❤❤❤❤❤❤ wenye wamependa iyinyimbo wanipeni sapoti
Nobody is talking about Irene's voice🔥🔥so beautiful ❤
kilagoti litapigwa mbelezamungu nakila ulimi utakili jinalayesu safi dada
Are you sure is not a voice over 🤔🤔🤔 I thought it is a voice over.
Daah!! Kila m2 anamshangaa Irene venye anajua kuimba😂😂 anyway m meshangaa zaid, yan ako na Sauti nzuri sana
Mmh nimeshangaa San tu nimesikiza mara mbili mbili
Lkn dah! Nimeipenda san
Amazing Collaboration I wish Irene ubaki huku kwenye Gospel kwa mda uliobaki nao hapa Duniani Gospel ni tamu sana
Wow Irene i never knew you could sing, you're blessed with an amazing voice keep praising the Lord... Nimebarikiwa pia
Naombeni like mimi yatima 😢🦥
Wewe Sio yatima Mungu ni Baba wa wote kwa hiyo usijiite tena yatima❤
Sijawahi acha kukupenda Irene toka nilipo kufahamu.sababu wee sister nimpole sanaa.muda mwingi unatabasamu tu hata ukikosewa na mtu .. barikiwa Sana na mungu aliejuu ❤❤❤ u lakini tabia Yako nzuri inatokana na wito wa kumtumikia mungu.please Toka uliko njoo mtumikie mungu serious.we love 💕
Irene baki hapo hapo.. Utakua juu zaidi… Umejipata vyema saana
Tanzania kila mtu ni mwimbaji tena mzuriiii! Tumebarikiwa hakika
Irene 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭, Nakupenda bure karibu kwenye ulimwengu wa Yesu dada 🙌🙌🙌🙌🙌
Irene unapendeza Sana kuwa mamchungaji muimbaji hebu hamia huku mazima , umenikosha Sana wow
Dahhhhh am muslim nilitamani kumsikiliza iren kafanya nini ❤❤❤ kanishangaza vocal ability yake ni kubwa mno
I repeated this song more than five times….. natokwa na machozi na nimepata amani ya moyo 🥺🙏🏾…. SABABU KAMA MAPITO YANATOFAUTIANA …tutiane moyo sote Safari ni Moja. SAABABU TUNATEGEMEANA TUNATEGEMEANA …jamn Mungu awabarik huu wimbo ukafanyike kuwa baraka na faraja ya kila mtu ausikiae 😇😇😇😇😇 BIG UP SANAA GODFREY & IRENE❤️☘️ 🇹🇿🇩🇪
Irene's voice is a 10/10 so surprising 😢
Waoo.... l never knew Irene has this beautiful voice, why not be gospel singer my sister. Hongera sana tumia kipawa chako kumtukuza aliyekuumba. ❤❤
My Bro Godfrey stivin!; ~ you killed the atmosphere, hongera saana,
To you Irene Uwoya~ huku kwenye Gospel ndio kwako haswa, Rudi kwa Bwana Yesu~ Mwimbie YEYE!, hakika usitoke huku~ Our Almighty God cant leave you alone.
Hongereni saana kwa Colabo nzuri
Wow❤IRENE can't believe this is you,nice voice,nice song may God lift you high 🙏
As a mother mtoto anaweza kuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilisha maisha ya mzazi au akakupa tumaini kubwa sehemu uliyokuwa umekataa tamaa kabisa. Watoto ni baraka kwa mzazi yeyote aliyeweza kumzaa au kuamua kumlea.
THIS SONG HAS ALOT OF SENSE,MEANING AND HUMANITY..HAKIKA TUNATEGEMEANA..THE MESSAGE MAKES ME HAPPY EVERY MOMENT I LISTEN TO THE SONG..TUENDELEE KUTEGEMEANA NDO MUNGU ALIVYOTUUMBUKA..I WISH WE ALL LIVE ACCORDING TO THIS MESSAGE..THE WORLD WOULD HAVE A BETTER FUTURE🙏
Wang'ambo wanajiuliza tumewezaje Hawajajua Bado kuwa Tanzania na MUNGU
GOD BLESS TANZANIA
EAST AFRICA
AFRICA PIA ⛪
#TUNATEGEMEANA
Kubadilika kwa mtu ni kwa mtu binafsi na si watu wanasema nini.barikiwa sana Irene and your family nice song na umeutendea haki.
Wow wow ❤❤❤❤ i wish huu wimbo tuuchukue kimatendo zaidi tuinuane kwel mapito tunatofautiana ila tusaidiane tutegemeane dah mbarikiwe sana waimbaji❤❤
Machozi ya furaha yananitoka😍Irene Mungu azidi kukupigania mama umenitia moyo kwa huu wimbo🙌🙏..kwakweli Mungu anainua watu wake kwa wakati apendao. Mbarikiwe sana watumishi❤
Ukwl nimebarikiwa sana na huu wimbo nimeurudia mara 3 ukifikiria kwl tunategemeana daah Mungu awabariki wapendwa 🙏dada Irene umenibariki na sauti yako so amazing
Nimeipenda sanaaa hiii umenifanya niwe shabik gaflaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Amazing voice
Huu wimbo unagusa sana mioyo ya watu na maisha kuwa usijione wewe wa thamani kuliko mwingine tunategemeana
I even ask a friend for confirmation if this woman im seeing wth a such vocal is IRENE....
pls keep on serving GOD for he's the one gifted you such voice ...
You look even more beautiful under GOD'S work, be a solo artist like Godfrey ..
Dooh this is amazing, the message is heart warming ❤
I feel like keep on writing and its like i wont get to the end coz im blessed with the song
GOD bless you....
Looking forward seeing another collabo and Irene's song❤❤
Yesu Kristo asifiwe sana Mungu azidi kumuinua dada Irene uwoya
Amen najuwa tena naamini sikumojs ipo utasimama ukimuhubiri kristo na maelfu wataokoka kupitiya wewe hilo nimeliamini Mungu akubariki
That's what makes our maker (Jesus)great that you can worship Him in so many languages. He's greatly to be glorified !!!!
ckuwah kufikiria kama irene woya anasauti nzuri ivyo
So irene uwoya can sing🙄she is amazing, i hope Jesus can take her in for good
Huwezi kuwa kamili peke yako,,, Tunategemeana,, Mbarikiwe sanaaa
Huu wimbo umeniingia Sana unafanya nakua happy da all day.
Nimetamn kuimba pamoja nanyi
Mumefanya Kaz nzur Sana Mungu aendelee kuwabariki Sana.
Mungu akubariki mnoo Godfrey kumleta Irene huku, Mungu aendelee kufanya jambo jipya ndani yake.
hivi unamjua shetani vizuri wewe, au unakurupuka. Sheatani ni mjanja mnoo, ana uwezo mkubwa kama Mungu mwenyewe, na uwezo huu ni Mungu aliempatia,ndo maana anaweza kuwadanganya watu wengi sana,ogopa alimjaribu hata Mungu mwenyewe kwamba akimwabudu atampatia milki zote za dunia. Sisi hata huo uwezo wa kuzungumza na Mungu live hatuna ila shetani aliweza . Tazama na umwombe Mungu wako kama umemua kumwabudu yeye
Aisee ni kama Irene Uwoya angeamua tuu kuendelea na Gospel Singing maana amefit mnoo... May God bless the whole team kuanzia tunaowaona mpaka ambao hatujawaona kwenye this Video, I'm blessed a lot with this
Mauwa mengi kwenu mimi naangalia na kusikiliza sn nyimbo zako. Mdada kauwa tegemeaneni
Irene, ulichelewa wapi!!
Unajua sanaaaa....
With love from Aysha Yahya❤
Thanks God ,... Thanks pastor Tony Kapola , thanks Irene, Thanks Godfrey
It came as a surprise, Mungu ni mwema Irene has got such a nice voice it's unbelievable how she can control her voice, she should do more of gospel songs. Such an amazing song congratulations guyz.
Mbarikiwe na Mungu...Irene una kipaji kitumie
Navyokupendaa ♥️♥️♥️huuuu Mungu anajua
Mbarikiwee saaana
Congrats Krish God bless you all.The Angels are rejoicing for you🙌🇹🇿
Mwenyezi MUNGU ampandishe juu zaidi amen🙏❤️
Waooh! Great song I seen Irene Uwoya singing Gospel my God raise up your talent much love you guys!
The song is amazing, the message is a hit, the collaboration is a surprise,
What a beautiful piece of art 🎉🎉
The song of year, thank you Irene for supporting this man of God. God bless you darling 😊
Baki hapo hapo irene wangu ya dunia yanapita mwisho mungu ndo kila kitu usiteteleke simama hapo na mungu atakuinua zaidi
I have listened to this song countless times..... it's a beautiful piece
When we all understand that you can't make it on your own,then we'll be able to respect and appreciate those who may seem not to have made it life.
We all need one another
Beautiful voices ❤❤❤❤❤
Likewise… so touching. Hongera sana Godfrey and Irene, good job 👌👌we need more of these songs . Very good message.
I think Irene you should keep on singing 😌You have a strong Mezosoprano😌I’m really thrilled and blessed Simultaneously God bless you Godfrey and Irene🙏🏽
Kumbe wewe Irene Uwoya una sauti nzuri havi babygirl. Nimekupenda bure so much ❤
😢akika nimeguzwa mahana mda sio mrefu aitokuwa na watu wangu ao niseme my family amem 😭😭😭ninajuwa nabaki nyuma ila tuko pamoja ki roho amem mahana tunategemeana alleluia ❤😢
Likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪 salute to you guys,the song depicts in our families..brothers and sisters😢
Brother Godfrey You are amazing Aisee🔥🔥🔥🔥🙌
This Remix arooo,, am fall in love with it ♥️♥️♥️♥️
Kama naota khaaa Irene wangu umeimba vzr mpnz naona Sasa umejipata Mungu akutumie mama
Kila mtu Irene Irene
Mwenye nyimbooo katish
He is blessed alloo
Yes mm kwanza nilikuwa namudjuwa Irène kwa usani tu wa filamu alafu isitoche filamu zamaajabu ndo maana nachangaa
Ukisikiliza kwa utulivu kabisa unaweza ukatoka na chozi hasa ukitazama kama vile upo pekee yako duniani
Seriously I'm impressed. It's a surprise to us Tanzanians. I just fell in love with a song😘😘😘 Let's close the year with this song as my ringtone.
Wow Irene❤God bless You abundantly Ministers of the Gospel.
Mtumishi BABA anakuambia usiharibu karama yako msikikilize yeye zaidi .
I can't get enough of this song, hongera dodfrey and irene, the colobo is real
Nmeipenda❤❤❤ my favorite song😭 Mapito yana tofautiana Tutiane moyo safari ni moja 🙏🏾💫
Mungu awabariki wimbo mzuri mno❤❤❤❤❤ Irene Mungu aendelee kukutimia
Hongera uwoya umefanya kitu kikubwa Sana mbele za mungu 😢🎉
Irine nimekupenda kuanzia leo mimi nimekuwa mshabiki wako.Mungu akubariki sanaa akuinue juu na uimbaji wako
Nimerudia hii zaidi ya mara mbili
God bless u people good song
Wow irene she got vest vocal ❤❤❤
Oprah ma chérie je t'ai aimé dans le filme Oprah mais voilà t'a encore convaincu mon coeur dans la musique oh quel grâce tu a ma chérie je t'aime encore plus fort que Dieu t'enlève dans la musique bisous a toi ❤❤❤❤
❤❤❤nmefurahi sana kwanza kwa ajili yako Irene MUNGU BABA YETU wa mbingun aendelee kukubariki zaid na zaid,, naona MUNGU anavyokutumia barikiwa sana!
Nyimbo inanibariki sana naisikiliza kila wakati 🔥🙏
Ameen...Mungu awabariki na kuwatunza❤❤ pianist umetishaaa Mungu akubariki mtumishi🎉🎉🎉❤
Irene kwa Mungu kuna raha kumekupendeza usirudi nyuma ,Mungu azidi kukuinua kiroho My Irene
Wimbo huu unanipnguvu ya kusonga mbele na kunionyesha wotee tunapungukiwa thanks for God ❤
Irene uwoya's voice is very beautiful!
Wow 🔥🔥🔥 awesome song, I didn't know Irene you're so talented, nice voice, nice song may God lift you high 💖💝
Irene anapendezea kwa yesu jmn😭kaka G endelea kumvuta 🙌🙌
Uwezi kua kamili pekeako
Wimbo unaujumbe mzuri mnoooo❤❤❤❤❤❤❤❤
😭😭😭😭😭wimbo mzuri Sana Hadi machozi yamenitoka ohoooo hallelujah 😢
Irene uwoya 🔥🔥🔥 continue singing babygirl,you have a good voice and divine heart
Nimelia nikifikikiria yote nimepitia na bado mitihani 😢I need you God don't let go of me humans have failed me usiniache 😢jus guide me nifike I wanna rest from all this ❤❤
Duuuu😢 tunategemeana kabisa mubarikiwe sana kwa Wimbo muzuri ❤ from Burundi
Irene and steve God blesz you both its real amaizing❤
Sweet melodies♥️...Glory to God
IRENE your voice is mwaaaa endelea ku ifanya kazi ya Mungu inakupendeza sana ❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana unanibariki.......naomba kujua dhima ya wimbo huu tafadhali
Fantastic! Let's praise our lord once we're still alive
What a beautiful song and very strong message, giving hope to all who have given up. And I never knew Irene was this talented. The collaboration is a surprise and amazing. God bless both of you for this masterpiece.
Ukweli ni huu, nilipomuona uwoya nikajua mmeanza usanii tena.....niliposikiliza wimbo...du! mmeua, mmetisha, ❤❤
Moyo ukiwa na Amani, kile kinachoimbwa kinaingia rohoni ♥️ I loveeeeettttt
You killed it guys
I praise Jesus through your voices
Good job Irene and Godfrey
Be blessed always we are waiting for the new tone Irene that was wonderful.
I didn't believe this, sis Iline ur voice iz so amazing ♥️
Dah! Mungu hubadilisha watu,,,nice song no comment
Wazuie MUNGU wasiseme tulijuwa neema hato fanikiwa sasa waka shangae kuona mafanikio yangu na wasi fanikiwa wao
Yani I can't explain how much sweet song! Mbarikiwe sanaa Kwa ujumbe mzur
How wonderful and powerful words 😢😢 almighty God lifting you where you desire happiest collaboration
Tc a blessing to all of us Tanzanians the song iz amaizing an rejoicing one....am blessed much with all of u krish and Krishz momma . Godfrey yo ma favourite .receive much ❤ from us
mungu naomba ninaposkiza huu wimbo nipate majibu watu waulize nimeweza aje .nakuomba mungu 🙏 good voice may the living God bless you all ...nataka kujua kama huyu Ndo aliimba song fulan inaitwa okoa mwao
Mungu awabariki,,,,, this is my favourite song🙏
Aaah wimbo mzuri sana ❤ be blessed all of you 🔥🔥🔥🔥
Jamani nyimbo nzuli sana mpk nimesikia uwepo wamungu ukishuka kwangu yesu awabariki sana
Mungu wa mbinguni aendelee kuwatumia mzidi kutubariki kwa maneno matamu yakumuinua Mungu wetu wa mbinguni nimebarikiwa sana kwa wimbo huu Mungu wetu atukuzwe daima mmeimba vizuri sana sauti yako Irene uwoya ninzuri mno mno Mungu awabariki nyote
Kama kuna mtu hua anaguswa na kubarikiwa na nyimbo za Injili basi ni mimi. Asante Mwenyezi Mungu kwa Pumzi hii 🙏😓. #WrittingThisWithShadingTears