Mifumo ya tawala za kiafrica huwa hairuhusu mtu kutoa maoni yake wazi kuogopa kuadhibiwa lkn sasa yuko free kusema na ukweli sisi ccm tunaogopa wagombea binafsi maana wakiwepo tukiwakata watenda kugombea binafsi na kushinda.
CCM wameiteka nchi. Nchi imekuwa kama mali ya chama cha CCM. CCM imewanyima watu uhuru wa kuchaguwa viongozi wanaowataka. CCM imevibana vyama vya siasa. Ni kama tuna chama kimoja. CCM imeuwa vyama vya upinzani. Iwape uhuru watu wachaguwe viongozi wanaotaka.
Mgombea binafsi ni Lazima sio CCM wakipenda Au Cuf wakipenda Sasa nilazima tunahitaji mabadiliko ndani ya CCM na Nje ya CCM hakuna wakipenda Mgombea binafsi Uchaguzi 2024 na 2025 Nilazima.
Huyo Mother mbona alipokuwa kwenye mzunguko wa mezani kuwa waziri.Walikataa KUPITISHA MGOMBEA BINAFSI.Baada ya kutemwa utamu wa Uwaziri.Kaona madhara yake.Yeye awe mpole tu CCM PIGA GEUZA HILO SUALA HAWALIKUBALI.YEYE MWENYEWE TUBAIJUKA ANAELEWA.
Mgombea binafsi atakua anawajibisha na nani?? Ukiwa chini chama maana yake chama kitakusimamia mienendo na weledi. Sasa ukiwa binafsi alafu ukawa mbunge, chombo gani kitakuwajibisha?? Mgombea binafsi ni kama mwanaume asiye na ndoa.
Kama Mgombea Binafsi Akiluhusiwa Kuwe Na Sheria Kama Za Marekan Awe Na Utajili Usiopungua Kiasi Fulani mana Mgombea Binafs anaweza kutuuza Nae akatomkia mbali
Hiki ndo kinachofanya watanzania tunakuwa vipofu wa fikra unaposema utajiri Fulani unafanya matajiri waendelee kujimilikisha nchi Kuna wa2 so matajiri wanamaono na mitazamo chanya juu ya taifa Hilo kuliko hao matajiri achana na upofu wa fikra amkaaa mzee kumekucha
Mgombea huyo binafsi ataleta sera nzuri kila Chama hakieleweki vurugu tupu
Huyu bibi tibaijuka haya maneno mazuri anayasema baada ya kustaafu ubunge wakat yumo ccm hakuwahi kusema maneno kinyume na chama chake
Ubunge aliamua kuacha mwenyewe pia ukumbuke
@@kassimkassim6386 nisawa nandio maana nimesema baada ya kustaafu
Yeye bado ni CCM mwenzetu
Si ni mdiiiiiiiiiiii malizia
Vijisent vya mboga
Ila mgombea binafsi anaweza ila katiba ibadilike ili wananchi waweze kumuwajibisha akiwa amefanya tofauti na sheria zetu
Najifunza Sana Nikiwa Nawasikiliza Na Kuwaangalia Kila Siku Hiki Sio Kipindi Tu Ni Darasa
Wakikosa vyeo ndio wanakuwa wasemaji hapo anatafuta uteuzi hata wa board
Mngombee binafsi nilazima kwa sababu wapo watu hawafungamani na vyama
Safi sana mgombea bunafsi
Mifumo ya tawala za kiafrica huwa hairuhusu mtu kutoa maoni yake wazi kuogopa kuadhibiwa lkn sasa yuko free kusema na ukweli sisi ccm tunaogopa wagombea binafsi maana wakiwepo tukiwakata watenda kugombea binafsi na kushinda.
Nijambo jema sana mgombea binafi
Tumechoka na ccm ni bora waruhusu mgombea binafsi
KATU CCM HAITOKUBALI CHANGAMOTO KAMA HIZO...HAO JAMAA SIO KABISA
❤❤❤
Ccm ni waoga hawaturusu hiko kitu
Iweke tu
Mahakama kwa kutumia sheria iliruhusu kupitia kesi ya mchungaji Mtikila hayati kwa sasa.
Faida ya vyama vya siasa haipo tangu kuwepo kwa hivyo vyama vyenyewe
Wananchi wanahitaji muwakilishi bora na sio muwakilishi wa CCM
Amezeeka
CCM wameiteka nchi. Nchi imekuwa kama mali ya chama cha CCM. CCM imewanyima watu uhuru wa kuchaguwa viongozi wanaowataka. CCM imevibana vyama vya siasa. Ni kama tuna chama kimoja. CCM imeuwa vyama vya upinzani. Iwape uhuru watu wachaguwe viongozi wanaotaka.
Mgombea binafsi ni Lazima sio CCM wakipenda Au Cuf wakipenda Sasa nilazima tunahitaji mabadiliko ndani ya CCM na Nje ya CCM hakuna wakipenda Mgombea binafsi Uchaguzi 2024 na 2025 Nilazima.
Wewe sema watanzania hawajaamua
CCM ndo wanaogopa wanajua kwa sababu waki ruhusu kama mtu ambae anakubalika na wanannji asipo teuliwa atakua mgombea binafi
Chama kimoja ni kuanzia 1965 Bara TANU na Zanzibar. 1977 CCM!
Kabisa..maana huyu mgombea wenu hana mashiko kabisa…
🐸 👂
Zembwela, ukitaka kupunguza umri wa kuishi ingia kwenye Siasa. Usidhubutu
Irudi TU wengine tunapenda siasa lakini vyama geresha tu
Wow iwe hivyo tupate nafasi maana wazee wanangangania juu
Tunataka mgombea binafsi
Zembwela😂😂😂😂nawe huna chama
Chama kimoja ilikua 1965
Huyo Mother mbona alipokuwa kwenye mzunguko wa mezani kuwa waziri.Walikataa KUPITISHA MGOMBEA BINAFSI.Baada ya kutemwa utamu wa Uwaziri.Kaona madhara yake.Yeye awe mpole tu
CCM PIGA GEUZA HILO SUALA HAWALIKUBALI.YEYE MWENYEWE TUBAIJUKA ANAELEWA.
Hakutemwa aliacha mwenyewe
Wasio na chama ni wazuri sana kwani wao na katiba ya JMTZ TU.
Chumvi😂😂
Mgombea binafsi...ni tishio kwa vyama vya siasa.
Tunahitaji wawakilishi wa wananchi siyo wa vyama.
@@SylvesterKameohaswaa
Na havikuwahi kuwa na tija kwa Taifa zaidi ni purukshani za hovyo
Tishio kwa CCM,usipotoshe.
Mama una akili wawepo wagombea binafsi kama ubunge wa Shirikisho
Milioni 10 vijisenti vya mboga
Wewe profesa Tibaijuka kwani zile Sh. 1,600,000,000/- za mboga zimeisha mara hii? Kweli aliyepata hatosheki
🙆♂️😂
Mgombea binafsi atakua anawajibisha na nani?? Ukiwa chini chama maana yake chama kitakusimamia mienendo na weledi. Sasa ukiwa binafsi alafu ukawa mbunge, chombo gani kitakuwajibisha?? Mgombea binafsi ni kama mwanaume asiye na ndoa.
Ola kitenge na magezeti kama chupi kwa tako
Alikuwa wapi kusema wakati hajatoka Hana jipya
Hajachelewa ni wakati muafaka
Kila jambo lina wakati wake
Ukiwa kwenye mfumo wa ccm uwezo sema chochote Cha aki.ataukiona mtu anauliwa mbele yako uwezi sema ihi ndo ccm bana
Jiunge na chama cha Zambarau
Chama cha zambarau kina zambarau ndani yake, political party hatuvihitaji tunahitaji uwakilishi tu siyo porojo za siasa.
Nashangazwa na watu waliyokuwa kwenye mfumo hawakushauri lakini wakishatoka ndo wanakuwa walimu wa kuurekebisha mfumo😂
Unauhakika na unacho kuzungumza nenda kafatilie Historia ya huyu Mama
History ya Huyu ni kuwa Alichukuwa pesa za Uma halafu akajibu ni za Mboga Wakikosa ndio wanakuwa Wajuzi sana kurekebisha mambo
HIZO PESA MRIZO PEWA MTAJA MZITAPIKE MITANGAZAJI MICHAWA HII INAKERA SANA NYIE ENDERENI KUMTUMIKIA KAFIRI SIKU YENU YAJA PUMBAVUU
LIPIGIENI CHAPUO HILI SUALA WAANDISHI , HII NDIO NJIA PEKEE YA KUONDOA HAWA TUSIOWATAKA WANAOHARIBU NCHI YETU KWA MASLAHI YAO.
Kwa kweli iwe hivyo kama alivyosema Tibaijuka Mgombea binafsi awepo irudi sheria hiyo maana wananchi wamechoka kuishi kwa wasiwasi
Mgombea binafsi akiharibu nani atamuwajibisha
Katiba itamuajibisha
Sasa ruzuku itagawanyikaje?
Ah ruzuku unachangia kiasi gani wewe
Kuwaza ruzuku ni dalili ya wizi
Iondolewe pia nayo!
Hakuna issue ya ruzuku hapo,jambo hilo litawekewa utaratibu wake.
Kama Mgombea Binafsi Akiluhusiwa Kuwe Na Sheria Kama Za Marekan Awe Na Utajili Usiopungua Kiasi Fulani mana Mgombea Binafs anaweza kutuuza Nae akatomkia mbali
Hiki ndo kinachofanya watanzania tunakuwa vipofu wa fikra unaposema utajiri Fulani unafanya matajiri waendelee kujimilikisha nchi Kuna wa2 so matajiri wanamaono na mitazamo chanya juu ya taifa Hilo kuliko hao matajiri achana na upofu wa fikra amkaaa mzee kumekucha
Kidumu chama cha mapinduzi