MAUAJI YA KUTISHA ARUSHA "WAMEMLAWITI, TOBOA MACHO NA KUMKATA MAPANGA KICHWANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.พ. 2024

ความคิดเห็น • 849

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน +55

    Uyo mdada anajua kila kitu mpelekeni police akabanwe yani anajibu kama amekufu mbuzi uyo hatakiwi uhojiwa kama anatongozwa mpeni kibado kweli kunawanawake magaidi wallah mungu tunusuru yarab 🙏

    • @user-uj5wg9mm2t
      @user-uj5wg9mm2t 4 หลายเดือนก่อน

      😢😢

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-uj5wg9mm2t 😭😭😭

    • @Nyanandi
      @Nyanandi 4 หลายเดือนก่อน +2

      Mwanamke mkavu hvo jmn kama vle hajafiwa ni mhusika kabsaaa😢

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-uj5wg9mm2t 😭😭

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 4 หลายเดือนก่อน

      @@Nyanandi yaani ni sumu ni jangili kabisa wallah 😭

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 4 หลายเดือนก่อน +91

    Huyo mwanamke abanwe vizuri,atatoa ushirikiano wa kumjua muuaji.

    • @sharifaaliy1519
      @sharifaaliy1519 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ni kweli kabusaa

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa sbu kahojiwa na mwandishi asiye na mipaka?

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 4 หลายเดือนก่อน +3

      Huyo mwanamke ndo anajua Kila kitu

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 4 หลายเดือนก่อน

      na huyo mwanajezhi achunguzwe sana pia

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwanamke akikutana na wataalamu wa uchunguzi atasema ukweli.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 หลายเดือนก่อน +60

    Kulikuwa kuna issue gani mpaka upigiwe simu uulizwe kuwa amefika nawe ukajibu hajafika na kwa nn huyo Rafiki wa mumeo asimpigie muhusika??? Kuna utata hapo jeshi la police wafanye Kazi yao

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 4 หลายเดือนก่อน +6

      damu ya mtu haiendi bure watapatikana tu.

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 4 หลายเดือนก่อน

      ​@athumanfuko1kabisa99

    • @user-xe2gw3bh9d
      @user-xe2gw3bh9d 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa jamani huyu mama anajua yote

    • @user-nb5op7ss2s
      @user-nb5op7ss2s 4 หลายเดือนก่อน

      Point san.

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 4 หลายเดือนก่อน +37

    Yaan ufiwe na mumeo alaf uwe na nguvu yakuongea km ivyo hapana kwa waliofikwa na misiba km hii wanajua maumivu yake maana uwez hojiwa unaweza ongea kwanza akil unais zimesepa polen ndugu wafamilia mungu awape subra inauma mno

    • @joharimanyanda3358
      @joharimanyanda3358 4 หลายเดือนก่อน +6

      Huyu anajua kifo Cha huyo mtu

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 4 หลายเดือนก่อน +5

      Tena hana wasiwasi kabisa, tena anaongea kashika kiuno, hana hata tone la huzuni,

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani anajua uyo

    • @nusrathmanyawa4501
      @nusrathmanyawa4501 4 หลายเดือนก่อน +4

      Yaani hadi namshangaa mumeo tena wa ndoa jamani

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mfano mzuri tuliona Kwa yule dada alie liwa na mamba dada alilia Kwa uchungu yule 😢😢😢huyu hata simanzi hanaa

  • @faridahaji5948
    @faridahaji5948 4 หลายเดือนก่อน +50

    Huy dada ni kiboko hivi anajuaaa maumivu ya kufiwa na mume kweli uso mkavu hivi unajuaaaaa

  • @Lllllllmmn
    @Lllllllmmn 4 หลายเดือนก่อน +82

    😮😮😮😢mwamke kafiwa ila ata dalili ya uzuni hamna usoni khaaa mkavu

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 4 หลายเดือนก่อน +6

      Yani mwanamke anajua huyu kila kitu wallaah

    • @user-cn5ft9ss6x
      @user-cn5ft9ss6x 4 หลายเดือนก่อน +1

      Jicho kavuu...mmmmm ,😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 4 หลายเดือนก่อน

      Tena mkavu mkavu tena

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน +1

      du dunia watu wamekuwa na roho mbaya Sana usimuamin hata mke wako maisha ya Sasa syo kama ya zaman Ila Arusha matkio yamezd Sheria kdogo iwe Mt akiuwa nae anyongwe ad kufaa🪓💉✂️⚔️🗡️

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 4 หลายเดือนก่อน +1

      damu ya mt aiendagi buree

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 4 หลายเดือนก่อน +14

    Kwann unfanyie binadamu mwenzio kitendo cha kikatili namna hii,, kwann jamani 😢😢😢 ,,, kwann wamemuua kifo cha kikatili kiasi hiki,,,Mungu awaadhibu wahusika wote nimeumia mnoo,, serikali wafanye uchunguzi,, inaumaaaaa sana.

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 4 หลายเดือนก่อน

      Tuombe Rehema kwa Mungu tunapo elekea siko

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 4 หลายเดือนก่อน +19

    Ahaaa uyo mbona atasematu ngoja police wamuhoji vizurii kabisa

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 4 หลายเดือนก่อน +53

    Jaman amekufa kwa mateso sana inaumiza sana mungu tupe mwisho mwema😢😢

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin yaarab kwakweli

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 4 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @QwaridaNadamassay
      @QwaridaNadamassay 4 หลายเดือนก่อน

      Kweliiii jmniii

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aisee dunia hii JAMANI dunia hii mweee😭😭😭😭😭

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 4 หลายเดือนก่อน +27

    Baba wa watoto wako huyo hao watoto watakuwa wakubwa na hiyo storry wataikuta uso wako utaficha wapi dada?kuachana haikutosha halafu unajichanganya mara useme alompigia cm cmjui,mara rafiki zake sasa umejuaje kama ni rafiki yake kama humjui? Nafsi yako inajua ukweli,yani umetoka monduli umekuja kusalimia watoto mara mtu anakuuliza huyo amefika inaonyesha wazi ulikuja kishari kwa mauaji kabisa halafu ni mume wa ndoa khaaa jamani wenye uhitaji wa ndoa hawapati wasio hitaji wanapata ,na mchepuko unakubaliana nao hadi kumwaga damu ya mumeo mmmmh kumbe kwenye ndoa unaweza ishi na shetani mwenye jina la ushetani kabisa

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 4 หลายเดือนก่อน +5

      Yaana uso wa huyu mama unaonyesha ujasili kama hajapoteza kitu jamani huyu mke wa malehemu sijamwelewa anajichanganya maneno Sana ila atambue mungu analipa hapa hapa Duniani na damu NI nzito mtalipwa wote wahusika hata msipokamatwa na vyombo vya Dola mungu atawalipa NI kiasi cha MDA tu

    • @hellenmwayole8715
      @hellenmwayole8715 4 หลายเดือนก่อน +4

      Dada anapanga Cha kuongea yaani anajichanganya anapanga sentensi hazipangiki, harafu anahofu furani. Duu Bora kuachana Kwa amani

    • @onyaluoma848
      @onyaluoma848 4 หลายเดือนก่อน +2

      Eti flani typo,badala ya mume yupo!!!!

    • @tumainichanya3268
      @tumainichanya3268 4 หลายเดือนก่อน +2

      Yaani ikiwa ndo mchepuko kafanya hayo lakini pia akirudi kwako Nako hata ishi nawewe maana ushaumtia ukakasi usisahau kuwa huyo ni mwanaume kama huyo huyo hivyo atakuogopa atahisi utaweza kumfanyia anything like that happened hivyo kama umeweza Kwa aliye mume wa ndoa Tena kakupa na uzazi baba watt utashindwa nini Kwa mchepuko ? nyie ndo mnaoharibu maana ya ndoa na kuacha doa lisilotakata hata Kwa clorox ,

    • @susankitila2898
      @susankitila2898 4 หลายเดือนก่อน

      😭😭

  • @chimamilion
    @chimamilion 4 หลายเดือนก่อน +30

    Yn unamwinamisha mwanaume mwenzio mpk unafika kilelen😢nawaza sana maumivu aliyoyapitia poleni familia 😢nawewe dd mbona mkavu ivo ata uzimii jmn

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 4 หลายเดือนก่อน +4

      Malaya atazimia kweli wkat amefurah

    • @yama_virginhairthequeen1065
      @yama_virginhairthequeen1065 4 หลายเดือนก่อน +3

      Inasikitisha sana jmn

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 4 หลายเดือนก่อน +1

      Itakua kahusika huyu dada

    • @user-vy2bc6xg3i
      @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani mimi mpaka sasa sijui walimzalilisha alikuwa ameshakufa au hai daaaa dunia hii

    • @chimamilion
      @chimamilion 4 หลายเดือนก่อน

      @@user-vy2bc6xg3i yn nikijikata nakisu nais kufa cjui yeye alipitia wakt gan jmn

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 4 หลายเดือนก่อน +62

    Mwanamke anajua kila kitu

  • @zalbak2738
    @zalbak2738 4 หลายเดือนก่อน +48

    mwanzo alisema Aliyempigia hammjui baadae anamjua aiseee ikoo namnaa

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mwanamke muongo eti huyo alie mpigia cm anasema hamjui badae anasema anamjua huyu kunakitu anaficha na yy kahusika yy na huyu jeshi huyu anajuwa mbinu zakuu tobowa macho washenzi wakubwa Mungu awabainishe na awahukumu poleni wafiwa

    • @gabrielmurro7134
      @gabrielmurro7134 4 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu anasema baadae nilimpigia simu shemeji nikamuuliza Mbona ulisema Hivi Alafu tukio limetokea

    • @pcpoint1224
      @pcpoint1224 4 หลายเดือนก่อน

      Mwana jeshi jeshini, uku uraiani ni punda kama punda wengine, wakamatwe ili kupatkane ukweli hii nchi hatukufundishwa tabia hizo

  • @FrancisMotivation002
    @FrancisMotivation002 4 หลายเดือนก่อน +20

    Arusha pamejaa Majambazi Sana, Wahuni wote Wa Tz wapo Arusha,
    Huyo Mwanamke aulizwe vzr kuna Jambo anaficha lipo nyuma ya pazia

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 4 หลายเดือนก่อน +1

      Jaman hata kwetu Tanga kologwe yupo mkaka ameuliwa hvyo hvyo mungu tusamehe natulehem siisi eewe mola 2saidie

    • @FrancisMotivation002
      @FrancisMotivation002 4 หลายเดือนก่อน

      @@husseinnuru7544 Ni hatari Sana, Watu wanafanya mambo Hayo wanadhani Dunia ni Yao

  • @mwananganzi
    @mwananganzi 4 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana kwa familia ya tumaini . Mungu awape subra na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +13

    Subuhanallah. Binaadam. Unamuua mwenzio ujuiww utakufalini. 😢 inalillahi.wainailahi..rajuun. yani kuuwa binaadam wanaonakawaidatu. 😢😢😢yarabi tujaaliemwisho mwema

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 4 หลายเดือนก่อน +46

    Mungu nisamehe hy dada mckilizeni maelezo yake nizairi anajua

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 4 หลายเดือนก่อน +5

      Uso wake unaeleza Kuna kitu anajua

    • @vesitinarevocatus7333
      @vesitinarevocatus7333 4 หลายเดือนก่อน +4

      Haswaaa kwanza iyosim ilopigwa kwake kulikuwa nampango

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 4 หลายเดือนก่อน

      @@vesitinarevocatus7333 baba mdogo anasema walitengana yeye anasema sijawahi kuachana na mme wangu Kwanzaa kwa kifo alicho kufa mumewe anaa nguvu zote Kwanza macho yake tu. Yanajieleza j. apo sio mpelelezi

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 4 หลายเดือนก่อน +3

      huyo atasema yeye mwenyewe

    • @IrenMushi
      @IrenMushi 4 หลายเดือนก่อน +1

      anaonekana ana ukwel mzm huyo sister

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 หลายเดือนก่อน +32

    Hilo neno la kwanza amefika? Kisha akabadili kauli, mala aliyepiga haijui namba mala aliyepiga ni rafiki ya aliyeuawa!! Hapo kuna walakini juu ya huyu mwanamke!

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @wilfredmoshi6507
      @wilfredmoshi6507 4 หลายเดือนก่อน +3

      Sure anajichanganya maneno yake.

    • @kisinza6077
      @kisinza6077 4 หลายเดือนก่อน +5

      Yaani anajichanganya na maneno yake makavu sana Hana hata Ile Hali yakiwa amefiwa!!!

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mtu anaishi naye halafu hajui aliko mume wake kweli?

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 4 หลายเดือนก่อน +14

    Mumulizee vizuri.huyo.mdada

  • @ansilamadicha8680
    @ansilamadicha8680 4 หลายเดือนก่อน +17

    Dada mkavuuuu😢 hyu alkula mchongo

  • @esterswai9454
    @esterswai9454 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutie nguvu baba,,siyo rahis lakn Mungu atakuvusha

  • @vurilyrics3004
    @vurilyrics3004 4 หลายเดือนก่อน +9

    Duuuu! Tuliosomea cuba tushajua tu huyo mama anahusika mana hata maelezo hayajitoshelezi

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 4 หลายเดือนก่อน +9

    Suspect everything but trust nothing... yote kwa yote yanawezekana inawezekana mwanamke akawa anajua na inawezekana asiwe anajua....ila kuwa na mahusiano na mwanajeshi anaonekana kuna kitu anaficha.

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 หลายเดือนก่อน +16

    Dah 😢😢😢damu ya mtu aipotei

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 4 หลายเดือนก่อน +23

    Hy dada oajiwe vzuri na aoneshe hy alompigia

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kesi rahisi sana hii kwa upande wa upelelezi****

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 4 หลายเดือนก่อน +18

    Jamani huyu mwanamke anahusika,,damu itakulilia dada,mwongo sana dada hata machozi mukafu hivyo,huu niunyama sana huyu,hadi mumelala..

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mwisho wa dunia umekarbia kwakweli

  • @kulngeleza6733
    @kulngeleza6733 4 หลายเดือนก่อน +24

    Mkewe anahusika kwa asilimia zoooote eeh mungu wa😢hii dunia wapi uku jmn ya allah tunaomba usaidie umma 😢 wako

    • @jesuspower2390
      @jesuspower2390 4 หลายเดือนก่อน

      itabidi usaidie police kumbe unajua kila kitu

  • @rehemaabdy2830
    @rehemaabdy2830 4 หลายเดือนก่อน +3

    Inauma sanaaa ukwel Allah anaujua Allah awahukumu wahusika wote

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 4 หลายเดือนก่อน +27

    Huyo mwanamke anajua Mbona anasema hawajaachana Na kumbe wameachana

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kwanza anajikanyaga haeleweki huyu anafahamu mchongo mzima

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 4 หลายเดือนก่อน +2

      Si atasingizia labda hajamuachia talaka kwa hiyo kisheria ni Kama hawajaachana ila wamepeana likizo

    • @celinamosha9420
      @celinamosha9420 4 หลายเดือนก่อน

      Mbwa wewe shetani mkubwa yaaani natamani nikupige

  • @nelsonnikodem1100
    @nelsonnikodem1100 4 หลายเดือนก่อน +16

    Poleni sana familia baba kasema haishii na mkewe mkewe kasema anaishi nae mbona kuna walakini

  • @neeskpop
    @neeskpop 4 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo mwanamke, aojiwe vizuri, kwa sbb, maelezo yake hayaeleweki. Pole kwa wafiwa.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu wangu nakusihii kama alivyoandika Isaya:49:26 adui zake wale nyama zao wenyewe kwa wenyewe na walewe kwa damu zao wenyewe kwa wenyewe.

    • @brightonfilbert
      @brightonfilbert 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu anawaona hao wauaji😮😮 ukatili uliopitiliza

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhhhh mbona kuna utata
    “Aliyenipigia simu simjui”……….mara tena “alienipigia namfahamu ni rafiki yake”
    “Baba mdogo kasema walikuwa wameachana kwa muda” na huko monduli alikuwa amechukuliwa na mwanajeshi 😢
    Huo ni unyama jmni inaskitisha sanaaa kwakwel na inaumaaaa kwann wamefanya hivyooo daaaah💔💔🤲🏻😭 eeeh Mungu waliofanya hivi roho zao zisitulie milele wakataabike mpaka waamue kutubu kwa walichokifanya😢

  • @officialfadhilomar5249
    @officialfadhilomar5249 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tujitahid kufanya mambo mazuri mambo mema....
    Kuna matatizo yanaweza kuwajia hata vitukuu vyako ikiwa ni malipo ya yale ulio ya tenda...
    Wacha mitohani ije ila isiwe ni kwaajili ya yale mabaya tulio fanya..
    Poleni sana wahusika mungu awape nguvu...
    Mungu atulinde sisi na vizaz vyetu

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu baba jamanii yaani usiku upo na mwanao asubuhi yupo chini amedhalilika😢😢Mwenyezi Mungu akupe subraa wallah😢

  • @guyasidotto1198
    @guyasidotto1198 4 หลายเดือนก่อน +4

    Saikokojia na muonekano huyu mwanamke anajua kila abanwe

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +9

    😢😢😢 siku izi ukikutana na binadamu mwinzio Kimbia maaana duh

    • @vumi8371
      @vumi8371 4 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢😢yani jamani

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 3 หลายเดือนก่อน

      @@vumi8371 😪

  • @judithrichard5546
    @judithrichard5546 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani huyu mwanamke ni anahisika mana sio kwa ukavu huo huyu dada anajua kila kitu yani tunavyojua ukifiwa na mumeo jamani huwezi kuongelea chochote na kumbe walitengana na yeye anasema wapo wote hapana jamni akamatwe huyu dada. Tunataka majibu waandishi wa habari

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 4 หลายเดือนก่อน +9

    dah ivi uyu dada kafiwa kweri au nirafikitu maana ata anauzuni ata kidogo dah mungu atuongoze

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 4 หลายเดือนก่อน

      Mm nahis anaigiza tu izo nguvu zinatoka wap

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 4 หลายเดือนก่อน

      Nimeishiw

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 4 หลายเดือนก่อน +6

    subhanallah! jeshi la police zianze kwa huyu mke, lakini arusha kwa sasa inaonekana ni mji namba moja kwa ukatili tanzania.matukio mazito kama haya yanatokea mara kwa mara kipindi hiki.

  • @user-gu4wc5tv8o
    @user-gu4wc5tv8o 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu pekee ndiye anajua

  • @EdghaMoses-js8lj
    @EdghaMoses-js8lj 4 หลายเดือนก่อน +3

    Maelezo ya huyu dada. Sijaelewa vizuri ila sitasema chcht sababu mwanasheria wangu kasafiri jaman

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 4 หลายเดือนก่อน +7

    kesi ndogo sana hii kwa upande wa upelelezi ila nikubwa kijamii kwakuwa ni mauaji

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada mshenzi sn anajua kila kitu abanwe vzr mpk chuchu atasema ukwel au wafwatilie cm yake na huyu mumewe watajua chanzo nn😢😢😢😢

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 4 หลายเดือนก่อน

      Muuwaji kabis anajua kila kitu

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu walaani wote waliohusika nahuo unyama hatakama alikuwa amefanya kosa labda lakini siyo kwa unyama huo 😭😭😭

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 4 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭😭jamani huko Arusha muogopeni mungu hivoo yaani hamuogopi mungu hatakidogo poleni Sana wafiwa wotee wallahi inaumiza sana

  • @mosessamson1811
    @mosessamson1811 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sio vyema kwenda kwa hisia ila huyu dada, ashikiliwe na ahojiwe vyema, Kuna jambo kwenye mabano.

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 4 หลายเดือนก่อน

    Waaa mungu atusaidie

  • @leviskiwanga9070
    @leviskiwanga9070 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mr Barick wana southern sun tunakupa pole sana -levis

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 4 หลายเดือนก่อน

    Daaah! Poleni ndug nahis maumivu makali sana daaah!

  • @user-pr9mx6pd8p
    @user-pr9mx6pd8p 4 หลายเดือนก่อน +1

    No one is safe nowadays sio wanaume sio wanawake😢

  • @mamaabduly
    @mamaabduly 4 หลายเดือนก่อน +2

    HUYU MWANAMKE MTUHUMIWA NO 1...ABANWE ATASEMA KILA KITU

  • @madahaisack1268
    @madahaisack1268 4 หลายเดือนก่อน +27

    Huyu mwanamke Kuna walakinii

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 หลายเดือนก่อน

    Ni ukatili wa kutisha sana. Binadamu binadamu ninyi damu hizi zitawalilia milele. Mwanaume unamuua mwenzako kwajili ya mwanamke ambaye ni sawa na siti ya daladala?. Poleni sana ndugu zetu. Amen.

    • @beathagabriel8438
      @beathagabriel8438 3 หลายเดือนก่อน

      Usifike huko kutukana mwanamke kuwa siti ya daladala. Kumbuka una dada, mama, shangazi, nk.Mtuhumiwa yeyote atuhumiwe kivyake. Usihusishe jinsia na kuidhalilisha kwa kosa la mtu binafsi.

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mkaka wa watu amepitia wakati mngumu sana daha inauzunisha sana kwanini wasimue tu jamani 😢😢

  • @Satier47
    @Satier47 4 หลายเดือนก่อน +1

    HUYO DADA ANAJUWA KILA KITU AMBACHO KIMEFANYIKA HAPO. NA HUYO MWANAJESHI WAKE, 😢 KAZI NI KWENU KUMUBANA HASA.... DADA HUYO KISHETANI KABISA 😢

  • @tzcruiseralteza2039
    @tzcruiseralteza2039 4 หลายเดือนก่อน +2

    millard uyu mtangazaji wako ni mnoma sana anauliza good question kabisa

  • @leahmollel6589
    @leahmollel6589 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mhhh! Damu ya mtu huwa haipotei! Kitajulikana tuu😭😭😭

  • @user-ic3kl9jg9k
    @user-ic3kl9jg9k 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee pole sana baba yangu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 หลายเดือนก่อน +2

    Baba jamani una uchungu,poleni sana.

  • @user-bj5uh1fx8l
    @user-bj5uh1fx8l 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mwanamke anahusika abanwe atoe aelezo ila hiyo damu ya huyo kijana itamtafuna mtoto wa mwanamke mwenzake ameuwawa kwa mateso jaman

  • @vurilyrics3004
    @vurilyrics3004 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dada anajichanganya sana

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 4 หลายเดือนก่อน +24

    Jamanii matukio kama haya sasa yametapakaa duniani kote...hii ni mwanzo wa sign ya malaika wa Mungu walio shikilia pepo nne za dunia wameanza kuachia taratibu taratibu....
    Na kadili wanavyo achia kidogo na ndivyo roho wa Mungu anavyo zidi kuwa acha watu wanao ng'ang'ania dhambi...
    Hivyo basi huko mbele tunako enda kama Mungu akitu hifafhi hai...dunia ikisha kuwa katika udhibiti wa shetani 💯 tutaona mengi....
    Maandiko yanasema watu watauana wao kwa wao,damu za watu zita mwagika kama maji kisa kona za dunia itakuwa ni mauaji ya kutisha...
    Ndugu zangu amani hii unayo iona leo,jilani yako anaku heshimu,mnasikilizana na wanao wanaku tambua kama mzazi si mda mrefu tuta ishi kama wanyama wanao windama....
    Na hapa ndio mwanzo wa utungu...lkn ile dhiki kuu ya ulimwengu kabla ya YESU KRISTO au ISSA BIN mariamu kurudi kuchukua walio wake hiyo itakuwa bado.....
    MAANDIKO YANASEMA
    Dunia ita ingia katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea na haitakuwepo nyingine kama hiyo tena....
    1.Matetemeko yatakuwa mengi sana
    2.Vita zitaongezeka
    3.Njaa na uchumi kupolomoka wa dunia
    4.Utu kuisha mioyoni mwa watu
    5.Mafuliko yatakuwa yakutisha
    6.Mioto kulipuka sehemu sehemu pasipo kujua vyanzo
    7.n.k
    YOTE HAYA NIKWA SABABU DUNIA IMEAMUA KUWA KINYUME NA MUNGU WA KWELI NA KUFATA UONGO NA KUIACHA SHERIA YA MUNGU...
    2 Petro 2:21

    • @user-st3ws1ns5g
      @user-st3ws1ns5g 4 หลายเดือนก่อน

      Very Points

    • @Xyz-dc3yq
      @Xyz-dc3yq 4 หลายเดือนก่อน

      Malaika mavi

    • @neemabaltazary2008
      @neemabaltazary2008 4 หลายเดือนก่อน

      We mungu wa Israeli tusaidie

    • @zuhuzuli.5150
      @zuhuzuli.5150 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Mungu atunusuru waje wake😢

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@neemabaltazary2008ndo Mungu gan huyo

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 4 หลายเดือนก่อน +2

    arusha kwa kweli matukio yamezidi e mungu.tutetee bila wewe sisi hatuwezi inauna sana kama watumiwa wakimamatwa nao wauwawe tuu hakuna njia nyingine huyo.mwnamke anausika asilimia 99

  • @Gabzyholic
    @Gabzyholic 4 หลายเดือนก่อน +37

    That is not how you interview a hot case that is open to inestigations AYO .Avoid court by leaving questioning potential people of interests either implicating or just questioning.

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 4 หลายเดือนก่อน +1

      So true, just for the sake of views you cant jeorpadise the witnesses or disrupt investigation altogether

    • @godlistenJohn
      @godlistenJohn 4 หลายเดือนก่อน +5

      Ww ni mswahili unazungumza na watanzania sasa hiyo lugha yakazi gani

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 4 หลายเดือนก่อน

      Wanaelewa hawa ayo kwani
      They don't understand kabisa

    • @kilimanjaro77international26
      @kilimanjaro77international26 4 หลายเดือนก่อน

      I don't think it will affect anything in this case, pressure bust

    • @vee-stromz3577
      @vee-stromz3577 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@ubuntubantu2404❤❤❤❤❤0p❤❤❤

  • @amanisaid9863
    @amanisaid9863 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana familia damu ya mtu haimwagiki bure,,ipo siku tutajua ukwer wote namini jeshi la porece lipo

  • @user-sy2mp7mm8u
    @user-sy2mp7mm8u 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mama ana taarifa muhimu

  • @user-rl8ft3cu2q
    @user-rl8ft3cu2q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nijaalie kifo chema

  • @aickatesha4542
    @aickatesha4542 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusamehe turehem baba

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu yupo kabla huyo kaka kuzikwa majibu yatatoka damu ya mtu haiendi bure 😢😢😢inauma mmno

  • @jamjam8734
    @jamjam8734 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kusema kweli huyu mke ashikwe story yake haieleweki mara hamjui mara rafiki yke

  • @nassysakia9511
    @nassysakia9511 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwanamke achunguzwe vizuri😢

  • @sundaydiga9296
    @sundaydiga9296 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuepushe

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duh it's like huyu Dada apelekwe kwenye mahojiano vizuri

  • @julyhaule6850
    @julyhaule6850 4 หลายเดือนก่อน +4

    Daah inauma

  • @Ambwene
    @Ambwene 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mwanamke inaonekana kabisa kwamba ni mtu wa matukio na ni muhusika mkubwa katika sakata hilo la kifo cha huyo kijana 😢😢😢😢

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 4 หลายเดือนก่อน +1

    nimesikitishwa sana na tukio hili jamani, damu ya marehemu itanena , poleni wote , RIP HENRY 😢😢

  • @MwanahamisNsila-sz1kr
    @MwanahamisNsila-sz1kr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama anaonekana anajua kinachoendelea sikiliza maelezo yake anajikanyaga tu 😢

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p 4 หลายเดือนก่อน +3

    astghafulah daah

  • @fridamuss922
    @fridamuss922 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mhh siopowaa yani mtu waachane alafu apigiwe simu aulizwe mumeo yukowapii huyu ameyakanyaga poleni san ila huyo kaka kafa kifo cha mateso sana Mola wangu hachelewi wala hawahi atalipa hii karma tena kwa uzuri tu inalillah wain lillah rajiun😢😢😢😢

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ee yesu tuhurumie 😢😢 nimelia moyoni

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 4 หลายเดือนก่อน

    Innaalillaahi wainnailaihi Raajiuun 😭😭😭😭 jamani watu mbona mnakua na roho za namna hivyo dah😭😭😭 inauma sana. Poleni sana ndugu janaa na marafiki

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 4 หลายเดือนก่อน

    Inna Lilah wainna illlah rajiun Baki Allah TU,hao walokifanya Wallah hawata lala salama,Mungu wangu nae mjua hatowaacha wauwaji,

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu baba yangu 😭😭😭😭😭

  • @verohmchihiyo5029
    @verohmchihiyo5029 4 หลายเดือนก่อน

    Hii inaumiza sana sana sana... Mungu wewe ndio unajua kila kitu naomba utoe haki kwa kila mmoja

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 หลายเดือนก่อน

    Aisee kosa gani hili la ukumu mbaya ya aina hii?. Shinda nini?. Wanategemea nini mbele za Mungu mkuu?. Wanadamu tumwogope Mungu maana yupo. Poleni sana ndugu zetu. Amen.

  • @user-sk6xl8ds3q
    @user-sk6xl8ds3q 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatie nguvu family, Kwa ujumla

  • @ashurajuma4837
    @ashurajuma4837 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mwanamke huyu mmmh yani utasema anahojiwa jirani jamani😢

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 4 หลายเดือนก่อน +11

    Mwanamke kuna kituuu maneno yake yana ulakiniiii ata ana tetemekaaa

  • @user-qx4ev2jv5w
    @user-qx4ev2jv5w 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂senge ili linajua kila kitu libanwe vizuri uyu dada anajua inshu nzima pumbavu

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 4 หลายเดือนก่อน +7

    Yaani roho inaniuma sana

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mdogo wangu.Hiyo kama umeahiriki naomba kuwa mkweli Ili watoto (kizazi chako)
    Kisipitiye Hy Damu ya maumivu ya marehemu yasije wasipitiye

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sio kazi ya mtu moja hiyo

  • @user-lh5cd5xn7k
    @user-lh5cd5xn7k 4 หลายเดือนก่อน

    Dada eleza vizuri,,,. Mbona jicho kavu,,,,,kitakukuta kitu ,!!

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mama anajua chanzo kwakumuangalia tu hata hatoi Machoz nimtata

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 4 หลายเดือนก่อน

    Kama nikweli amehusika atapigwa na mungu mana ndoa nijambo la mungu kama unajijua sio wakuolewa kwanini kilazimisha moyo mbaka kuleta mazala makubwa ivo mungu tusaidie hali imezidikuwa mbaya 🙏🙏

  • @maulidjumakibula4674
    @maulidjumakibula4674 4 หลายเดือนก่อน +8

    M/mungu ampumzishe mahala pema pepon kijana mwenzetu amepitia mateso makal sana had kufa kwake jaman.

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mates matan mwezio unampa kumuharibu kumfunga uson akiuonen mnavo muazib😢 na mmemp azab nyengin kumtoboa toboa kwakwel😢😢