vichakani, na kuna wale nyani pia pamoja na sususungu pia kuleni, mana aliyeviumba mungu vyotee ni halali kula na pia mnaweza kula nyama ya waanadamu wenzenuu mana ni uumbaji wa mungu pia.
@@mohamediomari1614 🤣🤣aah nyani babu zao hawawez kula
@@paulpeter9655 kakataza kwenye maandiko
Ukitafiti zaidi tunaweza sama.kilakitu nisumu Mana wengine ndio hawali lakin wanamagonjwa Kama hayo Mimi nakula tu alichokiumba mungu sio halam halam matendo mabaya.kufa nikufa tu ata ule sisimizi itakufa tu
Jamal Asante kwa story zako nzuri, Kenya 👏
How
Watu wenye fikira ndogo huwa wapinga ukweli hata wakiona dhahir, You did your part thanks lecture 👏🏾👏🏾👏🏾 watakaosikia watasikia watakao bisha wabishe haujalazimisha mtu.😎
Nimekula Kilo leo hakika hii ni nyama tamu zaidi Duniani😋😋
Kitimoto tamu aisee kah
Hata umbile lake la nnje tu silipendi nguruwe ni kiumbe ambacho sikipendi kabisa
@@chafimabdulbacar9902 pole yako,
Nguruwe mtamu aisee na umbile lake zuri
😀😀
😂😂😂😂
Jamal always talks about facts, the choices is ours
Vipi nyama ya ngamia siyo haramu
@@jacksonkabede7929 kwa kweli nyama ya ngamia tumeneemeshwa Nayo nasi Waumini tunasema ALHAMDULILLAH ❤❤❤❤
@@khadijazungu8627 si amesema kati ya wanyama walikatzwa ngamia pia ni mmoja wapo
Ngamia,Sungura,Kunguru na Kambale HARAMU usiikaribie wala usiiguse ni chukizo kwa Bwana.
@@khadijazungu8627 Kula nguruwe weww hata Mtume MSW alimla huyu kiumbe
Jamal always makes my day by just listening to him, feel ranked from Kenya
Mungu haHaramishi ispokua kisicho bora kwenu sisi
Hongera Sana umejuwa kutuelewesha vizuri ndugu jamari
A well researched narration.
Iam proud to be a Muslim...Allamdhulillah
Asante kwa story nzuri umetuletea🙏wenye kuelewa wameelewa
Japo umechambua ila Sina imani maana ww mwenyew kabla ya kuchambua ni mpingaji wa nyama ya nguruwe.Naomba ulete uchambuzi kuhusu nyama ya kasa maana imehalalishwa lakini ndo inaongoza kwa kuuwa watu kila siku kwa kuwa ina sumu ila kwa aibu waliyo nayo wapinga nyama ya nguruwe hawajawah kuikosoa nyama ya kasa.Naomba ulete uchambuzi wa kula nyama ya kasa ili twende sawa
Mimi sio muislamu ila sili kitimoto kuanzia leo Mungu anisaidie katika maamuzi haya kwa ajili ya afya yangu
Unachagua kumsikiliza Paolo au Mungu.?hongera sana Jamaal,napata élimu nyingi sana kwa kufuatilia makala zako.Tatizo ni Paulo na bible kupingana na magizo ya vitabu vya kale,Yesu hakuja kutengua maandiko yaliyo pita ila kukamilisha yaliyobakia.
Hakika. Hata yeye alisema sijaja kutangua tolati bari kuitimiliza
Well done! Professor, Jamal Mustafa.
Nimepata uelewa mzuri kuhusu uzuri na ubaya wa mdudu
Napenda sana kipindi hiki kwakuwa kinatoa funzo na kutukumbusha ❤ don’t quit
Wazee wa Mdudu tujuane japo kwa likes. 👍
Ahsante mwanangu boraa unifarijii kwa storii book nipate walau ahuenii
Story nzuri sana professor jamal.keep it up nimejifunza kitu 🙏👍
“Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu.” (al-Anaam, 6/145)
Kila mtu amesikia hakuna kulazimishana kula ao kutokula. kwani ukila madhara yake unayajuwa nausipokula yote nimaamuzi Yako mwenyewe
Shukrani Jamal april kwa story Book nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩
Jibu lako tayar linaonyesha ambavyo umeishaathirika na majini wa nguruwe...
😂😂😂😂😂😂😂❤
2 Petro 3:14-18
[14]Kwa hiyo, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane katika amani kuwa hamna mawaa wala aibu mbele yake.
Wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless.
[15]Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;
And account that the longsuffering of our Lord is salvation; even as our beloved brother Paul also according to the wisdom given unto him hath written unto you;
[16]vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
As also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction.
[17]Basi, wapenzi mkitangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu.
Ye therefore, beloved, seeing ye know these things before, beware lest ye also, being led away with the error of the wicked, fall from your own stedfastness.
[18]Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele.
But grow in grace, and in the knowledge of our Lord and Saviour Jesus Christ. To him be glory both now and for ever. Amen.
Wow my best series ever 💯
“A true educator always act as a facilitator of learning” your a true educator. Mungu awe nawe man
Baada ya mnyama kufungwa bora nije kujifuta machozo na the story book 🔥🔥🔥
We upo kama mm
Tupo wengi
Hahahahaaapoleni sana
@@aminasultan7287 tushapoa asee acha tu
Jamal keep on my son I love your story
Kuna kit nmepata kwa upande wa Waislamu wao wamesema najisi binafsi wenyew bila sauti ya Mungu kwasababu zao kama ulizozitaja. Ila kwa Wakristo ile najisi ni iliwekwa na Mungu mwenyewe kwa wana wa Israel lkn pia ilitolewa na Mwana wa Mungu mwenyewe, tukumbuke agano jipya linawaweka wakristo chini ya Neema ya Mungu na sio chini ya sheria tena.
Kwenye picha mijamaa iliyo mine pia imefanania na kitimot bwanaeee
Harafu utafiti inawezekana kweli umefanya ukasoooma lakini logic si kurithi magonjwa kulingana na uukuwaji wa mnyama fulani mbona binadamu akila kuku ukuwaji wake huwa haudumai na kuwa mdogoo kama kuku kuna watu wanakula nyama ya tembo je? mbona hawawi wakubwa kama tembo huuu utafiti umezingatia nini kuniaminisha kuwa nikila kitimoto basi na mie ntakuwa mmbonge kama nguruwe vinginesvyo basi watu ni sawa kula baadhi ya sehemu za nguruwe ili wanenepe?
najaribu kupata ukweli uliofichika maana kuna watu tumefuga nguruwe walaaa akuuuu hatujawahi kupata influenza hata kidogo ingawa wanasayansi hao hao wanasema mafua ya binadamu haya tunayokuwa nayo toka wadogo yanatokana na wanyama hasa ngombe hii imekaaje?
Kalagaho ndugu yangu ili mradi umeambiwa tuu
GOAT Jamal you're the best
Sababu za wengi kutetea kula humu sijaona zaidi ya utamu. Ok ila utamu wa pipi mate yako mwenyewe. Ila mimi naona magonjwa mengi yanasababishwa na vyakula tunavovipenda au kula chakula kingi. Mimi kuna ndugu yangu anasumbuliwa na kujikuna na kuota vipele kwa sababu ya kula nguruwe. Walimwengu wanaelewa na kufanyia kazi
Asante Kwa elimu nzuri , Kwa mwenye akili atang'amua kweli
Incredible Jamal. MARVELOUS
Mimi ni mkristo sili kwasababu ya afya ya mwili, minyoo wake wanafika zaidi ya mita moja.
Asante Kwa story nzuriiii lkn tusamehe nguruwe mtamu aloo eb muonje Alf utaifuta hii story 😂😂
Wewe kula tu
Kuna sheria mbili tumepewa,kuna sheria za maadali na kunasheria za vyakula.....,Chakula maana yake ni nini? CHAKULA ni kile kitu chochote ambacho Mungu karuhusu kura icho ndicho chakula
Professeur Djamali wawe bigwoi soifi
Alhamdullilah sili hii kitu🙏🏼🥰 Ila Unazani hao watu watakuelewa juu ya my wao hawawezi ata useme inaleta corona wao watakula tu 😂😂😂
Hahahaaahah
Tuache kidg apo apo mzeee
Ww fanya yako na ya dini yako yasiyokuhusu achana nayo
Tafiti zauongo izo kwaio walio pata Kansa ya utumbo dunia wamekula Nguluwe
Aliyekataza nguruwe ndiye huyo huyo aliyekataza Ngamia, sungura, kambale nk. Ajabu ni Kwa Nini anakazaniwa sana nguruwe kuliko hao wengine?
Wakenya wenzangu wekeni tik🙂
Jamal ushamuongelea yesu na miujiza yake , kwann usituhadithie na kisa cha mtume Muhammad ambae watu wengi wanamsikia tu juu juu na wengine wanamtukana lakni hawamjuw, tuletee story book ya mtume Muhammad na miujiza yake ya kuupasua mwez kwa kidole na mengi mengineyo na utabir na maneno ya science isopingikika licha ya kufumuka kwa technology lakn bado yanaish
Santiiii Sana Jamal. Tafadhali andaa story ya kuwaokoa Waizraeli kutoka Uganda wakati wa Idi Amin
Neno:tufate wanasayansi watuongoze ni kosa kubw kweny dini yetu ya Kiislam. Sis hatuongozwi na sayansi bal tunaongozwa na vitabu vitakatifu. Allah akuongoze Jamal
Tatizo unakurupuka. Ni bora ujue sababu kwanini ametumia hoja hiyo. Alafu lazima ujue pia kuwa hiyo sayansi pia ni elimu ya Allah s. w.
We jinga ukitaka kusafiri unatumia nn iyo simu iliundwa na nani?
Hongera Jamali profesa mim naitwa Jamila,,like sister and brother,,unazo akili nyingi Sana professor Jamali,Kwa makala hii najua wengi wataacha kula nguruwe,,ama kwer dini ya kislamu ndo din ya haki mana haidanganyi
kwani dini ni tiketi ya kwenda peponi au ni uaminifu na moyo watu? namaanisha who he follows Gods commandments shall inherit the heaven!!@
Mbona mm nakula huku nasikiliza???hakuna dini bora kama ukristo kima ww upo busy mitandaoni baada ya kutulia na mume ahahah ahaaa nimekumbuka mmeo yupo kwa mke mkubwa ahahahahah
@@gilmangeorge366 ni anazngua uyoo
@@christonchristian7448 ndio kumbe ujui 😂 din yakiislam ndio din yakweli ata wew unajua sema unakaza tuu👐
U Muslims u prove to be special more than other humans as if others are animals u need to understand we are equal in the eye's of God
jamal huku kenya katika kaunti ya thika tunakula nguruwe kwa asilimia kubwa sana japo mimi ni mwislamu sili.
Kula una subiri nini
Asante jamal aliesikia kasikia so ni chaguo lako kula ama kuacha
Hakuna Aya inayosema nguruwe halali wameleta ujanja tu sasa nakala inahusiana nn mbele ya vitabu vya Mungu
Rudia tena kusikiliza utamuelewa ❤
Mungu akubariki kaka
Wewe upo vizuri Mungu akulindi
Your Genius Mr Professor Jamal
I am a student Nurse.
The facts here are real.💯
Big up Jamal.
But you are not a doctor!
@@Gbril45 wisdom is important.
But you lack.
🙏🔥🔥👍
Asante
@@Gbril45 I’m reading comment 😂😂😂😂
Naanzaaje,ooh Mimi naanzaaje..kuacha nyama ya nguruwe ..mwenzako siweezi😢
😆🤣🤣
😢😢😢
Asante sana prof, naomba utufanyie video kama hii inayoangazia kutumia miraa au jaba
Asante professer Kwa simulizi tamu
Hapo mwanzo ulipotamka katikatiyao kunawaumin walichanganyikiwa nimekuelewa sanaaa
Nguruwe ndo mnyama mwenye wapinzani wengi duniani mpinzani namba moja ni dini mpinzani namba mbili ni wanasayansi
Na Bado Anaongoza kwakuliwa
Na bdo anawapendwa wengi😂😂😂
Kila kitu kinaua....Chagua kitu cha kukuua bhana maisha yaendelee. Pombe inaua, zinaa inaua, nyama inaua, mazoezi yanaua, magari yanaua, umeme unaua,
ukweli
Kabisa kaka wanapondea
5. AL - MAIDA
60. Sema: Je! Nikwambieni yule
ambaye ni mwenye malipo mabaya
zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi
Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi
Mungu amemlaani na amemkasirikia
na amewafanya miongoni
mwao manyani na nguruwe, na
wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio
wenye mahali pabaya na wamepotea
zaidi njia iliyo sawa
The story book 📚 Jamal April ambao wiki Ile atujaona the book tujuane❤😊
Prof ana deni
Tunao sikiliza hii story nzuri huku tunakula kitimoto tujuane
Niko mzee😂😂😂
❤🇰🇪
..
😂😂😂
😂😂😂😊
Daaahhhh ....katika hayo prince katega 2....anazidi kunipagawisha na kunichanganya akili na kupelekea najihisi kudata na wewe kiongozi unanimaliza kabisa 🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️ napagawa
Bro uko vzr sanaa you always talk facts
Nguruwe ndio nyama tamu zaidi duniani haipingwi📌
Nimeisha mula naleo nime nunuwa nyama yanguluwe naipenda sana😢🎉😅😅
Jiliye tu baba wewe fata pumzi zako zinatakaje
Gonga nyama wewe haina madhara hiyo
Kumbu kumbu la tauurat 14:8 ni haramu ata kumgusa
Amuna sitakudia kula
@@dastopadady2402 mashallah Allah Mungu akuongoze inaonekana ni mtu ambae ukiijuwa haki huifuata ,Mungu yupmoja nawe insha allah
Aaah wanadamu awana wema kabisa, mungu ame wapa nyama nzuri ivo kisha munahanza kuhi visha magonjwa yasio eleweka, mutafikiya ku sema kama ina pana na ukimwi.
Muhi ondowe basi duniani
Kweli😂😂😂
Hii kitu ni tam kijana kufa tutakufa tu ach tuile il story tam😋😂
Nakubali hadithi ina elimisha jaman❤❤❤
Uongo. Mungu kaleta viumbe au wanyama tuwatawale. Kila kiingiacho si najisi Bali kitokacho..Yesu alikuja kulekebisha hayo🙏🙏
Jamal we love you bro😭👋❤️😘🤗👍
Jamal nakukubali saaaana illa natamani sikumoja nikutane nawe ili unifunze the story book Jamal Jamal Jamal huu niujumbe kwako I'm from Burundi 😊😊😊
Jamal asant kwa kutuletea story nzuri
Mm ni mkristo ndio ila tangu nikuwe nakujitambua sijawai kutamani kula nguruwe wala kupenda wala kumfurahia ajarishi ni alali kuliwa wala ni aramu ila kamwe simpend nasto mpenda anda ndan mwanyumba yangu akika Mungu anisamehe2🙏🙏🙏🙏
Amna tatz Maan sio lazima kumlaa
Story book nakubali kaka from Mombasa Kenya 🇰🇪
hii vita huiwezi mjomba!!! acha kabisa kitimoto ❤
Hatuli nguruwe tunakula nyama ya nguruwe hakuna alichoumba muumba ni najisi mwanzo1:31 ila kwa matakwa ya imani ya mtu imetafsiliwa hivyo.
😂😂Nimecheka
hongera sana jamn kaz nzur thank U much very U
Ukiishii kwa hofu kila chakula kinamathala kwa sababu ya mbolea na madawa, kwahiyo vyakula vyote Ni haramu kuku wawiki tatu analiwa wewe unategemea utakuwa salama kifafa Ni pepo siyo kula nyama ,
Kuwakataza watu wasile nyama ya nguliwe hiyo Ni Imani ya kweli,
Vyakula viote nikwajili ya tumbo na tumbo kwajili ya chakula lakini vitu viote vitatoeshwa,
Wa Kwanza Leo mm 👑
Professor mwenyewe 🙌 you are always the best bro👍🥰
Nimependa umetoa hadi ushahidi wa kisayansi ndo tujue watu kwamba Mungu akikataza kitu kinakua kwel sio chema kwetu……..
Ps:sitaki kuvamiwa na maneno ya shombo kama upo comfortable kula ww kula tu Mungu ametupa akili na maarifa tofaut kila mtu na kila mtu atabeba mzigo wake mwenyew siku ya kiyama!
Nimependa hii bro Allah akuzidishie kubainisha. Mambo ya haramu
Umeanza bangi tukanyamaza .. tusifike huku bro
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Better to be informed not influenced~ Judge on what you understand! Keep it up~Jamal-deen🇹🇿
hello Mzee jamal tumesikiya unayo yasema kuusu nyama ya nguruwe , ila Mimi naupenda sana nasiwezi kuuacha , inawezekana wewe ni mwana dini ya Kislam ndiomaana unaongea ma negatif kuusu Nguruwe, nyama zote ni nzuri kwasababu Mungu ndiye aliumba , Nguruwe ni nzuri tena nitamu sana kushinda kila kitu.
Asante kwa mafuso hao sana.kenya tunakusalimia sana.
Uwongo bwana nguruwe na halali hoyaa wanangu kuleni chuma hicho🇨🇩🇭🇲🇭🇲
😂😂
#Nipenmauayangu
Leo wa kwanza Ku comment...
Like zangu buc wazee...
#Jamalkeepin it. Up....bro
Hebu nisaidieni kunijuza mimi naendaga kwenye mauridi mara nyingi huwa wanachinja ngamia hapo vipi na kumbe ngamia pia haliwi.
Jamal Allah akuhifadh kuwa makini na dunia
Alafu nilichogundua ni kwamba wataalamu hao hao ndo walaji wazuri wa hii kitu tamu.
Nitajie dokta asiekula nguruwe niko nimekaa pale🤪🤩🤩🤩
We ni chizi