MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2024
  • เกม

ความคิดเห็น • 559

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo หลายเดือนก่อน +44

    Mwalimu kabisa huyu Ana ufasaha wa kuelekeza anaongea moja kwa moja .Allah amuhifadhi aaamiin

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 หลายเดือนก่อน +41

    Simba mkali sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi sheikh wetu sheikh msomi

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa หลายเดือนก่อน +2

      Mwanzo nilikuwa simuelew ila kwa sasa naaaanza kumuelewa. Allah amhifadhi

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs หลายเดือนก่อน +40

    Aise yafaa masheikh wamuunge mkono Zaid huyu bachu maan anafany kazi kubwa saaan

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa หลายเดือนก่อน +1

      Mm namba moja nitamuuunga mkono

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 หลายเดือนก่อน +16

    Kiufupi nakupenda sna Muhammad bachu kwa ajili ya Allah,Allah akuzidishie elmu uzidi kuutoa Ummat muhammad kwnye Giza hata km watu wanakuchukia ila chuki zao zisikufanye ukarud nyuma katka kuuelimsha umma wa Kiislamu,Allah ndie anaejua yaliomo Moyoni mwako.

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa หลายเดือนก่อน +14

    Wallahi yametoka machozi May Allah reward you...awaongoze na Mashekhe wetu wote.

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 หลายเดือนก่อน +27

    حفظك الله يا ابن باشوا وأطال عمرك في خير ورزقك الإخلاص في القول والعمل وأسأل الله برحمته الواسعة أن يجمعنا في فردوس الأعلى مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi หลายเดือนก่อน +10

    Nimeelewa na nimefahamu vzr unavyoomaanisha, Allah akulinde akuhifadh na azid kutuongoza ktk wema InshaAllah...

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr หลายเดือนก่อน +18

    Ndugu yangu Abdul Abeid unafikiri kuna dhambi kubwa kuliko shirki usimlaumu bachu msikilize hata kama humkubali utapata faida hata ndogo

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 หลายเดือนก่อน +8

    Nimekuelewa mia fil mia shehe. Nafurahia kuongozwa na Allah nikaingia kwenye dini ya haki. Kwenye ukristo hakuna mijadala,huko ni imani potofu. Allah atuzidishie ufahamu na Insha Allah umauti utupate tukiwa waislamu.

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo หลายเดือนก่อน

      haki iko wapi

    • @anthonykariuki2438
      @anthonykariuki2438 หลายเดือนก่อน

      @@kennodhiambo £££333"""*****

  • @CishahayoCishahayo
    @CishahayoCishahayo หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah, sheikh Muhammad bachu, namuomba Allah akuhifadhi na azidi kukuelimisha, ili na wewe upate kutuelimisha sisi, aamiin!

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo หลายเดือนก่อน +29

    Shekhe nasoro bachu hapa katuachia mtu

  • @FahamuAI
    @FahamuAI หลายเดือนก่อน +3

    Elimu hii ni pana sana shukrani sheikh kwa ufahamu huu, ninachokiona kuna mstari mwembamba sana kati ya imani na ushirikina ALLAH atuepushe na ushirikina.

  • @aishamary2462
    @aishamary2462 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa najiuliza maswali meng saan baada ya Dr sule alichko kisema Alhamdulilah hatimae nimepata elimu Mungu akulipe sheikh

  • @user412
    @user412 หลายเดือนก่อน +7

    Masha Allah! Bachu Allah amekupa ufasaha wa kuongea. Hapo nakuunga mkono

  • @UmarMasudi-so2hi
    @UmarMasudi-so2hi หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe kila la kheri sheikh wangu kwa kunitoa kwenye ujinga...uku kwetu drc watu hao ni wengi sana piya dini imedhalilishwa sana na watu hao...

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +11

    Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @user-fw6si9yd6x
    @user-fw6si9yd6x หลายเดือนก่อน +1

    Masha'Allah. Ilimu kubwa sana Shekh wangu umetupatia. Anayefuata mambo hayo baada ya sasa hana sababu zaidi ya ukaidi tu. Allah akuongezee ilmu na ufahamu amina!

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo หลายเดือนก่อน +34

    Allah anasema " jisaidieni katika mambo yenu kwa kusubiri na kuswali hakika Allah yupo pamoja na wenye kusubiri. Sio kutaka msaada kwa majini . Swala na subira

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po หลายเดือนก่อน

      Sasa mie sie kuraishi... Bachu namuona WA kawaida Tu.. haswa kwenye elimu ya dini

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@AbdulAbeldi-km4poww umefanya nn kwenye iyo elimu yko ya dini

    • @abuuaidh6500
      @abuuaidh6500 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdulAbeldi-km4poinawezekana Akhiy Bachu kwako hana elimu ww upo Juu Ila Jee hili analosema nikweli au sio kweli

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po หลายเดือนก่อน

      SINA elim ya kumfikia bachu na wewe pia siiufikii sijasoma Mimi hata kidogo wabillah tawfiq

    • @abdillahsleyyum2768
      @abdillahsleyyum2768 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni nani na jitihadi gan umefanya?​@@AbdulAbeldi-km4po

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 หลายเดือนก่อน +11

    Nakuelewa sheikh Muhammad Shukran

  • @saidaamourali8590
    @saidaamourali8590 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwamba namkubali katumia mda mdogo refrensi za kutosha na ufasaha wa kutosha. Shukranii sana

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah leo nimependa hii Raddi ya kielimu na umeeleza kwa heshima sana...this is how it should always be...hataa kama ni kwa wale ambao hamuwafikiani nao.

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k หลายเดือนก่อน +13

    Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
    Kwa kumrekebisha uyo aliye taka kuhalalisha ushirikina na
    Uchawi baba kirwasha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      Baba kirwasha ndiyo nani

    • @aswabikimaro3033
      @aswabikimaro3033 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Catherine-mh8swyule shekhe kwny kpnd cha wanandoa tv imani....

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      @@aswabikimaro3033 asante

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 หลายเดือนก่อน

      ​@@aswabikimaro3033suluhu la yote hayo ni kujisalimisha kwa Yesu Kristo pekee. Kwa jina lake kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni BWANA (Mungu). ..wanaopinga hili ipo siku wataungama

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk หลายเดือนก่อน +1

      ​@@celestinshayo7295
      Uislam una sheria zake muhimu kusoma Quran na kuifuata,na nyie huko kanisani kumejaa mapepo kila siku yanatolewa mbona hayeshi? Majini pia kanisani yamejaa na nguvu za kiza zimejaa muhimu ni kuslimu na kusoma Quran tu na kufata sheria zote.

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 หลายเดือนก่อน +8

    MAA SHAA ALLAAH..Atakaekusikiliza hadi mwisho lazima akuelewe kwa idhni ya ALLAAH.. **ALLAAH Akujaalie mwisho mwema**

    • @mwanaishajuma4166
      @mwanaishajuma4166 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 หลายเดือนก่อน

      Ameen..

    • @negaboy497
      @negaboy497 17 วันที่ผ่านมา

      Nimesikiliza nusu tu nshamuelewa vziuri kabisa

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs หลายเดือนก่อน +12

    Maaashaaallah sheikh mhammadi bachu Allah akuhifadhi saaan

  • @user-gi2jv4kl7s
    @user-gi2jv4kl7s หลายเดือนก่อน +14

    Shekh bachu anafanya kazi kubwa ya kuelimisha

    • @MwalimJecha
      @MwalimJecha หลายเดือนก่อน

      Hapana ya kupotosha

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 หลายเดือนก่อน +5

    MaashaaAllah jazaakumullahu khaira nimekuelewa sheikh wangu maana ya kukuelewa

  • @user-wq2xy5mw1z
    @user-wq2xy5mw1z หลายเดือนก่อน +2

    MaashaAllah sheikh bachu .waonyeshe hawo masheikh shetani wanachafua jina la Uislamu pamoja kuwapotosha waumini wa kislamu pamoja na jamii kufikiria Uislamu ni dini ya kufunga majini na kuwatumia watu ni shirk hiyo Subhanallaah ❤

  • @mohammedjabir6128
    @mohammedjabir6128 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu ndio Simba Mashallah hayumbishwi. Allah amlinde, Amzidishie elimu ma ampe umri mrefu!

  • @SalmaSalum-p5o
    @SalmaSalum-p5o 15 วันที่ผ่านมา

    Yaarabbi tujaalie tupate watoto wema kama shekh wetu Muhammad Bachu❤

  • @barakoibrahim
    @barakoibrahim หลายเดือนก่อน +12

    Hii shida yoooooote imeletwa na Dr. Sule. Anafaa amrudie Allah ili kumuomba msamaha....Allah atuongoze🤲

    • @UlamaaWaUlamaa
      @UlamaaWaUlamaa หลายเดือนก่อน +1

      Nlikuwa namkubal sana sule ila alnitoka moyon baaada ya kusema kuwa huwez kwenda pepon kwa kuswal swali tu

    • @barakoibrahim
      @barakoibrahim หลายเดือนก่อน

      Haya nami nlimkubali sanatu yaani...nlidhani utamu was ulimi waki inaambatana na moyo wake kumbe wapi!!!!!

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 หลายเดือนก่อน

      Naam swadakta, Dr. Sulke amreje Mola wake kwa toba vinginevyo ATASUJUDU MOTONI. hivyo hasara ni kubwa kwake kuliko faida.

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx หลายเดือนก่อน

      Swadakta, na tatzo sio kukosea tatizo n kukosea alafu Kwa ule ukubwa/umaarufu unaozan unao unalazimisha lile ulilokosea liwe sahihi, inabid akubal makosa arud nyuma.

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน +7

    Wallah,nataman siku1 Sheikh Muhaammad na Sheikh Qassim Mafuta wakae wawili waondoe tofauti zao kwa hoja za kielimu kisha wakaungana katika kusema hakki huwa nikiwasikiliza nafaidika sana na elimu wanayotoa na Allah amewajaalia ufasaha.

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @ShekhKhamisi
      @ShekhKhamisi หลายเดือนก่อน

      آمين

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot หลายเดือนก่อน

      Wanatofautiana kijuujuu tu ktk baadhi ya vijijambo havina nafasi ktk Dini wala Da'wah, lkn kiundani na ukweli uko hivi wako pamoja na kazi yao nimoja

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy หลายเดือนก่อน

      @@OmarAlly-iz8ot Allah afanye wepes

  • @habibbeiyye
    @habibbeiyye หลายเดือนก่อน +2

    100% حياك الله.......
    Wiqaayatul insaan mina ljinni wa shaytwan......kikovizuri sanaaa Mashallah....

  • @HalimaAdow-wl6sp
    @HalimaAdow-wl6sp หลายเดือนก่อน +6

    Shukran kwa mda na maelezo bora,jazakaAllahu kher.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 หลายเดือนก่อน +27

    Ukiskiya back to back sasa ndohii yaani raha juu ya raha mashekh acheni kujifungiya navitabu tu vyumbani mwenu amkeni muje kuelimisha jamii,jamii inateketeya mashekh zangu .pwent yao kubwa utaskiya Nabii suleiman alitumiya majini nisawa ilakumbuka suleiman tumeambiwa tumuamini hatujaambiwa tumfuate. jaman hili ni balaaa shekh bachu Allah akubarik

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po หลายเดือนก่อน +2

      Ndio zake huyo bachu Hana cha maana. Ukimswalia mtume kwake bidaa. Ukimpiga maulidi kwake bidaa kusoma wasilatu shafii kakwe NI bidaa sasa anataka tumfuate yeye

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulAbeldi-km4po wapi alisema kumswaliya mtume ni bidaaa sasa ww wapi kuna dalili maulidi ni ibada, hapa tuko kwenye darsa za majini ww unakuja na maulid mbona kimekuumeni sana bachu kuisema maulidi basi ww kaa hadharani funguwa vitabu uwaambiye watu maulidi ni ibada kwadalili hii nahii nahii kama yeye bachu anavyo kuonesha kitabu andiko hadi andiko usilalamike upenuni njoo hadharani. halafu muache kurukiya mada hapa tuko na darsa za majini maulidi sisehem yake mjomba

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 หลายเดือนก่อน +1

      Kasome huko

    • @AbdulAbeldi-km4po
      @AbdulAbeldi-km4po หลายเดือนก่อน +2

      Nikasome Kwa bachu ili niwe m bishi na mimi

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulAbeldi-km4po Hata mfalme namrudha alibisha na nabii Ibrahim nahaki ikapatikana sasa ww ikiwa hautaki kubishana basi umtupu ktk dini jee utaweza kubishana na mkiristo kimaandiko ww ikiwa ww mwenyew unajiogopa

  • @shijasagali5161
    @shijasagali5161 หลายเดือนก่อน +5

    Jazakhallah khaira sheikhe Muhammad, elimu tumepata na faida kubwa tumepata, Allah akuhifadhi

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 หลายเดือนก่อน +7

    Nimekupenda sana kama enzi za utoto wangu nilivyokuwa nampenda Marehem Baba yako Allah s.w amuhifadhi. Ahsante sana kwa kutumia hivyo vitabu kuvunja hoja yao, lakini mimi Binafsi nilishalikataa hilo na kuwa kinyume na Witch Dr. Sule mapemaaaaaaa kwa aya tu za Quran na ufahamu wa jumla lakini pia hii inaonesha wengi katika wale wanaoitwa mashekh hawaijui Dini na ni hatari sana hawa kwa Mustakbali wa Uislam na Waislam na jamii kwa ujumla maana sio tu ushirikina wao lakini pia wanasambaza mafunzo yasiyo sawasawa katika dini yetu

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 หลายเดือนก่อน

      Allah atakufufua pamoja na uwapendao❤

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 หลายเดือนก่อน

      @@saadasaleh3177 Aamin ajalie sote tufufuliwe na wema wote tuwapendao

  • @biangwatv.1223
    @biangwatv.1223 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAAH AKUHIFADHI NDUGU NA KAKA YETU .... NIMESTAFIDI KUTOKANA NA WEWE NIKIWA SAFARINI HAPA NA NIMEKUSIKILIZA KWA MAKINI ..
    Maana Mzee na baba yetu Kiruwasha alitaka kuingia kwenye Hilo wimbi.
    ALLAAH AKUHIFADHI NA AKUZIDISHIE ELIMU NA WATU WAENDELEE KUFAIDIKA NA WEWE

  • @abuhamissi9082
    @abuhamissi9082 หลายเดือนก่อน +5

    MashaAllah. Allah akupe umri mrefu. Uzidi kuelimisha wa limwengu.

  • @ChidySuleiman
    @ChidySuleiman หลายเดือนก่อน +1

    Shekh allah akurpe kheir na atusibitishe mpaka mwisho wa pumzi zetu

  • @kimeajuma3267
    @kimeajuma3267 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallah khaira Sheikh Bachu, Kila jambo lina kheri Dr, sule asingesema elimu hii tusingeipata.

  • @augustomariosama1542
    @augustomariosama1542 หลายเดือนก่อน +1

    W.salaam shaikh Muhammad Bachu ni mwepesi sana wa kufafanua mambo

  • @user-op5ii7bc1c
    @user-op5ii7bc1c หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhi shk wetu uzidi kutuelimisha katika misingi ya dini yetu Allah akujaalie wewe na familia yako khery hapa duniani na kesho akhera

  • @user-cj9km2tk4q
    @user-cj9km2tk4q หลายเดือนก่อน +1

    Allah atupe mwisho mwema
    Allah amuifadhi shekh nassoro bachu kwakutuachia mwalimu

  • @HashimJuma-en8je
    @HashimJuma-en8je หลายเดือนก่อน +3

    mashalla shee Bachu tunanufaika sana allla akhifadhi naakulipe inshaallah

  • @KingPrince1917
    @KingPrince1917 หลายเดือนก่อน +10

    Allah atusamehe kwakweli

  • @user-on5qx3cl7q
    @user-on5qx3cl7q หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH akupe maisha marefu wallah umetupa uelewa shekhe

  • @UmarMasudi-so2hi
    @UmarMasudi-so2hi หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah

  • @IbrahimuSampa
    @IbrahimuSampa หลายเดือนก่อน +2

    Allah azidi kukupa umri mrefu wa kher shekh kama tulivyoambiwa wakulu bidaati zwalala wakulu zwalala ti finnari.

  • @NassirKheri
    @NassirKheri หลายเดือนก่อน +1

    Mm nasema kila siku na wallah lau watu wangemsikilixa mualim Muhammad nassor bachu kwa leng la kumuelewa na sio kimjib wangepata faida sanaaaaa, kutoka kwake , namuomba Allah akupe ilmu bora na nzuri ili tupate kufaidika tunaokufuatilia. ❤ Tumekumiss kwa ajil ya Allah masingini msikitini.

  • @atumanisudi6773
    @atumanisudi6773 หลายเดือนก่อน

    MASHALAAH,Dah watu wamesoma aisee,upo dip sana..inatoshaa....MUNGU akulipe kheri.

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m หลายเดือนก่อน +2

    مشاء الله تبرك الرحمن Allah akuhifadhi bin bachu

  • @GoodluckPaul-wf9gn
    @GoodluckPaul-wf9gn หลายเดือนก่อน +1

    Muhammad Bachu ALLAH azidi kukuongoza katika uadilifu na akujaalie kheri Duniani na Akhera.
    Nimejifunza mengi sana kupitia darasa zako tofauti tofauti.

  • @MwanaidMagasa
    @MwanaidMagasa หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe umri mrefu akulinde na hasad yarab

  • @user-vz1el2xe5x
    @user-vz1el2xe5x หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah shekh umefafanua vizuri na itakuwa bora zaidi ikimfikia Dr Sule

  • @omarhamad4757
    @omarhamad4757 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah Allah akujaalie her kwa kuelimisha umma

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 หลายเดือนก่อน +2

    Barakh Allah Kher sheikh wetu kipenzi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 หลายเดือนก่อน +12

    Mimi jamani huwa sitegemei nipate shida aina yoyote niende kwa mtu anisaidie tumtegemee allah kwa kila kitu

    • @shaniisack1153
      @shaniisack1153 หลายเดือนก่อน

      Allah amuifadhi Yuko imara Kama Baba yake

  • @MohdAli-cn2cs
    @MohdAli-cn2cs หลายเดือนก่อน +1

    Mm nakuombea tu ujitaahidi kufikisha kwa njia nzuri na maneno mazuri kama hivi au zadi shukran akhy

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 หลายเดือนก่อน +13

    MAJINI HAYANA MAHUSIANO YENYE FAIDA KIVYOVYOTE KWA MUISLAM-JAZAKHALLAHU KHAIRAN

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Ki vp ww na majini mumeumbwa kuja duniani kufanya nn

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@saba-gv3mjkumuabudu Allah

    • @abuuaidh6500
      @abuuaidh6500 หลายเดือนก่อน

      Kumuabudu Allah tu na Sio kushirikiana kumkufuru Allah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Sasa kama kumuabudu Allah na majini wako wanao muabudu Allah ambao ni waisilamu kama ww na wale wanao mshirikisha Allah niwale majini wabaya na hata binadamu kunao wema na wabaya utapata binadamu anamroga mwenzake atamtua huyo huyo jini na utapa binadamu mwengine anamtibu huyo aliyerogwa kupitia quran na pia aweza mtuma jini yule mwema kuchukua madawa msituni ambapo ww binadamu ukitumwa huwezi zipata dawa zengine

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj UNAJIKIA UNAVYOSEMa

  • @ChidySuleiman
    @ChidySuleiman หลายเดือนก่อน

    Mashaallah sheikh bachu allah atuongoze kwenye kheir

  • @user-sf3jq7wo5e
    @user-sf3jq7wo5e หลายเดือนก่อน +7

    Maashaallah shekh wetu

  • @user-ts9ql7mo3w
    @user-ts9ql7mo3w หลายเดือนก่อน +1

    Allah hafichi mnafki, na Dr sule mungu amemuanika live maana kifanyikacho gizani kitaonekana mchanga.

  • @bomikassim4528
    @bomikassim4528 หลายเดือนก่อน +5

    Sheikh Muhammad Allah akulipe malipo mema kwa kutuelimisha katika jambo hili. Naomba nitoe ushauri. Kama itawezekana, angalia uwezekano wa kuandika kitabu kitakacho husu suala hili. Kitabu hicho kitumie lugha nyepesi pamoja na mifano iliyo hai ili Muislamu wa kawaida aweze kunufaika. Kwa uwezo wa Allah, huenda jambo hilo likatoa manufaa makubwa zaidi kwa vizazi vijavyo. Nasema hivyo kwa sababu, ikiwa hata Baba Kiruwasha anahalalisha kutumia Majinn, ujuwe kuwa hali si nzuri kwa Waislamu wengi ambao hawana ufahamu na elimu kama alivyo jaaliwa Baba Kiruwasha.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw หลายเดือนก่อน

      Baba kirwasha ndiyo nani

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Catherine-mh8swww umeangalia hiyo video kuanzia mwnzo?

    • @abuuharuni
      @abuuharuni 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@Catherine-mh8swrejea mwanzo utamuona

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 24 วันที่ผ่านมา

      @@abuuharuni anha sawa ahsante. Ila nisha mgoogle nimemuona.

  • @omarussi7316
    @omarussi7316 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaallah yaa Muhammad

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhi! Bila shaka na sheikh Kishki ata kusaidia kumwambia maana ni rafiki yake😊

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa yuko vizur Allah ampe swiha na aman

  • @abubakaryomary8059
    @abubakaryomary8059 หลายเดือนก่อน +1

    Ukosahihi shekhe Allah akulinde

  • @feisalkhalid7225
    @feisalkhalid7225 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu you are on fire 🔥 big brain 🧠

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 หลายเดือนก่อน

    M Mungu azidi kukuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu,kwa hakika unaelimisha watu,na kuwatowa watu tongo,unazungumza kwa ufasaha yoyote atakuelewa tu,labda wale wanozitia nafisi zao katika upumbavu,na asiekuelewa wewe..basi hakuna mwengine watakaemuelewa.M Mungu azidi kumrehemu na kumpandisha darja za juu pamoja na mtume wetu Muhammad (saw) Sheikh Nassor Bachu,kwa hakika katuachia gitf,tunanufaika nayo..Alhamdulillah

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina หลายเดือนก่อน +5

    Allah akupe umri mrefu wenye faida

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allah akuhifadhi sheikh Mohammad Bachu simba wa Tanzania na Kenya

  • @user-bx3em9tm1b
    @user-bx3em9tm1b หลายเดือนก่อน

    Mashallah ALLAH akuhihifadhi shekh wetu tunakupenda sana uyo sule ni freemason sio shekh uyo mbwa ni shekhehena mpumbavu mkubwa uyo

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 หลายเดือนก่อน +12

    Ndugu yngu bachu haraka rud Zanzibar kama bado uko kenya tunahtaj darsa zako ..... Njoo tuone uyo mtu akusumbue

    • @mahfoudhcalender2747
      @mahfoudhcalender2747 หลายเดือนก่อน

      kafungiwa znz asifanye mihadhara ya aina yyte

  • @user-sf3jq7wo5e
    @user-sf3jq7wo5e หลายเดือนก่อน +7

    Allah akupe umri mrefu shekh letu

    • @issapandu1918
      @issapandu1918 หลายเดือนก่อน

      Amiin naomb namba ya shk tafazl

    • @omarkhamys9818
      @omarkhamys9818 หลายเดือนก่อน

      AMIN

  • @mahamoddales4443
    @mahamoddales4443 หลายเดือนก่อน

    Nafurahi sana kuwa wew nimoja kati ya watu walio nifunza nahau najivunia sana kwakweli Allah akuhifadhi

  • @ZaharaniZaharani-ts7wv
    @ZaharaniZaharani-ts7wv หลายเดือนก่อน +3

    Kaka wachane asaa wanga ao kazi kuruka na ungo .
    Allah awaongoze katika njia iliyo nyooka

  • @abdoulrahmanahmed5802
    @abdoulrahmanahmed5802 หลายเดือนก่อน +4

    Mleberali Mashaallah Wachape Masufii

  • @BadiuraAbdallah
    @BadiuraAbdallah 21 วันที่ผ่านมา

    Allah akupe nguvu katika kuelimisha ilitusipotoke kwa tamaa za kidunia tu.

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm หลายเดือนก่อน +8

    Somo nimelielewa allah akubaliki akuhifadhi na akuzidishie heri❤❤❤ namuomba allah salama wa afya

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc หลายเดือนก่อน

      Asalam aley kum mm kiu YANGU namtaka sheikh kishki naye azungumzie kadhia hii sheikh muhamadi bachu katuelimisha tumemuelewa.ila na sheikh wetu nurduni kishki nayeye atupe elimu pia amlinganie Swahiba wake DK Sule naona amekaa kimya!!!

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm หลายเดือนก่อน

      Hamisi hilo ulitakalo ndugu yangu simo

  • @bakarisalim4763
    @bakarisalim4763 หลายเดือนก่อน +1

    atleast leo umekua na busara za hali ya juu sna,alkua nakuchukia sna ila kwa hii,mashaAllah Wallah Allah akulipe inshaAllah

  • @AhmedAlharithiy-sg5cq
    @AhmedAlharithiy-sg5cq หลายเดือนก่อน +3

    Shukran shekhe moh'd
    Nakuomba ufanye fikra ya kumsomea ruqiyya dr.sule hawezi akaufahamu ukweli huu kwasababu majini yashamuweza hatakuelewa

  • @moodykombo329
    @moodykombo329 หลายเดือนก่อน

    shukran ustadh kwa kutuelimisha Mungu akupe afya njema na umri mref wenye manufaa kwako na kwa jamii nzima ya kiislam na wasiokua waislam tumuombe Mungu atuongoe kujua haki tuifate na batil tuiepuke jazakallah.

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 11 วันที่ผ่านมา

    Hata kwa mtu hajasoma experience tu ya maisha ......ukisha likubali jini litakupa shartiiiii itabidii utiiiiii .....wakati wakkumtiii ni Mola wetu pekeee yaa Rab tuepushe na shirk ndogo ndogo na kubwa kubwa

  • @MwanaidMagasa
    @MwanaidMagasa หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana kwa ajili ya Allah unaelimisha wanaopotezwa, wanauaibisha uislam,

  • @Fardadihd
    @Fardadihd หลายเดือนก่อน +4

    Nimekuelewa sana ❤❤❤ bachu

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 หลายเดือนก่อน +4

    Masha Allah
    Kazak Allah khaira

  • @MwanaidMagasa
    @MwanaidMagasa หลายเดือนก่อน

    Mashallah nakupenda Kwa ajili ya Allah wallah wape elimu wanapotosha Sana watu.

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu หลายเดือนก่อน +1

    Antes de começar deixa ti dar oseu gosto irmao Allah ti abençoe ❤❤❤

  • @LuqmanAndrew-nu9rx
    @LuqmanAndrew-nu9rx หลายเดือนก่อน

    Sheikh leo umenyooka Allah akuongoze na akupe hekma zaid

  • @ShaibMohammed-lg5sk
    @ShaibMohammed-lg5sk หลายเดือนก่อน

    Sh Muhammad Bachu Allah akulinde naakuondolee kibr Mashallah

  • @zuenajumashf3105
    @zuenajumashf3105 หลายเดือนก่อน

    Jazaka Allah khery Ustadh kwa elimu

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 หลายเดือนก่อน +6

    Bachu anakimbiza washirikina kimya kimya Docter sule na wenzake wameyakanyaga mbona moto utawaka wikihii

  • @hailatomantatusefu3433
    @hailatomantatusefu3433 หลายเดือนก่อน

    Kongole shekhe bachu Allah akuhifadhi na husd za wanadamu na majini napendaga kukusikiliza redio IMAN

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp หลายเดือนก่อน

    Weuweeeee ahsante sana uko vizur Shekhe wetu mtoto Shekhe nasoro bancho ni marehemu sasa umenyoosha maelezo shekhe

  • @aslamswalah7852
    @aslamswalah7852 หลายเดือนก่อน

    Tabaraka Allah ya sheikh Mohammed bachu.big up sana

  • @ummulhussein
    @ummulhussein หลายเดือนก่อน

    mm moja yangu tena hyo last na fisrt barkaa kher gold hyo bei nzur🤪😜🤣🤣🤣🤣🙌🙏🤭❤❤❤🎉😂😂😂😂nafkiria nunua very expnce

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchi หลายเดือนก่อน +1

    Wallah sheikh huko mwisho nimekuelewa vzr sana tena mno ila je kw mtu wa kisalafii ambae anafata sunna je huyo anaweza kupata jini mwema akamsaidia bila ya mafungamano yyte kw hofu ya kumuogopa mungu?

  • @MohdAli-cn2cs
    @MohdAli-cn2cs หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خير اخي و استاذ محمد
    كلامك صحيح
    جعله الله لك في ميزان حسناتك

  • @user-ev7zm6bt7o
    @user-ev7zm6bt7o 18 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe kher akupe mwishomwema

  • @rashidabdulkadir7042
    @rashidabdulkadir7042 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah akubarik
    Unatupa vitu na box