Nilikuwa najizuiq kucomment lakini nimeshindwa naomba niwaonyeshe tofauti ya marketing kutoka kwa masai modern farm owner na anayezungumza kutoka virutubisho vya kauda MARKETING its something else🎉🎉🎉🎉
Tafadhali naomba kupewa namna ya kufika ktk shamba lenu kuona kazi nzuri mnayoifanya ili na mimi nikaanzishe ufugaji huko kwetu. Mungu aibariki sana hii kazi.
Kuhusu mtaji wakuanzia Tumetishwa sana yani 5m haitoshi na hata ukiwa na 10m uwe tayari umeshaweka miundombinu yote imekamilika kwa mfano mabanda,maji na vitu vingine muhimu... daaah ufugaji tena kwasisi vijana tusio na mtaji mkubwa ni mgumu sana
Sio lazima uanze na purebred Anza na chotara maeneo mengi unaweza wapata kwa 200,000 hadi 400,000 mabanda pia sio lazima lote liwe lakujenga kwakuanza mwaga zege chini juu piga mbao au mabanzi kwahiyo hata kwa 1M unaweza Anza na nguruwe wawili na Banda umejenga kama ENEO unalo
Nilikuwa najizuiq kucomment lakini nimeshindwa naomba niwaonyeshe tofauti ya marketing kutoka kwa masai modern farm owner na anayezungumza kutoka virutubisho vya kauda MARKETING its something else🎉🎉🎉🎉
Hongera sana Masai kwa somo zuri kweli nimenufaika ubarikiwe sana sana
Nimependa
Asante sana ITV nmejifunza mengi
Asante kwa kipindi kizuri..nimegielimisha kweli..pokea salamu tuko Kenya
Kazi nzuri kaka niko kenya, niko njiani naomba kupata ngurue hati kenya.
Mtangazaji jaman, wacha aelezee
Tafadhali naomba kupewa namna ya kufika ktk shamba lenu kuona kazi nzuri mnayoifanya ili na mimi nikaanzishe ufugaji huko kwetu.
Mungu aibariki sana hii kazi.
Niko Kenya nakutazama, Mimi pia ni Mkulima mdogo wa ngurruwe
Nguruwe (au wanyama wowote) hawalimwi, ila wanafugwa. Kwa hiyo wewe ni mfugaji na si mkulima.
Hahaha hapo ni lugha gongana. Wao Kenya wanasemaga mkulima wa nguruwe
Boss tunapataje nguru
Ubarikiwe sana
Kazi nzur
Wow Amazing
Elimu ni muhimu sana songwe
Gostei muito, a vossa criação.
😂😂😂😂ety nguruwe anavifaranga😂😂😂😂
Watu wengi wakichukuw mbegu mara nyingi hawafanyi vizur
Jayda Prairie
Ndugu mfugaji,naomba kuuliza kuusu chakula cha nguruwe,,
Nahitaji vifaranga napataje?
Mje Tanga pia
Boas tunahita vibwabala
Kuhusu mtaji wakuanzia Tumetishwa sana yani 5m haitoshi na hata ukiwa na 10m uwe tayari umeshaweka miundombinu yote imekamilika kwa mfano mabanda,maji na vitu vingine muhimu... daaah ufugaji tena kwasisi vijana tusio na mtaji mkubwa ni mgumu sana
Achana nae huyu anataka awe peke yake mchoyo huyu
Usikate tamaa unaweza Jenga banda la kawaida nakununua vitoto viwili tu nakuanza ufugaji utaboresha ukianza kuuza
Fanya unachokiweza mkuu, sio lazima uige kunya kwa tembo
Mtangazaji unamkatisha malezo
Sio lazima uanze na purebred Anza na chotara maeneo mengi unaweza wapata kwa 200,000 hadi 400,000 mabanda pia sio lazima lote liwe lakujenga kwakuanza mwaga zege chini juu piga mbao au mabanzi kwahiyo hata kwa 1M unaweza Anza na nguruwe wawili na Banda umejenga kama ENEO unalo
thanks for sharing
Nimekukubali
Salaam, naomba kujua gharama za ujenzi wa banda la nguruwe 500
Naomba mfungue branch musoma tupate chakula na mbegu hizo
Huyu jamaa hajui kujieleza. Sijui anatuficha Nini hata afunguki
Mnaweza kumpelekea TRA maana tz shida nyingi. Mtangazaji ni kama hajui anachotaka
Kazi hii alikua anaiweza lupaya
Je nikitumia cayodice nitaweka madini mengine?
tunaomba .namba zenu
🎉🎉🎉🎉
Mufungue branch Burundi. Tunaitaji chakura bola cha mifugo
kufuga mifugo ni furusa
Utuwezeshe kupata pure breed ili tufanye uzalishaji
Nahitaji .nguruwe vitoto nipo NJOMBE napataje
nipo mbeya mnanisaidiaje kupata elimu zaid
Namba kuuliza kama unaanza kufuga NGURUWE unatakiwa uwe na badget ya shingapo
Mtu akitaka kununua vitoto vina bei gani
Weka namba ya sm ili tuweze kupata elimu zaidi
Interviewer is boooooring
Si utulie tusikilizeee 😡
Watangazaji wa certificate hawa 😏
Nahitaji mawasiliano, pia na vitabu vya ufugaji Bora wa nguruwe
Ambrose Lane
Huyu mtangazaji anarukaruka maswali
Shida ni masoko hiyo bei ya laki5 huku kwetu ni nguruwe mkubwa mno
jamaa ni kama hataki kueleza kwa ndani kiufasaha
Mnauza wenye mimba?cross ,,am from Kenya!
Naomba number ya campuni ya chakula
Natamani kujua bei jamani
Kwa nini mikia imekatwa
TUNDUMA
Huyu masai ataki mfuge😂 aiwezekan anakatisha tamaa hivi yaan M 5 anasema km mtaji mdogo atukushauli ufuge mh
Wakati mimi nimeanza na nguruwe 32 tu na sijatumia garama kubwaaa....!! Yaan sisi wanadamu ni wachoyo sana jmn😅
Vipi Mbeya tunawapataje?
Bei zikoje vitoto
Je kitoto Cha nguruwe ni Bei gani
Mna patikana wap mim na fuga hawa wakawaida hawa tembei kabsaa awo juro beigani miezi miwili
Naomba kuuliza kuna sababu gani ya kuwa puguza mikia ikawa midogo hivyo?
Wakue haraka mkuu, ni kama unavyomnyonyoa kuku manyoya.
Nimefurahishwa sana na kipindi hiki,naomba kujua kinarushwa siku gani na saa ngapi?
Hi bro. Masai bei ya kutokana na Aina ya nguruwe ni SHS. Ngapi Kwa nguruwe mmoja
Naomba no ya grp la wasap
Elimu ni muhimu sana songwe