ALIYEPEWA SHAMBA NA MAGUFULI ADAI KUDHULUMIWA NA MKOA, MKUU WA MKOA AWAKA "ACHAKUMDANGANYA MWENEZI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 523

  • @MarwaRange-m2e
    @MarwaRange-m2e ปีที่แล้ว +17

    Fanya kazi baba makonda uko Safi unaweza ukawa kiongozi bora sana brother

  • @mms9158
    @mms9158 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mr makonda Alla akupe umuri uendelee hivohibo kuwasaidia wananchi ❤

  • @mrsab303
    @mrsab303 ปีที่แล้ว +34

    Makonda you reminded me Magufuli good job ❤❤❤❤

    • @selemanimchana3598
      @selemanimchana3598 11 หลายเดือนก่อน

      He fight for the next election 2025, haya maisha bhana Mimi nimechill tu

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@selemanimchana3598Akichaguliwa na akafanya hivi ndipo tutajua kwamba ni mzuri ama mbaya

    • @FatumaShaban-g7g
      @FatumaShaban-g7g 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 ปีที่แล้ว +9

    Mama Asante sana, Mungu akupe umri mrefu Kwa kumrejesha Makonda. Msamehe na kumkumbuka Tena katika ufalme wako, ALI HAPI na SABAYA. 🙏🙏

  • @leonardkinanda3284
    @leonardkinanda3284 ปีที่แล้ว +58

    Muheshimiwa Makonda! Nakufurahia sana! Bado namuomba Mungu akulinde na macho ya husda

  • @daudbulba9153
    @daudbulba9153 ปีที่แล้ว +70

    Naposikia haya namkumbuka hayati magufuli aliko mungu amuraze pema makonda big up sana magufuli wa pili anakuja

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 8 หลายเดือนก่อน

      anakuja arakini😭😭😭 arakini uhhhmmmmmm😭😭😭😭😭

  • @AlphonceJumanne
    @AlphonceJumanne ปีที่แล้ว +16

    Ama kweli makonda nimekukubali upo vizuri kaka piga kazi

  • @elinipendokarisha9570
    @elinipendokarisha9570 ปีที่แล้ว +24

    Mh. Makonda ni chuma cha pua....he is a man of the peple

  • @MartinLugayila
    @MartinLugayila 3 หลายเดือนก่อน

    Bg up sana bro makonda Mungu akupe nafasi ya juu zaidi uhudumie wananchi zaidi

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 ปีที่แล้ว +36

    Makonda mungu akuweke sana mimi nakuahidi mungu atakusimamia na endelea ktk hilo

  • @alexandersangi1724
    @alexandersangi1724 ปีที่แล้ว +16

    Mm nazani makonda baada ya mama ufate wewe kuwa Raisi.

  • @nurumwenkale7278
    @nurumwenkale7278 ปีที่แล้ว +25

    Hamna mkuu wa mkoa hapo huyo mama yupo upande wa wawekezaji si aseme tu na Hana mpango wa kusaidia wananch

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว +10

    Ni huzuni Sana Tanzania yangu 😢😢😢😢😢kila kona ni kilio dhuruma imetawala

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 11 หลายเดือนก่อน

      Yn ni haibu nchi ya hamani tunajulikana dunia nzima lkn ndan ya mchi akuna hamani imejaa zuruma tupu

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 ปีที่แล้ว +54

    Bado Kuna Mt anaitwa ALLY HAPPY apewe nafasi mchapa Kaz kweli naye, wakiunganishwa na huyu mwamba itakuwa

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 ปีที่แล้ว +3

      kwel kabisa yaani ni watu ninaowatamani jumlisha sabaya nchi ingekua mwake

    • @hopehealthcs3294
      @hopehealthcs3294 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wow true

    • @aishaabrahaman9957
      @aishaabrahaman9957 11 หลายเดือนก่อน

      Yulee yupo busy na ukulima abaki tuuuh uko uko

    • @MgangaDaud
      @MgangaDaud 11 หลายเดือนก่อน +3

      Anhaa! Kaka umemsahau LENGAI OLE SABAYA! Na yeye arudi serikalini

    • @abdulmelele7322
      @abdulmelele7322 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ally Hapi mwamba namkubali sana mrangi yule ni kichwa kwel kwel

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +19

    Walipoona Magufuli amekufa amemdhulumu huyo Mkuu wa Mkoa

    • @Obasaniyo
      @Obasaniyo ปีที่แล้ว +1

      Mkuu wa mkoa hovyo kabisa. Anajifanya anahasira.

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 ปีที่แล้ว +9

    ALI HAPI! ALI HAPI! ALI HAPI! Mama mkumbuke huyu kijana mzalendo na jasiri kama Makonda.

    • @denisyohana8104
      @denisyohana8104 11 หลายเดือนก่อน

      nimemmic sana ALI HAPI ,asant MAKONDA

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer 10 หลายเดือนก่อน +3

    Maghufuli left a great legacy, he set the pace and I'm glad seeing this going on after his death. Initially I thought it was during the lifetime of president Maghufuli but seeing the poster of Mama Samia behind assured me that she's truly followed the footsteps of her predecessor. But please I wish Mama Samia too went round to directly listen to her people's problems like Maghufuli did. Thank you Tanzania and Tanzanians for your uzalendo and being true to your country. God bless Tanzania

  • @CatherineKisanga
    @CatherineKisanga 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda nakupenda sana kwahaki unazofanya natamani hata uwe raise mungu azidi kukuweka pazuri

  • @Pendobalase-yk4go
    @Pendobalase-yk4go 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue sana mtumishi makonda kwa kuwajali wananchi kama alivyofanya John pombe magufuri ubarikiwe sana

  • @AliFakiMati-m7n
    @AliFakiMati-m7n ปีที่แล้ว +7

    Wewe mwanamke huna haya hata kuzungumza uongo humuogopi mungu.

  • @Muuzambuzi
    @Muuzambuzi ปีที่แล้ว +6

    Makonda oeeeeeee big up sana.

  • @madinajamada9180
    @madinajamada9180 11 หลายเดือนก่อน

    Dhuruma sio nzuri tuogope allah tutaulizwa siku ya mwisho

  • @Mama_masai_Tz
    @Mama_masai_Tz 11 วันที่ผ่านมา

    Miss you makonda wanguuu❤❤. Miss you Rais wangu samia❤❤❤❤❤❤

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 หลายเดือนก่อน +1

    Roho ya magufuli bado inaendelea kuishi still😢😢

  • @AbdulmalikFedrick-ct7nb
    @AbdulmalikFedrick-ct7nb ปีที่แล้ว +10

    Mueshimiwa makonda Alha akulinde
    Na Kila adui CCM oyeeee

  • @josephmaroa636
    @josephmaroa636 11 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wewe ni kivuli cha Mzee hayati John pombe Magufuli pale alipolala anatabasamu hongera kiongozi

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mkenya Rakini makonde achopanya ana mwenzake mungu akulinde na akupatie maisha marefu

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 ปีที่แล้ว +7

    Da mama Mkuu wa mkao huyo, hajui mkono wake wa kulia wala wa kushoto.🙆😂🤷‍♂️

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 11 หลายเดือนก่อน

    Maghufuli oyee. Endelea hivyo hivyo kijana. Tafuta wanyonge haki zao.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +8

    Kusema kweli watendaji wa serikali huwa hawana msaada kwa wananchi😢

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t ปีที่แล้ว +1

      Tena wanadharau ukiwa maskin wanahis huna haki hat yakuishi ni majinga sana.

    • @FredrickOlotu-u8n
      @FredrickOlotu-u8n 6 หลายเดือนก่อน

      Jamani mungu amoaze mgufuri rushwa ilikomeshwa makonda tunakuomba uje morogor jamani uwi!

  • @dorikaluwanja
    @dorikaluwanja หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makonda Bwana Yesu akutunze. Kazi yako njema.

  • @Jenifer-wd4hn7cv9s
    @Jenifer-wd4hn7cv9s 8 หลายเดือนก่อน

    Magufuli is comeback again 🙏🙏🙏thanks God

  • @grayjordan3900
    @grayjordan3900 ปีที่แล้ว +16

    Kwa nini wanateuliwa watu hovyo namna hii nivigezo gani wanatumia kuteua watu wa hovyo, mkuu wa mkoa anadiriki kutishia wanainchi kweli

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 ปีที่แล้ว +2

      Ndio maana mm huwa huwa sipend hizi nafasi za kutwuliwa maa hawana hofu na wananchi wao huwa wanahofu na aliyewateuwa

  • @juliusmogaka2735
    @juliusmogaka2735 11 หลายเดือนก่อน +13

    I wish for this man to be the next Tz president

  • @sophyodago5062
    @sophyodago5062 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni magufuli wa pili,,, mtetezi wa wanyinge. Ubarikiwe mheshimiwa

  • @BahatiMohammed-s8f
    @BahatiMohammed-s8f ปีที่แล้ว +10

    Nawapata vizuri nikiwa dar. Tanzania

  • @jacobmwashambwa4893
    @jacobmwashambwa4893 ปีที่แล้ว +15

    Nakufuatilia sana Comrade Makonda najifunza mengi

  • @HamadiMgaluka-ld7hv
    @HamadiMgaluka-ld7hv ปีที่แล้ว +5

    tunataka viongozi kama mh makonda. mama kamaitawapendeza mpeni kitengo Ally Happy nae ni mzuri kwenye kazi

  • @MaliusMaliuskagumisa
    @MaliusMaliuskagumisa ปีที่แล้ว +8

    Mkuu mkuu shikamoo uzidi kubarikiwa aseee kwanzia leo nimeamini mungu nimkubwa sana ivi ayayote unayaoteshwa mkuu????? Maana unaoji mpaka mtu anajikuta ametubu zambi bilakujuwa aseee

  • @AzizaMkama
    @AzizaMkama 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndy mrithi wa magufuri, hyu ndy anafaaa kuwa rais wa nchi hii hakutokuw na uonevu,

  • @officialdogobdance672
    @officialdogobdance672 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni magufuli number 2

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 ปีที่แล้ว +18

    Eti muogope mungu yaan limekaa Limama linawatetea wawekezaji linaumiza wananchi wake sa sijui linawaongoza wawekezaji au wananchi

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 11 หลายเดือนก่อน +2

      Si kapewa hela mbwa huyu mama

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ana mgao wake Kwa wawekezaji

    • @Vivomnyama8386
      @Vivomnyama8386 หลายเดือนก่อน

      Huyo mama ana kazwa

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว +19

    Kwan sheria ai ruhusu wwe kua rais toka alivyo kufa JPM ckuwah kua na matumain 🎉

  • @ROSEENOCK-l3j
    @ROSEENOCK-l3j 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana baba Mungu akutunze na akukinge na kila jambo baya

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu ปีที่แล้ว +10

    Huyo mkuu wa mkoa anaonekani ni m'babe sana, atakua mkorofi sana, anaweza kumpiga makofi huyo jamaa, baada ya mwenezi kutoka hapo.

    • @mot.tvmsamvu6770
      @mot.tvmsamvu6770 ปีที่แล้ว +3

      hawa ndoo waaribifu ktk nchi hii hawajuo chochote kile

    • @MonaAlmona-c1n
      @MonaAlmona-c1n 11 หลายเดือนก่อน +1

      Angefukuzwa kaz akajifunze upendo na nidhamu
      Hawa awajawakiliwa na jua la maisha

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@MonaAlmona-c1nafukuzwe na nani

    • @maryamChumas
      @maryamChumas 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂kwamba mwenezi akitoka jamaa anakipigo😂😂😂😂imebidi nicheke

  • @snurathalokobogo
    @snurathalokobogo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimemis mikutano ya makonda jaman dah!! Sijui yuko wap kwa sasa jaman 😢😢

  • @EmanuelMusa-qp5je
    @EmanuelMusa-qp5je 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde makonda upo sahihi kibisa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Yboy-j2u
    @Yboy-j2u หลายเดือนก่อน

    Makonda naona km magufuri yupo. Endelea hvyhvy

  • @sosomokobiasharamgaya3020
    @sosomokobiasharamgaya3020 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni Magufuli Ajayee,Hakika kunanafac yako kubwa sana huko mbali Mwenyezi Mungu akupe Afya na hekima siku zotee wenda ww ukawa mkombozi wawanyonge wa Taifa hiliii,I pray for u

  • @BahatiMohammed-s8f
    @BahatiMohammed-s8f ปีที่แล้ว +2

    Umenikubusha hayati Magufuli

    • @Zengeni-gz8fe
      @Zengeni-gz8fe 7 หลายเดือนก่อน

      Acha tu ndugu YANGU ❤ magufuri

  • @gabrielbagonambona
    @gabrielbagonambona 8 หลายเดือนก่อน

    Makondaaa ni magufili wa pili 😢😢😢 mama azid kukuinua babaaaa

  • @lucaschipanga4466
    @lucaschipanga4466 ปีที่แล้ว +6

    Makonda kaka ukovizuri mungu tuuu akuride honja zingine mariza hapo hapo tuone mfano

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 7 หลายเดือนก่อน

    Camera man unavyommulika huyo mdaiwa huyo mzee ni noma mzee anavyoshangaa jaman kanyoosha shingo hiyo😂😂😂🤣🤣🤣

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 ปีที่แล้ว

    Makonda we ni mtuu na nusu💪💪Mungu ibaliki 🇹🇿🇹🇿

  • @ErickPazia
    @ErickPazia 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni kiongozi mzuri usiogope jitie moyo mkuu na mungu atakuwezesha❤

  • @EliasMalendeja
    @EliasMalendeja 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana jembe makonda na jembe la ilinga mungu awalinde

  • @clarawilliam9959
    @clarawilliam9959 11 หลายเดือนก่อน

    Walijua magufuli amefariki hakuna mwingine, kumbe MUNGU hamtumpi mja wake

  • @mariamalhashmi-zj7hp
    @mariamalhashmi-zj7hp 11 หลายเดือนก่อน

    😢Mh makonda Mungu akutanulie kwa Kaz unayoifanya nakuonea huruma lshaallh tunakuombea

  • @mihayokakwimba9524
    @mihayokakwimba9524 ปีที่แล้ว +6

    watu wa bara kwa uongozi wapo vzr❤

  • @michaelmundanda7254
    @michaelmundanda7254 ปีที่แล้ว

    Ni magufuli kabisa huyu, makonda kweli kabisa anapita mulemule alipokuwa anapita JPM

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 5 หลายเดือนก่อน

    Wakt rais magufuli anatoamaelekezo wapewe kwanini hamkukatalia rais magufuli wakat huo?

  • @raymondkaria1451
    @raymondkaria1451 7 หลายเดือนก่อน

    Huku ndiko kurudishiwa vilivyoliwa na madumadu na tunutu na parare Bwana Yesu asifiwe Katibu mwenezi,, Mungu akulinde

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 7 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @bobg611
    @bobg611 11 หลายเดือนก่อน

    Watching from Kenya

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 11 หลายเดือนก่อน +3

    Waandishi na wanahabar peleken hisia zetu kwa mama Samia kwamba Tunampenda sana Makonda tena apewe ulinzi mkal

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 ปีที่แล้ว +9

    Wizala ya ardhi inashida sana yaani imejaa zurma sana nyambafu sana hawa

  • @oswaldiranyibuka4857
    @oswaldiranyibuka4857 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka Makonda hongera,niko Bujumbura

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 8 หลายเดือนก่อน +1

    I miss you daddy magufuli but nimefarijika kumona mwanao makonda amefuata nyayo zako😢

  • @daudisaimon7466
    @daudisaimon7466 ปีที่แล้ว +7

    Huwezi miliki leseni bila kulipa watu fidia za maeneo husika

  • @gloryedson9311
    @gloryedson9311 8 หลายเดือนก่อน

    Akupenda Sana makonda mungu akulindee❤❤

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wa serikali ni wezi Sana,viva makonda,

  • @hellenakabakama-nz1cw
    @hellenakabakama-nz1cw 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kaka makonda Naomba namba yako

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mama Muongo Hasemi Ukweli! Mweke Sawa

  • @isaacmambwe6547
    @isaacmambwe6547 ปีที่แล้ว +9

    Tanzania yangu shikamooooooo

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yani mwekezaji na hekari mia sita zote 600 na wananchi wanangaika😂😂

  • @jackotieno5178
    @jackotieno5178 10 หลายเดือนก่อน

    Mangufuli ama fufuka Tz oye

  • @EmmanuelMwanza-ef9bf
    @EmmanuelMwanza-ef9bf ปีที่แล้ว +4

    Yani huyo mama anaongea kama vile anachambana na wanawake wenzake kwenye vikoba

  • @AnzurunIbrahim
    @AnzurunIbrahim 5 หลายเดือนก่อน

    Huy makonda alla ambariki maishyakeyaduniani hadi kesh akher

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo 11 หลายเดือนก่อน

    kama namuona magufuli safi sana

  • @simionsobe
    @simionsobe 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika mimi ni mkenya lakini.... Makonda ni kivuli cha mzee hayati magufuli.. Hakika alipo lala anafurahia

  • @AbubacarAbdulAbdul
    @AbubacarAbdulAbdul 11 หลายเดือนก่อน

    Daah ... Allah lhe abençoe homem, você é credível 🙏 x Off Maguful X Moçambique uanguikuigueuenii nyie tungui endelea sana lâkini Moz pabovu🇲🇿

  • @WillySikorei
    @WillySikorei 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde miaka za milele ,

  • @jonijoogabriel3728
    @jonijoogabriel3728 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akulinde sana broo endelea kututetea sisi wanyonge

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage ปีที่แล้ว +9

    Kwani shinyanga si kuna uchawi wanasubili nini kuroga hawa watu kuanzia muwekezaji, mkuu wa mkoa na afsa/kamishna wa ardhi

  • @TumaMajid
    @TumaMajid 10 หลายเดือนก่อน

    Magufuri njoo uone watu wako tunavyo teseka

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 11 หลายเดือนก่อน

    Makonda watakuvuruga sana hao wateule,kazi unayo,Katiba mpya ndi suluhisho,Endelea na kazi ya kitume nchi nzima,Naiona katiba mpya hiyoooo

  • @kiondojuma5798
    @kiondojuma5798 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba unanikumbusha mbali sana makonda. Rip mzee wetu makufuli tutakukumbuka milele daima😂😂😂

  • @LumanijaMatiga-j6h
    @LumanijaMatiga-j6h 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani Paul Makonda anafaa kuchukua kiti cha Urais 🇹🇿 Tanzania

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 ปีที่แล้ว +4

    ki ukweli nakiona kile kilichomfanya Mzee Magufulina hata sasa Mama Samia kukuteua Jamani Weye unaweza Mungu akuweke kiongozi wetu maaana sio kwa busara hizo ulizonazo

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 7 หลายเดือนก่อน +2

    Da ila hii nchi ni ngumu watu wanaonewa wanadhulumiwa hatari

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 7 หลายเดือนก่อน

    Aliyesikia ni walewale gonga like hapa😂😂😂😂

  • @SAIDSAID-zb8xr
    @SAIDSAID-zb8xr ปีที่แล้ว +7

    Hawa viongozi wanateuliwa kwa vigezo gani Yani mkuu wa mkoa mzima anakuja na hoja hazieleweki hii nchi ngumu Sana

    • @Obasaniyo
      @Obasaniyo ปีที่แล้ว +1

      Mimi kanishangaza. Huyo hawezi kuwa mtetezi wa wanyonge

  • @KanyikaMasika
    @KanyikaMasika 11 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa rais mpe ulizi wa kutosha makonda maana amevaa viatu vya magufulu vizuri sana nakuombea sana kwa Mungu makonda

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq ปีที่แล้ว +1

    Hapo umewakuna watanzania mugufuri oyeeeeeee

  • @adieldennis1316
    @adieldennis1316 11 หลายเดือนก่อน +3

    This man Makonda seem to be a good person,he speak well ,he communicate with common mwananchi with a lot of humility,To my opinion he has great future,but on the other hand am wondering how come there's rumours that he was involved on assassination attempt of Tundu Lisu.?

  • @costantinochibago9768
    @costantinochibago9768 ปีที่แล้ว +14

    Tungepata watumishi japo 10 kama mh.p makonda kwenye taifa letu tungeishi kama wafalume Mungu akulinde sana maana hhhh

  • @MarySinaibu
    @MarySinaibu 7 หลายเดือนก่อน

    nimefulahi sana kama baba 6eth magu kalud

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k ปีที่แล้ว +5

    Ilo limama linafika lishakula pesa limalaya likubwa ilo sura kama bundi

  • @babuuriziq3243
    @babuuriziq3243 11 หลายเดือนก่อน

    TULIMISS SANA VITU HIVI KAMA MAKUFULIII YAAN

  • @ErickMbuma
    @ErickMbuma ปีที่แล้ว +8

    Hii nchi watu wanaonewa wengi asa Kwan viongoz wengine wanalala tu

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa ปีที่แล้ว +5

    Huyo mkuu anatumia jaziba hata mbele yako makonda je akuwa nawanyonge tu si kesi