PATRICE LUMUMBA: Shujaa wa Kongo aliyeuawa kikatili, kukatwa vipande na kuyeyushwa kwenye ACID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2021
  • Makala hii inakujuza historia ya Patrice Lumumba na safari nzima ya kisiasa ya Kiongozi huyu mashuhuri na mpigania haki za waafrika nchini Congo. Kaa nasi ili uweze kupata historia ya kina kuhusu kiongozi huyu na sababu za kifo chake cha kinyama zaidi kuwahi tokea katika historia ya siasa ya nchi za Afrika

ความคิดเห็น • 41

  • @jasonmesiya7687
    @jasonmesiya7687 2 ปีที่แล้ว +6

    Lumumba the hero 🇨🇩 Asante

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 2 ปีที่แล้ว +4

    Ooooh ....content nzuri Sana hii broh kama ikikupendeza naomba uturudishie maudhui kama yale ya kipindi cha sita sahau humu iwe kwa njia yoyote ya sauti au video broh 🙏

  • @kutokaughaibuni
    @kutokaughaibuni 2 ปีที่แล้ว +3

    ur the best bro

  • @levienlevismmbenga2415
    @levienlevismmbenga2415 2 ปีที่แล้ว +4

    Aksant sana kaka skay mungu akusaidiye sanaa kwakusikiya hombi langu

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 2 ปีที่แล้ว +6

    Bado tunapambana na ukoloni hata sasa kweli AFRICA inabidi tuungane kulitetea bara letu. SKY nasubiria makala ya babu yetu Nyerere na baba yetu Magufuli RIP

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 2 ปีที่แล้ว +2

      💙

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +1

      Mimi pia

    • @chamchuuconsult4682
      @chamchuuconsult4682 10 หลายเดือนก่อน

      Hawa Wazungu ni makatili sana Mimi Nina wazo mwafrika yoyote atakae onekana ana chembe chembe ya umagharibi auwawe hadharañi apigwe Shoka ya kuchangia Kuni moja tu shingoni tumechoka na vibaraka wa Wazungu

    • @chamchuuconsult4682
      @chamchuuconsult4682 10 หลายเดือนก่อน

      Sisi waafrika tunatakiwa tuwe tayari kwa lolote Wazungu wakiipiga nchi yoyote iliopo African tupigane nao tusiwe wajinga wakaribu safari hii kipiga au kuvifadhili vikundi vya kigaidi vyote ni vya kwao Wala sio waislamu wenye msimamo mkaki ni mipango yao mabeberu

  • @mauwapremice7080
    @mauwapremice7080 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥sns🙌🙌

  • @hkmeme5437
    @hkmeme5437 2 ปีที่แล้ว +2

    Next tuletee makala kuuzu Dedan kimathi wa kenya

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 2 ปีที่แล้ว +2

    Oh my God pole sana so sad 😥😥🤔🤔🤔🇰🇪

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 2 ปีที่แล้ว +2

    Sky🤗🤗

  • @joellengoyi1631
    @joellengoyi1631 2 ปีที่แล้ว +2

    Na wa penda sana SNS 🇨🇩🇫🇮

  • @kaizarimalewa490
    @kaizarimalewa490 10 หลายเดือนก่อน

    I real appreciate lumumba patrice

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 2 ปีที่แล้ว +2

    Sorry imefika mahaala pake , Rest in eternel Peac EPM

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndomana Congo kupata Amani sio leo kama wa Congo awaungani pamoja

  • @wilondjarama1427
    @wilondjarama1427 2 ปีที่แล้ว +2

    🙏🙏

  • @m-blnlabenie3138
    @m-blnlabenie3138 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😢😢🙏🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah pamoja #CEOSKY,HUYO NDO ALIKUWA MKOMBOZI WETU WANYONGE... MPAKA SASA DRC NI INCHI TAJIRI SANA ELIMWENGUNI YENYE RAIA MASKINI... SO SAD 😞

  • @africanproudly4004
    @africanproudly4004 2 ปีที่แล้ว +4

    Na waAfrika wengi wamesahau sadaka zilizotolewa na mashujaa wetu
    Rest in Power our Hero P. L

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 2 ปีที่แล้ว +1

      Rip magufuli Lumumba wa Tanzania

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli na ndio maana damu zao zinatulilia, umasikini haututoki aisee

  • @EllyEllyCantiego-ew5np
    @EllyEllyCantiego-ew5np ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @dorcaskahwarakaliza8190
    @dorcaskahwarakaliza8190 2 ปีที่แล้ว +1

    🇨🇩✊🏾💪🏾

  • @bizimanaaguero9422
    @bizimanaaguero9422 2 ปีที่แล้ว

    Big up bro unaweza sn n sauti yak iyo

  • @SuzanaSamson-vc3wu
    @SuzanaSamson-vc3wu 10 วันที่ผ่านมา

    Sky napenda kujua wendelezo wa Fito , hari ikoje amekamatwa ama la

  • @mbembelatv
    @mbembelatv 2 ปีที่แล้ว

    Lumumba ✊🏼

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 5 หลายเดือนก่อน

    lanaya Lumumba ndoinatafuna wa congomani leo

  • @babaluxe8626
    @babaluxe8626 2 ปีที่แล้ว +2

    Muone Yule mbaya Wake pale pembeni laana mabutu

    • @joellengoyi1631
      @joellengoyi1631 2 ปีที่แล้ว

      Asante sana SNS na wapenda sana 🇨🇩🇫🇮

  • @isikesamike
    @isikesamike 2 ปีที่แล้ว

    Wabelgiji alipo Lissu. Kwa story hizi siwezi mpenda mzungu hata kwa chembe ya haladari.

  • @juvenusniyomwungere2549
    @juvenusniyomwungere2549 5 หลายเดือนก่อน

    Burundi😂

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว +1

    The story book 📖 Jamal professor Jamal April.

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 2 ปีที่แล้ว

      Huku story book imefikaje...nyie ndo masnitch msiotakiwaga

    • @mbembelatv
      @mbembelatv 2 ปีที่แล้ว

      Hawa ndo wale wale