Nimeirudia mara zaidi ya 15 hadi nimefanya watu wengine kuiulizia ni nani? Ila napata vibe kana kwamba vile nyimbo imetoka muda mrefu vile kumbe nyimbo ndio kwanza ina siku moja ,kama umeielewa kama Mimi gonga like zifike kumi au zaidi nione ukubwa wa familia ya upendo
Hawa ndio wasanii tunaowataka congratulations brother,wimbo wa maana kabisa.
2024 tunavuka na hii ngoma...asante baba kwa kila kitu😭😭
Wimbo zenye roho na uhai wa milele ndio kama hizi ❤daah safi sana ukae kwa misingi hiyo
Whoooosh! Asante Baba! Asante kwa kila jambo. I can testify God has been good to me ❤ I am grateful
Brother nyimbo zote unazo towa zinakuwa hit song lyrics❤❤
I just found myself crying and praying 😭😭😭,asante Baba kwa Kila ktu n weng walshndwa
I am blessed by this song @MariooOfficialMusic
I graduated this year...lost my grandma this year....made my first million this year...A lot of good and bad happened and i choose to be grateful 🙏
Much love from Makkah (Saud Arabia 🇸🇦), I love my country Tanzania 🇹🇿.
Tunakupenda marioo
My whole family just wakes up singing Marioo 😂much loveee❤❤❤
Asante kwa hii ngoma 🙏 Mungu akuweke kwenye viwango vya juu sana... InshAllah 🤲
The fact that it was released on a Sunday, makes the song even more special
Nani kama marioo mpee like zake apa
Mimiiii ni yupiiii nisiewezaaa, nisijeuaaaa hata shukurani❤
Nice song kweli Mungu wetu ni mwema sanaaaa 💗💯
Melody 🔥
Lyrics 🔥
Message 🔥
Apart from the goodness, and the chill vibes the song is really inspiring ⭐❤. I'm always in love with your writing talent my brother from Tz, Kenya Represented.
Asante God 🎉🙏
Nimeipenda sana kwl iko bien sana muda mwengine tunastahili kukaa tunafkiria kiasi gani mungu anatupenda❤❤ubarikiwe bro unatufukish pengine
Wooow Mario never disappoints 💥
The song should be prescribed for those succeeded in their plans🎹🏝🏝📿📿🙏🙏 Thanks for this masterpiece @Marioo
Vnaupenda huu wimbo
🎉..to the all geared fans ...unbothered wth the pain of suffering but strictly oppose the pain of regret.....as we chase for success..still give thanks to the Most HIGH...thanks marioo for this sweet jam❤
The great way to start a chilly Sunday 🎉
Asante sana mwenyezi mungu kwa kumkumbusha ndugu Omari kutupa huu ujumbe wako ✍️
GOD IS GOOD ALL THE TIME!!!!!! BIG UP MARIO VERY INSPIRING
Today is December 10th 2023,9:45pm in Rhode Island USA,, ,i just discovered you and your music 30 minutes ago and so far i have listened to 6 of your songs and i like them all...Beautiful voice... I'm from Liberia west Africa
The most amazing song to end the year with Thanksgiving 🥳. Thanks Marioo for this jam. Kenya is in the house
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Asante MUNGU kwa kunipa mtoto wa kiume uzao wa kifalme, wakati nikiwa mjamzito niliumwa sana mpk kuna kipindi nilikuwa nawapigia ndugu zangu nikiona kama maisha yangu ndo yanaishia nilibadilika kila kitu nilikuwa najiangalia😢 kwenye kioo nasema huyu sio Mimi, nashukuru kunipa mwanaume ambae hakua anatoka upande wangu hata nikiwa na mashaka aliniambia utavuka, MUNGU ni mwema leo tunamshukuru MUNGU miaka mitatu ya mtoto wetu Peter, katika dunia iliojawa uharibifu wa vitu vyema na familia zenye ushuhuda MUNGU akulinde na mabaya yote baba yangu🌎🙏👦
Thanks to God 🙏
in Ghana Asante is a Kingdom used to be an Empire the eord Asante in Twi language means , Because of War, and in swahili asante means Thank You. Love this song especially the chorus Asante
Zinga Tia Sana kushukuru🎉🎉
Kakar kazi nzuri sir good akublexx san
🎉🎉🎉🎉🎉Hiiii ni good kinomaaa😊
Asante MUNGU kwa nafasi nyingne 🙏🏼Asante kwa wakati huuu asante cha maumvu😢kwa furaha🙏🏼kwa kunipa maadui na wanafki ili nijifunze asante
Great job Marioo❤
Nakubali xanaa marioo unanipafura kila nyimbo
Safi marioo ngoma ni kali na zina pendeza
A wonderful Thanksgiving song for the end of the year ❤🙏
Can we take time to appreciate this guy for the talent he got and the great work he's doing, he delivers always #Baaaaaaaaaaad🔥🔥🔥🔥
You are my broo nakukubal Sana marioo :careen kutokea pande za dar
Kali ya week ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
J'ai toujours apprécié ta façon de chanter Mr Mario.
Vit longtemps mon cher ❤
This song will be on repeat until 31st december❤❤❤
Asntee Mungu mm ni nani nisiee weza ata kusema ata shukrani Asntee MUNGU
inabidi ushukuru san broo nakukubaliga sana
AHSANTE MUNGU...go son
Nipeni like zangu from 🇨🇩🇨🇩 shukurani kwa baba God💪💪
Hi uko poa marioo 💪 big up bro🔥🔥
Nakubali Mariooo hubahatishi vitu zako
Harmonize single again 🔥
Marioo is always on point . Asante🙏🔥
Unanikuna sana na nyimbo zako
❤❤❤❤ Umetukumbusha kushukuru kuliko kulalamika
Asante kwa kila leo, ipi sababu ya mimi kutembea mpaka leo,ipi sababu ya mimi kuiona hii leo,ipi sababu ya mimi kuongea mpaka leo??we ndio sababu ya mimi nadunda mpaka leo! Nikukumbe kwenye raha sio nikiumwa tu ama nikiwa nashida tu! Kama nina miguu miwili umenipa mikono miwili hapa nilipo na macho naona! Mimi ni nani nisiyeweza hata kushuru mimi ni nani nisiwe na shukurani ooooh asanteeee ooooh asanteeee asante baba asantee kwa kila leooooo...25/02/2024🙏❤
I am pure blessed by this wonderful song. Thanks for that
Thank you marioo for producing this gospel songs which is spiritual
Nice one Marioo
Today is sunday the day to worship and thank GOD ❤ this for this hit man.
Waooo much respect my brother. Love from Burundian military artist sailo soldier boy
Nyimbo kali sana hii inaishi miaka mia imenifariji san kwa leo even tomorrow god bless mario
Nzurii
I am blessed with this song guys this young boy is very talented keep on going Marioo🥰🥰🥰🥰😍😍
I listened to this song yesterday and I played it throughout the night.
Leo nimerauka church after a very long time.
Thank you for this treasure Marioo
Nice brother
Big UP xnaa 🎉✌🏿🤍
Marioo has a very bright future. He should concentrate his efforts in this kind of music as opposed to the Bongo Amapiano Shananigans others are tirelessly forcing down the fans throats!
Wa kwanza like zenu❤❤❤
Ooooooh, AHSANTE🫠🫠🫠🫠from Zimbabwe 🇿🇼
Waoh!nice song hii unaweza skiza popote na yoyote keep going my lovely singer
Wow,this Asante song is a vibe💯🙏
im from zambia and no homo but marrioo can sing damn underrated artist
Nice song marioo u are the best gospel artist in Tanzania big up bad nation 🔥🔥💯💪
Wewe ni mkenya mwenzetu kabisa!
Aaaaah Marioo wewe unajuwa sana kuimba sana Mungu akubariki zaidi sana
asante kwa wema wako my God
Ngoma kali
congratulations big brother 💕
God bless you
Marioo to the world ❤
This will be a major hit next year, more than 30m views next year.. 💥💥💗💗🇰🇪🇰🇪
Nakubri sana bad
Bro one day you will be the biggest artist in Tanzania and east Africa#much talent#MARIOO#
Marioo never disappoint 🔥🔥🔥
It is rudiculous when you see marioo singing ❤
We thank God for the gift of life ... thank you marioo for Thanksgiving song the song has attached m many hearts of people... we love you so much,💜💜💜💜💜💜💜🫂🫂..ASANTE sanaaaa
Marioo congrats
Bad❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We need more musicians like this 🙏🙏
Marioo Mungu akuongeze baraka zake ziwe juu yako kaka yangu
Ahsante marioo kwa kuweza kuimba wimbo huu kwakweli unefanikiwa kuona jambo la muhimu maishani kwetu si wanadamu.. Naomba Tunga hata nyingine Tena za mfano huu.
Bad killed it 🔥🔥 very emotional
#Diit 🗣️
Ni Moto 🔥🔥🔥
Supported 👉 Shaddy Wanni
This song is not a easy song its a prayer song .. this is prayer my bro mario tz😢
Kweli tunasitaili kumshukuru mungu kwa apaa 2lipo asantey mungu🙏🙏
Nimekuja mara ya 10 lyrics za hii nyimbo zinanibariki sana🙏🏾
Akitoka diamond,harmonize,nafasi ya tatu ni yako mkuu.. big up sana
Asahnte mungu kwaajili ya Marioo! Mungu ni vyote 🙏
wauuu Burundi ❤
I'm here (Chart with me)
🙏🙏🙏Asante😰😰
❤
Thx for another hit
Umeua kaka
We love you bad❤