Mimi ndiyo mana simpendi makonda makonda ni mtu mbaya aliyejificha katk kivuri cha wema, wananchi kuweni na macho ya rohoni. Hii nchi ilipofika ni mahari pabaya sana
Hawawezi tekeleza jambo kubwa hivi bila kutumwa na aliyewaajiri yaani bosi wao. Sio jambo dogo ni kubwa sana na watu wachache wanaojifanya Wana huruma na WANANCHI kumbe ni wenye roho katili
Na lengo lao nisisikukosa taarifa muhimu iliwaendelee kutuaminisha kuwa ni habari za uvumi sasa mimi ombilangu kwa Mungu awalinde wawe salama mana iyo ni dalili ya hatari kwa wandishi wa habari 🙏
Ngoja niwape stori Sasa nataka kuwa kama mange usimwamini mwanasiasa Makonda amebadilika Toka asilimia 100 hadi zimebaki 45 tutakoma na Sabaya ndiyo Huyo kesharudishwa kazin anakula mshahara tukae kama mayatima hakuna namna 😂😂
Niseme tuu ccm mbele kwa mbele uzuni ila mjifuze kukiacha Mungu Baba Mkuu mwenye nguvu naomba uwape watazania nguvu wapinge kura sahii upendapo tuurumie baba sababu mpaka sasa sijajua wata kuja kuniteka 😢😢😢😢😢😢
Sasa mnamkataza mwandishi ili iweje,mwachen ili serikali ya ccm ijue kwamba police wanakamata watu wanaacha kulunda watu achen ushamba mwandishi anawasaidia nyie
Bila KATIBA HAKI hakuna wao hp juu wanakula bata vx za m 500,lbda Allah/MUNGU atusaidie,wafe kw Ajali,hawa w pilato,wafe tu ase hatuwawezi, MUNGU saidia Tanganyika,
Hawa vipi mbona wanatufanya hatujielewi watanzania. Sisi tunaweka bando tunafatilia ujinga wenu mnawafanyia watanzania lakini nyie mnatengeneza expression
Waandishi msikuburi! kutishwa wakati mnatimiza majukumu yenu ,kwaiyo wanataka watu wasijue kitu?kwaiyo ipo siku tutaambiwa hakuna kusoma ilituendelee kuwa gizani?basi wafute redio zote ilitusipa habari yote wawe wanatusimulia mambo yanayoendelea tanganyika maana tunaouwana na kutesana ni watanganyika.
Hivi mnahakika makonda Yani kwasababu yy ni wa Arusha kama makonda anapenda kuonyesha hakuna matatizo kwanini basi anawasikiliza wenye matatizo? Haya mwandishi kashikwa na makonda na waliyotekwa dar mwanza na kwingine pia ni makonda? Chuki ni mbaya hunauhakika kisa adui Yako basi unasema akiwa sio adui Yako hata ukiwa na uhakika na makosa yake unakaa kimya
Huko mashariki ya kati hanas wana mukikwa kwa satellite naku pigwa na bom puuuuh kisa wanaonekana ktk satellite bongo noo satellite sjui bhana kwa kupotea kwa watu inakuwa ni mchezo wa kila suku halafu kibaya sasa hata hawasafirishi kwenda European wanapelekwa kwa waganga ili watu wapate utajiri aiseee bina adam bhana tena mu Africa duuh Amakweli bora kuzaliwa 🐈⬛ ulaya
Anajiaribia mwenyewe, na wala si hivyo tu mama ni sawa na Magufuli na amewarudisha Nape, amemrudisha Makonda na everyone. 4Rs zake zilikuwa ni danganya toto. Makonda mtakoma nae. Atanyooka na Kila mmoja. Na bado CCM oyeeee tunashinda tu na hatutafuata sheria isiyoendana na CCM na mje CHADEMA kaeni kimya au mtapotea wote.
Kwakweli waandishi mmekua mnatia sana taharuki kw maslahi ya vyombo vyenu, nandomana Nyerere alizuia hata TV wakat wake ,kilakitu serikali ,wtt kupotea kwnn Serikali ,nyie mnasambaza vitu vinawafika wengi ambao tayari wanajazwa upuuzi ,nakuhatarisha Nchi ,hèbu tupumzisheni tumechoka nahizi habari ,nihayotu kilakukicha
Huyu mwandishi huwa mkweli, na mkubali sana.
Yaaahani nimeamini mkubwa mkubwa ToKA MAKONDA atoke likizo amepowa xanaaa mama must go
@@RomanusBussa-g7q 😃😃😃
Mimi ndiyo mana simpendi makonda makonda ni mtu mbaya aliyejificha katk kivuri cha wema, wananchi kuweni na macho ya rohoni. Hii nchi ilipofika ni mahari pabaya sana
👌👌👌
Kwan nan anakulazimisha kumpenda Makonda kwan ww mkewe? Acha upumbavu
Acha kusifia ujinga,anaongea Kwa niaba ya watanzania wenye uchungu,@@ndogoroedson199
😝😝🙌🙌@@ndogoroedson199
Wewe mabaya yako umesahau mpaka unayaona ya makonda sema na mema yake maana mbaya nae ana mema yake fyuuuuuu
Mmmh uhuru wa waandishi wa Habari upo wapi sasa ?
Najaribu kufikiria ivi likizo ya makonda ilikua ya usalama kweli ? Mbona nahisi kuna kitu kiko tofaut toka arudi likizo 😂😂nawaza tu
Atakua nae wamemteka
Huyu makonda ninachoona wenye nchi walimteka kimya kimya wamfunze jinsi ya kuwafuata wanavotaka wao😅
Yale yale ya Clouds😢
Viongozi wa ss wanaingia kwA. Kujifanya wanatetea watu tuwaangalie sn wako km panya unang,atwa huku unapulizwa
Kinacho takiwa kama tunaitaji ukombozi tuweke selikali mpya hawa watu imewashinda sasa tutaumizwa mpaka lini
Makonda sasa amekuwa nyau kabanwa na mwenye nchi kapoa
Kumechangamka sana sasa ,
Hawawezi tekeleza jambo kubwa hivi bila kutumwa na aliyewaajiri yaani bosi wao. Sio jambo dogo ni kubwa sana na watu wachache wanaojifanya Wana huruma na WANANCHI kumbe ni wenye roho katili
Na lengo lao nisisikukosa taarifa muhimu iliwaendelee kutuaminisha kuwa ni habari za uvumi sasa mimi ombilangu kwa Mungu awalinde wawe salama mana iyo ni dalili ya hatari kwa wandishi wa habari 🙏
Ngoja niwape stori Sasa nataka kuwa kama mange usimwamini mwanasiasa Makonda amebadilika Toka asilimia 100 hadi zimebaki 45 tutakoma na Sabaya ndiyo Huyo kesharudishwa kazin anakula mshahara tukae kama mayatima hakuna namna 😂😂
Niseme tuu ccm mbele kwa mbele uzuni ila mjifuze kukiacha Mungu Baba Mkuu mwenye nguvu naomba uwape watazania nguvu wapinge kura sahii upendapo tuurumie baba sababu mpaka sasa sijajua wata kuja kuniteka 😢😢😢😢😢😢
Mh mkuu wa mkoa Makonda kuwa makini na wasaidizi wako watakuharibia ili wana Arusha wakuone mbaya.
Utawala wa hyu mama sion tofauti na mwendazake mambo ya uonevu yalikuwa meng sanaa
Mi naona saiv ndio yamezidi
Kwaio nyie mnaona utawla upi uliokua sahihi
Mwenda zake yupi?
Mmmh mungu tulindie kijana wetu hasitekwe jmn maana nchi ih niyavitisho mtu anachoma picha anatekwa anapotea mazima mmmh we hugopi
Hii nchi sasa jmn 🙌
Kwakweli nimeumia sana kwahiki kilichotokea mungu anawaona
Makonda alikuwa mchapa kazi sana lakini na yeye kasha lainishwa na mwenye nchi😅😅😅
😂😂😂
NCHI ZA WENZETU KUMYANYASA MUADISHI KWA SHELIA MKONONI KOSA MKUBWA SANA TUZINGATIE NA TUWAZINGATIE WANDISHI WETU TANZANIA 😮😮😮
Tatizo viongozi wetu hawana erimu wanawekwa tu na wara awafanti sheria
Ana kosa gani ina maana hapaswi kuripoti?
Tz kwasasa Ina ubabe km Natenyau
Mmh hatar
Hatari
Sasa mnamkataza mwandishi ili iweje,mwachen ili serikali ya ccm ijue kwamba police wanakamata watu wanaacha kulunda watu achen ushamba mwandishi anawasaidia nyie
Mama ameyaruhusu haya huu ni mwanzo tu tutakoma mwaka huu mikia itaongezeka😊
Hii nchi saivi tunaishi km tupo porni kila mtu amwamin mwenzie
Bila KATIBA HAKI hakuna wao hp juu wanakula bata vx za m 500,lbda Allah/MUNGU atusaidie,wafe kw Ajali,hawa w pilato,wafe tu ase hatuwawezi, MUNGU saidia Tanganyika,
Mungu wangu mbona nchi imekuwa ngumu hii
Mateso tutayapia wote sio chadema pekeyao
Makonda anajifanya ana uluma lkn nimbaya sana anajivisha ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
Hakuna mtu mnafiki kama Makonda. Ila wengi hawajui.
Na wewe mabaya yako je toa boriti iliyopo kwenye jicho lako ndipo utakapoona kibanzi Cha mwezako
Tena muwe wa wazi mwandishi wa habari ni mtu huru tafadhari jitahidini mltulipotie hii taarifa
Sasaiv matukio kama haya uchaguzi ukifka mnaenda mbio kupga kura kama weu ccm sio chama tena kishazeka me sina chama alhamdulillah
Dah hii sio pw
Pameanza kuchangaka
R.i.p tanzania
Taarifa ya kisenge
Toka makonda isemekene kaenda cjui likizo karud akiwa mwingine usikute walimtekaga wakamkanya na hii kutetea wanyonge aaaa
Wanataka kufichaa taarifa...hahahaaaa hawawezi hapa ndipo nchi ilipofika na hawawezi kurudisha nyuma mioyo ya watu
Mimi niliwahi kusema Huyu kiongozi ni mbabe na hafai kuongaza
Ni dalili mbaya za uchaguzi
😄😄😄😄
Hawa vipi mbona wanatufanya hatujielewi watanzania. Sisi tunaweka bando tunafatilia ujinga wenu mnawafanyia watanzania lakini nyie mnatengeneza expression
Hii nchi kwanini isiuzwe kila mtu apewe hela yake akatafute nchi ya kukaa
unasoma unachoandika?
Unaonaje ukiwa mteja wetu?
Tutafute dalali atapatikana tu
😂😂😂
Mliwahi kasema na huruma makonda muoneni huyu nyoka ccm hakujawah kutokea mtu akawa na huruma
Udhaifu wa kisere
Fungeni Sasa Media zote ili mtoe taarifa nyie wenyewe. Maana wenye taaruma zao hamuwaachi wafanye Yale wanayo yajua🙆
Hawataki waonyeshe ukatili unao fanyika kwenye serekali yetuy ya huyu mam wa sisiem
Tanzania kama palestina
Nchi ambayo hainauhuru wowote nchiyakisenge nchiimejaa nuksi nchihaina uhuru tunaoqmbiwa
Waandishi msikuburi! kutishwa wakati mnatimiza majukumu yenu ,kwaiyo wanataka watu wasijue kitu?kwaiyo ipo siku tutaambiwa hakuna kusoma ilituendelee kuwa gizani?basi wafute redio zote ilitusipa habari yote wawe wanatusimulia mambo yanayoendelea tanganyika maana tunaouwana na kutesana ni watanganyika.
It
Wasije wakumuua maana hawachelewi
Kwa makonda anapenda tu kuonekana hakuna tatizo
Hivi mnahakika makonda Yani kwasababu yy ni wa Arusha kama makonda anapenda kuonyesha hakuna matatizo kwanini basi anawasikiliza wenye matatizo? Haya mwandishi kashikwa na makonda na waliyotekwa dar mwanza na kwingine pia ni makonda? Chuki ni mbaya hunauhakika kisa adui Yako basi unasema akiwa sio adui Yako hata ukiwa na uhakika na makosa yake unakaa kimya
Huko mashariki ya kati hanas wana mukikwa kwa satellite naku pigwa na bom puuuuh kisa wanaonekana ktk satellite bongo noo satellite sjui bhana kwa kupotea kwa watu inakuwa ni mchezo wa kila suku halafu kibaya sasa hata hawasafirishi kwenda European wanapelekwa kwa waganga ili watu wapate utajiri aiseee bina adam bhana tena mu Africa duuh Amakweli bora kuzaliwa 🐈⬛ ulaya
SEMA AYO UKIANZA KUGOMBANA NA WATU WA SERIKAL TUTAKUPOTEZA VITU VYA NDAN VYA SERIKAL ACHANA NAVYO VITAKUHALIBIA KAZ MAN
We matango kweli puuzi
Hii comment nlikuwa naitafuta naskiaga Ayo ni chawa wa serekali chini ya maji kumbe ni kweli hadi umeandika Kwa herufi Kubwa🙆
Tz Ina ubabe km Israel
😢😢
Watu wanamuharibia mama kwa makusudi
Anajiaribia mwenyewe, na wala si hivyo tu mama ni sawa na Magufuli na amewarudisha Nape, amemrudisha Makonda na everyone. 4Rs zake zilikuwa ni danganya toto. Makonda mtakoma nae. Atanyooka na Kila mmoja. Na bado CCM oyeeee tunashinda tu na hatutafuata sheria isiyoendana na CCM na mje CHADEMA kaeni kimya au mtapotea wote.
😢😢
Sasa kma yy mwenyewe aongei unadhani nn kinatokea na inaonekana yeye ndio anayabariki mambo haya
Sasa huyo mama unataka wamuharibu mala ngapi iyo hutuba aliyoisoma siku ile unajua ipo sawa wamemuharibu tayar pia Nina Imani hajaiandika mama
Arusha mna matatizo.mlimlaki makonda kama mfalme.Sasa ameanza kazi rasmi,na mlivyo mbumbu mmekula ng'ombe wake.
Wanaficha nini
Tatizo vyombo vya habari huwa havina ushirikiani sasa hakuna hata aliyethubutu kuchukua video ya waliomburuza
Eee MUNGU ikumbuke Tz
Kwakweli waandishi mmekua mnatia sana taharuki kw maslahi ya vyombo vyenu, nandomana Nyerere alizuia hata TV wakat wake ,kilakitu serikali ,wtt kupotea kwnn Serikali ,nyie mnasambaza vitu vinawafika wengi ambao tayari wanajazwa upuuzi ,nakuhatarisha Nchi ,hèbu tupumzisheni tumechoka nahizi habari ,nihayotu kilakukicha
Kweli hujitambui
Mjinga ni mjinga
Unajua nini maana ya mwandishi wa habari , wew unachukua zama za Nyerere na Sasa ni utandawazi usiishi kwa kukariri
Wew dada kumbe ni mpuuz mmoja tu mjinga ww
Ni kweli hawafati maadili ya kazi wamekua wanakurupuka ilimradi wapate like na comment
Hii ni Ujingaaaa🙌