KUNA SIRI NZITO NYUMA YA 50 CENT NA PDIDY KILA KITU HIKI HAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2024
  • KUNA SIRI NZITO NYUMA YA 50 CENT NA PDIDY KILA KITU HIKI HAPA
    Unaweza kutupata pia kwenye mitandao yetu ya kijamii
    Facebook
    / tricodmedia
    instagram
    tricodmedia...
    twitter X
    x.com/tricodmedia?t=Doj1G3uX8...
    tiktok
    www.tiktok.com/@tricodmedia?_...
    #spirituality #news #trending

ความคิดเห็น • 28

  • @TricodMedia
    @TricodMedia  2 หลายเดือนก่อน +1

    UKWELI KUHUSU P DIDY MICHAEL JACKSON NA RKELLY HUU HAPA HUWEZI KUAMINI
    th-cam.com/video/_jC_nlLxawk/w-d-xo.html

  • @Japhethhraisi-dv4tm
    @Japhethhraisi-dv4tm 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka nakubali sana habali zako aisee wangi wanajua ni story zakutunga lakini nimethibisha kaka kazi yako aina makosa mzee baba upewe maisha marefu sana

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 หลายเดือนก่อน +9

    Welcome back my brother 🙏🙂‍↔️, tuleteye habari ya ule Nigeria aliye kufaa Nikama katolewa kafara JNR Pope 😢😢 please

  • @matatamatatatours3237
    @matatamatatatours3237 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi NASEMA ata maraisi wa marekani Amini ni mashoga

  • @EXPLORESTREETSMART
    @EXPLORESTREETSMART 2 หลายเดือนก่อน +2

    Glad you are back

  • @billionairef897
    @billionairef897 2 หลายเดือนก่อน +1

    KARIBU TENA BRO 🙏🙏🙏

  • @user-hq5qx1hu2x
    @user-hq5qx1hu2x 2 หลายเดือนก่อน

    Mapapai

  • @francknjosh7081
    @francknjosh7081 2 หลายเดือนก่อน +1

    Im from kenya na ninapenda hii channel sana,bro acha kukaa sana bila kudrop video mpya❤

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 หลายเดือนก่อน +1

    👊✌️👍.

  • @Anuaryomary-su9cd
    @Anuaryomary-su9cd 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umepotea sana bro welcome back

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Diddy ana mengi nyuma yake masna hii inezid

  • @user-le2yq9sq1m
    @user-le2yq9sq1m หลายเดือนก่อน

    Mashoga tu wengi Hawa wamefika weusi.. So shameful..

  • @billionairef897
    @billionairef897 2 หลายเดือนก่อน

    Ça fait longtemps

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน

    we mtangazaji ueleweki, alipataje hasara ?

  • @HalfaSaid-vl6ki
    @HalfaSaid-vl6ki 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani aya makesi uko Marecan yanawausu watu weusi tu kilakukicha ? 😢

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 หลายเดือนก่อน +1

    Didi ni star kitambo kila mtu alikua anatamani kuwa karibu nae ni kama leo hii Tanzania watu wanavyo tamani kuwa karibu na Dai

    • @richardmika6429
      @richardmika6429 2 หลายเดือนก่อน

      Unaujua mzik kwel?! Industry ya music US sio km kwen bongo dgo

    • @DeBoy-oy2jg
      @DeBoy-oy2jg 2 หลายเดือนก่อน

      Ukubwa wa usanii inategemea unatumia nguvu za imani ya dini yako au imani ya nguvu za giza !
      Na mpaka sai ukubwa wa Didy hauna faida tena ,sababu ya nguvu za giza mpaka sahi kuwafanya wasanii wenzake wamekuwa ndio wake zake kuwafanyia kinyume na maumbile,
      Na ukichunguza nyimbo nyingi za kizungu zinaongelea sana matusi, kufanya mapenzi kinyume na maumbile au mapenzi ya hisia moja na ndio mpaka sahi yametanda sana kwa wasanii wakubwa na wasanii wadogo wameanza kufata nyuma

    • @rapmoses2546
      @rapmoses2546 2 หลายเดือนก่อน

      Ata Dai siku moja alitembea kwake Diddy

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 หลายเดือนก่อน

      Dai naye naye star 😂😂

  • @billionairef897
    @billionairef897 2 หลายเดือนก่อน

    KARIBU TENA

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน

    Ngozi nyeusi tuna shida saana.hata kama tukienda sayari nyingine kupendana ni ngumu kabisaaaa!!!!

  • @marthamatiku5729
    @marthamatiku5729 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hapo 50 cent ni kama harmonize kwa hapa bongo fulevani na jay z ni alikiba na p.didy ni diamond platinum

    • @richardmika6429
      @richardmika6429 2 หลายเดือนก่อน +3

      We n mtoto inaonekana hujui kuhus mzik wa US, hujui habar za west coast na east coast

    • @juliusjoseph4889
      @juliusjoseph4889 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hahhaha.......50cent ni mkongweeeeee wewe binti

    • @user-kk7re2jl8y
      @user-kk7re2jl8y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahh