Mchungaji HANANJA afichua "KIMARO hajasamehewa amedanganywa, kumtuliza"

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 65

  • @evodiusbaitwa9233
    @evodiusbaitwa9233 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Mchungaji ni mpenzi Wa mungu anasimamia ukweli sana

  • @elsonjohnson7558
    @elsonjohnson7558 ปีที่แล้ว +2

    My my my poleni sana wachungaji kama hayo anayosema mch Hananja ni kweli
    Basi Kanisa lifikirie mara mbili

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +6

    Hananja hongera sana kwa kusema ukweli

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว +4

    Wameyataka wenyewe kuyaweka hadharani na mimi napita humo humo .Shikamooo Mch.Hananja🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ ila wakulipe aisee

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 ปีที่แล้ว +4

    Upo sawa mchungaji.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +5

    Arudi Kijitonyama🤲

  • @jennifaonesmo602
    @jennifaonesmo602 ปีที่แล้ว

    Mchungaj KIMARO amerudi tunamshukuru Mungu

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 ปีที่แล้ว +4

    Binafsi nakukubali mchungaji Hananja

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mchungaji nampenda kweli kweli ana simama na ukweli

  • @emmanuelmollel1053
    @emmanuelmollel1053 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa, japo kanisa ni taasisi na utume ni popote pale.

  • @jennifaonesmo602
    @jennifaonesmo602 ปีที่แล้ว

    Nyie mnaoona ajarudi Moja Kwa moja mtajua tu. we muongo mchungaj pita iv

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 ปีที่แล้ว +4

    Uyu mzee namuelewaga xaana

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 ปีที่แล้ว

    Tena kweli wanateseka sanaa wachungaji jmn!! Hata bima hawana!! Wanatumika kama madekio nyumba ikishang'aa linatupwa mbali halina kazi tena!!

  • @thadeikafaranga7744
    @thadeikafaranga7744 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaaaahaaaa pastor unatoa sili za kambi pastor 😂😂😂😂😂

  • @victorlyimo1374
    @victorlyimo1374 ปีที่แล้ว +2

    Unasema kweli kabisa

  • @julianabenjamin-yo6zt
    @julianabenjamin-yo6zt ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji Hananja sema tupone baba,ukweli utatuweka huru.

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 ปีที่แล้ว +2

    Unasema ukweli, wakubwa kuweni watumishi sio kutumikisha tu au kuwaonea wadogo

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣🤣🤣wakupe wiki hiii hela zako 🤣🤣🤣wakulipe hela zako 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

    • @gaspercharles2244
      @gaspercharles2244 ปีที่แล้ว

      Kweli kutumikia Mungu miaka 30 ni kazi ngumu ndg zangu kutokuwajali watumishi wa Mungu uzee wao kutakwaza vijana kumtumikia Mungu au watakuwa wapigaji wakiandaa mazingira ya kustaafu

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli wampe wiki hii hii😀😀😀

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 ปีที่แล้ว +5

    Hapo ndo tumejua kumbe uchungaji ni kazi Kama kazi nyingine.

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 ปีที่แล้ว

      Huko kwenye makanisa hayo ni ajira

  • @roseyohana3500
    @roseyohana3500 ปีที่แล้ว +4

    Baba huyu tangu nimjue nampenda. Kweli anatoa.sitiresi ukimsikiliza kwa makini

  • @mzarendo.com9624
    @mzarendo.com9624 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh !!!
    🤭🤭🤭🤔🤔🤔😳😳😳🥺🥺🥺🥱🥱🙈🙈🙈🙊🙊🙊🙊🙉🙉🙉

  • @johnmwambasi2299
    @johnmwambasi2299 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kupinga

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji hapo hujadanganya kweli? Yaelekea una machungu hata wewe, Kumbe unadai hela zako,

  • @soplisjoachim5884
    @soplisjoachim5884 ปีที่แล้ว

    Kanisa la kkt bwana ....... management ni dhaifu sana

  • @attubulenge530
    @attubulenge530 ปีที่แล้ว

    Unaweza usimulewe Mch Hananja ILa baadhi ya hizi taasisi za Dini ni shida sana,kuna dhuluma za makusudi hadi unajuta kwanini ulikutana nazo..,..

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 ปีที่แล้ว

    Huwezi kuwa mkubwa kuliko Taasisi Mimi ndio navyo jus ivyoo tuishi umo

  • @samwelsumayan6745
    @samwelsumayan6745 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji kasema ukweli, amekubali yaishe ili kunusuru Chanel yake!

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 ปีที่แล้ว +5

    Amerudi ss,,ulikuwepo kanisani?

  • @atudoreenjoseph8797
    @atudoreenjoseph8797 ปีที่แล้ว

    Ha ha ha ha 😂

  • @evaaggrey1382
    @evaaggrey1382 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @eliangimba-yv8vj
    @eliangimba-yv8vj ปีที่แล้ว

    Bwana naazid kukutetea baba

  • @ukk9798
    @ukk9798 ปีที่แล้ว +3

    KANISA LILIINGIA CHAKA HUYU MZEE KIPAJI CHAKE NI COMEDIAN SIO UCHUNGAJI

  • @qeenqeen2749
    @qeenqeen2749 ปีที่แล้ว

    wachungaji wazuri hila kazi ipo kwa wahumini na mabaraza hayo

  • @maxcharles5436
    @maxcharles5436 ปีที่แล้ว

    Kuna wimbo katoa na truba ft afande sele mzee huyu namkubali

  • @johnnyika7736
    @johnnyika7736 ปีที่แล้ว +4

    Huyu menu guy hivi anatafuta nini

    • @fatymnyama2839
      @fatymnyama2839 ปีที่แล้ว

      Swali lako halieleweki

    • @fatymnyama2839
      @fatymnyama2839 ปีที่แล้ว

      Swali lako halieleweki

    • @magrethminja1309
      @magrethminja1309 ปีที่แล้ว

      Kwan hiz kiki za kumponda unayetaka kwenda naye mbingun hiv nyie wenyewe mnapobdana hiv Mungu anasimama wap??,mahubir ya kumsakama mwenzako tyu acha kiki za mitandao utachomwa,na Mungu atakurushia make kutoka mbingun hayo yaache hayakuhusu we cyo mtafst wake

    • @janethtemba4849
      @janethtemba4849 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁 we baba umenishinda

  • @lydiakimaro-wl1qo
    @lydiakimaro-wl1qo ปีที่แล้ว +2

    Wewe mchungaji hananja acha kuongea ongea mambo ya watu Fanya kazi Yako mchungaji kimaro anafundisha vyema mno

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 ปีที่แล้ว +2

    Hananja kama alishatoka KKKT atelier huko aliko ni mnafiki

  • @raymondkavumo2921
    @raymondkavumo2921 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sasa mzee wa Udaku
    Bangi huwa inachukua muda gani kuisha kichwani?

  • @sarahsaanane-jm5qn
    @sarahsaanane-jm5qn ปีที่แล้ว

    Shetani kubwa hili!!!

  • @mosesisack-zx8ie
    @mosesisack-zx8ie ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji wa Kiki

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 ปีที่แล้ว +3

    VIONGOZI wa KKKT WAWE MAKINI NA HUYU MTU ,naona amejipanga KULITIA AIBU HILO KANISA, HUYU NIWANAJESHI ALIE HASI ,ANAJITAHIDI AUNDE JESHI LA USHAWISHI AWE NA NGUVU YAKULISAMBARATISHA KANISA,ATAWAVUA NGUO VIONGOZI WOTE NA ANALETA UCHOCHOZI BAINA YA WACHUNGAJI NA MAASKOFU WAO,

    • @elizabethswai7777
      @elizabethswai7777 ปีที่แล้ว +2

      Mkweli ni unauma,🤣🤣🤣

    • @katojomtaita3395
      @katojomtaita3395 ปีที่แล้ว +1

      kuna siri nzito sana taasisi za dini......sasa kama huyo alikuwa mtumishi kanisani kama mchungaji na wanamfanyia nayo sihatari hii.....kanisa taass inawapeka watumishi wapi kama sikuwatengenezea uasi?

    • @bahatikambanyuma
      @bahatikambanyuma ปีที่แล้ว +5

      HAWA WAKUU WA DINI HAWANA TOFAUTI NA MAFARISAYO . SHIDA HAMTAKI KUOKOKA ILI MUONGOZWE NA ROHO MTAKATIFU

    • @janengaga2928
      @janengaga2928 ปีที่แล้ว +1

      @@bahatikambanyuma asante

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว +2

      Akida wewe ni muongo mpaka basi..mifumo ya makanisa ni dhulumati sana.Wachungaji wanapata shida ,kazi hiyo ni ngumu.kazi ya kuchunga binadamu sio mchezo..bila kuijiongeza hata hawawezi kusomesha watoto.

  • @dicksonulotu7427
    @dicksonulotu7427 ปีที่แล้ว +1

    Hananja mbona kigeugeu?,Shida yako Mchg una mafundo sana moyoni mwako,Punguza maneno Mzee,weka akiba ya maneno.