TOP 10 MASTAA WENYE NYUMBA ZAO WALIZO JENGA WENYEWE WASANII MATAJIRI 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 448

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 11 หลายเดือนก่อน +61

    mond ana nyumba kibao labda km umekuja jana mitandaoni

    • @HassanLikoko
      @HassanLikoko 11 หลายเดือนก่อน +9

      Kajenga wp

    • @KaitaKatema
      @KaitaKatema 11 หลายเดือนก่อน

      Ardhini

    • @neggymwaky6297
      @neggymwaky6297 11 หลายเดือนก่อน

      Madale zipo tatu

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 10 หลายเดือนก่อน

      Not true

    • @daudidaudi964
      @daudidaudi964 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mondi ni limbukeni tu, ana nyumba wapi wakati anapangiasha????

  • @MohamedChilllo-ru8vg
    @MohamedChilllo-ru8vg 11 หลายเดือนก่อน +17

    Kipekee nimpongeze Mwijaku ,amenifurahisha sana ,anapambana sana ,hongeraaa sana

  • @SarahAbdi-cw1tl
    @SarahAbdi-cw1tl 5 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha Ya dunian mazuri ishu ni mafupi kama umebarikiwa kumiliki vitu lakin sis choka mbaya unaweza kufuru sema Mungu wetu sote tupambane... sema muhmu zaid tujikatie viwanja mbinguni na huko napo tuwepo kwenye maisha ya kudumu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 หลายเดือนก่อน +15

    Nyumba ya Jux na Kenzo zina style nzuri sana za kileo mpaka decoration za ndani

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  11 หลายเดือนก่อน +1

      ,🙏

  • @NassirSeifu
    @NassirSeifu 10 หลายเดือนก่อน +7

    Naomba muwe mnatuonyesha nyumba za kisasa za zamani hatutaki, msechu toto la kigweno umetisha nyumba yako niya kisasa garden safi, Aristot hongera ya kisasa, kenzo ya kisasa, hongera, Jux ya kisasa hongera, ❤

    • @RAMLATHAJI-ig4pf
      @RAMLATHAJI-ig4pf 10 หลายเดือนก่อน

      sasa walojenga zaman wabomoe au sio 😂

  • @MohamedChilllo-ru8vg
    @MohamedChilllo-ru8vg 11 หลายเดือนก่อน +29

    Mashindano ya mijengo nimeyafurahia ,wasanii wetu Sasa wameelemika nawapongeza wote na Wana majumba yenye hadhi wote

  • @jacksonfatael
    @jacksonfatael 11 หลายเดือนก่อน +8

    Nyumba ya msechu ni kali sanaaàa, finishing kali mnoo, garden kali sanaaa

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 11 หลายเดือนก่อน +1

      Garden ya msechu hat mm 💯

  • @ShamsKhalij-sn9ri
    @ShamsKhalij-sn9ri 11 หลายเดือนก่อน +16

    Simba ni noma pambana baba mungu yupo pamoja nawe kaka yetu wanaokuchukia niwakuchukie tu yote nikwavile unapambana na huwajibu upo kimy so kimy chako kinawauma

  • @MussaAbudo-q5k
    @MussaAbudo-q5k 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah nijalie na mi niwe na Kwangju inshallah

  • @SmilingCosmos-ve5fh
    @SmilingCosmos-ve5fh 8 หลายเดือนก่อน +2

    du mwenyezi mungu awatie nguvu mastaa ote wenye majumba naata wale ambao bado hawaja pata wapate

  • @isayaboy-f8d
    @isayaboy-f8d 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu naomba unibark na me nitajenga ghorofa

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  2 หลายเดือนก่อน +1

      Amina

    • @Aziza-tx4jx
      @Aziza-tx4jx หลายเดือนก่อน

      Amiin Amiin

  • @eventinuskaijage418
    @eventinuskaijage418 9 หลายเดือนก่อน +6

    Muonekano tu wa Nyumba ya msechu ni the best

  • @salinababe6894
    @salinababe6894 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mwijaku hongera sana

  • @DrifclementDrifblood-o5w
    @DrifclementDrifblood-o5w หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali harmonize

  • @JacksonBanda-is2zu
    @JacksonBanda-is2zu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu na Mimi naomba siku moja nimiliki ghorofa

  • @remidiusiponsiani
    @remidiusiponsiani 8 หลายเดือนก่อน +14

    Eeee yesu kiristo uliyeniumba mimi Remidiusi ponsiani bolingo nakuomba na mimi siku moja nimiliki nyumba nzuri nakuomba pia,siku moja na Mimi niweze kuendesha magari yangu kikubwa zaidi amani na furaha katika familia yangu vidumu waongezee zaidi pia,walionavyo🙏🙏🙏🙏 na ambao awajabarikiwa wabarikie amina

  • @JamessimonMashaidi
    @JamessimonMashaidi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awasaidie sana

  • @SongaIsaac-p2o
    @SongaIsaac-p2o หลายเดือนก่อน +1

    Polepole

  • @Aswan-f8r
    @Aswan-f8r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Much love from Kenya guys like back❤

  • @husnaally-e9z
    @husnaally-e9z 11 หลายเดือนก่อน +6

    ❤ list imetulia sana wcb for life 🔥

  • @RoseNtandu
    @RoseNtandu 26 วันที่ผ่านมา

    Nyie Watu Nandy Yuma ???❤❤❤❤❤❤❤a.k.a The African Princess❤❤❤❤❤❤

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 11 หลายเดือนก่อน +13

    Mwaka huu naanza kujenga nyumba kama ya msechu kwa yesu kila kitu kinawezekana💪💪💪

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 หลายเดือนก่อน +12

    Hivi Alikiba nyumba yake iko mitaa gan. Tuwape mauwa yawo wameweza 💐💐

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  11 หลายเดือนก่อน +5

      Tabata

    • @NASMAPIUS
      @NASMAPIUS 11 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@NDIZIMEDIA0:0 0:00 0

    • @SalimhchialaAtilio-qj5cs
      @SalimhchialaAtilio-qj5cs 11 หลายเดือนก่อน +2

      Tabata

    • @asiaabdul8245
      @asiaabdul8245 3 หลายเดือนก่อน

      Jux hiyo nyumba sio mali yake

    • @asiaabdul8245
      @asiaabdul8245 3 หลายเดือนก่อน

      Walper house ni classic

  • @AnoldKimario
    @AnoldKimario 9 หลายเดือนก่อน +12

    Ee mungu naomba siku moja na mimi ni miliki ghorofa

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  9 หลายเดือนก่อน +2

      Inshallah 🙌🙏

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 8 หลายเดือนก่อน

      Namshukuru Mungu mimi sio masanii ila ninalala juu Mungu ni wetu sote amen

    • @najashimsuya9156
      @najashimsuya9156 7 หลายเดือนก่อน

      Inshallah 🙏🙏

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 7 หลายเดือนก่อน

      Omba umiliki gorofa mbinguni

    • @kagomajmbaraka220
      @kagomajmbaraka220 7 หลายเดือนก่อน

      Pambana tu

  • @MwanamisiJuma-r3u
    @MwanamisiJuma-r3u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki wote inshaa'Allah

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 11 หลายเดือนก่อน +11

    Ee Mungu naomba siku moja na mimi nilale gorofani🙏❤️❤️❤️

    • @jumaally920
      @jumaally920 10 หลายเดือนก่อน

      Usijali muamini mungu

    • @thrillingpoint2132
      @thrillingpoint2132 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @ismailkasim9060
      @ismailkasim9060 6 หลายเดือนก่อน

      We utalala leval 1 na mavi

    • @munam7104
      @munam7104 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen yaraby 🙏

  • @ChimamyMamy
    @ChimamyMamy 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pia Mimi namiliki yangu siwezi wachwa nyumba kabisa😂😂😂 2:40

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  9 หลายเดือนก่อน +1

      Haya hongera ndugu yetu

  • @JescaGodfrei
    @JescaGodfrei 10 หลายเดือนก่อน +4

    Harmonize kaachwa wap🎉

    • @joiana4663
      @joiana4663 8 หลายเดือนก่อน

      hilo nalo swali!!

  • @HousseinAsante-pi2hg
    @HousseinAsante-pi2hg 10 หลายเดือนก่อน +2

    Harmonize yupi

  • @MousaAdamu
    @MousaAdamu 2 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏 wote

  • @AdamuChiutula
    @AdamuChiutula หลายเดือนก่อน +1

    Rayvanny na harmonize pamoja ma madee

    • @RoseNtandu
      @RoseNtandu 26 วันที่ผ่านมา

      Acha uongo😂😂😂😂😂

  • @millergee3077
    @millergee3077 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jucline wolper balaa

  • @weremadanielmusiomi8712
    @weremadanielmusiomi8712 5 หลายเดือนก่อน

    Ata mimi pia

  • @MubarackYassy
    @MubarackYassy 10 หลายเดือนก่อน +3

    Namuombea dua kipenzi waa watu Ally, Ali kiba,azidi kupambana wadharirike maadui zake

  • @johnmwalwembe3036
    @johnmwalwembe3036 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu na mimi nikumbuke nijenge mjengo ramayana kwenye Sanaa yangu ya kuimba na Sanaa yangu filamu.nipo mbeya

  • @EliaKornelio
    @EliaKornelio 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana joti

  • @KulwaSamson
    @KulwaSamson 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu wangu anijalie na mimi pia niwe miongon mwao napenda nyumba nzur nipate na mme mwenye machungu yamapambano

    • @AllyChinga-fc7rz
      @AllyChinga-fc7rz 6 หลายเดือนก่อน +1

      Aaaaaaa usiwazee ushampata na ombi lako limetimia sisterrrr

  • @AfredijosephmakoaMakoa-g3t
    @AfredijosephmakoaMakoa-g3t 8 หลายเดือนก่อน +1

    daaa kunawatu mungu kawajalia pesa

  • @zakiasopai8511
    @zakiasopai8511 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @AM4CLASSIC
    @AM4CLASSIC 5 หลายเดือนก่อน

    aise noma wana kaza nami natamanikua kama wao

  • @DjMaswagger
    @DjMaswagger 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tubaliki ma dj sisi mung

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  7 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa 🙌✅

  • @ZaitunSaambili
    @ZaitunSaambili 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ipoh sikunitalaa ghorofa❤

  • @IddSasuma
    @IddSasuma 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku nomaaaa sana

  • @BakariFupi-wx7uw
    @BakariFupi-wx7uw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Cmba noma cna upo vzur umekaza

  • @GermiaSuala-u9t
    @GermiaSuala-u9t 11 หลายเดือนก่อน +7

    Daimond ni tajiri Sana Sana Ana nyumba nyingi Sana Ana muda was kuonyesha nyumba wapumbavu ana muda kumonyesha nyumba

    • @LeonardMassawe-g9n
      @LeonardMassawe-g9n 11 หลายเดือนก่อน

      Lakini jamani Kila mtu anatoka chini kwenda juu so waache tu

    • @papiampangaje
      @papiampangaje 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mh.ila muda wa kuonesha mahusiano anao sema hana nyumba .kajenga wapi hizo nyumba

    • @allandavid752
      @allandavid752 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@papiampangajeakikujibu niambie nione jibu lake

    • @SlimShabani
      @SlimShabani 3 หลายเดือนก่อน

      Acha shobo usije ukachukuliwa kama dike wakati wewe ni dume

    • @Bangala1Bangala
      @Bangala1Bangala 3 หลายเดือนก่อน +1

      nyumba diamond 10:36

  • @AbuSalumu
    @AbuSalumu 7 หลายเดือนก่อน +2

    E Mungu wangu nijalie afya njema pamoja na familia yangu

  • @KatikoIruyo
    @KatikoIruyo 12 วันที่ผ่านมา

    Hello try it again soon good luck 🙏🙏🤞🤞🤞

  • @samwelilujaniameeeemungunimwem
    @samwelilujaniameeeemungunimwem 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nijenge nami nyumba nzur

  • @WelileNtshangase-d9c
    @WelileNtshangase-d9c 7 หลายเดือนก่อน

    Wolper, kiba, mwijaku ❤❤

  • @SMARTMEDIA-e4z
    @SMARTMEDIA-e4z 23 วันที่ผ่านมา

    kwa dj ally b hapo u,etudanganya mzee hyo nyumba kakodi

  • @PaulkasKatoro-nz9zc
    @PaulkasKatoro-nz9zc 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nibarki na mm e

  • @FrancisMunyao-bi4gm
    @FrancisMunyao-bi4gm 6 หลายเดือนก่อน

    Platnumz hatari,,we are proud of you

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 11 หลายเดือนก่อน +4

    MashaAllah

  • @AllyChinga-fc7rz
    @AllyChinga-fc7rz 6 หลายเดือนก่อน

    Duuuh jux ana mtwango kama wanguu sijui kaniibia mastailiii

  • @NEWDATA24
    @NEWDATA24 11 หลายเดือนก่อน +4

    List imekata KWAKE 🔥 imetulia data nzuri

  • @Zaharaamanzi
    @Zaharaamanzi 8 หลายเดือนก่อน

    Ashukuliwee aristote, but nyumba ya msechu ni nzur sana

  • @AllyAmiry-zy4il
    @AllyAmiry-zy4il 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubalii simba aongozeee (chibu mwamba makini❤

  • @AmneNyanga
    @AmneNyanga หลายเดือนก่อน

    Nandy jmn sijaona🎉🎉

    • @RoseNtandu
      @RoseNtandu 26 วันที่ผ่านมา

      Yaan Jaman Nandy Wangu hayuma😢😢😢😢😢😢

  • @GodfreyPaul-v9s
    @GodfreyPaul-v9s 5 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo brother

  • @JacksonBanda-is2zu
    @JacksonBanda-is2zu 6 หลายเดือนก่อน

    Namukubali sana Simba

  • @catherineezekiel3292
    @catherineezekiel3292 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU WANGU ASANTE SANA KWA UZIMA NA AFYA NJEMA MIMI NA FAMILIA YANGU SIKU ZOTE. NAOMBA UTUPE KUKUTUMIKIA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI NASISI TUISHI MAISHA BORA KWA UTUKUFU WA JINA LAKO AMEN🙏🙏🙏.

  • @youngdyk88
    @youngdyk88 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hujui broo

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  11 หลายเดือนก่อน +1

      sawa

  • @jamessimbaire3016
    @jamessimbaire3016 6 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu tembea na siku Moja niishi kwenye nyumba yangu ya kifahari

  • @FabianPius-bl6uz
    @FabianPius-bl6uz 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomb na mm unisaidieee na mm nijenge nymba nzr

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  7 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @CharityLinnet
    @CharityLinnet 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie npat nyumb nzur

  • @AronAndrea-ih2xt
    @AronAndrea-ih2xt 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo dj Ally B mmetupiga hajajenga amepanga

    • @marcomabanza6858
      @marcomabanza6858 9 หลายเดือนก่อน

      Nimeshangaa sana watu tunapangwa mno😅😅😅😅

    • @MosesAntony-gh4yt
      @MosesAntony-gh4yt 8 หลายเดือนก่อน

      Kajenga alinunuwa akafanya malekebisho

  • @JuliusAman-we5bw
    @JuliusAman-we5bw 8 หลายเดือนก่อน

    Natafuta ramani ya nyumba ya jack line wolper 😊

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 11 หลายเดือนก่อน +4

    SIMBAAAA🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @RashidMuhunzi-pr5xj
    @RashidMuhunzi-pr5xj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kiba yupo juu sana kimaisha ila ni msiri sana.

  • @JumaMario-px8tt
    @JumaMario-px8tt 9 หลายเดือนก่อน

    Aonde yupo wapi

  • @HamzaWakufa
    @HamzaWakufa 6 หลายเดือนก่อน

    ,good

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 11 หลายเดือนก่อน +3

    🥰 hujawai kosea

  • @KevinBitanuzile
    @KevinBitanuzile 4 วันที่ผ่านมา

    In god we trust and we believe in god

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba njia uliyotumia kupata sample yako na uhalisia wa kiini cha utafiti wako.Nasema hv maana husemo hata wapi nyumba hzo zipo,actual size ya mijengo hyo na vitu vingine kitaalqmu yaani fully siasa.Wengine tunaishi nao Mbezi

  • @JackM.-mh5cs
    @JackM.-mh5cs 5 หลายเดือนก่อน

    Mwambino ana nyumba moja tuu madale

  • @JeanKatembo-bc2zg
    @JeanKatembo-bc2zg 6 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeh mungu wangu namimi Siku moja ni imiliki gorofa kabambi😢😢😢

  • @Saidykachiga
    @Saidykachiga 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kway armonize ana nyumb et

  • @TresorBatumike
    @TresorBatumike 6 หลายเดือนก่อน

    Rayvanny

  • @AmanEdward-yh4ct
    @AmanEdward-yh4ct 6 หลายเดือนก่อน +1

    My God help us

  • @benjaminaltilalila6144
    @benjaminaltilalila6144 9 หลายเดือนก่อน

    Mond apa Kenya anajengo kubwa sana.

  • @alfaniswalehe
    @alfaniswalehe 10 หลายเดือนก่อน

    Nataman kumuona konde akiingy na yy kweny list

  • @GanglbaBabdanny
    @GanglbaBabdanny 9 หลายเดือนก่อน

    king kiba apew maua yk,ach ku2dangany broh 😂😂😂

  • @EliudiWiston
    @EliudiWiston 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo ww mtangazaji mungu ana kuona khaaa

  • @AmaniShaule
    @AmaniShaule 8 หลายเดือนก่อน +2

    Awuna kili kbx umesahau jeshi

  • @JengamanoniLukonushelembi
    @JengamanoniLukonushelembi 5 หลายเดือนก่อน

    Wanajitaid

  • @STORYZALEO
    @STORYZALEO 11 หลายเดือนก่อน +2

    I love it

  • @NasraKokugonza
    @NasraKokugonza 6 หลายเดือนก่อน

    Natamani na Mimi mungu anijarie nilale niamke Niko kasiri nimeturia zangu na juice ya komamanga

  • @julietadorat6723
    @julietadorat6723 11 หลายเดือนก่อน

    Hongereni wasania hayo ndiyo mashindano mazuri ya maendeleo

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 3 หลายเดือนก่อน

    Ama kweli uchawa nao ni kazi mmmmh!.

  • @ignacemallyer8717
    @ignacemallyer8717 3 หลายเดือนก่อน

    Harmonize yey hana nyumba?

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 9 หลายเดือนก่อน

    ivi nyinyi mnazijua milioni Mia name kweli

  • @fredmwankaja9323
    @fredmwankaja9323 11 หลายเดือนก่อน +7

    Nyumba Ya piter msechu ndo nyumba konk kwangu sijui Kwa nn

  • @sylviamtui5687
    @sylviamtui5687 10 หลายเดือนก่อน

    Hongeren wote

  • @musebudamuganza
    @musebudamuganza 3 หลายเดือนก่อน

    Alikiba anaendeleyaje

  • @jimmy_0101
    @jimmy_0101 4 หลายเดือนก่อน

    Harmonize ana nyumba kali mnoo, mbona hayupo kwenye list??

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 11 หลายเดือนก่อน +2

    Fuata wasanii na masuperstar ufeli maidha.huyo ally b alihojiwa mwaka jana akasema kamwe hawezi kujenga nyumba ataendelea kupanga milele na ahata akijenga atajenga appartment tu kwa ajili ya kulangidha zije kuwasaidia watoto wake,leo hii anakuonesha mjengo tena mkubwa wa maana hapo sasa ndio utqjua hujui 😂.akili kumkichwa

  • @MsakatongeAgustino
    @MsakatongeAgustino 10 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @MbarukuEsphord
    @MbarukuEsphord 9 หลายเดือนก่อน

    Vp harmonize jaman

  • @Mwitasamwelonyasi
    @Mwitasamwelonyasi 7 หลายเดือนก่อน

    E Mungu baba naomba na mimi golofa

  • @ramadhanimohamedi3935
    @ramadhanimohamedi3935 6 หลายเดือนก่อน

    Aristote chawa Mwijaku chawa