El Chapo: Kiongozi wa Genge la Dawa za Kulevya Mexico aliyetoroka magereza mawili yenye ulinzi mkali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Makala hii itakusimulia mambo mengi na historia ya kusisimua usiyoijua kuhusu Joaquín Guzman Loera a.k.a El Chapo. Kiongozi hatari na katili aliyekuwa akitafutwa zaidi na mamlaka za kiusalama za Marekani na zile za nchni Mexico

ความคิดเห็น • 33

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 2 ปีที่แล้ว +10

    Dah bro sky ukikaa kwenye story kama hiz unatisha Sana!! 🔥🔥🔥❤️

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimeisikiliza Makala nyingi
    Thank you sky 🇬🇧

  • @lekulesostenes4583
    @lekulesostenes4583 ปีที่แล้ว +3

    Naomba Makala 360 ijayo inzungumzie siku Moja Carlos The Jarkal

  • @williammachele7768
    @williammachele7768 2 ปีที่แล้ว +4

    Magic voice 💖hukoseag kaka

  • @abidalfadhil2093
    @abidalfadhil2093 2 ปีที่แล้ว +4

    Km story book ila napend kuw huzunguk unaenda stress big up sns

  • @methodjasson2159
    @methodjasson2159 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri saana bro kwa simulizi zako all best bro sky walker much love❤❤❤❤❤❤

  • @hoodlamar9284
    @hoodlamar9284 2 ปีที่แล้ว +4

    Bro sky God bless you kwa story nzuri kipaji kisicho na mwisho✅✅bless sana

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran saana SKY kwakutupa habari mubashara

  • @zulugeneral5563
    @zulugeneral5563 2 ปีที่แล้ว +3

    l love your content

  • @ndiiyolazarolemoloo2164
    @ndiiyolazarolemoloo2164 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa noma san asee

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว +1

    El Chapo Guzman.......mwamba sana huyu jamaa Thanx sky

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 2 ปีที่แล้ว +1

    We love you from uk❤❤👌👌👌👍👍😍😍😍😍😍😍😍

  • @rjb31
    @rjb31 2 ปีที่แล้ว +3

    Sky the only
    Talkative tone
    With peace mind
    👽👽👽👽👽

  • @narxtz
    @narxtz 2 ปีที่แล้ว +3

    Sky big up sanaa

  • @jojonaamani905
    @jojonaamani905 2 ปีที่แล้ว +3

    Very interesting👏 well done

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 2 ปีที่แล้ว +2

    We love you 💕

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah

  • @I-S-L-Y
    @I-S-L-Y 2 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi nzuri ila kabla ya El Chapo yupo mwamba anaitwa Miguel Angel Felix Gellardo aka El Padrino ama El Jefe De Jefes aliongoza Guadalajara Cartel na praza zake. Yupo gerezani mpaka Leo akitumikia kifungo,alipotoka Pablo yeye ndo alifuata kwa uingizaji wa bangi na mihadarati USA.

  • @PesaMadafu
    @PesaMadafu 2 ปีที่แล้ว +4

    Kitu kimoja ambach Mexico walisema kuwa Wa Marekani hawawezi kufanya ni kuhukumu El Chapo, kifo vinginevyo hawawezi kuwampa el chapo . No death penalty for him

  • @babel4862
    @babel4862 2 ปีที่แล้ว +2

    Makala nzuri sana

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว +4

    Kipindi hichooo kuli kuwa na cm???!walikuwa wana wasilia vip ????mexco to America????

    • @paulbidyanguze4401
      @paulbidyanguze4401 2 ปีที่แล้ว +1

      Simu zipo kitambo sana duniani

    • @franklachman8883
      @franklachman8883 2 ปีที่แล้ว +2

      Mawasiliano ya simu yameingia rasmi na kushika kasi diniani mwaka 1876. miaka ya kina El- Chapo na wenzake wengi tayar dunia ilikwishaingia kwenye teknologia nzuri ya mawasiliano..Hadi mwaka 1992 tayar wenzetu walikwisha ingia kwenye ufumo wa kutumia SMARTPHONES.

  • @samchris1914
    @samchris1914 ปีที่แล้ว +1

    Sinaloa

  • @3malis
    @3malis 2 หลายเดือนก่อน

    💚🏆

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka sky tupe tofauti kati ya kokein na heroin kutofautisha tu sio kw ubaya

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว +1

    Genge la El Chapo mpaka Leo lipo na wametoa msaada wa kijamii juzi Kati tu hapa kwenye nchi yao

  • @missp1814
    @missp1814 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila nyie mtu anafuti5 na inch6 nimfupi?? me Nina futi 5 na inch7, naonekana tall mpaka baadhi ya watu wananishangaaga,yote kwa yote sky hongera upo vizuri kwakweli mtu huchoki kusikiliza

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️。