Dadaa unaongea vizuri sanaaaa...Kunakitu unacho iaseee.Skia dadaangu,Huu ndio mwanzo wako wa mafanikio....Kila jambo huja kwa sababu.....Lakini pia kuvunjiwa au kufungiwa kwa biashara kwa watyu hawa ghafra sio jambo zuri... Tafadhali ongeen tena na watyu Hawa kwa hekima ili mambo yaende sawa.. SHUKRAN
@@joycemfuru4752 wewe ni mwanamke huenda pia ni single mother kwahiyo huwezi ukanielewa baki na ubishi wako ila ukweli ndio huo familia ya mama huwa ni lege lege
Suo kila kitu ni mama mengine wanambmbikizia mkoa una Mkuu wamkoa kuna mkurugenzi sasa samia anahusikaje,hata mkuu wa Mkoa inawezekana hajui ilo ni swala la mkurugenzi
Ila huyo dada kasema mkuu wa wilaya kashaga fika mahali akaruhusu kuendeleza vyashara vyao mpaka soko litakapo malizika sasa kwanini wawachokoze.tatizo ni watendaji waserikali wanakusa ushirikiyano mno.
Mungu tusaidie.Mama yetu sikia kilio cha wafanya biashara walau kue na hauen kwasbb kodi tunalipa huu ukaguzi wa mikoan sio mzuri tunakosa uhur wa kufanya biashara kwa amani sasa kama hapo wanafukuzwa kumbuk ajira amna namna pekee ya wao kujiokoa ni chinga bsness sasa wakinyanyasika bas ndo unakuta wengine wavuta bang wengine kujiuza hii sio sawa
NAWAKUBALI MAMONG'OO WA ARUSHA,MNAJITAMBUA,MNAKINUKISHA CHAP CHAP DHIDI YA HAO MAPOYOYO. MAISHA YAMEKUWA KAMA MCHEZO WA KUIGIZA,KILA SEHEMU WANANCHI WANAISHI UTADHANIA WAKO CHINI LA KOLONI LILILO FIRISIKA AKILI
Hii nchi kwasasa maskini hana chake wanaoishi kwa amani ni matajir tu ee mwenyezi MUNGU tujalie tena rais mwingine ambaye atakuwa mtetezi wa wanyonge tunaishi kama wakimbiz kwenye taifa letu
Tatizo la viongozi maDc na Ma Rc wanasemaga kuwa hao ni kaboss wao so hii tabia itakua mwananchi kutotii mamlakaaa na miongozo ya serikali kwasababu wanaamini ni maboss
Huu mfumo wa biashara holela ni serikali na wanasiasa wenyewe ndio wameulea,na haya ndio matokeo yake hawapendi kupangwa kwa kuwa wanajua watalipa kodi. Nendeni mkajifunze RWANDA namna wanavyoendesha biashara kwa nidhamu,na hata bodaboda wao wananidhamu. Ni kwa nn tununue bidhaa za kula kwenye mazingira machafu kwa hoja eti ni wapiga kura?
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k Ndugu yangu usafi ni moja ya tunu ya binadamu na ndio unaolinda afya zetu iwe ni nyumbani au nje,ni kwa nn basi tusifuate ushauri wa wataalamu wa afya?kwani unadhani ni ghali sana kutengeneza kaalumian au chuma ndogo na kupanga bidhaa vizuri?Dunia yote imebadilika na hawauzi chini na kwenye magunia kama sisi baadhi ya waafrika tunaoendekeza Siasa hata kwenye usafi
Nawakubali sana watu wa Arusha mnamisimamo ingekuwa mikoa yote ipo kama Arusha hawa wahuni wasingekua na power
Duh Arusha noma sana Makonda kazi unayo baba AISE Mungu akusaidie mkoa hauishii vituko kila siku
Makonda pole yake jamani aongezewe Mshahara
Kwa Makonda issue ndogo sana. Sema wahusika ndio itakula kwako akitinga hapo na kusikiliza hoja.
Makonda ameanza kupingwa vita na manyang'au ya nchi hii
@@robertzamani5612 nikweli kabisa ila viongozi wanakazi sana yaani kazi kubwa mno Mungu awasaidie kwakweli
@@GibsonNtamamiloĺ0😊😊8
Dadaa unaongea vizuri sanaaaa...Kunakitu unacho iaseee.Skia dadaangu,Huu ndio mwanzo wako wa mafanikio....Kila jambo huja kwa sababu.....Lakini pia kuvunjiwa au kufungiwa kwa biashara kwa watyu hawa ghafra sio jambo zuri... Tafadhali ongeen tena na watyu Hawa kwa hekima ili mambo yaende sawa.. SHUKRAN
RIP MAGUFULI uliwajali sana wamachinga na ukawatengenezea had vitambulisho ili wasinyanyasike kama hivi sasa
Ifike mahala Mungu aikumbuke tena nchi yetu atupe raisi kama Magu🙌
Kweli kabixa maana Hakuna Wanacho kifanya huko Zaid sa Safari2
Goodfrei Thomas mambo, unafanya vizur sana
Arusha ni nchi ya tatu Tanzania Ina sheria zake km tz nzima ingekuwa hiv basi asingekuwepo mnyonge
Au vipi ? Imeisha iyo
😂😂😂
Nchi ya tatu😂😂😂😂😂😂😂
@@zainab8251Kuna Tanganyika,Zanzibar na ya tatu ni Arusha
poleni san wana arusha mama samia naomba watafutie hawa tu sokonzul wache kuishi kwahifu
Yaani Mungu atusaidie Arusha tunaliwa hovyo...
Hiyo ni Arushaaaaaa nawapenda sana mkiamua hakuna wa kusogea
Wewe una akili kwel Kuna mwanainch anaamua mbele ya serikali 🤔🤔
Hapo mimi nashindwa kuwaelewa, Sasa kama mnapokea Kodi Yao tayari mnakuwa mmeshawatambua .
Rambo yupo tengeru jikuteni migambo mchapwe.. wala hamna kupigana ni mnachapwa 🙌🏾🙌🏾
Kamandayukojazinisheriaifutwe
Siku zote familia inayoongozwa na mwanamke huwa haikosi mazaifu 😊
muongo mkubwa wewe fuatilia vizuri hujielewi
@@joycemfuru4752 wewe ni mwanamke huenda pia ni single mother kwahiyo huwezi ukanielewa baki na ubishi wako ila ukweli ndio huo familia ya mama huwa ni lege lege
Iyi kabisa niagizo la mama !nimefatilia kauli ya mama imeanza kunvunja moyo makonda asiwe na utendaji sabiti !
Kweli Mama kasema kuna wakuu wa mikoa bado miungu watu
huyu dada nomaaaaa anaongeaaaa hatariii🤣🤣🤣🤣
Safi sana mkuu kuna mtu ataka 10 hapo ndio watolewa
Arusha oyeeeeee
Tatizo linaletqa tatizo linaondolewa duh.Mungu saidia hii nchi yetu.
Safi sana
Watanzania wangekuwa na vichwa vizuri kama Waarusha hii nchi ingekuwa ishakombolewa
Makonda pole kwa hali kama hiyo watu wamepinda.
We umenyooka umewasaidiaje wanyonge?
Njihi ameharipika tanzania yetu jamani imeisha raha
Inatakiwa Watanzania tuwe kama Wana Arusha tutafika bali tukiwa wamoja kama hiyo viongozi uchwara lazima wakae
Hivi mnanini huko Arusha mkuu WA mkoa afukuze watumishi wote maana hao ndio watamhalibia sifa
Ama kweli Arusha ndo Tz
Fungeni hadi waache ujinga,haiwezekani soko lipewe mtu binafsi kwa kusingizia ni marekebisho ya soko kumbe ni ulaji
Matukio
Arisha Wana msimamo sana
Watanzania wanateseka jamani😢😢😢😢mabank wameruhusiwa kuwaibia kwa mikopo, serekali inawaumiza na kodi😢😢😢
Hahaha Arusha mko powa sana
Kuna muda huwa nawapenda 😂😂😂
Walikuwa wanasubiri uchaguzi upite hiyo ndo ccm
Nabii Edmund alisema anaona vurugu Arusha tuiombeee asee manabii wa Mungu waish milele tuombe tu
Mim naamin Kuna manabii Kaka na nakuo mbea nawewe IPO siku Tu utawaamin Tu..
Naitwa RAMBO
Pakia nyanya ndani ya rambo
Nchi ya Arusha ⁉️🙌
Kunakituo cha police pale mazingila sio rafiki kwetu😂😂😂
Umeona eeehh😅
@@Hellen-i2y 😂
Nimeipenda hiyo
Raic anausika na nn sheria za nchi zifuatwe nazani awa watu wakiachwa ata barabarani watapanga vitu kama wanapewa maeneo na awayataki nn kifanyike
Chuga is Tz . Kumbuka Wadudu wanasema Mungu akitaka kupumzika anskuja Chuga😂
Makufuli daaa lalaha powa
Naomba serikali ikae kikao na viongozi wa soko kuleta Amani na utulivu hapo sokoni
Tabia uwa na Tabia zakuanbukizanaa Wakenya Washawambuukizaa awaaa
Suo kila kitu ni mama mengine wanambmbikizia mkoa una Mkuu wamkoa kuna mkurugenzi sasa samia anahusikaje,hata mkuu wa Mkoa inawezekana hajui ilo ni swala la mkurugenzi
Makonda yuko wapi?!
Hii ndo arusha nchi inayojitegemea.kila mtu anajua haki yake.
Soko la tengeru ni shughuli
Mme upga mwiing Wana arusha
Hawa si wale waliokuwa na Magu jamani akira hakuna waacheni vijana watafute maisha
Aisee Arusha noma
Ila huyo dada kasema mkuu wa wilaya kashaga fika mahali akaruhusu kuendeleza vyashara vyao mpaka soko litakapo malizika sasa kwanini wawachokoze.tatizo ni watendaji waserikali wanakusa ushirikiyano mno.
Miaka inav zidi kusonga watu wanazid kuwa wajanja haitakuwa kenya t
Halmashauri mkono wake haukosekani sehemu nyingi
Mama aache kutengeneza fujo alafu aje kujifanya kutatua ili watu wamkubali Ni upuuzi tu hata Dodoma manyanyaso yapo
Wadudu
UNITY IS THE POWER
Mungu tusaidie.Mama yetu sikia kilio cha wafanya biashara walau kue na hauen kwasbb kodi tunalipa huu ukaguzi wa mikoan sio mzuri tunakosa uhur wa kufanya biashara kwa amani sasa kama hapo wanafukuzwa kumbuk ajira amna namna pekee ya wao kujiokoa ni chinga bsness sasa wakinyanyasika bas ndo unakuta wengine wavuta bang wengine kujiuza hii sio sawa
Abdal
Makonda raisi wetu
Matunda ya siasa
Yani nchi upuuzi tu Kisa Mtu anapata mshahara basi unanyanyasa wengine
Ubabe Mhe Rais amekataa kwa wateule wake likiwemo hili
NAWAKUBALI MAMONG'OO WA ARUSHA,MNAJITAMBUA,MNAKINUKISHA CHAP CHAP DHIDI YA HAO MAPOYOYO. MAISHA YAMEKUWA KAMA MCHEZO WA KUIGIZA,KILA SEHEMU WANANCHI WANAISHI UTADHANIA WAKO CHINI LA KOLONI LILILO FIRISIKA AKILI
Viongozi liangalieni ili mkojo mdogo mdogo ndiyo unao lowesha chupi
Du! Kweli
Kesho mama atawaruhusu msijali ana upigamwingi
Hii nchi kwasasa maskini hana chake wanaoishi kwa amani ni matajir tu ee mwenyezi MUNGU tujalie tena rais mwingine ambaye atakuwa mtetezi wa wanyonge tunaishi kama wakimbiz kwenye taifa letu
Inauma sana
Magufuli baba
Iv wamachinga imeikosea nini serikali ya iawamu ya 6 Naomba watambue ii ichi yetu sote
Hii ilikua inatakiwa iwe nchi japo mimi sio wa mkoa bigup kasikazini.siowakinaduhushidaa
Nimempenda RAMBO😂😂
Dar waoga utadhani watoto waliokomba mboga
Tupambane mpaka tonelamwisho
Vitambulisho viliendaga wapi tena
Mmh hii ndio chuga
Rambo ar the wheel 🛞🛞🛞🛞 mgambo mtachapwaaaa
Mama yupo na matajiri wanyoge mtaisoma namba
Hii ni nchi gani?
Jamani mbn mkuu wa mkoa anatetea wanyonge
Wacheni kufanya kazi kwa mazowea 😢
Tatizo la viongozi maDc na Ma Rc wanasemaga kuwa hao ni kaboss wao so hii tabia itakua mwananchi kutotii mamlakaaa na miongozo ya serikali kwasababu wanaamini ni maboss
Hapo BILA MAKONDA HAPAJAKAMILIKII
Mgomo sio kosa kosa ni uharibifu
Huyo dafa sio wa nchi ya chuga bana
Huu mfumo wa biashara holela ni serikali na wanasiasa wenyewe ndio wameulea,na haya ndio matokeo yake hawapendi kupangwa kwa kuwa wanajua watalipa kodi.
Nendeni mkajifunze RWANDA namna wanavyoendesha biashara kwa nidhamu,na hata bodaboda wao wananidhamu.
Ni kwa nn tununue bidhaa za kula kwenye mazingira machafu kwa hoja eti ni wapiga kura?
We nenda uishi RWANDA sasa, hii nchi yetu atutaki kuing'a kwa watu wegine sisi tutapambana nayo hivo hiv
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
Ndugu yangu usafi ni moja ya tunu ya binadamu na ndio unaolinda afya zetu iwe ni nyumbani au nje,ni kwa nn basi tusifuate ushauri wa wataalamu wa afya?kwani unadhani ni ghali sana kutengeneza kaalumian au chuma ndogo na kupanga bidhaa vizuri?Dunia yote imebadilika na hawauzi chini na kwenye magunia kama sisi baadhi ya waafrika tunaoendekeza Siasa hata kwenye usafi
Yeah umeongea point atayekupinga ni zezeta freedom without control is bullshit
We ni lijinga kabisa!!@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
Ungefanya uugwana sana kama ungewasafirisha kufika huko Rwanda kupata elimu
Utafanyiaje biashara pembeni mwa barabara je gari likikosea njia likawaburuza watamlaumu nani? Waingie ndani wote na maeneo yao yalishaandaliwa
Kwa nino
Nchi hii haki inatafutwa kwa ngufu hii ndiyo taabu
Jamani
Simakonda yupo?.
Makonda atawaidia maxkin jaman
Kulikua hakuna vurugu enzizamagufuli wetu wayonge tulikua na amani sana
Chuga hawatishwi ni noma tupu
Magufuli kaondoka tuna nyanyaswa kilakona tunanyanganya mpaka mashamba wanapewa mayajiri sisi wanyoge tufenjaa niwauaji wanakula wao nafamilia zao
Migambo wakija tunawachapa😂😂😂
Ndg tumie madaraka vzr kina kesho
Mtihan huu kuwanyanyasa ivi wananchi watu wana familia makonda ukiona hii lazma uwatumbue hao watu kiukweli ikiwa halmasharau au wengineo
Tengeneza tatizo afu ulitatue upate kukubalika Zaid ...picha naliona kwa mbele litakavyokuwa waliosoma Cuba pekee ndio wataelewa huu mchezo
Hahahahaha
D2
Kuna kituo cha Police 😂😂😂 waliko hamia
migambo wakija tunawachapa😂😂
Sasa TANZANIA umekua Kenya sasa
Hahahahahaha eti tunamtaka Makonda wetu aje hahahahaahahhaahhahahahahaa MAKONDA BABA POLE WALAH
Itaendelea wiki ijayo..........
Watu wa Arusha oyeee mmepinda kinyama 😂😂 Yani hadi wa fanya biashara wa wa mkoa wa Dar hawawezi ngoma hii 😂😂