The Story Book: WAMASAI na Mila za Ajabu za Makabila Ya Waafrika.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Jamal tutafutie historia ya wamakonde na mila zao😊😊 please kama unakubaliana na mm gonga like 👍
Wewe ni mmakonde nini😂😂😂wana mauno hao
Nikwel
Nikwel
We we Una taka Jamal I a kale pants sio😂
hawana Mila za ajabu wamakonde
Nimelike, nimesubscribe na kucoment sdaiwi tena, this one took the whole inspiration ya kufanya vitatu kwa pamoja.
Kijana jaml upo vizuri sana wakujengee sanam kama unakubaliana namim gonga like twende wote
Proffesor umeonyesha ujasiri ambao repoters wengi wanashindwa kua nao big up bro na karibu tena Manyara
Wa kwanza naombeni like jmn 10 tu
Second to comment at least 10 likes for me
Jamal mustafa (April) you are so brave and professional. Your stories deserve more views than what you got. ❤️>🇧🇮
Hii nzuri zaidi kuliko zote ambazo nilishawahi kuziona the story book👍👍👍🔥🔥🔥
Jamal anafanya reality sanaa kuliko wengine aseeh''' Pongezii sana kwake na anaipenda kazi yake kwakweli.
Tunashukuru sana teach Jamal April kwa kutu simuliya abari mbalimbali za uso wa dunia tunafahamu kupitaya wewe nasisi tume jifunza kitu Asante sana mungu azidi kukupa pumuzi❤🎉
Jamal my favorite 💖 nakupenda Sana.. Sasa umekuja Hadi kwa wamaasai, karibu na kikwetu kabisa🙈 Kenya tuna wamaasai na kusema ukweli huu Ni ukweli kabisa
dahhh Jamal nakukubali San, unajuwa kukipa thamani kile unachokifanya Mungu akufanyiye makubwa zaidi kuliko unayotegemea
Ni mimi pekeyangu ninaemuangalia Jamal April na kutabasamu pekeyangu🥰🥰🥰Nimekuja tena kuangalia leo 17.March.2024❤🎉🎉🎉
Jamal asante kutujuisha mambo,desturi,tamaduni,na Mila za wamasai,ufanikiwe sana
Kazi nzuri sana Jamal.
One day tunaomba history ya wakurya na Mila zao na uje ufanye safari kuwatembelea wajibu wenyewe maana Kuna mambo wanasingiziwa sana.......
Tamaduni bora iliyo baki Africa Thanks you so much kaka kwa story yako bora yenye mafunzo na kutowa watu propaganda be blessed 🙏🙏
Jamary hakika umenivutia sana umeweza kaka Mungu akupe maisha marefu na kutujuza mengi zaidi ❤️❤️
Ama kweli ukiipenda Kaz utajitoa Hata uhai hauna thaman
Umetisha mwamba niliisubiria sana kwa hamu hii siku nimekipata nilicho kuwa nakihita respect professor
Aiseee hii n story nzuri ambayo umeisimulia Yan daah wamasai n kabila nzur sanaaaa nataman hata ningekuwa nimezaliwa ktk kabila Hilo japo nafanana nao Ila m cmmasai .hongera Sana professa kwa ujasiri wa kula na kunywa damu kiukweli kwakunitazama na hasa kipande kile kila ninachokiweka mdomon hasa nyama najikuta kichefuchefu kinanipanda but umetuelimisha na kutuburudisha sanaaa
Ila tuseme kweli Jamali ilo vazi la wamasai limekupendeza
Kwel
Daaaah ubunifu wa hali ya juu sana Jamal, wamasai watu wakarimu sana asee.
Daaah kweli una uthubutu🙌🏽damu mbichi hongera sana
💖 Love From kenya my maasai culture the best the Name your given that means Lomunyak blessings Azin your blessed 🙌 ......The love of my culture Am seeing my kids missing this Culture ❤
Oooh good Namnyaki is here am from Tanzania and IAM a maasai
Mashallah jamal 😍
Hii ni one among the best clips have ever watched from jamal...East Africa is proud of you bro... definitely i heve to visit masai community here in kenya and onjoy a bit of it💪😂😂🇰🇪🇰🇪
Jamal you are one of a kind. Congratulations Brother
Okay asante sana jamal mustafa kwa mafundisho yako mazuri hapa kwetu kenya kuna kabila la samburu ni ndugu moja na hawa masai tafathali siku moja profesa tembeya huko kwetu kenya tuzungumziye hiyo kabila na mila zao
Number one fan from Kenya 🇰🇪 salute to you @jamaal April
Its magical African
!! We appreciate our ancestors for living behide this kind of culture generation to generations unforgettable...shukran jamal April.. as you travel from place to place my the lord be your protector!!! 🤲🤲👏ashe!!!
Jamali hii ni documentary inabidi uwauzie Tanapa au watu wa wizara ya utalii waiingize kwenye TV zinazoonyesha utalii
Masha Allah kaka Jamal dah hiki nikipaji umevaa uhusika ipasavyo na tume yafaham yale tusio yajua na ya uzushi tume yajua.
One of the best story teller of anytime,,full research and reality bravo jamal keep it up bro u deserve I appreciate 🇹🇿🇺🇲
Jamal jamal allah akusimamie upo vzr
Add English subtitle some viewers don't know kiswahili but love the session
We use Swahili because it leads to being heard in many countries in Africa, so what you need is to learn Swahili
Congratulation professor Jamal your the best story teller in the world, keep it up my brother.
Br you deserve the best, I never get tired watching your stories. This is the best thing you do
Hongera sana Olemenea stonik/ Jamal Mustapha,nimefurahi kujua story ya Wamasai. Ila nimeogopa ulipokuwa damu mbichi daaah.Hongera sana
Hongera sana Jamal,utaporudi Tena simanjiro,waulize majina vile misri.cairo , Israel,Sudan,khatoum, Nile,Ina ma'ana Gani! Ili upate story kamili sababu majina mengi ya misri ni ya kimasai
Hongera sana Professor Jamal, this is amazing 👏 👏 👏 next time tuletee ya wahadzabe
Ilishafanywa na mo town Sanya hapa hapa wasafi
Izo Mila zingekua tz 😆😆😆tusinge olewa kabisa khaa ila umetisha sana jamal ✊👊 congrats kwa Kaz yako.......
Wee jamaa ni creative sana ungeshiriki kwenye Royal tour na Mama
Hii ni zaidi ya movie aseeee, kazi nzuri sana jamal mustapha 🔥🔥
Nimekupenda sana jamal. Nakuaidi nitampa mwanangu jina lako. Inshallah 🥰🥰🥰
Kwakwer
Professor Jamal wewe ni mtu mzuri kwa ujasiri na kuhesimika.God bless ur work
Nimejifunza meng sana JAMAN NA WASAFI endeleen kukupa hizi elimu mm n mwanachuo wa Tanzania nikuwa sijui lakn mmenifungua sana nimeelewa sas tunasubiri nyingine bro
Jamal....ukaamua ulale na viatu kabisa kaka..... sweet home sweet.... ALLAH na aibariki sana Africa
Professor kwa hapa umeua kabsaa.....
Story inatolewa na wenyewe kwa ushirikiano na kila kitu kinavutia.....
The story book inazidi kupata uhai zaidi
Jamal mungu akupe maisha marefu kabisa
Nime kukubali sana mshuwa wangu ww ni dume kweli kweli m’masai uliye potea
Wewe jamal story zako Ualisia na kufika sehemu Usika bravo jamal 👏☝️🤲🇹🇿🇬🇷
I love to watch jamals story book is so nice
The story book hii ya leo nimeipenda sana 😍
Mzuri sana hii ume tengeneza brother
Jamal unawezaa bro 👏 thanks 4 the story buk
Professor Jamal nime furaiya story hii, hakika wee ni mutu wa utafiti, na mungu aendelee kuku Bariki zaidi!🙏🏽🇨🇩
They are so kind to visitors❤❤
Haki umenichekeshaa sanaa good job brother...
kwenye maisha uongo huwa unapand lift na kuwahi kufika na ukwel huwa unakuja kwa ngazi,hivy unachelew kufika,leo umetuletea ukwel na umefika, no research no right to speak!. ✍️✍️
Kabisa ukweli dhahiri hakuna kupinga hapa
Just waoh ma culture beautiful 🥰🥰,,,Mungu akuweke broo✊
Hii inanikumbusha nyumbn kbs,kwa mzee wangu letinga lyama matagi diwani wa kata ya mwakijembe ,Tanga nalipenda sana kabila la kimasai 🥰🥰🥰
Na rokoine umesahau
Tunakushukur sana brother kwa kufuatiria historia yetu thank you so much
Kazi safi na lenye mvuto ..natamani nijipate siku moja nikiwa mhariri❤️🙏
😢😢Kma kuna mtu anatakiwa kulipwa pesa nyingi pale wasafi basi ni huyu jamal❤mungu akupe umri mrefu
This is beautiful Jamal, hongera sana aisee
This is a masterpiece
Ongera xna kkngu Kwa Kaz nzuri aki uko sawA brother ✌️✌️🔥🔥🔥
I really like the Story Book, It's really teaching me a lot of Historical and Reality things, thanks so much.
Dah kwetu uku usukumani ni changamoto sana kunywa damu mbichi ya mbuzi,au ng'ombe na kula nyama duuuuuh hakika duniani kunavitu vingi sana.....dah mh. Jamali msitapha kwa masai unaitwa oreminyaki stonic 😂😂😂😂😂😂 jamali msitapha unatufunza vingi sana watanzania tunashukuru sana atuna budi,,mwenyezi mungu awe nawe daima ktk maisha yako
Jamal u such a genius 👏. U the best story teller from East Africa. Umenifikisha home 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Listening from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
Mwanangu umependezea na hilo vazi duu kama Masai kabisa yaani.....
Etanyanyikie duo ninye katukul armasinda....
Jamal 🙌🙌🙌🙌🙌 salute 🫡 your profesa
Great our friend
broo wewe ni shida sana I love you so much from Kenya
Kazi nzuri sana brother 💪💪
Thanks brother Jamal in from Kenya
Tunapenda sana Mila zetu elimu tuu hatuja pata ila tupo Vizuri ❤❤❤❤❤❤ mm Masai Toka Arusha oldonyo lengai
Na kikuku ukavaaa, Mashallah jamar wewe ni really proffesa😊😘😘😘
Nimefrah Sana kaka mungu akubariki Sana karubu Tena umasaini
Nakubali na kuheshiku kazi yako respectful
This is totally amazing story 🇰🇪
Nmeipenda story masha allah lakn mie binafsi nashukur nlipo naninapo ish uko dah kugum wallah kwangu
This is smart ,amazing super history work..Kazi Safi bro.We appreciate this kind of content ..
It's magic 😍🇹🇿
Big up from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amazing story,watching from kenya
This guy is amazing better than storyteller
sikupingi
With great observation the way Maasai talks is very orderly,listen understand and talk if need be...Always listen
Jamal April Mungu akupe maisha maref
Jamal April I always salute you 👌✊✊✊🔥🔥🔥🔥
Nakupenda Bure Jamal upo seriously katka kazi, hongera sana
Best ukatahiliwe upya
Your amazing
I just love what your doing bro
Tanzania is very proud of you 🥰🥰🥰
Kama kawaida Jamal.Kenya imewakilishwa.Prof baba yao.Kenya Oyeee!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakika jamal Aprili professional unajua kutufundisha hakika ubarikiwe sana
Naomba tafuta na kabila la kinyaturi nijue na sisi tuna mila gani
Kazi nzuri .... unaelezea vizuri, maswali mazuri iko proper sana interview
Daaah nimependa Jamaal
Hongera kijana Jamali kwa kazi nzuri naomba history ya wajita tafadhali
Big up sana from Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
From Kenya congratulations Jamal April mustafa
❤sua a ventura é crível. Você é corajoso parabéns!❤
Umeuwe Sana waige na hii funika prof.
Bro i salute you,, inahitaji moyo wa ujasiri saanaa
We jamaa 🔥🔥🔥