JOSEPH KONY: Jinamizi la HATARI lililoisumbua Afrika, Jinsi waasi wake wa LRA walivyomtesa Museveni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 57

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kwa wana sns nilipitwa na hii

  • @karmaheritierkarma1194
    @karmaheritierkarma1194 5 หลายเดือนก่อน +6

    Shukrani sns nakifatiliya kutoka Congo Kinshasa

  • @NasibuKitwana
    @NasibuKitwana 5 หลายเดือนก่อน +12

    Yani wewe CEO mwenyewe ukichambua Habari yoyote lazima nielewe Yale nisiyoyajua!Natamani siku Moja utuletee makala ya jinsi Tanzania ilivyoisadia cndd fdd ya Burundi kuchukua nchi!! Kweri wewe ni mtalaam big up.

  • @deomloka683
    @deomloka683 5 หลายเดือนก่อน +8

    safi sana huwa nasubiri sana makala 360 natamani iwe kila siku

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg 5 หลายเดือนก่อน +5

    Asante sana kwa makala nzuri

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ooyes fantastic story frm vanuatu🇫🇯

  • @mchinathegreat9619
    @mchinathegreat9619 5 หลายเดือนก่อน +5

    SNS here We Go

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee amri 10 za mungu halafu full ushenz

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 5 หลายเดือนก่อน +5

    Huo ndio ujinga wa sisi waafrika kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa maslahi ya nchi za magharibi..hovyo kabsa

  • @sulwajackson6906
    @sulwajackson6906 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa MAkala hi!nilitamani kujua sana juu ya uyu Joseph kon

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eti nikatili Hata Iddib Amin tulidanganywa sana

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      UKWELIII
      KBSAAAAAA
      HAKUA KATILI WALA GAIDI

  • @mirajimwango5763
    @mirajimwango5763 5 หลายเดือนก่อน +1

    good work bro bundala

  • @amoogrem
    @amoogrem 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ambae hakujui kaka atakua anachelewa wewe ni miongoni mwa wahasisi wa hizi simulizi binafsi nimeanza kukusikizo toka nikiwa mdogo kipindi hicho ulikua redio free Africa kwenye hizi kazi huna mpizani kaka 🙌

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndo mwamba sasa😀😀😀🔥🔥🔥🔥

  • @kingcole60
    @kingcole60 5 หลายเดือนก่อน

    Makala 360 🔥🔥🔥

  • @user-ux3jl9cl4w
    @user-ux3jl9cl4w 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan aliekamatwaga mpakan mwa Tanzania yure nan

  • @songainc2130
    @songainc2130 5 หลายเดือนก่อน +7

    Uyo jamaa ni joo anasaidia raisi WA Uganda kupora na kuuwa ichini congo uyo na raisi WA Uganda kitu kimoja

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      Eeweeeeeh_🤔

    • @mn1994
      @mn1994 5 หลายเดือนก่อน

      Don't talk nonsense which u don't know

  • @anthonymsongela4677
    @anthonymsongela4677 5 หลายเดือนก่อน +2

    😊 Joseph kony mtu hatari sana

  • @saxenaofficial4168
    @saxenaofficial4168 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 5 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wazungu hao wanamtengeneza mtu wanaompa siraha na pesa anapunguza watu weeeee! baadae utasikia ghaidi

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba pia makala ya John Garang na Jonas Savimbi

  • @ayietatitus8856
    @ayietatitus8856 5 หลายเดือนก่อน

    Frederick Bundala, sky walker.

  • @arafatmosha78
    @arafatmosha78 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hii sauti ya Nani?

  • @juliassamwel3232
    @juliassamwel3232 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unacha kujifunza kutoka kwa jamal April 😅😂

  • @ZamzamZamzam-uy3qb
    @ZamzamZamzam-uy3qb 5 หลายเดือนก่อน

    Brother chunataka story book 📖 ya alshabab somali

  • @user-bi7wf4nz2d
    @user-bi7wf4nz2d 5 หลายเดือนก่อน

    Sky ku a hii habari ya mama na mtt wanatangaza mziki wa singeli huko Spain irushee ni hot Tanzania to the world

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 5 หลายเดือนก่อน +2

    Anaitwa lod of war

  • @angelogirumugisha6301
    @angelogirumugisha6301 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba huyo

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo amseme ukwela idiami uganga awemwiti katili

    • @sleifikhajjir262
      @sleifikhajjir262 5 หลายเดือนก่อน +2

      idd Amin dada alikua sio katili bali alikua kwenye haki na mwangu wake wa kukuza uislam katika tanganyika bara maana Zanzibar ilikua uislam tayari ulishafika ila kanisa likamuangusha na mpango wa Julia's nyerere

  • @user-fx3zd3zh7t
    @user-fx3zd3zh7t 5 หลายเดือนก่อน

    Yes nilikuwa natamani nisikiye that story santeni 🇸🇪

  • @vyogomasster1299
    @vyogomasster1299 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbn story imetoka kusimuliwa wasafi ijumaaa hiiii imekuaje iyooo

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 5 หลายเดือนก่อน

      Alie anzaa ni sns hao wasafi wakooo wanapenda kutafniwa, fyuuuuu

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 5 หลายเดือนก่อน

    Yuna

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wanashtakiwa waafrika tu 😂😂 mahakama kwa ajili ya kukandamiza Africa na kuuza silaha zao

  • @alexmwesiga3603
    @alexmwesiga3603 5 หลายเดือนก่อน

    Aliyeapishwa sawa ni Okero, mkuu wake wa majeshi aliitwa Oite Ojoki alitunguliwa na majeshi ya Mseveni akiwa ndani ya helicopter.

  • @marcodaud1005
    @marcodaud1005 5 หลายเดือนก่อน

    Mwambie shemeji Frank aongeze bidii kuandaa Makala 360 angalau kwa mwezi mara mbili

  • @saidimwanga444
    @saidimwanga444 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona sikuwasikia akina Godfrey Binaisa na Yusufu Lule kwenye uongozi wa Uganda?

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 หลายเดือนก่อน

    Haya yote niwazungu kututumia sisi kwasisi tuuane

  • @antonykhamati6387
    @antonykhamati6387 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kama alikufia msituni.

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 5 หลายเดือนก่อน

    Waasi wote wanatengenezwa na Wazungu kwan kony angepata wap uwezo huo?

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 5 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba makala ya savimbi

  • @lameckbuya7569
    @lameckbuya7569 5 หลายเดือนก่อน +3

    Propaganda ukiwa na strong decisions unafadhiliwa mbona Iko waz

  • @softtlipssTv
    @softtlipssTv 5 หลายเดือนก่อน +2

    Likeeeeee....

  • @emmanuelmudaheranwa2263
    @emmanuelmudaheranwa2263 5 หลายเดือนก่อน

    tunataka makala ya rwanda RPF.. nakukomboa inchi

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 5 หลายเดือนก่อน

    Wapi dj sma
    Mwambie putin ameliamsha dude atuletee madini ya makala zake

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 5 หลายเดือนก่อน

    Chuma

  • @ibalulacapierre1815
    @ibalulacapierre1815 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo Jamaal sio lolote ni kio kinacho tumika kwa marecani kuipatiya silaa Uganda 🇺🇬 ili iendelee kuivamiya congo 🇨🇩 wakisaidiyana na rwanda 🇷🇼 maana silaha sinazo vamiya Congo 🇨🇩 sinatoka umarekani na inchi zakimangaribi rwanda 🇷🇼 Uganda 🇺🇬 azinunui silaha Bali wanapewa na mabeberu ili kuvamiya congo 🇨🇩.

  • @12322879
    @12322879 5 หลายเดือนก่อน

    Nmewahi kuonana naye huyu devil

  • @EphraimWekesa-je7gy
    @EphraimWekesa-je7gy 5 หลายเดือนก่อน

    Wengi wamesema att Joseph nkony ni Mungu wengine wameamini att Joseph nkony alikua Muchawi wa bala la African. Uyu jama alikua ni mponyaji. Alikua na tengeneza kila dawa. Tena alisaidia selikali ya Congo, Uganda, Sudan, na Rwanda,

  • @softtlipssTv
    @softtlipssTv 5 หลายเดือนก่อน +1

    📺📺📺📺📺📺📺📺📺