Walter Chilambo - Sijawahi Ona (Official Video Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 321

  • @WalterChilambo
    @WalterChilambo  10 หลายเดือนก่อน +191

    Kama Unausubiri kwa hamu weka like na comments hapa

    • @PascaliPaul
      @PascaliPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤ yan aukoseagi kak mungu azidi kukutumia zaidi

    • @fleyshatv6117
      @fleyshatv6117 10 หลายเดือนก่อน +1

      nakusubili Kwa ham,naomba pamoja namapungufu yanguuuh oooh napendwaaah hatamkiniachaaaah,siogopi ananiliiindaaah,haujawah kunichokaaaah,ananipendaaah. voko inapanda. wasaliti Niweeengiiih ila yeye hakuniaaachaaah.weeeeh ebu Lete huo wimbo nimeikubali Sana Sana big up Kaz nzur

    • @deliverancechurchmuranga
      @deliverancechurchmuranga 10 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe

    • @HolyCrossBand1
      @HolyCrossBand1 10 หลายเดือนก่อน

      Wimbo mtamu sana you're blessed bro

    • @NeemaMdoni
      @NeemaMdoni 10 หลายเดือนก่อน

      Good music ❤

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 10 หลายเดือนก่อน +45

    Kila atakae like hii comment atakuwa ananikumbusha kwamba natakiwa kurudi hapa tena na tena kumsifu na kumshukuru Mungu ❤😊🎉💃💃💃

  • @AminaGeorge-c8z
    @AminaGeorge-c8z วันที่ผ่านมา

    Barikiwa na na mungu mtumishi wa mungu zidi kumuabudu mungu hivyo hivyo mkumbuke mungu San ❤❤❤❤

  • @AnkundaRose-r1h
    @AnkundaRose-r1h 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤nakupnda xn Walter mungu azidi kukuweka

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 10 หลายเดือนก่อน +25

    Mimi wa pili toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tanzania wapi like za chilambo weka hapa zote sijawahi. Weka like hapa zote za chilambo

    • @Joseph-bi3kw
      @Joseph-bi3kw 10 หลายเดือนก่อน

      Kaka mkubwa

    • @PaulineNjeri-f3s
      @PaulineNjeri-f3s 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nouma zaidi ya Nouma,yaani Kali sana

  • @jimmycn7078
    @jimmycn7078 10 หลายเดือนก่อน

    Maisha niya Mungu🙌🙌🙌

  • @merciethairah2597
    @merciethairah2597 10 หลายเดือนก่อน +10

    Your biggest fan from +254..nasubiri kwa hamu😊

  • @erivannytz5342
    @erivannytz5342 10 หลายเดือนก่อน +25

    Kama unaamini unapendwa na mungu gonga likes za kutosha hapaaa

  • @Fridausi-g6k
    @Fridausi-g6k 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu akubaliki kaka nakubali🙏🙏🙏

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 10 หลายเดือนก่อน +13

    Mie wa tatu kuiona hii wanao mkubari Cholambo tujuane hapa

  • @EverlynKenneth
    @EverlynKenneth 10 หลายเดือนก่อน +7

    AMEEEN ,naamini ninachakwangu kwa ujumbe huo

  • @ممال-ن8ظ
    @ممال-ن8ظ 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa mungu ananipenda❤

  • @fatumaali5550
    @fatumaali5550 3 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi ona Mungu kama wewe🎉

  • @ombenzelote9555
    @ombenzelote9555 10 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to Glory Mungu wangu hashindwiii

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 10 หลายเดือนก่อน +14

    Kama umebarikiwa basi ngonga apa 😢😢😢

  • @Neemaezekiel2
    @Neemaezekiel2 10 หลายเดือนก่อน +10

    Nani mwingine anazurura kama mwehu kusubiri hii nyimbo😊❤

    • @EverlynKenneth
      @EverlynKenneth 10 หลายเดือนก่อน

      Mmmmh 😮 ,tuombe tulale iii nikesho dear

  • @ElishaMakuza-o1y
    @ElishaMakuza-o1y 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubaliki nakutakia maisha mema asante Yesu

  • @doreenmakori7056
    @doreenmakori7056 9 หลายเดือนก่อน

    Be blessed mtumishi wa Mungu🙏

  • @Mtaalam_stan
    @Mtaalam_stan 10 หลายเดือนก่อน

    Sijaumbwa kwa bahati mbaya ❤❤❤

  • @mathewmakwaya-zh3bk
    @mathewmakwaya-zh3bk 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka kazi kubwa sana hii❤

  • @allymwaigonela5380
    @allymwaigonela5380 10 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe sana mwana wa Mungu

  • @ponsianokibina4206
    @ponsianokibina4206 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndye walter Safi sana bro

  • @theoosward8554
    @theoosward8554 10 หลายเดือนก่อน +14

    Aaah jamn Ata like moja tu ntakosa kwel

  • @ednasemiti3249
    @ednasemiti3249 4 หลายเดือนก่อน

    Aise nakupenda ndugu yangu. Salamu kutoka Nairobi.

  • @GabrielJosue23
    @GabrielJosue23 10 หลายเดือนก่อน +2

    Powa sana uko vizuri sana

  • @BJM-j2t
    @BJM-j2t 9 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @AthumanRamadhan-h5e
    @AthumanRamadhan-h5e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri,my broo,Mungu akubariki

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 4 หลายเดือนก่อน

    Hivihivi nilivyo Mungu anAnipenda

  • @MudyMessa-hi4mq
    @MudyMessa-hi4mq 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha Sana 👏

  • @nurufwoma8039
    @nurufwoma8039 10 หลายเดือนก่อน

    Napendwa jamani, hivi hivi nilivyoooo

  • @NevicePaschal
    @NevicePaschal 9 หลายเดือนก่อน +2

    Broo!! Unajua sana

  • @resthaule3115
    @resthaule3115 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu ananipenda sanaaaaa 🙏

  • @Nusrasudi
    @Nusrasudi 9 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri jaman

  • @robertwisdom4019
    @robertwisdom4019 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe kaka 🙏
    Nice song 🙌🙌🙌

  • @elizabethemanuel2122
    @elizabethemanuel2122 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana kaka nanyimbozako

  • @MarhonyiBahati-l2k
    @MarhonyiBahati-l2k 5 หลายเดือนก่อน

    Tunapedwa kweli kk

  • @norrahmetisho1471
    @norrahmetisho1471 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja kaka.... 😊😊

  • @ZawadianaDoriye-g8o
    @ZawadianaDoriye-g8o 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa xan bro wang

  • @JoyceMiyombe-nb3rd
    @JoyceMiyombe-nb3rd 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe bro

  • @Gniceke
    @Gniceke 10 หลายเดือนก่อน +2

    sijawai ona

  • @piliibrahim4057
    @piliibrahim4057 10 หลายเดือนก่อน

    Sijawah ona Mungu kama wewe 😊

  • @Nyota123
    @Nyota123 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni jibu Ubarikiwe ndugu

  • @emmanuelngendakumana3361
    @emmanuelngendakumana3361 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akupe Maisha Marefu🤝

  • @moureenshantel3057
    @moureenshantel3057 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani napendwa

  • @KaviraJosephine
    @KaviraJosephine 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera xna

  • @Paul-u3c9p
    @Paul-u3c9p 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤pokea mapenzi kutoka Kenya

  • @OmarDavix-ek5yw
    @OmarDavix-ek5yw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kalii snaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @mwesigwarobert
    @mwesigwarobert 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kupenda mungu Walter naeatakupenda daima

  • @chesangfaith3132
    @chesangfaith3132 9 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉Halleluyah Amen...sijawai ona mimj

  • @SintyshMwamini
    @SintyshMwamini 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbali sana utendaji wa kazi wa chilmbao,mimi ni wa kwanza kutoka Congo 🇨🇩, nampenda sana

  • @philimongobre2195
    @philimongobre2195 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali 100%

  • @CharlesNdeni-m8b
    @CharlesNdeni-m8b 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo wa baraka sana

  • @Careen-so3hm
    @Careen-so3hm 8 หลายเดือนก่อน

    Apewe yake maua yake your the winner bro❤

  • @PaulineNjeri-f3s
    @PaulineNjeri-f3s 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda,kazi safi sana,mungu akuongezee

  • @philemonmghendi
    @philemonmghendi 10 หลายเดือนก่อน

    Walter hii ni 🔥

  • @senytv5837
    @senytv5837 10 หลายเดือนก่อน +2

    Brother unajua hundred percent

  • @humphreykagwi5096
    @humphreykagwi5096 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri tumeipokea vyema hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @myphone4510
    @myphone4510 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana I do love your songs broo

  • @derrickorlando
    @derrickorlando 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri bro... Mungu anakupenda. More grace

  • @anthonylughoh3162
    @anthonylughoh3162 10 หลายเดือนก่อน +2

    Walter ..walter...walter...nimekuita mara ngapi??? Iv been your biggest supporter since day one ....big up broo

  • @gladysmkuchu1639
    @gladysmkuchu1639 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri anko wa Samrina Mungu aendelea kubariki kazi zako

  • @merciethairah2597
    @merciethairah2597 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi pia sijawahi ona Mungu kama wewe wallahi Mungu ananipenda!! Nyimbo zako hunitia moyo sana walter 💪💪# your biggest fan from +254

  • @AffectionateBloomingFlow-iw4bq
    @AffectionateBloomingFlow-iw4bq 6 หลายเดือนก่อน +2

    Napend kaz zako♥️♥️♥️

  • @laprettytv10
    @laprettytv10 8 หลายเดือนก่อน +1

    Another one ❤❤❤❤napenda ❤❤❤

  • @VictorPius-s2d
    @VictorPius-s2d 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazin yako ni nzur bro God bless you

  • @LaurenciaKulwa
    @LaurenciaKulwa 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ANANIPENDA🎉❤

  • @jose_willy79
    @jose_willy79 10 หลายเดือนก่อน +1

    akisema nakubariki hakuna wa kuzuia🔥

  • @kesheninaftal
    @kesheninaftal 10 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki sana kakaaa,,, hakika sijawahi ona

  • @killekussin
    @killekussin 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ana nipend

  • @salamamussa1605
    @salamamussa1605 9 หลายเดือนก่อน

    SIJAWAHI ONA❤❤❤❤all the way from Tanzania

  • @wilbrowntz2012
    @wilbrowntz2012 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ni moto sana

  • @fabigeniustz976
    @fabigeniustz976 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana walter chilambo hakika unanikumbusha umuhimu wa Mungu kwangu

  • @mgambowayesu
    @mgambowayesu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Fundi wangu mwalim wangu lolomodo wangu ctochoka kujifunza kwa fundi wangu laiki ako apa my brother 💌💯🔥🔥🔥✈️

  • @HonestBway
    @HonestBway 10 หลายเดือนก่อน +1

    Walter chilambo ni mmoja tu

  • @ombenzelote9555
    @ombenzelote9555 10 หลายเดือนก่อน

    waoooh Amazing song Glory to Glory Mungu wangu hadhindwiiii

  • @eliyakiyogera
    @eliyakiyogera 10 หลายเดือนก่อน +1

    I'm so excited Mtu wa Mungu. Release it soon

  • @samwelhiza5031
    @samwelhiza5031 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi na Mungu tunajambo letu💪🙏🙌 God bless you bro

  • @alexchiba7698
    @alexchiba7698 4 หลายเดือนก่อน

    sasa kwanini tusisikilze gospel biti nzuri maneno mazuri good work done by you

  • @danielpaulm
    @danielpaulm 10 หลายเดือนก่อน

    Woooh mtumishi be blessed bro

  • @mgandikadesire
    @mgandikadesire 10 หลายเดือนก่อน +3

    Gonna like hapa kwa ajili ya huu wimbo 🎉🎉🎉🎉

  • @dicksonwakristo5385
    @dicksonwakristo5385 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baba unajuwa heshima yako 10000

  • @brunonsungwe8389
    @brunonsungwe8389 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah kipaji chako kikubwa sana, Mungu azidi kukupaisha viwango vya juu

  • @Ntigacikad
    @Ntigacikad 7 หลายเดือนก่อน

    Waouuw🎉nyimbo nzuri sana😍courage kbx na ubarikiwe sana🙏

  • @giftwatz
    @giftwatz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Great kwako Bro...

  • @CesiliaDav
    @CesiliaDav 10 หลายเดือนก่อน

    Nice bro mungu aendelee kukuweka pakubwa kiwango na kiwango I love u walter...❤❤❤❤

  • @richardmadede1486
    @richardmadede1486 10 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sanaaa Mungu akubariki kaka. Richard Madede 🙌🙌🙏

  • @oscarochieng9126
    @oscarochieng9126 8 หลายเดือนก่อน

    @walter huu wimbo umenihimiza

  • @kadofresh4132
    @kadofresh4132 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ujumbe wako umenifanya nikosane na majirani sababu ñimeupiga sku tatu mfululizo bila kubadilisha nyimbo nyingne Ubarikiwe Sana mtumishi

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 9 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo traaaaaamu sana hii hongera mtumishi wa Mungu

  • @elwinsimumba
    @elwinsimumba 10 หลายเดือนก่อน

    Amen hakuna aliye zaidi ya Muumba wavwote Bwana

  • @nezerwaevaevelyne1747
    @nezerwaevaevelyne1747 9 หลายเดือนก่อน

    Amazing song 🎶 😢 glory be to God🙏🇷🇼🇷🇼🇷🇼🙏

  • @adamusamweli
    @adamusamweli 9 หลายเดือนก่อน

    god bless you kwa kweli Mungu sili yako anaijuwa yeye 👍👍👍

  • @JoesphNeja
    @JoesphNeja 9 หลายเดือนก่อน

    Alooo apa umeupiga mwingi saaaanaa chilambo

  • @shadrackrobert_
    @shadrackrobert_ 10 หลายเดือนก่อน +1

    Love music the best 🇹🇿

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jah Bless Bro,Namuona marioo kwa sauti yako wenda nayee atapata neema ya kuimba injili siku zijazo

  • @blessingsingers9134
    @blessingsingers9134 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka umetisha sana 🔥🔥🔥🔥

  • @WinieKamtawa
    @WinieKamtawa 9 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo ipo safi sana inabariki sana

  • @ashurahassan1293
    @ashurahassan1293 10 หลายเดือนก่อน

    Mkaka@walter chilambo baba unajua kinoma noma Mungu akubariki asee

  • @petermarinojoseph
    @petermarinojoseph 9 หลายเดือนก่อน

    Walter chilambo.... Hakika wewe ni msanii mtunzi mzuri melody nmeipenda ....... Kaka tathnia ni Yako kaka

  • @Gniceke
    @Gniceke 10 หลายเดือนก่อน

    brother ni baraka sana