Shida ni moja. Wanawake hawajui , kwamba mwanaume akishaeekeza kwenye moyo, hapendi kuingiliwa. Na sio rahisi kuacha pamoja wanawake ni wengi lakini huwezi wekeza kote.
kabisa, yaani watu waheshimu mahusiano, pia wanawake tujiheshimu huku una watoto sita huku umeachwa huku una mwanaume mwingine, tunatengeneza generation gani apo
@@fatmaabdallah7709 sasa kwani hata kwa siku moja mtu si akishampenda mtu wake si ameshamweka moyoni, hata km ni wewe dada mzuri hivyo mrembo hivyo ungamuacha hivi hivi kweli chombo hicho????????????
@@julianapeason6254 kama kupenda shogangu ni huko kukuua au kukuchomea nyumba hata sitaki kupendwa au wanaume walokosa muelekeo wakimpata mwanamke mwenye chake wakishajiwekeza hawataki kuachwa atarudia maisha ya kutafuta ya shida
Safi mnazingua sana nyinyi wanawake wenye tamaha.pesa ya mtu unakula tena unalazimisha hutume na yakutolea.alafu kiraisi unasema tuachane ulimkubaria nn mwanzo.kma sio tamaa ya pesa
Wiki tatu unakaribishaj mtu ndan kwako...mimi mwanaume wangu mpk amenioa hajawah kujua hta mlango wangu upoje...na tumedumu kwenye uhusiano zaidi ta miaka 4
Kama alikuwa hamtaki mbona alishamkaribisha nyumbani? Kwnn asingemwambia siku ya kwanza wakati anatongozwa kuwa sikutaki? Mtu humtaki afu unamkaribisha nyumbani?
Uyo Asakwe Ikiwezekana Auliwe Sasa Mapenzi Yako Na Nyumba Ya Kupanga Wapi Na Wapi Apo Kama Nyumba Ya Kupanga Uyo Akishikwa Afirwe Kwanza Ndipo Atua Zingine Zifate Japo Wanawake Mnazingua Lakini Sio Kuchoma Nyumba Ya Kupanga Ambayo Sio Yako
Wenzako week 3 bado mahusiano hayajakamilika wewe umempa tayar nafasi ya kuwa mume!ameitumia nafasi yake kwako kukuwajibisha kwa namna ya nafasi yake ijapokuwa umewah kumuamin sana
Afya ya akili. Watu wa kimya waweza kufanya kituko kuliko mwingine yeyote anaponyamaza anajijaza sumu kama unapitia kitu tafadhari weka wazi kwa watu unaowaamini usijaze vitu moyoni huenda wakakusaidia au kukushauri hats wasipo Fanya kitu angalau watakusikiliza inapunguza mzigo moyoni. Na hautaweza kufanya vituko kama hivi au kudhuru watu au kujidhuru
huyu jamaa naye ana wivu wa kijinga je aliyemkuta jikoni ni x wake huyu dada maan mahusiano yan wiki tatu hakumkuta na bikira namanisha huyo alikuwa na mtu before yy
@ireneshao7950 punguzeni kula vya watu mbona mtaishi kwa amani kabisa ila ukijifanya unakula vya watu alafu unakuwa jeuli lazima ukutane na balaa. Hakuna mwanaume saizi anaegombania papa
Jambazi Huyo Si Mwanaume 😌😌😌😌😌Wallaah Jambazi Suguuuu
Kweli kabisa
Ayo tafuta namba ya huyo Dada simamia tuchangi 1000 omba kibari Ayo wananchi watakaoguswa watachanga
@@vanessastafford6426 wa kwanza mimi nitachangia asimame tena mungu yupo na wala halali ametaka kumtia mkosi dada wa watu tu
Pole sana dada,,,kwa tukio lililokukuta,,,,pole Mungu Akutanguliye
Shida ni moja. Wanawake hawajui , kwamba mwanaume akishaeekeza kwenye moyo, hapendi kuingiliwa. Na sio rahisi kuacha pamoja wanawake ni wengi lakini huwezi wekeza kote.
Umewekeza nini wiki 3?!
kabisa, yaani watu waheshimu mahusiano, pia wanawake tujiheshimu huku una watoto sita huku umeachwa huku una mwanaume mwingine, tunatengeneza generation gani apo
@@fatmaabdallah7709 sasa kwani hata kwa siku moja mtu si akishampenda mtu wake si ameshamweka moyoni, hata km ni wewe dada mzuri hivyo mrembo hivyo ungamuacha hivi hivi kweli chombo hicho????????????
@@julianapeason6254 kama kupenda shogangu ni huko kukuua au kukuchomea nyumba hata sitaki kupendwa au wanaume walokosa muelekeo wakimpata mwanamke mwenye chake wakishajiwekeza hawataki kuachwa atarudia maisha ya kutafuta ya shida
@@julianapeason6254 weeee dada hakuna kupenda kwa siku mojanau mwezi huyo alikuwa na malengo yake tu!
Wki 3 tu bado ndio kwanza hata hamjajuana vizuri jamani.akachome nyumba ya mwenye nyumba jaman
Nani amesikia hii kauli," Muda mwingine sisi wanawake tuwe tunajitambua"
Mie nimesikia iyo yaan duuuuh hap anajuta
Kumbe hizi ndio hekaheka za penzi jipya🤔🤔 bora niendelee kubaki na muharifu mwenzangu hadi uzee
Mumeo naye kasoma hii comment 😂😂😂
@easternyerembe7271 Hana smartphone 😅
Kwakweli Bora niendelee kukaa pekeangu kuliko kukaa na roho ya mtu 😂😂😂nikifuga Tu roho yangu inatosha😅😂😂
@@ChristianSiwale-iw7exNa sex utakuwa unafanya na matango?
Bora umenusurika wiki 3 ndio afanye hivyo Subhanallah bora umemuona mapema duh
yn penz ata mwez aijafika aisee
Safi mnazingua sana nyinyi wanawake wenye tamaha.pesa ya mtu unakula tena unalazimisha hutume na yakutolea.alafu kiraisi unasema tuachane ulimkubaria nn mwanzo.kma sio tamaa ya pesa
Ndo uchome nyumba ndani kuna watu? Shetani
Unauhakika na ulichokiandika?
Hiyo ni roho ya kimaskini wewe. Mtu ana biashara yake unaleta story za kutuma nayakutolea.
Mwanaume bwege sana halijitambui
Siyo kila mwanaume anatoa pesa acha kupotosha, wengine ni kijitolea kumpenda unakuta hatoi ata hela lakini ambayo hatoi ndio yanawivu balaa
Huna lolote siku zote wenye maneno ya shombo kama wewe hamtoi hela kabisa
Muda mwingine tunakutana na viumbe vya ajabu ..
Mungu atunusuru
vbya sana yani mungu angtuonyesha ya kesho walah watu wasingekua na wapenz dunia inatisha sana
Hiyo ndio nyanda za juu Kusini Watu wanaishi hakuna tofauti na wanyama. Maisha hayo kwao ni kawaida sana.
Amina
Dada week 3. Umesha mkaribisha kwako mmmh mbona mapema sana
Kwa kweli😢
Huyu dada naye sio wa kuamini, anaonekana anapenda sana mambo ya ngono, na hajiheshimu, amezoea kuwa na wanaume ovyo ovyo.
Wiki tatu unatambulisha meanaume Kwa watoto wako. NI kweli huyu Dada atulie aache mahusiano Kwa muda Ila tumchangie
Hiyo si Heshima tena mtu unawatoto Wiki tatu tu
Jaman pia mtulie bn mteja kweli jikon jikoni ni sehem inayoitaji usalama zaidi make chakula kinatengenezwa uko
Mungu ni mwema, bora tu kawalinda watt hajafikiria kuwadhuru
Wabena wenzangu tunaaibishana sema yowe sio ngolo ayse et tulipo skia ngolo da!
Tena shukuru mungu angekuulia uko mwana ume apana jamani jaamni
Sasa unategemea kuolewa uzeeni,umri huo unadanga?
Huo sio wivu ni ushamba nyoko sana huyo mbwa yaan wanaume na wanawake walivyojaa unamuua au kumchomea nyumba mwenzako duu watu tupunguze ushamba
Ubaya hawa wanawake nao Malaya sana mnasababisha majanga😂
Wiki tatu unakaribishaj mtu ndan kwako...mimi mwanaume wangu mpk amenioa hajawah kujua hta mlango wangu upoje...na tumedumu kwenye uhusiano zaidi ta miaka 4
Mimi ni msichana pia ninaweza kuuliza huyo mteja wa aina gani anakaa jikoni tu jiheshimu ingawaje aliyechoma nyumba ya wenyewe Ndio kazingua sana
Mapenzi shikamoo, Mungu nipe kudra nilee wanangu.
Wiki tatu😂 aaah kudadeki maisha haya😂😂
Ww Malaya tu mtejajikoni ataww angekukata masikiotu
Wiki tatu ushamkaribisha mtu kwako kwa kweli?
Wewe ni malaya wacha ukome😂😂😂
Sijui nicoment nini😮😮😮
Wiki 3 na nyumban ukamkaribisha hivi kikao cha mwisho kuhuzuria mara ya mwisho ni lini pole
Mbona mnamshangaa dada wawatu nyny mnae muhukumu wek tatu hapo mlipo ndo mnadhambi kuliki huyo mdada msipend kukimbilia kuhukumu
Mungu mwema watoto wamepons😢
allah kareem atakupa neem nyingin
Choma kabisa shenzi😂😂😂
Wiki 3 tu jaman ewe mungu tusamehe
Waogope wanaume wakimnya Dada anakunyonga kimnya kimnya
.. umalaya ndo tatzo
..wapole ndo tatizo letu Hilo
sio uongo yaani
Mnapenda sana kucheza na hisia za watu
Wiki tatu mpaka watoto wameshamzoea angekuulia watoto tulieni wanawake
Muache umalaya yote hayo mnayasababisha wenyewe ww unajua una mtu wako hayo mazoea yakijinga yanatokea wap
Duuu mwanamke wiki 3 unamkaribisha Hadi ndani uogopi hata watoto
....umalaya ndo tatzo lenu km mtu unmpa nafasi kwnn unaanza mambo yasiyo na kueleweka .....
Mtu mkimya ni mbaya sana
Mungu anisamehe ila wewe ni malaya mmbovu bora amechoma nyumba je angedhuru watoto jamani😢
Umakaya wake nini? Wewe ni mtakatifu
Hongera mtakatifu
Alikuwa amemua kuwadhuru watoto. MUNGU NDIO KAWAOKOA.
Week 3 tu jamanii daah😅😂ila na wewe umezidi mteja jikoni afate nini??? Mtakuja kufa jmn😂mbona we ulimuamini ungekatwa sikio
Nyie ndona hisia kulen iyo hasara kenge nyie mna tuumiza sana wanaume jaman.
Hongera nyie watakatifu mnao mwita uyu dada malaya
Atakuwavana upungufu wa akili kwani mwanamke ni mmoja wapo wengi mtu hakutaki tafuta nwingine
Kama alikuwa hamtaki mbona alishamkaribisha nyumbani? Kwnn asingemwambia siku ya kwanza wakati anatongozwa kuwa sikutaki? Mtu humtaki afu unamkaribisha nyumbani?
Ety eiki tatu khaaaaa!!! Ningelichoma na kisu mbwa uyo
Huyu mhuni mzoefu Huyu Sasa wanaume wanafanya nini jikini
Umalaya tu ndo dawa yenu kwan atakubali kuwa alopigwa ni mteja au hawala
Jinamizi wewe,
Hawezi kukubali ila huyu dada alikuwa ni Mala...
Duh
Sema.kwa.upande.wangu.nimejifunza.kitu..
Mteja jikoni? Mh?!
Nyumba. Ya wenyewe jamani
Uyo Asakwe Ikiwezekana Auliwe Sasa Mapenzi Yako Na Nyumba Ya Kupanga Wapi Na Wapi Apo Kama Nyumba Ya Kupanga Uyo Akishikwa Afirwe Kwanza Ndipo Atua Zingine Zifate Japo Wanawake Mnazingua Lakini Sio Kuchoma Nyumba Ya Kupanga Ambayo Sio Yako
Wiki 3 njo anachoma nyumba uongo wewe ni danga
We mdada ni malaya tuu weeks 3 mpka ndani? Ndio pambana
Na me nimeshangaa ata mwaka ana
yn mm hata aninawishe miguu simpeleki mtu nymbn kwng 😢
Wiki tatu hapana hatahivo kumpeleka mwanaume nyumbani kwa watoto niujinga
Wenzako week 3 bado mahusiano hayajakamilika wewe umempa tayar nafasi ya kuwa mume!ameitumia nafasi yake kwako kukuwajibisha kwa namna ya nafasi yake ijapokuwa umewah kumuamin sana
Kumbe msababishi alikimbia ndio maana......😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅
week tatu unamuonea mtu wivu mkubwa hivi hii si afya ya akili
Njombe jamani khaaaaa
Jaman unawatoto unampeleka bwana nyumbani
Ukome Malaya ww
Malaya huyo aache uongo
Mie nimeachwa na mahusiano ya miaka sita alafu sijamtoa hata ngeu naugulia moyon yeye wiki tatu
😂😂😂😂😂😂umenifurahisha ndugu nacheka kama mazuriii😂😂😂
@YASINTAVICENT usicheke hawa wanaume wanatuona sie wabaya ila nao ni washenzi wakubwa
Na watanzania hatukati Bima
Afya ya akili. Watu wa kimya waweza kufanya kituko kuliko mwingine yeyote anaponyamaza anajijaza sumu kama unapitia kitu tafadhari weka wazi kwa watu unaowaamini usijaze vitu moyoni huenda wakakusaidia au kukushauri hats wasipo Fanya kitu angalau watakusikiliza inapunguza mzigo moyoni. Na hautaweza kufanya vituko kama hivi au kudhuru watu au kujidhuru
Hamna mtu anaependa hisia zake zichezewe hata wale ambao ni waongeaji sana
Huyo mwanaume ni kicha akapimwe akili na nyie akina dada kuweni makini na wanaume wa siku hizi
Ata ww pia unatakiw uwe makini na wanawake wa siku hizi
Sasa Week Tatu Ivo Mbona Makubwa Ayo Week Tatu
Hata ningekua mimi ningeanzishangumi mtejagani anakaa mbakajikoni mteja anatakiwa asubiri nje ya jiko kengekabisa jamaa kakoseakuchoma hizo nguotuu
Kabisa
Anavyo ongea tu ni mhuni mzoefi
Daah mapenzi konyoo mapenzi wiki 3 unachomq.nyumna ,nyie kunahaja ya kupimana akili kabla hamjaanza mapenzi
Mtu mpole siku zote usimchokoze lakini wewe ni mama chakula unaruhusu vip watu kuingia mahali unapopikia?
sema ukweli
Ngoja sasa nitafute mwanaume mpole,kumbe ndowenyemapenzi,nyie pole kipenzi ck nyingine wiki tatu ucwapeleke nyumbn subir miez sita angalau
Mim nipo
Daah hatari sana
Malaya
Mnatuchanganya nyie wanawake aliye choma sawa Yan ninunue kitanda Mimi ulale na mwingine ety tuachane mjinga ww
Yaani hilo mbwa lingewexa kuuwa watoto ili kukukomoa.
Mshahara wa dhambi ni mauti!
Akiri zangu nilizopew huyo mwanaume alikuja kwa sababu wala siyo mapez jitafakar dada kunakitu nyuma
Waongo sana hawa wanawake bora angekuchomea humo eti wiki 3
Hapo kwenye kujitambua imebidi nicheke mtanisamehe ila wiki 3 au miaka 3 mbona napema sana
wanaume wenywe ndio haw wakujiona umepat haa!!!😂
😅
Uyo alikuwa anataka kuuwa watoto kuma makezak yaan uyo sio mqanaume kabisa.na sisi wanawake tukome yaan wiki tatu ukamkalibisha nyumban
huyu jamaa naye ana wivu wa kijinga je aliyemkuta jikoni ni x wake huyu dada maan mahusiano yan wiki tatu
hakumkuta na bikira namanisha huyo alikuwa na mtu before yy
Hata ww angekuchomea humo humo mnasambaza ukimwi kisenge
Nimesikia kauli ya kuwa wanawake tujitambue
Mna njaa sana, kujitambua na njaa ni vitu viwili tofauti
Week tatu hadi chumbani
Maanina, angekuchoma na wewe mshenzi. Yaani mwanaume anakutongoza wiki tatu ushampeleka kwako? Maanini umetuaibisha wanawake umbwa wewe!!!! 😮😮😮
Duh week 3😳hatakua mgojwa atakujuana bado
wivu wangosha huwo
😂😂😂😂 yule wa mwanamke mfupi mnene 😅😅 mweupe 😂😂😂
@@maryamkassim3188 😃😃😃👏
Nyumba ya watu jamani
Angekuuwa ingukewa vizuli sana mmezidi uhuni
Una mtoto au dada unaongea sana upuuzi
@ireneshao7950 punguzeni kula vya watu mbona mtaishi kwa amani kabisa ila ukijifanya unakula vya watu alafu unakuwa jeuli lazima ukutane na balaa. Hakuna mwanaume saizi anaegombania papa
Wiki tatu umalaya.huu. mmnauawa malaya bado mnalahisishalahisisha
Duuu 😮😮😮
😂
Wik 3 mpaka wanao wameshamzoea sasa si anaweza hata kuuwa watoto wako kijinga kijinga tu.
Bora umenusurika wiki 3 ndio afanye hivyo Subhanallah bora umemuona mapema duh
kwamaishahaya usimuamini mtu haraka
yn mm hata aninawishe miguu simpeleki mtu nymbn kwng 😢