Walter Chilambo _ SHWARI (official video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2023
- A shwari is a song that uplifts a person in life and helps them understand God's purpose in their life. It reminds them to wait for God's timing.
.
.
Directed by Aic
Colorist by Xniper Cg
Dressing code by Vcct Church
Location : vcct church
.
AUDIOMACK - audiomack.com/WalterChilambo_
SPOTIFY- open.spotify.com/artist/45uMT...
BOOMPLAY - www.boomplay.com/share/album/...
I'M BLESSED- open.spotify.com/album/4YPYAw...
TWITER - WalterChilambo4?s=09
THREADS - www.threads.net/@walterchilam...
INSTAGRAM - walterchilambot...
FACEBOOK PAGE - ChilamboWalt...
SHWARI
.
INTRO
Aaahh aaahh aahaa ahh
.
VERSE 1
Maisha anayepanga Mungu
Ndiye anayejua Kesho yangu
Yawe matamu au machungu
Nikipata nikikosa nashukuru Mungu
.
BRIDGE
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka
Na Neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama Jana
Naamini mambo yatabadilika EEEH
unitazame Bwana
Kesho yangu Ikajae furahaa
Aaahh
Kesho yangu ikajae Furaha
.
CHORUS
Mambooo ... SHWARI
Yatakuwa shwari.....SHWARI
Ooh Mambo....SHWARI
Mungu anayaweka Shwari.....SHWARI
Sina mashaka tena .....SHWARI
Najua mambo yatakuwa shwari.....SHWARI
Shwari kabisa yaani shwari.......SHWARI
Siku yaja mambo yatakuwa....SHWARI
Mambo yatanyooka aahhh
.
.
VERSE 2
Nimezaliwa kupambana
Na sitokata tamaa
Haijalishi ni mangapi nimepitia
Yakaniumiza eeehh
Najua vita si ndogo vita si ndogo
Ila kwa Mungu hiyo vita ni ndogo
Bado kidogo Muda kidogo
Mungu ataniheshimisha
Bado kidogo
.
BRIDGE
Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika
Ndoto zangu zikazimika
Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka
Na Neema yake kunifunika
Leo yangu isiwe kama Jana
Naamini mambo yatabadilika EEEH
unitazame Bwana
Kesho yangu Ikajae furahaa
Aaahh
Kesho yangu ikajae Furaha
.
CHORUS
Mambooo ... SHWARI
Yatakuwa shwari.....SHWARI
Ooh Mambo....SHWARI
Mungu anayaweka Shwari.....SHWARI
Sina mashaka tena .....SHWARI
Najua mambo yatakuwa shwari.....SHWARI
Shwari kabisa yaani shwari.......SHWARI
Siku yaja mambo yatakuwa....SHWARI
Mambo yatanyooka aahhh ×2
.
.
Aah ahah aaah aahhh aahhh
#shwari #walterchilambo #imblessedep - เพลง
Mimi wa kwanza toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 nipeni like zangu hapa za chilambo ❤❤❤❤ beautiful song shwari
Baraka
@@WalterChilambo❤❤
Chillambo
❤❤
Mm@@WalterChilambo
Hakika kama unaamini mambo yatakua shwari andoka na like hapa Amen🙏🤝💯🙌
“Najuwa vita sindogo, vita sindogo, ila kwa Mungu, iyo vita ni ndogo….”
To all of us facing one difficulty after another, Mwenyezi Mungu bado yupo nawe na ana kusudi nzuri with your life. Our tomorrows will be better in Jesus name! DO NOT LOOSE HOPE
Amen🙏🙏🙏
Thankyou ❤I think I needed this on this particular moment
you're very talented bro! huu ni zaid ya wimbo, huu ni waraka wa maisha yetu ya kila siku😭😭
Idk what you might be going through as you read this comment but here is a word of encouragement that yote yatakua SHWARI. Usife moyo zidi kumwamini mwenyezi Mungu.
❤
My favorite song ever yani uyu wimbo awunipe uvivu kuusikiliza kila Marab asantekaka chilambo ubariwe iyi music una make sense kama Unaona uyu wimbo unakufuraisha na unauwangaliya zahidi ya Mara 10000 Kama mimi ❤🎉😢😊😮❤❤❤❤ubarikiwe sana naombeni like Zenu Kama umeukubali uyu wimbo wakanza mimi
This song is so good it real catches real life experiences, we hustle everyday may the Lord keep us safe🙏🏼🙏🏼❤
MUNGU AKUBARIKI SANA CHILAMBO . MIMI NAKUPENDA BURE ❤️ . HUU WIMBO YANI MPAKA NALIYA KWA FURAHA 😭 . HUU WIMBO AUNIISHE HAMU MIMI NAUPENDA SANA TENA SANA SAAAANA. MUNGU ATAWEKA MAMBO YOTE SHWARI KBS NAAMINI IVYO 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
This song jmn 🙌🙌🙌❤️❤️ inarudisha matumaini yaliyopotea 🙌🙏
Hii nyimbo yangu ya miaka yote sitochoka kuisikiliza I'm proud to Walter chilambo my brother ❤
Shwari 😮❤️🔥 These melodies are amazing and the lyrics too 🇺🇸
Asante sana kaka kwa video nzuri
Natokea Kenya na uu wimbo umenibariki sana..nakunitoa machozi kw maana najua Mambo yatakua shwari
Mambo yatakuwà shwari sichoki kutazama huu wimbo umenipa nguvu mpya, barikiwa sana man of God
Nyimbo nzuri sana inaujumbe ongera sana
Mambo yangu yote MUNGU anayaweka shwariii,,, ubarikiwe sana kaka yangu,,huu wimbo Hadi usingizini unaimba
Kaka nabarikiwa Na hii nyimbo Katika Mapito yangu Mungu hakubariki Sana Kwa ujumbe wa kutia moyo
Congratulations
🤍🤍MUNGU AZIDI KUKUWEKA NAKUKUINUA Kila iitway leo🤍🤍
Kukosa bundle uku 😂😂😂ona mpka nimechelewa 🥲🥲Leo yangu isiwe kama Jana naamin mambo yangu yatakuwa shwari eeh Mungu unitazame bwana 🙏🙏🙏 blessed up Broo chilambo
Hii nyimbo it's on emotional kwakweli Kila mara napenda kunisikiliza my brooo u did it and u kill it walah umenfanya wengine tupate moyo wa maombii
Vita si ndogo,ila kwa Mungu ni ndogo❤🙏.Barikiwa sana
Dah sio poa walter chukua may yako unajua mdogo wangu mungu kakupa kibali Cha kuwapa moyo waja wake nimezaliwa kupambana nasitokata famaa
Wimbo poa Sana unawezaa brother munguu azidii kukupa mashairii mazurii zaidii
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana hata upitie magumu kias gani kuna wakat sahih Mungu ameuandaa wa ku2futa machozi😢sina mashaka tena najua mambo yatakua shwari❤❤🙏
Shwari is my favorite song ❤
Broo nakukubal Sana maan hii nyimbo imebeba mambo yangu mazito San god bless you nakupenda Sana❤😭😭😭😭😭
❤❤❤❤ songs tz Aki uko juu sn ata km uko Na Maisha magumu Mungu ata Waka sw tu
🙏🙏😭yatakuwa shwari kesho yangu ikajawe furaha
from 254 kali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Maisha anaepanga Mungu ndie anaejuwa kesho yangu, With God I know Mambo yatakua Shwari.🙏🙏Waking up to a beautiful msg of incouragement. God bless kaka .
Hakika siku yaja Mambo yatakua swari,,nazid kumwomba mungu ashushe balaka leo yangu isiwe Kama jana
I love this song hata nimeingia TH-cam I play it
Mungu ndio anajua kesho yangu
You always lift my hopes high always
I hope to meet you one day
Asanti sana
❤️❤️❤️❤️❤️ Ninakubali saana
Nakujubal kk Walter Mungu akutunze
Sina mashaka hallelujah hallelujah🎉🎉
Ongera Sana kaka mwenyezi mungu akubariki kwa kazi yako
My favorite song❤❤❤❤ I love u
Chilambo hongera kwako nyimbo ya aina yake😍😍🤲🤲🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪🇰🇪
Jamani nyie huu wimmbo eeeh Mungu wangu....nna mengi ya kusema ila kwa sasa Chilambo thanks so much...May God bless you so much....🇰🇪 🇸🇦 ❤
Ubarikiwe sana
This song 😥 jamn bro water 🙌
Nakukubal sana kaka wewe ni fundi ❤❤❤❤
💯👊Real Talent Salute to u bro..
Mtu wangu kazi safi sana🔥🔥🔥
Shwari😍
Waterchilambo stay healthy my brother
I proud for you water chilambo mr good music ever ❤️ 👏 ♥️ 💜 🙌
Always on point
Ujumbe mzito sanaa 💪💪
Maisha anayepanga Mungu 😢😢 hakika ndiye anajua kesho yangu 🙏
Shwarii 🔥🔥🔥nice song
Mungu akubariki sana big bro
Daaah 😅 a true definition of good nusic
Honger Sana mtumishi wamungu 😍🦻🌍
😢😢 Siku yaja mambo yatakuwa shwari
i believe in my heart and i claim it 🙏🙏💪
❤shwari 😢🎉❤ngoma kali sana
Sichoki kuangaika sababu mambo yatakuwa shwari🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Maisha yaani magumu sana😢😢😢
Ameni mtumishi yani nyimbo zako zote mi nazipenda Sana
Mungu Asante Mana Wewe ndio Unajua Maisha Yangu❤
Amina ❤❤❤❤❤❤
Siku yaja mambo yatakua shwari😊 Shwari kabisa yaani shwariiiiiiiii🔥🔥🔥
My favorite songs🥰🙏 he blessed Mr Walter 🙏
🎉🎉🎉🎉 The waiting is over
Hii day inaenda kua poa nimeamkia shwari🚀⛽⛽⛽⛽
Nimefurah naamin mambo yatakuwa shwari ubarikiwe mtumishi
God bless you Bro
Safi sana bro nikiwa kongo naipenda muziki wako 🙏🇨🇩✊🏽👏🏽
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako god bless you kaka🤲
😭😭😭my heart is broken from family problem, relationship problems & jobless I can't tell naamin yatakuwa shwari one day yes
Salut kwako bro umetisha mungu akupe masha malefu
Best song bongo fleva of mwaka
From Swesen
Nice song
Nimebarikiwa xnaaa na huu wimbo❤
More luv from Kenya..... indeed mungu atutie nguvu sisi vijana,japo mambo mangumu but let's keep moving.❤❤❤
Walter Mungu akubariki
Hongera sana kaka
Mambo yatakuwa shwari, safi sana
My favorite song 🥰be blessed Mr Walter 🙏🙏
Nimezaliwa kupambana sijakata tama🙏🙏🙌🙌🇲🇿
Only God knows 🙏🙏 I will never give up 💯
Brother huu wimbo nikihusikiliza huwa najiskiya moyo kutulia ❤❤
Wow nice song, barikiwa mtumishi wa mungu
Nyimbo inayokufariji unapopita kwenye changamoto za kimaisha naipenda sana kwel kesho yangu ikajawe furaha na mambo yote yatakua shwari
Kaka mimi nakupenda sana
Yani ukiamin lazime yawe shwali ❤💓💯✨
Shwari 🙏🙏🙏
Asante ndugu yangu
Vita auto ndogo😢😢😢😭🙌🙏🙏
Naupenda huu wimbo aiseee Mungu akubariki sana
If there is one gospel artist in East Africa who really blesses me with their music then it's Walter. Keep ministering to imus bro and may God reward you
Thanks
@@WalterChilambo welcome and keep on blessing us
Mungu akubariki sana sana kaka baraka zikakunyshee kama mvua silali mm bila nyimbo hii na nikiamka labla ya chochote ninyimbo hii
Walter, I'm your Big fan!!!
Nyimbo Kali sana hii
Ubalikiwe sana 🙏 🙏 🎉🎉
Thanks muchhhhh br..ni ngoma inatufanya vijana tupambane Kwa ii life.ngumu tunayopitia.tumuombeee Mungu sana...
Waoooo barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri
Stay blessed bro
❤❤❤❤from 🇺🇸
Yatakuwa shwari kwa jina la yesu
Jamani, jamani huyu kaka anajuwa kuimba mpaka naskiya kusisimka,much love bro from Indianapolis 🇺🇲
Hits only brooo ongera wimbo mkali sanaa🔥🔥🔥💥💥🙏🎚️🎚️