GB 64 AIBUKIA SAKATA LA CHAMA MWAMBA WA LUSAKA, YANGA HAWANA UWEZO WA KUMSAJILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 155

  • @markobukuku3841
    @markobukuku3841 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika madunduka kazi mnayo leo hii mmesha pewa hela tiar

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 7 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu nae akinywa konyagi anaongea hivi, akinywa Serengeti anaongea vile ....😂😂😂
    Simba Comedy Sana aseeh

  • @godfreysanga633
    @godfreysanga633 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mangungu Kawa mpendwa😊😅😅😅😅

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 7 หลายเดือนก่อน +13

    😂😂😂😂leo mangungu Kawa Bora madunduka kweli akilizenu zakidunduka sisi tunawa tunawachezea mchezo Ili mubaki na hao hao mturahisishie Kazi wananchi

    • @athumanmsuya2688
      @athumanmsuya2688 7 หลายเดือนก่อน

      Oooooooooooooooh!!!!!!!!!!!! Mnamtaka kweliiiiiiiii oooooooooh

    • @jabalimikechi7750
      @jabalimikechi7750 7 หลายเดือนก่อน

      Ivi ume sikiya vizuri number 5 AFRICA, number 16 duniyani, kesha number 1 tajiri kijana duniyani...........ivi Kati MO na mumilike wa Facebook na WhatsApp Nani kijana kuliko mwengine?

    • @MuammaryAbdalla
      @MuammaryAbdalla 7 หลายเดือนก่อน

      kumbe mpk murahisishiwe mutaliwa kwa kupend mserereko lipeni madeni kwanza

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@MuammaryAbdallatulipieniii 😂😂

    • @NellyWaKidato
      @NellyWaKidato 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hao ndio madunduka 😂😂😂😂

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n 7 หลายเดือนก่อน +2

    Eti boss karudi😅 miaka yote mo hakuwepo kumbe..ila madunduka washapata ukichaa asee😂

  • @JosephNgasa-j7l
    @JosephNgasa-j7l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kuvurugana Simba ndo kujulikana?

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka wew unacho kiongea n kwel lakn. Simba kuwa nzuri had mangugu atoke. Maana alicho tufanyia msimu iliyo pita mungu amsamehe bure. Ok na sahiv tutapga kelele nyingi weeeeee. Kikumbwa tusubir msimu ujao timu yetu inakuwa kweny pafomas Kama tunavyo tarajia sisi.. ndyo boss karud kweny kiti ok tusubir tuone.. Sasa mpra siyo siasa.. ✍️ Mabetu &Co

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa siobure kapigwa pini na katishwa kibarua kitaota nyasi yani leo mangngu kawa bora sialikua na kampeni ya kumtoa mangungu leo kawa kiongozi bora😂😂😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ubuntuuu wote ni 1 April ya kila mwaka 🤣🤣🤣 .... Usimshangae ni generator acha lipige kelele NJe

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 7 หลายเดือนก่อน +10

    HUYU JAMAA KAPIGWA PINI HUYU SIO BURE!!!😂😂SI NDIE ALIEKUA AKISEMA MANGUNGU LAZIMA ATOKE😂😂NI YUDA KABISA

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ngungu boy Kawa mwenyekit Pendwa mwenyekiti msikivu😂

    • @ramadhaniraphael6955
      @ramadhaniraphael6955 7 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu jamaa katishwa na kapigwa pini

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhaniraphael6955 mangungu anawapiga pin 📌 mmoja mmoja

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂.... Hajatishwa ila mangungu ni kiboko kazima kelele za mbumbu wote 😂😂 ...

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu nae mnywaji tuu😀😀

  • @ishmailandrew2000
    @ishmailandrew2000 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mangungu amekuwa Tena mpendwaaa😅😅😅

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa mnaogea na akili sungura, chezea spirit😂😂

  • @law93king
    @law93king 7 หลายเดือนก่อน +4

    qmamaeee kashapewa mkate mangungu kawa pendwaa😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +3

      Sio mkate pale udundukani akuna ubuntuuu au mbumbu yeyote anae muweza comrade Murtaza mangungu Mwamba.....

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa ulitaka akuite wewe au mamaako pendwa?

    • @law93king
      @law93king 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@JuliusWandwi kuma la mama yako

    • @JuliusWandwi
      @JuliusWandwi 7 หลายเดือนก่อน

      @@law93king ivi Kweli c mamaako ana debe yy?

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo unaongea ujinga sanaaaaaa

  • @habibuabuu9609
    @habibuabuu9609 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ana sela uyo wameishiwa

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kapewa KITU kidogo huyu MPUUZI Huyu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa wote ni 1 April ya kila mwaka 😂😂😂 .... M napenda ngenga zao kabla ya kuanza kwa ligi .... Ikifika katikati ya msimu hawa ndo watafuta bakora 😂😂😂

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 7 หลายเดือนก่อน

    Well said GB 64💪💪💪#SIMBA nguvu moja

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Hiyo Mashabiki mnataka Jamaa kila akiongea amkatae MANGUNGU...katiba inamtambua hata mfanye je😅😅😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mangungu 😂😂 ... Amewapiga knock out.... Chezea mwenyekiti nilikwambia pale udundukani hakuna mbumbu anayewez ku battle na mangungu.......

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa mnafki huyu,,, mangungu mpendwa😢😢😢

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo mvuta bangi na ndio msomi wa simba mwl wa voda fasta

  • @YohanaMadaha-y8l
    @YohanaMadaha-y8l 7 หลายเดือนก่อน

    Leo mangungu kawa Bora 🤣🤣 ! Zege kweli nyiee 🤣🤣 ! Uchawa utawauaaa ! Si wew ulikuwa unapiga kelele mangusii atoke hahaha

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂hiii tunze hiii cripu zen siku 1 umrudie et wamekosa mvuto Simba ina mvuto wa kutukana viongoz nd mvuto et 😂😂😂

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kumbe si Mzima Leo MANGUNGU ni Mwenyekiti wake Mpendwa 😅😅

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mangungu kashaanza kuwapiga pin mmoja baada ya mmoja watampenda tu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@jaffjeff6912 mangungu ni balaa wewe

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@mwanangusana Kiongozi makini sana huyo jamaa ana wazooom tu

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@mwanangusana alafu kashawajua watu wanaowasapoti nyuma yao ili wamtusi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo mashabiki zenu walivyo sasa hiz ndo akili zao za kawaida zile nyengine ni akili za mbegeee 😂😂😂😂 ndo muone madunduka jinsi mlivyo na mbumbu wa kusaza .... Mnasaidiwa na mbege ila mkiwa na akili za kawaida Bila mbege ni utumbo mtupu mnao ongea 😂😂

  • @JosephCharles-b8b
    @JosephCharles-b8b 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni kichaaa msimsikilize na asihojiwe tena alikuwa ham hamtaki mangungu leo kawa sukari kwa kipi ni kigeugeu

  • @chungabakari
    @chungabakari 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli we mjinga Leo wanafaaaa

  • @SimoniEdwadi
    @SimoniEdwadi 7 หลายเดือนก่อน

    Hila viongozi wa simba jmn khaa kwahyo mmeamua kumdanganya mpaka GB64 kweli chama amesaini kumbe akusaini

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 7 หลายเดือนก่อน

    Uganda umemsahau mwamba Emanuel Anold Okwi chini ya Nyange kabulu

  • @JasmineSelemani-c2w
    @JasmineSelemani-c2w 7 หลายเดือนก่อน

    Sio. kweli simba mbovu

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Liverpool anaenda Marekani.

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 หลายเดือนก่อน +1

    Simba ipi, walikusweka ndani umenyooka pumbafu

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 7 หลายเดือนก่อน +1

    Leo unasema mwenyekiti wetu pendwa mangungu kumbe we pia unanunulika alafu usichokijua yanga wametuacha sisi tunapiga makelele mengi mtandaoni huku hatunajema n upuuzi tu

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ushatulizwa 😂😂😂😂😂

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 7 หลายเดือนก่อน +2

    Msemaji anaongea hajui leo ndio atatoa majibu kamili wewe nani unasema eti kapigwa 2 tena😂😂😂😂

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 7 หลายเดือนก่อน +1

    Utaila umeanza ulipoenda rokap ee pole sana kwasasa Bora kisugu anahoja kuliko huyu jamaa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂 1 April

  • @saidsalum423
    @saidsalum423 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli unalosema gb lakini lazima watu waseme nyinyi ndio wenye matatizo katika usajili ndio maana kila mitandao ni nyinyi tu wenzenu wapo tayari washamaliza kazi yao

  • @henrymwampuga2032
    @henrymwampuga2032 7 หลายเดือนก่อน +1

    Chama kama ajaachwa tumebugi

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g 7 หลายเดือนก่อน

    GB 64👏👏👏👏👏👏🦁

  • @chinchon2126
    @chinchon2126 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mgonjwa bado anataka kuwadanya wanasimb

  • @idrisahamimuhasani5717
    @idrisahamimuhasani5717 7 หลายเดือนก่อน +3

    Acha chatuwe namaneno mengi arf tusiwe vigeugeu

  • @PiusNjelekela
    @PiusNjelekela 7 หลายเดือนก่อน

    Mangungu kawa pendwa😂😂😂😂 tusubiri

  • @yohanayohanaadamu6483
    @yohanayohanaadamu6483 7 หลายเดือนก่อน

    Haya mautopolo kila yanasajiri chama lakini chakushangaza kila msimu chama anacheza simba

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 7 หลายเดือนก่อน

    Bangi na Sigara na kiingereza chake cha form six anajiona msomi sn

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 7 หลายเดือนก่อน

    GB 64 umetandika suti maridadi kama JAJI😂😂😂💪💪💪#SIMBA nguvu moja

  • @omaryshabani3480
    @omaryshabani3480 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sisi tunasave clip tu wala hatuna mengi tutakuuliza tu maana ni kama vile sahivi hamjielwi..!!

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 usijichoshee ndugu yangu hawa wote ni 1 April ya kila mwaka

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 7 หลายเดือนก่อน

    hayaaa

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 7 หลายเดือนก่อน

    Ww unaongea pumba ndo mahana ulipelekwa polisi leo hii mangungu mzr daah Simba mumechoka

  • @williamreuben4866
    @williamreuben4866 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu,mwenyekiti mzur

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u 7 หลายเดือนก่อน +1

    WATU WA SIMBA KAA MAJINGA VILE😂😂😂

  • @grace200014
    @grace200014 7 หลายเดือนก่อน +1

    G64 waaambie watu vizuri acha kua kama chawa

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wajengwe kisaikolojia ili wakifungwa na yanga waweze kuvumilia

  • @HAMIDURAMADHANI-ev5od
    @HAMIDURAMADHANI-ev5od 7 หลายเดือนก่อน +1

    Khaaa uwiiiiii ,ww unaakil kwel?

  • @AtwonBanks
    @AtwonBanks 7 หลายเดือนก่อน

    Sengeh

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 7 หลายเดือนก่อน +1

    ✨✨✨✨✨✨⭐⭐⭐⭐⭐⭐

  • @yahayalugongo4825
    @yahayalugongo4825 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ni Gb 64 au 100 maana yuko dynamic

  • @HAMIDURAMADHANI-ev5od
    @HAMIDURAMADHANI-ev5od 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ww kumbe matako ee

  • @kessykessy563
    @kessykessy563 7 หลายเดือนก่อน

    Hili mbwaa kweli yn leo mangungu ni bora..

  • @OmaryHasan-vj1gx
    @OmaryHasan-vj1gx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tupokimya wachezaji wa yanga atuwadai

  • @SamsonSaruni-s3g
    @SamsonSaruni-s3g 7 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli yanga hawana mvuto

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 7 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanateseka humu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @victormkini2708
    @victormkini2708 7 หลายเดือนก่อน +1

    GB leo mangungu kawa bora?

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 7 หลายเดือนก่อน

    Hah Leo mangungu imekuwaje gb

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 7 หลายเดือนก่อน

    Wapi FEI TOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO😂😂😂😂😂#SIMBA nguvu moja

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kibu yupi anayezidiwa magoli na engineer

  • @KijanaMollel-zj2cs
    @KijanaMollel-zj2cs 7 หลายเดือนก่อน

    Unaongea ukweli kabisa waambie kolo😂

  • @stanleyngole5753
    @stanleyngole5753 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha njaa tyuu huyuu

  • @JohnMbogo-c1n
    @JohnMbogo-c1n 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani Yanga waandae bango la kibu kweli kwani lile la 7-2 lishapauka? Una Max Ngengeli, una Pacome, una Aucho una Aziz Ki, una Mudathir bado umtaje kibu kweli we utakua mikia lazima😅😅😅 kweli ukiwa dunduka lazima uwe hamnazo

    • @tumainimsowoya294
      @tumainimsowoya294 7 หลายเดือนก่อน

      Kwan uongo?utopolo mnatakaga kuikomoa tu Simba

    • @JohnMbogo-c1n
      @JohnMbogo-c1n 7 หลายเดือนก่อน

      @@tumainimsowoya294 pole utopolo wa mo dewji ukweli ni kwamba aliyekuwa anatakiwa na Yanga ni chama tena nae ni kama altenative tu sio chaguo la kwanza kwasababu japo ni creative lakini hawezi kukaba......huyo kibu hata ukiwapa Namungo hawamchukui mmeingia kingi mkajaa . Niamini mimi hata huyo chama kwa namna alivyomkubwa kuliko timu ni lazima mtabaki nae tena msimu ujao ila kwa hela kubwa sana kiasi kwamba atazuia usajiri wa wachezaji wazuri ndani ya kikosi na mtaendelea kucheza kumzunguka yeye kama kawa

  • @YusuphJuma-x4e
    @YusuphJuma-x4e 7 หลายเดือนก่อน

    Mhu utapona mwaka huu

  • @uklife5232
    @uklife5232 7 หลายเดือนก่อน

    eti tajiri hauzi magodoro kwani mo anauza nn ? jiangalie sana utapakuliwa maana hayo mambo waachie wenyewe ndio maana kwa njaa zenu munaona Mo yupo sawa wakati hayupo sawa ktk utendaji

  • @gidionnkomola1039
    @gidionnkomola1039 7 หลายเดือนก่อน

    Ligi ikianza wanamsingizia gsm na msimu ujao mbakula jumla 10 nje ndani

  • @CudraMrisho
    @CudraMrisho 7 หลายเดือนก่อน

    Chawa hawa

  • @fredrickr7173
    @fredrickr7173 7 หลายเดือนก่อน

    GB anafuata upepo...Leo Mangungu kafaaa tenaa??? Hv huwa anaangalia clip zake kweli nae ajitasmini??😂😂

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 7 หลายเดือนก่อน

    Mangungu amekuwa Mpendwa tena, duh 😅😅

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 7 หลายเดือนก่อน

    Mi hata sielewi

  • @stanleyngole5753
    @stanleyngole5753 7 หลายเดือนก่อน

    Hana jipyaaa huyu

  • @WilliamFredrick-h8v
    @WilliamFredrick-h8v 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu Sasa kashaanza kulewa nilikuwa namuona wa maana lkn hakuna kazi apo,kashapewa ela uyo

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 7 หลายเดือนก่อน

    Eti mwenyekiti mpendwa acha unafiki

  • @RAMADHANIISARAMADHANI
    @RAMADHANIISARAMADHANI 7 หลายเดือนก่อน

    We huyu jamaa inakuuma nn anavo bubujika huyu ni mwana msimbaz

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani hapo ushaitaja yanga

  • @AtwonBanks
    @AtwonBanks 7 หลายเดือนก่อน

    GB64 katutoka

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 7 หลายเดือนก่อน

    Madunduka leo wanamuona Mangungu bora. Daa kweli mbumbumbu.Timu inayohangaika haina kitu ni Makolo lazima msemwe

  • @omaryh.mohamed4480
    @omaryh.mohamed4480 7 หลายเดือนก่อน

    Hii kumbe ni MBUZI PORI, yaani YANGA HAINA MVUTO, . !

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 7 หลายเดือนก่อน

    Tandi Mwapeee

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 7 หลายเดือนก่อน

    Huwaga nakukubali sana unaongeaga vitu fact bila ushabiki.ila leo umeniangusha hapo kwa chama.ina maana pamoja kuwa na ukaribu na viongozi hadi leo hujui kama chama amesajiliwa yanga?penye ukwel sema ukwel jpo unauma kkuza brand yako.vitu vingine sema ukwel jpo unauma ndg yangu.ww ni mwanasport broo.

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 7 หลายเดือนก่อน

    Mangungu sio mpendwa usituchanganye

  • @FarajaNyangusi
    @FarajaNyangusi 7 หลายเดือนก่อน +1

    😮mpumbavu huyu amesahau alivokuwa analia mtandaoni akiomba hela ya cm saiv anajifunya mjinja ety tajili tajili hawezi kuwa na kiwanda cha magodoro... Akiri huna ww... Jaman tutmsikliza ten huyu kiumbe au tuachane nae?

  • @omarymwazema5332
    @omarymwazema5332 7 หลายเดือนก่อน

    mueleweni huyu jumaa tunakibarua kikubwa cha kuindaa timu yetu hatuwezi kuendelea kugombana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 hawa c ndo wali ratibu maandamano 😂😂😂 mangungu akasumbuliwe na hawa kweli mudi mwenyew katulia kwa mangungu 🤣🤣🤣 then hawa vikojozi ndo wakampe headache chairperson kwelii 😂😂😂

  • @khalfanandulla6223
    @khalfanandulla6223 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu poyoyo kweli

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 7 หลายเดือนก่อน

    Ninyi mambo yenu ni ya kuangalia tu

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyuma mwiko acheni ushamba.

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 7 หลายเดือนก่อน

    Matajiri wote ZAIDI ya 10 jina moja tunawajua

  • @IvanSaid-ef8tb
    @IvanSaid-ef8tb 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae kachuka vipande vya shekeri

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 7 หลายเดือนก่อน

    We hueleweki

  • @jabalimikechi7750
    @jabalimikechi7750 7 หลายเดือนก่อน

    Leo data zako zime feli Sana eti MO nitadjiri number 5 AFRICA 🤣🤣🤣🤣eti number 13 duniyani........

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kwa Mujibu wa Forbes
      Kwa MATAJIRI Vijana...hizo ndo no za MO...

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@angellomarcel5677kanywe mbege kidogo afadhali unaweza kuongea vitu vya msingi usi comment kama hujapata japo chibuku au mbege ..... Maaana Bila mbege mnakuwa watu wa ovyo Sana

  • @DerickDanford
    @DerickDanford 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanza migogoro ndyo mvuto Simba??

  • @ShabaniMussa-f3k
    @ShabaniMussa-f3k 7 หลายเดือนก่อน

    Mangungu mpendwa.

  • @suleimanzimbwe373
    @suleimanzimbwe373 7 หลายเดือนก่อน

    Madunduka jamaniiiii

  • @MwalumeSavej
    @MwalumeSavej 7 หลายเดือนก่อน

    nyie mnz wa kijan punguzen matuc kwa huyo GB. 60 hata mfanyaje chama miwil Tena mtakoma mwaka huu uto nyie

  • @AyoubGeorge-n6o
    @AyoubGeorge-n6o 7 หลายเดือนก่อน

    Tena uyu jamaa ata bangi anavuta ,siwalikutoa lokap mashabik wa yangu wewe ? Dawa imekuingia

  • @BarakaLyamuya
    @BarakaLyamuya 7 หลายเดือนก่อน

    Duuuh wewe jamaa kweli mnafki

  • @emanuelimanonga4044
    @emanuelimanonga4044 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa na magungu vp Tena mbon

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 7 หลายเดือนก่อน

      Linapokuja jambo la kuwapiga YANGA huyu Hubadilika usitegemee aseme Baya kuwa Simba..Ila vita yake na MANGUNGU iko pale pale

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe huyu jamaa nimeamini akili zake zinafanya kazi kwa kutoroka jaman yaani haya maneno yake huyu ya Kila siku ni anasahau aliongea nini