Kisa Cha Mtoto wa Tajiri Kuliwa Na watu Msituni (The Story Book)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2022
- Kisa Cha Mtoto wa Tajiri Kuliwa Na watu Msituni (The Story Book)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #thestorybook - บันเทิง
Mr Jamal wakenya tunakupenda Sana na piya Kuna the store book haukumaliza Niya wamasai
SAFI SANA BECAUSE TULIOWENGI HATUNA UTARATIBU WAKUJISOMEA VITABU
Napenda sana documentaries zako za the story book . Hongera sana wewe ni prof kweli. Jamal
HABARI MR PROFESSOR NAOMBA UTUANDALIE STORY BOOK YA KISIWA AMBACHO HAKIJAWAHI KUWA NA USIKU MAANA KUNA WATU HAWAAMINI..ni mimi mpenzi wa vipindi vyako kazi njema
Hongera
Kabisa na Mimi natamani sana maana Kuna sehemu nimesoma lakini sijaamini
Au kisiwa ambacho hakija wahi kuwa na asubuhi
Au kisiwa ambacho hakija wahi kuwa na asubuhi
Brother Jamal unajuaa mpaka unajuaa tenaa, huna mpinzanii Africa 🌍 mashariki
Kuna mtiga abdala
I was waiting for this
Professor unajua Zaid ya unvyofaham
Tunakubali
Wasafi ndio label ya kipekee isiyo kuwa n'a mteke, kila m'wasafi ni m'bora na musafi, asante prof.Jamal🥰♥️🇨🇩
Mimi naishi Rwanda kwa hiyo fahamu kuwa hata nje ya mipaka ya Tz tunakufuatiria sana kwa una sauti nzuri ya kusimuria habari hizi za kihistoria. Big up bro
From Lusaka zambia
Hongera jamal
From Maputo Moçambique
Congrats from254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama ulisomea wapi Kenya ama Ng,ambo otunga from Kenya Nairobi durusu more professor jamal,
Jamal .... wewe ni story teller bora sana, wahadithia story zako kwa namna ya kipekee na una detail kamili juu ya kile kitu unacho enda kutujuza ( in short unaijua kazi yako )!! The story book 📖 ni kipindi kizuri na bora kwangu
Aww!!! First to comment!!! Is to show how much I love the story book!!! Jamal April!! Lemmy appreciate the good job..we are learning alot more coz of you!! The love I have for history it's on another level!! It's just passion....
Edit thenx for the likes guys 🥰🥰😇🥰😇
I can see 👇🏾
th-cam.com/video/cx2tGcHozS8/w-d-xo.html
Ahsante sana kaka kwa kutujulisha Mambo tusiyoyajua Mungu akubariki sana
Prof Jamal unasauti ya kusikilizwa nice 👍👍👍👍👍👍
Jamal Brother you really know how to Narrate a Story. Walimtengeneza MAKANGE?🤣🤣🤣 Be Blessed Brother. Amen. 🙏🙏🙏
Good morning all I love his videos munipe likes na Mimi
Msimulizi huyu Ambae ni mngolanga naamini he is Soo knowledgeable while I miss to meet him one on one
Broo Kaz yako ni nzur naikubal na naipenda mungu akujalie ufike mbali zaid ya hapo🙏
although am a kenyan i do love his stories...BIG UP Proffessor
Wewe ni profesà kweli hongera kaka kazi kubwa na nzuri sana
Jamaliiii izi story ndio napend sna umetsh my bro 🙌🙌🙌🙌
From Kenya with love, I love learning
Ndio maana ulichukuwa muda mrefu sana kuapload new video kumbe ulifanya tafiti za kina respect 🫡
hii kali nilikua naomba uandae ya mji wa kameloti na historia ya merlin good job
💯💯💯💯
The story book ibaki milele...!!
Jamal should be rewarded such a good story teller
Definitely
Jamal is the best mpoga storyy nishawaii skia maishanii mwangu infact Africa mzima yeye ndio baba yao🎉
Jamal April professor storybook man wee ni zaidii ya kuelezeka 💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Hongera sana jamal kwa stori nzuri m/mungu akubariki
Huo mda unaweka mkato ulishindwa kuandika mwenyezi Mungu
Great story
@@superherotv1750 🤣🤣
Can't get bored while watching Jamal's stories....so talented 💯💯💯
For sure
Zidi Kutufungua Ubongo kwa Kutujuza tusoyajua Prof SALUTE
👏👏congratilation kaka maana sisi wengne hata vitabu hatusomagi tumeshaga kuwa wazembe kabsa🤗
Professor jamali Aprily Mimi ninakufatilia vizuri Sana nikiwa hapa European Sweden . Yani nikitoka ktk mishe mishe zangu nikimaliza ibada. Ninafungua the story book kila siku nahivyo hiki European haisumbui sana mambo ya MB .big up jamali.
Kazi safi sana professor fanya bidii uende na wilaya ya lushoto mtae in sha allah mambo leo kuna history nyingi na za kusisimua
Kwa kweli tena apite na mrifu pamoja na manolo
Story nzuri sana congratulations Jamal April.
The only professor mwenye uhalisia
Watch till the last sec,.. Its much educative at the end... Well done Prof
Good job Jamal Mustafa, Allah bless you inshaallah 🙏🙏🙏🙏
Mungu akuzidishie nguvu za kuendelea kutangaza😮😮😮
Mko sawa history book
Nakubalii sanaa kazi yako jamal
Big Up Brother Unafanya Mambo Makubwa Sana Ambayo Africa Walishindwa Kufanya 💣
Unatufungua sana broo endelea hvo hvo
Miaka 10000 professor 🔥
We miss you Professor. Much love from Kigoma
Good
BG up
Kwani alikufa?
#na appreciate sana uwa una story za kufanya watu wajifunze Mambo mengi na kujuwa Mambo mengi na pia una sadia kupanua bongo zetu kwa kujuwa mengi ambayo tulikuwa atujuwi respect sana.
Jamal mustapher you are so talented in story telling, Thank you very much for narrating this type of story,I was a historian student but we have never heard about this while in a history even our kiswahili teacher don't tell us this story the time were learning fasihi simulizi.
Unasauti nzuri sana ya kusimulia story inayomshawishi mtu kusikiliza hongera Professor Jamaal
Mungu ni WA rehema sana
Hakika unajua . Tunajivunia kua namtu kama wewe tena katika kituo chetu pendwa WCB
Always you is professor..Bravo 👏👏👏
Shukran sana kaka, napenda sana the story book. Much love 💞💞💞from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
No
@@iddyjumanne???
Great work Jamal.God bless the work of your hands
Ulijifunza wapi kuelezea vzr hvyo kaka maana unajua sana
What an amazing story!!🙏🙏🙏
th-cam.com/video/cx2tGcHozS8/w-d-xo.html
Now days nasoma story mbalimbali coz am inspired by you professor Jamal April
tunajifunza baadhi ya vitu vingi kupitia story zako kazi nzuri kaka mung azidi kukupa ufahamu
Thanks for the story Jamal 😊
Jamali Wasafi hawajopeteza chochote kua na mfanyakazi komaa Mzee kazi yako ni Zaidi ya kazi inafungua vichwa ving 💪🙏👍
Big unajuwa kazi
Asante kwa maigizo yako Kaka tunashukuru sana💓💓💓🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Maigizo tena?
Mkenya tulia hujui kitu
Kaka ume uwa
Ahsante tumejifunza
I love this guy and his work
Nice
Me too
Nakubaliana na ww mr mbuzi hapa
Always waiting for your video,I from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamal mashallah story zako ni zuri sana
Kunakitu hakiko sawa kwenye hii story
Bro uwe una weka option watu waweze kudownload izi video clip.
Thank you@Jamal much love from Kenya
Vipi lorna
Story iliyosimuliwa vyema, imechunguzwa kisawasawa ushaidi ukawepo, ikachakatwa ikachakatika na ikabalance
Asante sana jamal kwa simulizi hii umejibu ombi langu
Mtoto wangu anapenda sana the story book keep 🙏so nice.
Ata mtoto wangu🙏🙏
Hii damu ya biashara kweli ni hatari sana......tamaa😢😢
Tunasubir utufahamishe zaid kuhusu story ya Dr Zakir Naik.
From 254 loving every story na huyo mzungu alipata kinchomfaa wanatuibia na kujitajirisha na kutuumiza hiyo ilikua adhabu mzuri
😶
Kazi nzuri kaka
Kazi nzuri sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
You take long to release broh,please we need you at least every week with anything even if it can be for 20mn just to hear your new voice,🇨🇩🇹🇿🇿🇦
Lazima achukue mda mrefu ili kazi yake kuwa bora
For sure bro 👇🏾
th-cam.com/video/cx2tGcHozS8/w-d-xo.html
Kuna story ilitoka before lakini Ilikua limited inaitwa "Mila Za Wamasai" inawezekana hukuiona lakini isachi Kwa jina Hilo utaipata
H777gud
,..
True
Much loved from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇪🇸🇪 👇🏾
th-cam.com/video/cx2tGcHozS8/w-d-xo.html
Hakika kaka ww unajua kufanya watu wapende kazi yako hongera sana
From kenya am your big fun Sana..tulete story ya jayz
# big up sana kaka jamal unafanya vyema sana
Heko endelea na kazi yako ni safi sana nko kutoka kenya
Iko pouah sana hii story,❤️
Wafaa update zawadi ya ugunduzi..Mimi natoka Kenya na ninapenda sana masimulizi yako
Bonge la story wazungu hawakuamini kilicho tokea Asante mungu akupe afya njema
Kali zaidi
Mimi naku fwata kutoka 🇧🇮 nakusikiliza 100 respect xn bg
Nice stor
Wewe ni hatari sana kwa ujuzi
Mimi hata sikoshwi na ujumbe,I like your voice and narrating style. Best story teller 🙏🙏🙏
Jamal ngoja ntafute pesa il nije maktaba yako nipate meng zaid 👏🙏🙏
Unibebebe pia
Wasafi media the one and only I♥️ this chanel
Nice story
Big up bro
Keep up good work Professor Jamal.congratulations
Napenda sauti yako san
The story book 🙌🏾🙌🏾 ujawai niangusha
Hii inatufundisha kuwa; biashara zenye fedha ni zile biashara hatari ambazo kufa kupo nje nje.
Upewe Ulinzi wakutoshaaaa
@@allahisone6386 Nakubali mwanangu
High risk high returns
Nakubali sana
Always I appreciate ue Jamal
Aiseeee!!!! hii ni 🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri congratulations bro🥰😘