WATOTO wa JACKIE CHAN wanavyomnyima usingizi, waonekana aibu kwa Familia na kunyimwa urithi wa $400m

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Makala inaangazia jinsi watoto wa Jackie Chan wanavyomnyima usingizi kutokana na tabia zao hali iliyomfanya aamue kutowapa fursa ya kuja kurithi mali zake
    #Makala360

ความคิดเห็น • 219

  • @hanleytz9209
    @hanleytz9209 ปีที่แล้ว +25

    Hapo ndiyo utambue kuwa Mungu hakupi vyote Jack kapewa umaarufu na pesa ila kanyimwa watoto wenye akili Allah atulinde asee soooo sad 😔

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +80

    Aisee ila vijana huwa tunawasumbua sana wazazi wetu ila siku wakiondoka dunia huwa tunawakumbuka na kuumia sana. Mungu atusamehe sana

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +2

      😭😭😭😭😭😭

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 ปีที่แล้ว +5

      Ni hao wenye pesa zao mtoto wa sharukh Khan pesa ipo ya kutosha lkn akashikwa na madawa ya kulevya sasa utajiuliza anatafuta nini ni kwasbababu pesa ipo sie wakina kajamba nani tuwaza kesho yetu wakati wengine wanategemea pesa za wazee wao

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 ปีที่แล้ว +5

      @@pikanaauntzuu1466 sio wenye pesa tu dada yangu angalia hata mtaani unakoishi watoto wanavyosumbua hata shule unakuta wanakataa kisa tu baba anakazi nzuri

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 ปีที่แล้ว +2

      @@andrewkilave3532 Huu ni upumbavu wa hali ya juu wa baadhi ya madogo.Siku wazazi wao wakikata moto wataelewa

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 ปีที่แล้ว +3

      @@pikanaauntzuu1466 Hata madogo wa maisha ya kawaida au kimaskini mtu anafanya utoto anajua flani yupo atasawazisha

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 ปีที่แล้ว +11

    Kaka hii Iko vizuri napongeza. Nashauri tuchanganye makala. Hasa makala za kibiashara tuweze kunufaika na mawazo yawaliofanikiwa.

  • @bashirumkopi2638
    @bashirumkopi2638 ปีที่แล้ว +16

    Unataman kupata mtt lakin ukipata watt kam hawa unaweza kutamani usingepata mtoto, Mungu walinde watt wetu 🙏

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Imeandikwa watoto na mali ni mtihani kutoka kwa bwana.

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 ปีที่แล้ว +1

      Exactly nilishawahi kuona mtu anafurahi mtoto wake kafa.Huu ni mtihani mzito sana

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว +4

    Nimewapata vizuri makala 360🙏🇹🇿🇬🇷

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika ปีที่แล้ว +47

    Culture ya wachina ni kila mtoto anafundishwa kujitemea (kutafuta pesa) na atapewa support yote, kama ni mtaji basi atakopeshwa na sio kupewa pesa ya bure. Inshort mchina akupi pesa ya bure ni mwiko, mara nyingi mtoto wa kichina anatakiwa kurithi majukumu ya yafamilia tena atapewa nafasi ya uboss ikiwa vinginevyo wazazi wakichina wako strictly sana.

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 ปีที่แล้ว +1

      Alaaah 😳

    • @latifaonesmo7629
      @latifaonesmo7629 ปีที่แล้ว +5

      Very smart inakua unajenga family nzuri kuliko kila jambo mtoto ategemee mzazi

    • @ralmasalmas5849
      @ralmasalmas5849 ปีที่แล้ว +3

      natamani kupata makala ya watanzania natuanze na lemutz......... jamaa anautoto mwingi sana.

    • @haidarykufakunoga5973
      @haidarykufakunoga5973 ปีที่แล้ว

      Mimi nilidhani hiyo Ni Culture ya Wahindi. Ahsante Sana kwa kunifumbua macho. HIVI CHINA UMEISHI KWA MIAKA MINGAPI? 🙏🙏

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit ปีที่แล้ว +4

    Kafanya jambo la haki sanaa ..kwa hili familia ya utajiri wakiona watoto wanafanya vitu vinavyowapa ukinga .wanyimwe mali ili wajifunze kutafuta pesa wajue pesa zilivyongumu kuipata

  • @dangotee5051
    @dangotee5051 ปีที่แล้ว +2

    Asante snaa Sky Mung akuweke na hongera kwa kaz Makala iyi ulichambua vyema

  • @Dantaata
    @Dantaata ปีที่แล้ว +25

    jack chain mungu hakumpa bahati ya watoto wema

  • @khadijamasoud7261
    @khadijamasoud7261 ปีที่แล้ว +2

    Haya ni matokeo ya wazazi kua buzy na kutafuta maisha kwa ajili ya watoto na badala yake kusahau wajibu wao kuwalea watoto wao

  • @kanghanhankang1440
    @kanghanhankang1440 ปีที่แล้ว +6

    Dahh pole sana baba mzazi mungu akupe kila kitu maskin tunalia matajiri walaa

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +4

    Nakubaliana na maamuzi ya Jack Cheng kwa asilimia zote💯
    Mzazi akishamsomesha mtoto ni urithi tosha. Akishindwa na elimu ajibebe

  • @CyprianBCTanzania
    @CyprianBCTanzania ปีที่แล้ว +8

    Kufanikiwa kifedha na mali sio ndio kufanikia kimaisha maana unaweza kuwa na mafanikio makubwa sana kifedha na mali lakini bado ukawa mwenye kuteseka sana kimaisha na familia yako kwa ujumla ikawa ni kilio na majonzi kila uchao pi tusisahau (Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo), (mkunje samaki angali mbichi) na (usipoziba ufa utajenga ukuta)

    • @beathaeustace2638
      @beathaeustace2638 ปีที่แล้ว

      Ni kweli tuwalee watoto wetu ktk njia nzuri ili watufae baadae🙏

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว +33

    This is very sad, pamoja na msimamo wake lakini lazima inampa wakati Mgumu Kama mzazi. 😭😭

  • @mariej6962
    @mariej6962 ปีที่แล้ว +9

    Onyo kwa matajiri: Ukiwa na mtoto ambaye hana muelekeo wa maisha yake na kuendekeza starehe, kumuondoa kwenye urithi inaweza kuwa salama yako. Mtoto asiyethamini jitihada zako mara nyingi huamua kuwaua wazazi wao ili waweze kurirhi mali waendeleze starehe.

  • @neemamarenga1448
    @neemamarenga1448 ปีที่แล้ว +10

    Mungu bariki kizazi changu 🙏😌

  • @felixkato6283
    @felixkato6283 ปีที่แล้ว +6

    80 days for a rounding whole world😍😍😍😍😍

  • @kizitokasulamo9167
    @kizitokasulamo9167 ปีที่แล้ว +1

    Dah kabisaa ila kama mzazi lazma itamsumbua sana boraa aache wosia hiyo mali ije itumike na wajukuu tu

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว +5

    Forbidden Kingdom ✔️😍😍😍😍😍😍

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว +3

    Khaaaa Jack chain Yuko sahihi kabisaaa

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 ปีที่แล้ว +7

    Duuu ni huzuni kwakweli pole sana jak chain Bora wanyime kabisa toa sadaka zote maana watafanya kufuru na mambo machafu wewe pia utakuwa miongoni mwao kwasababu umewapa pesa WATU unajua Tania zao. Mbovu kidini hairuhusu hivyo BIG UP JAK CHAIN be blessed ♥️❤️💞💞❤️❤️

  • @ramasimba5665
    @ramasimba5665 ปีที่แล้ว +1

    Wakarudi Hong kong kama mke Na mke😂😂😂

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao ปีที่แล้ว +5

    Watoto wanaeza kusimamisha Mahila Sana🥺❤️makala nzuri sana bw sky❤️🇰🇪💥❤️🙌🏾

  • @farhatkhamis4401
    @farhatkhamis4401 ปีที่แล้ว +3

    Kafanya uamuzi mzuri sana maana apo hafanyi kwa kuwakomoa watoto au kuta tu kuonekana kwa watu ila zaid pia kwa kumiomba mungu amsame kwa yanayotokea kwa kupitia Mali aliyoichuma

    • @Jiby_Efri
      @Jiby_Efri ปีที่แล้ว

      Daaah inauma kbisa Wakati Baba alihangaika kuitaftiya familia ona sasa familia yenyewe. Mungu atupe vizazi vyema

  • @jameswisdomtz8580
    @jameswisdomtz8580 ปีที่แล้ว +18

    Kweli katika maisha haya mungu hawezi kukupa kilakitu watoto wa jack chan ndokama hivo

  • @mwajumariami2997
    @mwajumariami2997 ปีที่แล้ว +1

    Uyo wa kiume sawa lkn wa kikee kamuonea sana hatakm ana makosaa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +5

    Nakubaliana na jakchan

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 ปีที่แล้ว +6

    Ahahahahaaaa hii ya jack kutompa mtoto wake ht 100 ya urithi wake ni raha sana kila mtoto apambane n hali yke

  • @MADUBI
    @MADUBI ปีที่แล้ว +2

    SKY WALKER , YA MOTO HII🔥🔥🔥🔥

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 ปีที่แล้ว +17

    MUNGU tuepushe na vizazi vbaya ameen

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +7

    Dah kweli Mungu hawezi kukupa kila kitu

  • @sandraechiveraya8570
    @sandraechiveraya8570 ปีที่แล้ว +4

    Weh this is serious,,, I feel for Jacky Cheung both kids are troublesome,,, enyewe kulea is not easy,,,

  • @meddymachozy1161
    @meddymachozy1161 ปีที่แล้ว +4

    Anafanya hivo si tu kuwafanya wanaye wajtume,ila pia anafanya hvo hata kupata msamaha kwa Mungu kutokana na wanachofanya watoto wake na hata yeye kwayale aliyofanya kwenye maisha

  • @saidalssa3409
    @saidalssa3409 ปีที่แล้ว +12

    Great work I love it 😍

  • @rahmaalphonce7684
    @rahmaalphonce7684 ปีที่แล้ว +1

    sana nimesoma comments za watu lkni hii kitu haitoi sauti, cjui ni video or what?!!! it's offensive

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 ปีที่แล้ว +4

    Itapendeza sana ikiwa story kama hizo mutazikusanya na kuandika kitabu NAKALA 360

  • @officialnalapa1527
    @officialnalapa1527 ปีที่แล้ว +2

    Kwa style hiyo Bora tu pesa zake agawie masikin kuliko kuzipoteza kwa ao watt😡

  • @sabboficial
    @sabboficial ปีที่แล้ว +2

    Jack Chan yuko sawa ~kwani kudekezwa kwa watoto kunasababisha majanga pia pesa ina haribu watoto

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 ปีที่แล้ว +2

    Big hugs

  • @davidcurtis175
    @davidcurtis175 ปีที่แล้ว +8

    Kwa asilimia mia moja. Ameamua maamuzi mazuri mno Mungu ambariki, maana wapo watu wenye mahitaji na anakwepa kuwa mbinafsi. Mali itapotea na wangekufa mapema hata kama wanaishi, mtaani wanaitwa mfu anaetembea kama mateja.

    • @florarose1626
      @florarose1626 ปีที่แล้ว

      But hakufanya vizuri kumtenga mtoto wake Wa kike

    • @francisstephan5152
      @francisstephan5152 ปีที่แล้ว

      Dunia ya sasa hv amna mtoto wa kiume au wa kike tafuta pesa

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 ปีที่แล้ว +3

    Jack chan yuko sawa bora awape watoto yatima hizo hela kuliko hivyo vilaza

  • @amirikoshuma6022
    @amirikoshuma6022 ปีที่แล้ว +9

    Sky tunataka utuletee Stori ya kutekwa ndege ya air Tanzania miaka iye ya Baba wa taifa

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +6

    Dah wanaichezea bahati awa sema baba Yao na mzazi kweli kweli hataki utani katika malezi ukizingua nayeye anazingua Safi sana

    • @aksharacosta4431
      @aksharacosta4431 ปีที่แล้ว

      Yaan wengine tuna pata shida uku wengine wanachezea bahati

  • @gwantwaosward835
    @gwantwaosward835 ปีที่แล้ว +4

    Jack chain yuko sahii kwani malezi mabovu yakudekeza watoto si mazuri hayajengi bali yanaharibu ufahamu wa watoto hivyo wazazi wanatakiwa kiwa makini sana akuna sehemu nyingine yakujifunza zaidi ya uku

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 ปีที่แล้ว +7

    Minaona kafanya bora atapata malipo yake kw MwenyeziMungu kuliko kuharibu kw watoto wasio jielewa, afadhali awape masikini watamtilia Dua

    • @ireneisack6671
      @ireneisack6671 ปีที่แล้ว +1

      Nikwel lakin mashilika ya ss nayo yanapiga

    • @issrahayattv1356
      @issrahayattv1356 ปีที่แล้ว +1

      @@ireneisack6671 yanapinga maana saizi ulimwengu y ss wengi tumepotea tunachangia nkuunga vilvyo katazwa n Mollah kama sasa hayo mahusiano y jinsia Moja, sikuhizi imekua kawaida tu

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +3

    Nakubaliana na uamuzi wa jack chan

  • @ahz6907
    @ahz6907 ปีที่แล้ว +7

    Jackie yupo sahihi

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 ปีที่แล้ว +6

    apewe msaada,na sio lazima afanikiwe kama baba yake

  • @trillionthamani
    @trillionthamani ปีที่แล้ว +4

    Mwehu mimi dingi ukiwa hivo sisunirii ufe nakuua.nifundishe kuendeleza pesa zako kama warabu wanavyofanya.wewe mtoto umemdekeza halafu unataka matokeo yaweje,angewalea vizuri isingekuwa hivo

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 ปีที่แล้ว

      Duuuh unaua baba Mungu akusamehe, tafuta zako

  • @verceskaingu1372
    @verceskaingu1372 ปีที่แล้ว +2

    Woow so sad

  • @eve3894
    @eve3894 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana sky nimeipenda

  • @kadreenakitchen8098
    @kadreenakitchen8098 ปีที่แล้ว +7

    Yuko sahihi baba Yao watoto watafute Yao

  • @emmanuelbageni4388
    @emmanuelbageni4388 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliana jack chan

  • @queenmariposa799
    @queenmariposa799 ปีที่แล้ว +3

    Kwa maelezo hayo ni wazi kabisa Jack Chain ni Mbinafsi na sio Baba Bora.... Alichangia kwa kiasi kikubwa hao Watoto kuharibika badala ya kufix alipovunja yeye anakimbia..... Watoto wake aliwaacha walelewe na Mama zao huku yeye akiwa busy kutafuta Fame halafu leo anadai hawapi watoto wake mali zake hajui kua wale Watoto hawakuhitaji Pesa bali Upendo na Uwepo wake....
    He has to feel guilty and shame.

  • @paschalnkuba
    @paschalnkuba ปีที่แล้ว +2

    Pamoja na hivo watoto Bado ni matajir tu

  • @hamidjuma2357
    @hamidjuma2357 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri

  • @user-xu8ui8db5j
    @user-xu8ui8db5j 11 หลายเดือนก่อน

    Yuor

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 ปีที่แล้ว +2

    yupo sawa kabisa chan

  • @kelvinbundi922
    @kelvinbundi922 ปีที่แล้ว +4

    He is right to donate his money to orphans if his children are like this with story I have heard.

  • @chrisk.efreestylerofficial149
    @chrisk.efreestylerofficial149 ปีที่แล้ว +2

    Watafte master mkali kama Jet lee awafunze kung fu alaf wamwendee huyo jackie

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว +4

    Duuhh!! hiyo nafasi ningeipata mimi nisingeichezea ningesoma sana so sad

    • @Dantaata
      @Dantaata ปีที่แล้ว +1

      unahisi kusoma ndio kufanikiwa

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว +2

      @@Dantaata Wap nimeandika kusoma nikufanikiwa? Kusoma hakukufanyi ufanikiwe bali huondoa ujinga lakn akili ya maisha ndiyo hukufanya ufanikiwe nimesema kusoma sana kwasababu elimu ina mchango wake especially kwa mtoto mdgo ili akili yake iwe sharpened na awe critical thinker mfano usomaji wa vitabu siyo lazima iwe elimu ya darasani kuna vitabu mbali mbali na short course mbali mbali mfano ukulima

  • @stephansimkoko1193
    @stephansimkoko1193 ปีที่แล้ว +11

    Jack chan yuko sahihi sana, mwanae atafute pesa zake mwenyewe!

  • @jamespilimo8986
    @jamespilimo8986 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa mitoto yake yote bomu

  • @samwelandrew7625
    @samwelandrew7625 ปีที่แล้ว +4

    Siku zote Kwenye miti hakuna wajenzi

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 ปีที่แล้ว +6

    Inauma sana aisee 😭😭

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 4 หลายเดือนก่อน

    Mzeh jack yuko sahii Sana

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 ปีที่แล้ว +2

    Duh 😭😭😭😭

  • @agapemunyi2095
    @agapemunyi2095 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wenyew wanaoongelewa wa mwisho ana utajiri wa bilion 2 mwingn 4 🤣🤣 kibong kibong hii tunaitaje

  • @felixkato6283
    @felixkato6283 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awasamehe

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 ปีที่แล้ว +7

    Hao watoto wamefanana na baba yao mnoo
    Sisi wa kufanana na baba sisi hatunaga mahusiano mazuri na wazee wetu

  • @Callkingb
    @Callkingb ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli china 🇨🇳 unaruhusiwa kupata mtoto mmoja tu

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว +4

    Asilimia kubwa ya watoto wa wenye pesa Mara nyingi huwa wafujaji pesa pasipo na uchungu Sana mi naona amefanya vyema ili awafunze na wapate uchungu wa kutafta na waone uchungu wa kuitumia pesa bila ya ustaarabu

  • @aaii8301
    @aaii8301 ปีที่แล้ว +4

    Wallah pesa haiwezi kumpa furaha mtu pesazote izo akili ana amani nawatotowake

  • @hustondara4724
    @hustondara4724 ปีที่แล้ว

    Alikua iko sahih sabb asie jiwez kwa kile kidog alicho nacho hawez kujiwez kwa kile atakacho ongezewa

  • @lucydaniel2855
    @lucydaniel2855 ปีที่แล้ว +7

    Nataman mali zake asimsaau mtoto wake wakike cz akuwai kumpa chechot ata love tu toka kazaliwa

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 ปีที่แล้ว +4

    Sawa Sawa kabisa

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 ปีที่แล้ว

    Mmh aisee

  • @marymissb5231
    @marymissb5231 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli uy anakili

  • @tanzaniatocanadamovies2201
    @tanzaniatocanadamovies2201 ปีที่แล้ว +8

    I'm sorry for Jack 😭😭

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Dah!

  • @idinado4524
    @idinado4524 ปีที่แล้ว

    Yupo saw

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +7

    Maskin unaomb Mungu akupe watot watot wenyew wanakuw km hivi labd han baht nawtot wake

  • @papasalome
    @papasalome ปีที่แล้ว +1

    Urithi Kwa MTU ambaye hajaokoka ni shida kubwa;mlevi,mzinifu,mwenye kiburi,...akipata Hela ndipo anazidi kuharibu nakuharibika

  • @husnamtunguja4856
    @husnamtunguja4856 ปีที่แล้ว +1

    Good Mr sky 👣

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว +9

    😣😣😣Mungu wangu! Sijui niseme hana bahati nawatoto ama?

  • @tungiihaama2729
    @tungiihaama2729 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza 💃

  • @bonita329
    @bonita329 ปีที่แล้ว +8

    nyie kuna wazazi hapa duniani wanapitia mateso juu ya watoto wao😥

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli my dear,maana mm nimewaza nimeona hata mm Nina afadhali Kwa mama yangu,

  • @dailystories4513
    @dailystories4513 ปีที่แล้ว +5

    Being in china, hii ni kawaida.. wachina wengi ma don huwa watoto wao wanaisha maisha ya kuparty bila kutafuta vya kwao, Kwa maana atakama wakitafuta hawatofikia vya wazee wao ndo maana

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 ปีที่แล้ว

    Dah mitigani kweli kweli.

  • @cathpaul2563
    @cathpaul2563 ปีที่แล้ว +5

    Nasubili utupatie sajata la Ronaldo 🔥🔥
    Uamuzi wa club ya utd

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nakubaliana nae kbs

  • @vickyandrew553
    @vickyandrew553 ปีที่แล้ว

    He was never there for their growth

  • @marymumo4796
    @marymumo4796 ปีที่แล้ว +1

    Woooooiiii,,,anyway ni life

  • @DodatiAssey-ep5ou
    @DodatiAssey-ep5ou ปีที่แล้ว

    Kaka ongera stories nzuli sana

  • @dan-konjembe5913
    @dan-konjembe5913 ปีที่แล้ว +1

    Anahaki ya kuwanyima watoto wake

  • @fatmaabeid9668
    @fatmaabeid9668 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani huu wa watoto

  • @samsonidelya3570
    @samsonidelya3570 ปีที่แล้ว +5

    Wa 3 watoto hawa vp Tena ngoja nisikilize

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 ปีที่แล้ว +2

    Nihatari kweli

  • @OmanOman-sm6dv
    @OmanOman-sm6dv ปีที่แล้ว +1

    Nisawa tu kama mtt kashindwa kutunza pesa za baba zake ataweza

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว +6

    Anakili sana uyu mwamba