Wale 2024 tunao guswa na ngoma like zenu
2024gonga like kam unasikiliza❤
Mungu kanitoa mbali sana kama upo kama mimi tafadhari like comment angu🙏
2024 here , though i don't understand the language but this song delivered my soul in 2018, To God be the glory 🙏🙏🙏
Nilikuwa chukizo kwakila mtu jamn yesu uyu kanifanya wasamni naeshimika tena nimekuwa tegemez nyumbn yesu 😂😂😂😂 asant mungu
2023 ambao bado yunasikiliza tujuane❤️
Nitapoelemewa na mizigo, magonjwa na mateso Sina wasiwasi Tena, umenifanya hodari, ukanipa ujasiri niliyekuwa sifai ukanibariki. Only you JESUS 🙏
Nani anaye sikiliza wimbo ulio barikiwa mwaka 2023
2023 and am still here...thank you Jesus for everything for blessing me and those yet to come😇
Nyimbo kama hizi hazipewi tuzo sijui kwanini maana zinaujumbe wa muda wote mungu mbariki sana waterchillambo
Niliekuwa sifai umenibariki eeeh! Only you Jesus 💓💓💓
I don't feel tired to listen this song😍😍😍Am a Muslim Ila kiukweli huu wimbo cjawahi pitisha cku bila kuhuckiliza,unanipa hali flani ya kiloho kwamba hakuna gumu mbele zake.Nimepitia magumu,uzuni,kuzalilishwa,shida,zalau ila aminifanya wa thamani now🙏🙏🙏🙏🙏
Mimi jmn kilanitakapo usikia huwaunanibariki sana Mungu akubairiki sana muimbaji Mungu azidi kukuinua utukufu had utukufu 🙏🙏
Hakika Mungu alileta watu kama hawa kawapa maono na Melody nzuri kwaajili ya watu kama sisi Mungu akutie nguvu katika huduma yako
Walter hii nyimbo inazunguka kichwa changu kila nikilala usiku mzima inaimba tuuu,mpk nihakikishe nimeisikiliza asbh yake,lkn ts my song rotating the head the whole 9night,nikiwa naota bado naota but nyimbo inaendelea katikati ya ndoto(2in 1),sijui Mungu anamaanisha nini
Amen brother ...God is speaking to u through this song ...you need to accept his will ..
This is a master piece 🎉🎉🎉. those here in 2023
Walter na me sitaki kupita bila kukupa baraka MUNGU azidi kukubariki,azidi kukuinua ❤
This song makes me trust i God every hour that passes,it blesses me so much😢😢
Hearing this song this morning...i am blessed by it. My prayer is that God continues to use you for His own GLORY. How good it féels to see young men turn to God . He is our ONLY Hope . Glory and Honour unto HIM
Huu wimbo umenigusa sana. Zidi kubarikiwa kaka!!
Walter wewe ni wa baraka kwetu Sana....Nairobi kenya
Wimbo unanibariki kila ninapousikiliza, MUNGU azidi kukuinua
This was the first song of Walter Chilambo I listened to in 2021 when my late mom was sick. This guy is talent. The song used to give me hopes. But my younger brother listened to this Song and God healed him through this song. I salute you alot Walter. You are talented. I love the way you end your songs with your name instead of starting with it. Meaning God first
At the first time nausikia nakumbuka nilikuwa napita barabarani nilipo usikia tu ndipo YESU akaanza kuzungumza nami akaniambia niokoke nikiwa na miaka 18 ndipo nilipo kubali kumkili na kuamini kuwa aliteswa na kufa kwa sababu ya dhabi zangu , mpaka sasa nina miaka 23 naendelea kumtumikia YESU na namsubiri mana najua anarudi mda siyo mrefu,Mungu nisaidie siku ukija niende na wewe
Huu wimbo una upako frani amazing mungu ni mwema sana kwetu
Hii. Nyimb. Kariii. Xan. Yaaan 🔥🔥🔥 kam. Unakubalian. Na. Mm. Twend. Xaw
Mungu hututoa matopeni anatukung'uta mavumbi, na kunibariki, amenifanya hodari mwenye ujasiri..
Kenyans favourite
This song once had more than 6 million views, suddenly it went missing from TH-cam,i was heartbroken, then i found it uploaded again with few thousand views,,,but today i thank God it has more than 2million viewers,Gos is faithful.
This is what we call Real Gospel....I can't get enough of this big tune!!!!
Kwangu ni mwaminifu sana huyu Yesu. Amenifanya wathamani kabisa. Yesu ni njia ya kweli. Hakuna kama yeye.
Hii wimbo hunigusa ninapoisikiza
Bado nafarijika na hii nyimbo 2021 hongera sana mtunzi
@@WalterChilambo kaka samahani huu wimbo wako unanibariki sana nitafurahi zaidi kama nitaupata WhatsApp 0655549724
Umeninifanya wa samani 😭😭 eeeeeeeh asante mungu umenitoa kwenye matope mungu sina chakusema zaidi ya shukrani 🙏🙏
Walter inyimbo inanifaliji sana wakani wamagumuyang mungu akubaliki
2023 now bd naiskiliza kama imetoka juzi tu 🎉🔥🔥🔥
My producer made me love this song. great message there.barikiwa zaid chilambo
Nabarikiwa nawimbo mzuli sana🙏🙏🙏🙏🙏
Walter to the world gonga like zako❤ 2024 kama unabarikiwa na huyu mkali wangu wa nguvu
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine mtumishi. Nimebarikiwa ❤️🇹🇿
What kind of Grece so beautiful so nice so blessed I love my brother Blessing
Bonge la Gospel, ata Mungu huko aliko anafurahi kukupa such a kipaji yani. Unakitumia vizuri. Big up.
Kweli kabisa huyu yesu anawatoa watu matopeni nafalijika sana nahii nyimbo ubalikiwe kaka kwafaraja ulio toa naipenda sana
I've got to confess this song blesses me so much whenever I feel low.. my soul is lifted everytime I listen to it. Kweli twaweza kujiona watakatifu ila mbele zake Mungu Sisi ni wadhaifu.. my God bless everyone reading this and uplift you to greater heights 🙏 be blessed Walter for this great song🙏💕
Jesus Simba wa yudaa hakuna Kama wewe daaaah Walter unajua bro
Our generation depends on Walter...when u receive from heaven u edify us
When you believe angles go to work when you believe supernatural doors will open when you believe you ll defeat giants when you believe ll accomplish dreams much bigger than you thought
This song is working wonders in my heart.. hallelujah 🙌
Msaada wa karibu.ntapolemewa na mizigo cna wasiwasi
This is a masterpiece, my all time favorite gospel song ,inashika moyo wangu ,nikisikiliza najiskia ahueni ,mazito yote yanaondoka na moyo wangu nauskia mwepesi ,na lazima machozi yanitoke kila ninapousikia huu wimbo, asante sana Walter ,Mungu akubariki🙏🏿
Seigneur, j'aimerais témoigner aussi cette année 😢
This song blessed me so much years back When my wife was almost dying Because of witchcraft i didn't know how to encourage her so I just played this song and ...... Only Jesus only Jesus I saw Jesus
This song hits different while praying I find myself pouring my heart to God in tears.. Such a powerful song 🔥
❤Wimbo huu hatari jamani mm God 🙏 bless Man of God 🙏💯
Who else is on repeat mode ...
Umenitoa matopeni 😍 niliekuwa sifai umenibariki. Blessed sana Walter
Only you Jesus,,, hakuna kama we we Mungu. Umenitoa matopeni,umenifanya Wa dhamani.. This song hunikumbusha mbali sana
Ngoma na nusu
Nitapolemewa na mizigo, magonjwa na mateso Sina wasiwasi Tena!
Nafarijika Sana nikickiliza wimbo huu
Brings me closer to my saviour.
And calms my heavy heart.
Makes me ask myself : have I really been putting all my energy and efforts into what is most important while I am on this earth: My Jesus and my babies
Help me Lord! teach me yours ways
Amen
I love this song very much and it's so touching from zambia
Kila. Siku naposikia wimbo wako nahisi kubarikiwa sana acha mungu akzidishie miaka uzidi kunibariki
Mungu awe nasi safi xana Kwa Kaz nzuri
Nakukubali sana bro barikiwa sana
Kila naposkia huu wimbo nasikia kushujudu.....I feel like crying and praying loudl.....God bless you bro
Hii nyimbo ina nipa nguvu sana kiukweli ata kama kuna magumu na pitia kaka Asante kwa kutufaliji Una pewa kipaji na mungu Endelea kumtukuza mungu kwa nyimbo
This song really ministered to me when I was in watamu...it used to play all night all day repeat...the beats just soo sweet n words...today again I found it and it's been on repeat mode 😂❤❤❤
Unaweza ukalia kwa kusikiliza tu hii nyimbo🙌
Brother Walter chilambo - Mungu akubariki kwa kazi hii y kumtukuza Mungu - haki wimbo huu unanitia moyo nkitafakari maisha yangu.
napenda jisiunanyo imba naupenda sana huwimbo Mungu andereye kukuinuwazad
J'ai un témoignage avec ce cantique.😭😭😭. Ma fille d'à peine quelques jours de vie etait entre la vie et la mort, les médecins nous ont dit qu'il n'y avait plus d'espoir, mais Dieu dans son amour, nous a secouru. Et aujourd'hui nous pouvons chanter au haut et fort que Seul Jésus delivre et guéri. Merci Baba
Que l'honeur et la gloire soient rendu au Seigneur Jesus Christ. Quil puisse vs recomforter et que sa sa grace divine soit vote portion au nom de Jesus Christ.
Only you jesus kila njia ya mtu ni sawa ila bwana hupima mioyo
kaka mungu azidi kukupa ngumu maana wimbo unatumbusha ss kuwa si kitu ila yeye ndo alfa na omega
I love this song.... can’t have enough of it....😍
Mm nimesikia hii nyimbo leo na imenigusa moyo yng mungu akubariki Walter
❤❤❤nipitapo uvili wa Maruti gongo la fimbo yako limenifariji
Just love this song nmeisikiliza na sichoki may God bless you bro Chilambo
The lyrics, the voice , the beats are all irresistible. I’m blessed 🙏
Hope one day God atanifanya wa dhamani na anitoe matopeni 😢
Sijui hii nyimbo inakuanga na nn kwasababu anytime unaiskiza inakubeba yenyewe unajipata in another spiritual world...God bless you man of God
I listen to this song everytime,,that part maana bwana upima mioyo,,oooh Yesu,,i dnt have to worry because He is always on my side
Nikickia uwo wimbo aise nafaeijika sana nasema asant mungu kwakuniweka salama leo na kesho
Nitapolemewa na mizigo sina wasiwasi tena 🙏🏻🙏🏻 only you Jesus
Umenikosa
Mungu azidi kutubariki 🙏
bit.ly/3tmqVIq
Ninapolemewa na mizigoooo magonjwaa na matesoo sina wasiwasi tenaaaaaa,nipitapo uvuli wa mauti bwanaa gongo lako na fimbo yako vinanifarijiii bwanaaaa."""umenifanya wa thamani mimii,ukanitoa matopeni,niliyekuwa siifaiii ukanibarikiii"""" baba wa rehema eeeeh,Mungu wa hurumaa weee HAKUNA KAMA WEWEE unayenipendaaa""Halooo haloooo,wewe YAWEE"""Asante YESU kwa hiki kipaji huwa najikuta naweka harmonies zangu kila nikisikia nyimbo zako Kisha najiona ni bonge la mwimbaji pamoja na uzee niliyokuwa nao.
@@blandinamnyinga8318 ii I
Jk
@@blandinamnyinga8318 ijj
Amina sana
Amen