Blessed 🙏 one 🙏 much love from Kenya 🎉🎉chilambo to the world 🌍🌍🌍🌍 gonga like tukisonga
moto hii kaka najuwa ubarikiwe
Jaman shwarii🙌
Naisubiri kwa hamu Sana hii
Kwa kuangalia picha kabla hatujaitazama inaonekana Ni kazi nzuri sana ubarikiwe mno brother @walterchilambo
Kijana wa mwenyezi unatubalikia sana mungu akuweke zaidi Kwa kazi njema na tukufu..amina🙏
My role model
🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤wowooooo. Piga kelele bongo la wimbo ❤❤❤
Kazi yako ni njema Walter. Nakuombea usiondoke in His Presence
Hii imeenda mtumishi ❤
Kazi nzuri sana, hakika Yesu ni mwema kwetu peke yake anatosha kwenye maisha
Let’s all gather here 🥳🥳🥳
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu kwa kitu iki kikubwa ❤❤
Hakika Mungu ni mkuu wimbo huu umenibariki naamini pia utabariki wengi amina ❤❤❤❤kaka Walter umekua baraka katika huduma yako Mungu azidi kukutunza
Hei,, this is talented
Is a blessing every time Walter released a song ,expected nothing but anointing
Kali sana
Chuma cha moto Kakaa ur a big gospel preacher taking gospel to the top
Aaaaw ❤❤❤❤ congratulations bro .I'm proud of you
Mungu atakubariki ndungu.Endelea ndungu,Mungu halali.Ipo siku
🙏🙏🙏🙏🙏Mungu azidi kuwa na wewe mimi nabarikiwa hata napojionq sina thamam
🎉🎉 kula chuma hichooo 🙌🙌
I love Walter...you are a blessed man of God. Keep on pushing the word of the Lord through your music. Heaven is waiting my brother
Ahsante kwa wimbo mzuri na video nzuri kaka mwenyezi MUNGU akubariki sana kwa injili yako
No wahala is the best song Congratulation Brother
Yeye ni Mzee wa favor No wahala kabisa ✌️
Sema moto kama pasi fresh one kali
No wahala .."Sina hofu..nikiwa na Yesu ndani yangu..
Eagerly waiting
No wahala kazi Nzuri sana hongera 🙏🏼🙏🏼
My favorite gospel singer itoshe kusema kwamba anamilik my playlist 😅
Wooooooow I'm touch bro, May God continue to be with u always. A beautiful msg the video itself is a powerful msg nakupenda bure kakangu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Good vibes ✊✊
Nasubr movie
Mungu akubariki sana na akuongezee ubunifu sababu nyimbo zinatubariki sana
Have been waiting for this Walter I love you,,,may God bless you 😍
Unazidi kutubaliki Sana god is good any time,,, water
Jesus is my strength 👑🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯💯
💥 Kama inawezekana andaa movie kabsa jina iwe no wahala success 😅
Natamani kila mtu asikie huu wimbo na kumgusa vile umenigusa mimi❤❤❤
Kazi nzuri🔥🔥🔥🔥 keep it up,🇹🇿🇹🇿
Let's wait.....
God bless you so much my brother
Good job member wangu sangu sec mby.Nice video nice message Mungu akuinue zaidi,endelea kunyenyekea Bro utafika mbali sana
God bless u💫
Kazi nzuri sana
Tis another level 😊😊,,I give the diss five star ✨ like ratings in Google play store
Without Jesus it's nothing ✊
Wonderful work,
No wahala, God is alive in me, he's working with us!
🙏 💕
nyimbo nzuri sana
Hongera sana kwa kazi nzuri mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi kwa fikra nyingi zaidi.
Kazi nzuri xana kaka ubalikiwe❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉😢
Blessing🙏
My brother ❤️❤️❤️
Ata nikianguka chini unanibebagaaaa (no awahala)
Chilambo Always he is the best King of lyrics I have a desire to work on music with him!
Ubarkiwe sankaka nataman niimbe nawewekaka
God bless you Walter ❤🎉❤❤ napenda kazi zako Dah!!❤️❤️
there is jesus everywhere..✍🏼
kazi safi bro ukikam kenya nairobi tutafutane
No wahala there is JESUS everywhere , there is JESUS in me.. Mzee WA favor aiiii akiwa upande wangu nani awe juu yangu💪💪
No wahala Nampendaga walta mpaka watu wanajuaga ni kaka angu annnn
Brother ❤🙏🙏🙏🙏 Hiii imeenda Barikiwa sana BABA
Mungu akubarik mtumishi wa mungu hakika nimebarikiwa🙏
No wahala ❤❤❤❤nice Bro
Nakupenda Sana huu wimbo jamani 😊😊
Mungu akubariki Kwa wimbo huu.
no wahala 😊😊😊
Be blessed My brother chilambo 🙏🙏🙏🙏🙏 this one is so amazing
I'm Blessed🙏❤️
I'm so proud of you...No wahala God is for us
Good work ever
No wahala there Jesus in me
No wahala there is JESUS everywhere......God bless you man of GOD,,Your the blessing
Mungu atakuinua kaka🫡🇲🇿🫶💪🫂
🥰👍
Creativity on point Pedejeee Walter.. No wahala
❤❤❤mungu azidi kubarik kazi ya mikono yako
Nitamani San kufikia kiwango Kama hiki ila naamini Kama mtu akatokwa kuniwezesha naweza
I love this masterpiece may Almighty God grant you ♥️
Ushafika Kenya...wimbo mzuri kutoka kwa Walter Chilambo- No Wahala.
God is good 🎶🎊
Kazi nzurii Mungu aendelee kukubaliki
Da!!! Walter mwamba mungu akubaliki
❤🔥
Wimbo huu umenikosha 😢😢
Brother Walter barikiwa sana
🔥
Jesus is here
Sijui niseme nini.
I’m speechless
Mungu akakuinue zaidi na zaidi ili ubariki wengi na Yesu akainuliwe kupitia huduma yako
🔥🙏🙏
No waala 🎉🎉
👏👏👏👏👏🔥🔥💯
❤❤ Hakika kazi mziri sana.Barikiwa na Bwana
Hakika Ni kkiwa na wew una jibe a
I need to be like you,, nabarikiwa SANA
Mtu mmoja anae kubali kazi ya bolingo ya huyu mwamba nione like ake apa hukutukiwatunasubili hii iliopo jikoni
Ndipo apa nkamu gwako Moses mwailenge kyala akusaje ambindwile🙏🙏🙏🥰