Habari. Mlinituma niwaletee Elly. Nilipata nafasi ya kufanya mazungumzo naye. Bonyeza link hii hapa kuangalia 👇🏿 NILIKOSA VISA YA MAREKANI MARA 8 | NILIUZA MKOJO WANGU MAREKANI KWA MWAKA MZIMA th-cam.com/users/liveqTIa7FZt3Ic?feature=share
Kama Mimi siku nasafiri kwa Mara ya Kwanza nilikuwa na nguo zangu Passport Gate Pass niliotumiwa baada ya kukatiwa tiketi na Mhusika alienialika, nimefika Airport naonyesha Documents naambiwa eti sielewi hii documents ya Safari. Nikafungua simu yangu nikamwambia soma hapa, Kama huelewi nimpigie simu alienitumia hii tiketi . Akasema sawa Nenda hakuna shida, so wengine wanakuwaga Ni Kero fulani Fulani
Turkish nilinyanyaswa airport 2019, sitarudia hiyo ndege. Wana silent airport, wanashift gate Kimya kimya kwa makusudi ili uachwe ununue ticket upya, na utalala aiport, utakaguliwa kila baada ya dk 20 pale airport. Ukiwa kwenye que unatolewa pembeni kwa kuwa wewe ni mwafrica wanaanza kukukagua, foleni inaenda wewe umewekwa pembeni. Passport na permit wanaikagua kwa lens, hawaamini mwafrica. Turkish puu
Watu wa west Africa hasa wanigeria ndio wamesababisha haya sote black tuonekane ni vibaka tu wabeba unga au tunapeleka uhalifu nchini mwao au tumefoji documents
Kwann wazungu hawasumbuliwa sana tofauti na race zingine, wazungu wapo smart sana wanaogopa kuvunja sheria ugenini kwa sababu wanaziogopa jela za Africa,pia awajalelewa malezi ya rushwa,wao uuliza taarifa zote kwa maajenti wa safari ukiona mzungu kafanya kosa kawamisleaded na mswahili.
@@Witnessvlog wanaikagua hio resident permit afu wanaulizia unafikia wapi😂 na ukifka hio nchi unaenda nchi nyingine sasa ninakibali ata nikienda nchi nyingine wewe inakuhusu nini si ntaomba visa kupitia nchi ninayoishi ilibidi tu nimjibu ntakupigia simu nikitaka kwenda nchi nyingine.
Kwl brooooo Hao jamaaaaa wasenge sana walinisumbua sana mwisho wa siku jamaaaaa akanichana kaongeee na migration kisha ukitoka nione nilikuwa namsafirisha mother mm nikamwambia Asante sina chochote hapo mother kasha kula mwewe hao jamaaaaa njaaaa sana migration
Hivi umeshawahi kusafiri pale Amsterdam Schiphol Airport ukiwa una connect namna unavyohojiwa mara uwekwe pembeni kidogo. Yaani kero na foleni ndefu ya kugongewa mhuri.
Ni kweli kabisa, umeongea pwenti muhimu sana, hata mimi niliwai kusumbuliwa na wake wasenge nilikua naenda zangu Japan. Wale ni matapeli na inatakiwa uongozi wa airport uuangalie hilo swala, kweli wanakera sana wale washenzi.
Na mimi imenitokea mara nyingi mno hizo kero bila rushwa unaweza kulia wanakukaanga na maswali pamoja na vitisho na si tu Airport nna experience ya kunyanyaswa hadi boder ukifika upande wa nchi yako unapata bp kwingine wala. Hivi vitu vinatia hasira sana kwakweli.
Nondo gani yaani kukuhoji ni lazima sababu ukipita halafu ukafika nchi nyingine kukawa Kuna shida labda Kuna vitu havjakamilika unarudishwa Sasa shirika si litapata hasara we ulieruhusu apite ufukuzwe kazi au ukatwe mshahara wako hebu Niambie milioni 2 Kwa uzembe tu hapana
Ila kweli wanalera utakuta mtu una passport yako viza ipo vizuri una residence namkataba unao lakini wanakuuliza unakwenda wapi ? Mimi walinikera sana eti wakaambiana hakuna kusafiri mpigie boss wako tuongee nae atuhakikishie nilipogiga boss hakua hewani begi limesha pelekwa cargo likashushwa nikarudishwa eti wakasema muache arudi boss wake ana hela atamkatia tiketi nyingine😢 iliniuma sana sana tena mwingine anasema mwache aende si mtu mzima kweni mtoto huyu istoshe amefanya kazi huko muda mrefu anapajua anapokwenda sio chizi niliskia hasira nikarudi home kesho yake waliomba rushwa kwa boss then nikasafiri niliumia sana boss alikasirika alisema tz nchi ya ajabu sana sijui njaa inawasumbua ni aibu
Ni kweli mimi baba yangu alikuwa anakuja kwénye matibabu Uturuki akaulizwa maswali mpaka eti annaenda kukojoa Kila baada ya muda gani nililia kwani sijajisikia vizuri kwa kweli.
Jamani hii kero ebu wasaidia sasa mnawajima mstanzania kwenda kutafuta mbona kuingiza wageni warudiwa kuondoka shida nini hii Rsis ingilia kati hakuna viza miichango turshe ndege hsta bure siosndi better nipande baskeli
Hawana lolote Ni wivu tu unawasumbua watu Wengine. Anawauliza na Wageni wamefwata Nini? Tanzania wakati Kila siki Tanzania inajitangaza kupata watalii ili nchi ipate hela za Kigeni. Mijitu mingene inawekana tu kwenye sehemu za Kazi. Na hawana hata ujuzi wa hizo Kazi. Elimu hamna. Alimladi tu wanawekana na vyweti Mbandia
Watching from kenya 🇰🇪 ni ukweli ndugu yangu most of them have not traveled at all aki inauma maana sisi wote ni wa moja mbona wivu na tamaa yaani kupanga safari si mchezo alafu mtu acheze na visa yako😭😭😭😭😭😭
@@Witnessvlog mimi niko kenya and am telling you it's just the same ..alot of people complaining about the treatments in the airport yani watu wenye rangi nyeusi tunachukiana kabisa
Conflict of interest wakat wa utoaji huduma,uhamiaji wapo kwa ajili ya usalama wa nchi na Sio kwa ajili ya biashara kama mashirika ya ndege. Ishu za usalama zinahitaji mda zaidi wa kujiridhisha ndipo utoe huduma sahihi kwa mtu sahihi ishu za biashara zinataka mtu asikae kwenye foleni ahudumiwe haraka zaidi ndani ya mda mfupi. Kukaa mda mrefu kwenye que ni ishu za usalama zaidi.
Mwaka 2021 during corona time walinizungusha sana, hadi ndege ika board , af mind you mimi nina indefinite leave to remain (uk) baada ya ndege kusepa ndo wakarudi wakasema sorry , niliwareport na nn but ilikuwa kero sana
Wasipokurudisha lazima utarudishwa tu nchi husika kwa gharama za ndege husika ndo maana kama haujakamilika hawawezi kukuchukua ili shirika la ndege lisipate hasara ukikataliwa na nchi uendapo. Shirika la ndge halipo tayar kupata hasara kwa uzembe wa mfanyakazi ni lazima mfanyakazi akatwe mshahara kwa uzembe wake sasa nauli ya milion 2 atakatwa mda gani.
Kweli ubaguz kweny ndege upo, mm juzi tu kadada kalikuw kanaptisha glass za maji bahat mbaya maj yakamwagika kwangu na kwa mzungu, akasema dorry kwa mzngu,akamfuta mzngu na mikon yke then haraka akamtelea tissue mm walaaa hakunipa jicho🥴🥴 nkasemaa haashh lidada lizuri la sura libaya la tabiaa😂😂
Zipo njia nyingi za kuhakiki viza ngoja tukahakiki pana mitambo ndani,pana mawasiliano na ofisi za balozi zote,pana mawasiliano na nje uendapo wanatumiwa documents wanaangalia kwenye mitandao yao kama ni zao au ni feki,pana mfumo wa kimataifa wa kuhangalia documents zote
Airport naichukia ni ya dar es salaam😂kama unataka usipate usumbufu uwe unacheka cheka tu kama chizi wakianza kukukagua na uwahi tu kufika airport maana unaweza ukaachwa kisa wanakukagua😂😂😂nilitoka ujeruman na visa ya Thailand nikaenda Tanzania holiday wiki tatu then niende Thailand kisha ujeruman nusu niachwe ndege uzuri nilikata qatar nikaenda kwa desk kuwaambia wakapiga simu ubalozi nikaachiwa nimeenda nakimbia kwenye ndege niko wa mwisho😢
@@Witnessvlog wana wivu and not professional hasa wanawake 🙄nazan kuhus Turkish airways kama unajua una connect ndege zaidi ya masaa matano hakikisha tanzania unapata karatas ya offer ya hotel so hili linaweza kuwa sio kosa la ndege bali kosa lilifanyika tanzania
@@Witnessvlog maybe lakini my favorite emirate Turkish na qatar I always have good experience for 7 years now Ethiopian airline ndo ndege yakuacha kupanda 😁😂 I did two time I will never ever again
Wanyoosheni kwenye sheria kama kilakitu chako kiko sawa hunahaja ya kulaumu chukua ushahidi kisha panda mahakamani mkifanya hivyo watanyooka.bila yahivyo kazi bure
Camera kila kona hio rushwa ataichukulia wapi wakat anapohudumia juu kuna camera ujatendewa haki kwann usiende lalamika sehemu husika achukuliwe hatua,tuache tabia ya kulalamika hovyo wabongo tufuate taratibu za safari uliza taarifa za kutosha. Nenda airport kahakiki taarifa zako ndipo ukate tiketi mtaani.
Kwann utoe rushwa ukiwa umekamilika wengi hawan elimu ya safari ingekuwa hivyo basi watz wengi wasingesafiri kwann utoe rushwa,kwann usiripoti mamlaka za juu
😂😂 DAAH WANAULIZA MASWAL AMBAYO YANAJIJIBU KWA DoCS, lakini nadhani watakuwa wanabanwa sana na wenyew, c mnaonaga ile camera karbu na mashine ya fnger 😂, mm niliulizwa et shule ya msngi umesomea wapi, nkajiuliza safar yangu na shule ya msngi wapi na wapi jmn😂😂😂 kama hujiamni unaeeza jisaidia hapohpo😭😭
Alitaka kujua ulivyopata passport au usahihi wa u Tanzania wako. Swali lolote we ulionalo la kipumbavu kwa elimu ya maswali Huwa Lina kusudi flani unaweza ukajichanganya akapata jibu
Maswali kuulizwa mengi ni ya mitego ili muuliza swali apate taarifa Fulani ajiridhishe nazo. Kumbuka akihudumia abiria feki au asiyesahihi jela yake au kufukuzwa kazi.
Kuulizwa maswali ni lazima hata ya kipumbavu zile ni technic za kutafuta taarifa fulani ili mtoa huduma ajiridhishe akihudumia abiria asiye sahihi jela inamuhusu, kufukuzwa kazi au vinginevyo, wanafanya kazi kwa miongozo na sio kwa uamuzi wao binafsi wanafata sheria za nchi na za kimataifa.
Ndugu umefanya vizuli sana kutoa hividio ilitatizo lipoapo nyumbani tanzania wamekua wasumbufu sana haswa apo mwalim nyerere eapot mimi mwenyewe niliondokea nailobi
Wanafanya kazi Kwa miongozo yaani wewe unataka wapite to kisa wana visa hapana wewe ndio hujui ndio maana unaongea hivo kisa wazungu kwani wazungu ndio majambazi wakubwa broo mm naishi dar lakini ticket yangu ilonesha nipite Zanzibar na niliulizwa hivo.hivo kwanini unapita huku nikamwambia jinsi ilivyokuwa akaelewa nikapita lakini wengine walirudishwa hivo yaani wakuruhusu upite tu thubutu
Ndo maana mnaambiwa wahi masaa 3 kabla ya safari ili kama kuna tatizo la kutatua kabla ya safari litatuliwe,sasa we unakuja nusu saa kabla ya ndege kufunga mlango so unataka ndege ikusubirie wakat ndege uenda kwa ratiba
Watu waliopo ktk ofisi za Umma wengi wao ni wabinafsi na wanafanya hivyo ili kutengeneza mazingira ya rushwa!, Hawa watu ukiwakuta ktk hizi ofisi ni mingus watu!, ALIWAWEZA MAGUFULI TU!, WAKATI WAKE WATU WALIBADILIKA NA KUFANYA KAZI
Shida ni elimu ya kutosha kuhusu safari ukiwa umekamilika unazuiliwa vipi kama ujatendewa haki si unaripoti mamlaka za juu afisa yeyeto yeye sio mamlaka ya mwisho
Mr una negative kuhusu aspect kuhusu airport,hizo ndege kusema hazina wateja umecheck idadi ya abiria wanazopata. Kama hazina wateja si zingeshafilisika. Hizo ndege zipo hata kabla ujazaliwa na zina operate
Conflict of interest wakat wa utoaji huduma,uhamiaji wapo kwa ajili ya usalama wa nchi na Sio kwa ajili ya biashara kama mashirika ya ndege. Ishu za usalama zinahitaji mda zaidi wa kujiridhisha ndipo utoe huduma sahihi kwa mtu sahihi ishu za biashara zinataka mtu asikae kwenye foleni ahudumiwe haraka zaidi ndani ya mda mfupi. Kukaa mda mrefu kwenye que ni ishu za usalama zaidi.
Habari. Mlinituma niwaletee Elly.
Nilipata nafasi ya kufanya mazungumzo naye.
Bonyeza link hii hapa kuangalia 👇🏿
NILIKOSA VISA YA MAREKANI MARA 8 | NILIUZA MKOJO WANGU MAREKANI KWA MWAKA MZIMA
th-cam.com/users/liveqTIa7FZt3Ic?feature=share
Duh wabongo tuko nashida sana mungu hatusaidie
Yani inabidi tubadilike
Kama Mimi siku nasafiri kwa Mara ya Kwanza nilikuwa na nguo zangu Passport Gate Pass niliotumiwa baada ya kukatiwa tiketi na Mhusika alienialika, nimefika Airport naonyesha Documents naambiwa eti sielewi hii documents ya Safari. Nikafungua simu yangu nikamwambia soma hapa, Kama huelewi nimpigie simu alienitumia hii tiketi . Akasema sawa Nenda hakuna shida, so wengine wanakuwaga Ni Kero fulani Fulani
Imagine 🥹. Tumezoea kusumbua watu ndio kufanya kazi
Ni jumbe nzuri. Ahsante witness
Karibu sana
Turkish nilinyanyaswa airport 2019, sitarudia hiyo ndege. Wana silent airport, wanashift gate Kimya kimya kwa makusudi ili uachwe ununue ticket upya, na utalala aiport, utakaguliwa kila baada ya dk 20 pale airport. Ukiwa kwenye que unatolewa pembeni kwa kuwa wewe ni mwafrica wanaanza kukukagua, foleni inaenda wewe umewekwa pembeni. Passport na permit wanaikagua kwa lens, hawaamini mwafrica. Turkish puu
😳😳Pole sana jamani. Sema airpot nyingi kubwa ni silent. Yanii sijui wanatuonaje🚮🚮
Ila wakija Tanzania wahudumiwe vizuri Tu,
Watu wa west Africa hasa wanigeria ndio wamesababisha haya sote black tuonekane ni vibaka tu wabeba unga au tunapeleka uhalifu nchini mwao au tumefoji documents
@ghelimafilemon9653 kweli changamoto daaah
Thanks VLog Kwa Maarifa
Appreciate sana brother wewe ni mmoja kati ya watu wema sana🔥🔥
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kwann wazungu hawasumbuliwa sana tofauti na race zingine, wazungu wapo smart sana wanaogopa kuvunja sheria ugenini kwa sababu wanaziogopa jela za Africa,pia awajalelewa malezi ya rushwa,wao uuliza taarifa zote kwa maajenti wa safari ukiona mzungu kafanya kosa kawamisleaded na mswahili.
Kweli kaka umesema ukweli wanakera sana wale wahudumu wa airport ata uwe na resident permit wanakuuliza maswali hadi unakasirika.
Wee usinambie😳😳😳. Maswali ya nini na mtu ana residence permit?
@@Witnessvlog wanaikagua hio resident permit afu wanaulizia unafikia wapi😂 na ukifka hio nchi unaenda nchi nyingine sasa ninakibali ata nikienda nchi nyingine wewe inakuhusu nini si ntaomba visa kupitia nchi ninayoishi ilibidi tu nimjibu ntakupigia simu nikitaka kwenda nchi nyingine.
@@lilibet1326😢kweli changamoto Allah atunusulu
Asante kwa Elimu Vlog
Karibu sana
Rushwa.. kupita hapo laki tano kwa hao watu ..kama india na thailand.malayisi mpaka utoe hela ukifika juu shukuru mungu
Kwakweli
Duuuh nazidi kupata experience daah
Ni kweli best yangu yamemkuta z'bar
Kwl brooooo Hao jamaaaaa wasenge sana walinisumbua sana mwisho wa siku jamaaaaa akanichana kaongeee na migration kisha ukitoka nione nilikuwa namsafirisha mother mm nikamwambia Asante sina chochote hapo mother kasha kula mwewe hao jamaaaaa njaaaa sana migration
Pole sana
Hongera Sana kwa maneno yako yenye busara.
Naomba Namba zako za Simu ndugu yangu.
Kamfolo instagram @ elly david
@@Witnessvlog TH-cam anatumia jina gani hana channel
Hivi umeshawahi kusafiri pale Amsterdam Schiphol Airport ukiwa una connect namna unavyohojiwa mara uwekwe pembeni kidogo. Yaani kero na foleni ndefu ya kugongewa mhuri.
Haijawahi nikuta. Ila i feel youu
Ni kweli kabisa, umeongea pwenti muhimu sana, hata mimi niliwai kusumbuliwa na wake wasenge nilikua naenda zangu Japan. Wale ni matapeli na inatakiwa uongozi wa airport uuangalie hilo swala, kweli wanakera sana wale washenzi.
Na mimi imenitokea mara nyingi mno hizo kero bila rushwa unaweza kulia wanakukaanga na maswali pamoja na vitisho na si tu Airport nna experience ya kunyanyaswa hadi boder ukifika upande wa nchi yako unapata bp kwingine wala. Hivi vitu vinatia hasira sana kwakweli.
I can imagine. inakara sana wanakutengenezea kila mazingira uwape rushwa.
HUYO JAMAA SISTER INABIDI UFANYENAE INTERVIEW MTU SANA HUYO TUNAOMBA SANA
Hata mimi natamani. Nimeshamtafuta
Hope tutafanya kitu
Mimi uwa ananifurahisha sana
@@mariamdimosso621 Yuko vizuri sana
Hyu jmaa ana nondo san
Nondo gani yaani kukuhoji ni lazima sababu ukipita halafu ukafika nchi nyingine kukawa Kuna shida labda Kuna vitu havjakamilika unarudishwa Sasa shirika si litapata hasara we ulieruhusu apite ufukuzwe kazi au ukatwe mshahara wako hebu Niambie milioni 2 Kwa uzembe tu hapana
Iyo kweli kaka wa Tanzania washamba sana wanajifanya wanajuwa wakati awajuwi
Ila kweli wanalera utakuta mtu una passport yako viza ipo vizuri una residence namkataba unao lakini wanakuuliza unakwenda wapi ? Mimi walinikera sana eti wakaambiana hakuna kusafiri mpigie boss wako tuongee nae atuhakikishie nilipogiga boss hakua hewani begi limesha pelekwa cargo likashushwa nikarudishwa eti wakasema muache arudi boss wake ana hela atamkatia tiketi nyingine😢 iliniuma sana sana tena mwingine anasema mwache aende si mtu mzima kweni mtoto huyu istoshe amefanya kazi huko muda mrefu anapajua anapokwenda sio chizi niliskia hasira nikarudi home kesho yake waliomba rushwa kwa boss then nikasafiri niliumia sana boss alikasirika alisema tz nchi ya ajabu sana sijui njaa inawasumbua ni aibu
Daaah pole sana
Ni kweli mimi baba yangu alikuwa anakuja kwénye matibabu Uturuki akaulizwa maswali mpaka eti annaenda kukojoa Kila baada ya muda gani nililia kwani sijajisikia vizuri kwa kweli.
Wewe😳😳😳. Ila kweli kuna maswali ya ajabu. Hivi sijui nani anawafundishaga . They are so unproffesional.
Jamani hii kero ebu wasaidia sasa mnawajima mstanzania kwenda kutafuta mbona kuingiza wageni warudiwa kuondoka shida nini hii Rsis ingilia kati hakuna viza miichango turshe ndege hsta bure siosndi better nipande baskeli
Haki Uhamiaji they should do better
Hawana lolote Ni wivu tu unawasumbua watu Wengine. Anawauliza na Wageni wamefwata Nini? Tanzania wakati Kila siki Tanzania inajitangaza kupata watalii ili nchi ipate hela za Kigeni. Mijitu mingene inawekana tu kwenye sehemu za Kazi. Na hawana hata ujuzi wa hizo Kazi. Elimu hamna. Alimladi tu wanawekana na vyweti Mbandia
Watching from kenya 🇰🇪 ni ukweli ndugu yangu most of them have not traveled at all aki inauma maana sisi wote ni wa moja mbona wivu na tamaa yaani kupanga safari si mchezo alafu mtu acheze na visa yako😭😭😭😭😭😭
Exactly it is really sad. Si hata waje Kenya Waangalie wengine wanafanye. Wasalim Kenya
@@Witnessvlog mimi niko kenya and am telling you it's just the same ..alot of people complaining about the treatments in the airport yani watu wenye rangi nyeusi tunachukiana kabisa
Sstr channel yake inaitwaje huyu???
youtube.com/@EllyDavid
Suggestions box zipo airport zetu pia unaweza tumia hata platform zingine zikiwemo social media mfano jamii forum
Kweli kaka
🙌🏾🙌🏾
Conflict of interest wakat wa utoaji huduma,uhamiaji wapo kwa ajili ya usalama wa nchi na Sio kwa ajili ya biashara kama mashirika ya ndege.
Ishu za usalama zinahitaji mda zaidi wa kujiridhisha ndipo utoe huduma sahihi kwa mtu sahihi ishu za biashara zinataka mtu asikae kwenye foleni ahudumiwe haraka zaidi ndani ya mda mfupi.
Kukaa mda mrefu kwenye que ni ishu za usalama zaidi.
Mwaka 2021 during corona time walinizungusha sana, hadi ndege ika board , af mind you mimi nina indefinite leave to remain (uk) baada ya ndege kusepa ndo wakarudi wakasema sorry , niliwareport na nn but ilikuwa kero sana
Eeh pole sana. Na walilipa hizo cost za ndege?
@@Witnessvlog no they didn't, waliongea tuu na shirika la ndege n wakanpandisha daraja baada ya kuwakaanga sana
@@Josh_1194Safi sana ulivowakaanga
Tapita canada November hope to see you
Ni kweli kaka❤❤❤
🙌🏾🙌🏾
Nikweli kaka
🙌🏾🙌🏾
Kwel kabisa bro wale Wana roho mbaya Nia Yao wapate Hela au wakukwamishe ucsafiri
Airport ya tz haiko busy kama airports zingine duniani ndio maana wanapata muda wa kusumbua wasafiri me mwenyewe ni muhanga wa usumbufu pale uhamiaji.
Yani kwakweli haiko busy.
Mimi kila niki enda afrika nina safari nayo klm ni mzuri sana iam dutch national asili yengu ni afrika
Asante sana kwa nyongeza. Mi mwenyew natumia hio na sijawahi kua na experience mbaya however wengine wana bad experience.
Wasipokurudisha lazima utarudishwa tu nchi husika kwa gharama za ndege husika ndo maana kama haujakamilika hawawezi kukuchukua ili shirika la ndege lisipate hasara ukikataliwa na nchi uendapo.
Shirika la ndge halipo tayar kupata hasara kwa uzembe wa mfanyakazi ni lazima mfanyakazi akatwe mshahara kwa uzembe wake sasa nauli ya milion 2 atakatwa mda gani.
Kweli ubaguz kweny ndege upo, mm juzi tu kadada kalikuw kanaptisha glass za maji bahat mbaya maj yakamwagika kwangu na kwa mzungu, akasema dorry kwa mzngu,akamfuta mzngu na mikon yke then haraka akamtelea tissue mm walaaa hakunipa jicho🥴🥴 nkasemaa haashh lidada lizuri la sura libaya la tabiaa😂😂
😳🥹🥹🥹 Wee usinambie ungemwambia . Hawa watu need to be confronted wanajikuta spesheli sana. Pole sana
@@Witnessvlog shukrani
Pole, ubaguzi ni asili ya race zisizofanana hata sisi ni wabaguzi
Ungemwambia aache utumwa na roho mbaya
Zipo njia nyingi za kuhakiki viza ngoja tukahakiki pana mitambo ndani,pana mawasiliano na ofisi za balozi zote,pana mawasiliano na nje uendapo wanatumiwa documents wanaangalia kwenye mitandao yao kama ni zao au ni feki,pana mfumo wa kimataifa wa kuhangalia documents zote
Airport naichukia ni ya dar es salaam😂kama unataka usipate usumbufu uwe unacheka cheka tu kama chizi wakianza kukukagua na uwahi tu kufika airport maana unaweza ukaachwa kisa wanakukagua😂😂😂nilitoka ujeruman na visa ya Thailand nikaenda Tanzania holiday wiki tatu then niende Thailand kisha ujeruman nusu niachwe ndege uzuri nilikata qatar nikaenda kwa desk kuwaambia wakapiga simu ubalozi nikaachiwa nimeenda nakimbia kwenye ndege niko wa mwisho😢
😂😂🙌🏾🙌🏾 ukiwa serious imekula kwako
@@Witnessvlog wana wivu and not professional hasa wanawake 🙄nazan kuhus Turkish airways kama unajua una connect ndege zaidi ya masaa matano hakikisha tanzania unapata karatas ya offer ya hotel so hili linaweza kuwa sio kosa la ndege bali kosa lilifanyika tanzania
Hapo nadhani kutakua kulikua na delay ya ndege. Kama ndege ndio wamezingua ni wajibu wao kuwapa accomodation
@@Witnessvlog maybe lakini my favorite emirate Turkish na qatar I always have good experience for 7 years now Ethiopian airline ndo ndege yakuacha kupanda 😁😂 I did two time I will never ever again
I understand you . Kuna watu wana best experience
Wanyoosheni kwenye sheria kama kilakitu chako kiko sawa hunahaja ya kulaumu chukua ushahidi kisha panda mahakamani mkifanya hivyo watanyooka.bila yahivyo kazi bure
Kwakweli tukifanya hivyo watanyooka🙌🏾.
Camera kila kona hio rushwa ataichukulia wapi wakat anapohudumia juu kuna camera ujatendewa haki kwann usiende lalamika sehemu husika achukuliwe hatua,tuache tabia ya kulalamika hovyo wabongo tufuate taratibu za safari uliza taarifa za kutosha.
Nenda airport kahakiki taarifa zako ndipo ukate tiketi mtaani.
Inaonekana ujawai kusafiri ngoja siku ya kukute ko hawa watu wote wanaolalamika ni wajinga au
Usikute anahusika ndo anawatetea
Ww hayajakuku tatulize sisi
Ni kweli kbs hilo lipo
Kwann utoe rushwa ukiwa umekamilika wengi hawan elimu ya safari ingekuwa hivyo basi watz wengi wasingesafiri kwann utoe rushwa,kwann usiripoti mamlaka za juu
Hahahahaha mie washawah kunikataza nisiende italy et kwa sababu sina sojono😂wakat mie natumia british passport
Sojono ni nini tena
Roho mbaya ndo shida ya bongo
Kosa lipo kwa wakata tiketi maajenti wao wanaangalia maslai Yao bila kuhakiki documents
Airport ya Tanzania wafanykz washez san na wana maswali ya kipuuziii alfu ruswa nying san wajirikibishe😢😢kerooo nying san
Sana yani wanabooa mnoo
Umeongea ukweli kk maana wanatusumbua sana
Tatizo wakisha kuwa na vyeo basi wanaona maisha wameyapatia
Sad yani . Sijui tutabadilika lini
Kaka mtalifikisha sehemu husika nitumie no nikupe mawasiliano mao wawa myoshe
Uyu jamaa tunaomba ufanye nae live 😀😀😁
🤣🤣🤣yani anaongea kwa msisitizo
😂😂 DAAH WANAULIZA MASWAL AMBAYO YANAJIJIBU KWA DoCS, lakini nadhani watakuwa wanabanwa sana na wenyew, c mnaonaga ile camera karbu na mashine ya fnger 😂, mm niliulizwa et shule ya msngi umesomea wapi, nkajiuliza safar yangu na shule ya msngi wapi na wapi jmn😂😂😂 kama hujiamni unaeeza jisaidia hapohpo😭😭
😂😂😂😂daah🙌🏾
Alitaka kujua ulivyopata passport au usahihi wa u Tanzania wako.
Swali lolote we ulionalo la kipumbavu kwa elimu ya maswali Huwa Lina kusudi flani unaweza ukajichanganya akapata jibu
Maswali kuulizwa mengi ni ya mitego ili muuliza swali apate taarifa Fulani ajiridhishe nazo.
Kumbuka akihudumia abiria feki au asiyesahihi jela yake au kufukuzwa kazi.
@@heritier5119Daaah mtihani sanaa
@helinahenry😢daah mitihani
Hata passport hawana ila usumbufu tu wanakera sana yani
😂😂🙌🏾 sana yani
Wapuuzi sana
Kwakweli Tz eaport hapana wanaudhi sana
Sikatai yani
Kuulizwa maswali ni lazima hata ya kipumbavu zile ni technic za kutafuta taarifa fulani ili mtoa huduma ajiridhishe akihudumia abiria asiye sahihi jela inamuhusu, kufukuzwa kazi au vinginevyo, wanafanya kazi kwa miongozo na sio kwa uamuzi wao binafsi wanafata sheria za nchi na za kimataifa.
Mbona nchi za wenzetu hawafanyi hivyo au wao hawafanyi kazi
@mishigwan6598 Swali zuri
Muuliza maswali ni mtoa visa na siyo mkagua visa
Niagra je vipi brother
Ndugu umefanya vizuli sana kutoa hividio ilitatizo lipoapo nyumbani tanzania wamekua wasumbufu sana haswa apo mwalim nyerere eapot mimi mwenyewe niliondokea nailobi
Kwakwei kero zimekua nyingi
Hii nchi ukisema ukweli unageuka kuwa adui,we need to stop that nonsense of fear
You are right
Hata flaydubai waudum wanadharau sana tena haswa kale kachina kafupi mbwa kale
😂😂eeh asante kwa kushare
Daaaah😂
Endelea kutoa kero Serikali ya mama itazifanyia kazi, kuongea ndio kujua kero zipi zitatuliwe
Hata ukienda omba viza kwenye balozi huwezi pewa tu viza kama ticket maswali lazima uulizwe.
Nilitamani kujua taasisi hasa inayowasumbua abiria kumbe ni hao airline basi wajitahid sana kuboresha mazingira maana ile ni biashara
Exactly
👍👊✌️.
Ni kweli wanarudisha watu wengi
Kwa ambao awajakamilika
Wanafanya kazi Kwa miongozo yaani wewe unataka wapite to kisa wana visa hapana wewe ndio hujui ndio maana unaongea hivo kisa wazungu kwani wazungu ndio majambazi wakubwa broo mm naishi dar lakini ticket yangu ilonesha nipite Zanzibar na niliulizwa hivo.hivo kwanini unapita huku nikamwambia jinsi ilivyokuwa akaelewa nikapita lakini wengine walirudishwa hivo yaani wakuruhusu upite tu thubutu
Kama wao wanajua sana wamuulize Tundu Lisu kwanini anakwenda nje ya nchi na kurudi kama anapakia Daladala. Unaongea ukweli sana.
Ndo maana mnaambiwa wahi masaa 3 kabla ya safari ili kama kuna tatizo la kutatua kabla ya safari litatuliwe,sasa we unakuja nusu saa kabla ya ndege kufunga mlango so unataka ndege ikusubirie wakat ndege uenda kwa ratiba
Unaruhusiwa kusafiri ukifika dk 40 kabla ya ndege kuondoka. Na sio dk 30
Any way ukifika mapema zaidi ni vizuri sana na kuna punguza stress
Ndo zao hzo hata mm walinikazia na ninadocument nikatoa laki tano na elfu40 ili nisafiri inakera kiukweli
Aisee mbona pesa nyingi hivi?? Shame on them
Turkish air ni wahuni bora utembee kwa miguu
Alooo😃
😂😂😂😂@rab792
Shida ipo Airport na bandarini yaani shida juu ya shida
Sana yani ni keroo
Ngoja nicheke😂😂
Alooo😳😂
Mtu anarudishwa mara tatu we uoni ni tatizo lake,kama amekamilika documents ina maana hazioni mamlaka husika akatoe malalamiko
Watu waliopo ktk ofisi za Umma wengi wao ni wabinafsi na wanafanya hivyo ili kutengeneza mazingira ya rushwa!, Hawa watu ukiwakuta ktk hizi ofisi ni mingus watu!, ALIWAWEZA MAGUFULI TU!, WAKATI WAKE WATU WALIBADILIKA NA KUFANYA KAZI
Kwakweli tutamkumbuka
Rushwa inaa wajanganyaa
Kuulizwa maswali ili wajue upewe huduma ipi stahili so mnataka muingie tu kama bubu je akiingia gaidi je si ndo wa kwanza kulalamika
Shida ni elimu ya kutosha kuhusu safari ukiwa umekamilika unazuiliwa vipi kama ujatendewa haki si unaripoti mamlaka za juu afisa yeyeto yeye sio mamlaka ya mwisho
Qatar's airways wanajali sana wateja japo bei zao zipo juu.
Vitu vya bei ndogo navyo vina kero nyingi kwakweli.
Naunga mkono. Qatar waliahirisha safari kwa sababu za kiufundi pale KIA na wakanilipia hotel Kibo Palace.
@la-safarisbeachholidays6713 Wow wako vizuri. And that's how customers should be treated
Hizo ndege zipo airport zinatoa huduma hata kabla wewe haujazaliwa hadi leo zinajaa achana chuki.
No choyo kichovuka mipaka na tamaa.
Unampaje rushwa kama visa ni halali
Kaka mfumo ndio tatizo ilikuwa shwari 2015- 2020 baada ya hapo 🤮🤮
Mfumo mbovu haswwaa
Anasema ukweri kabisa
🙌🏾🙌🏾
Kamata ushahidi peleka mahakamani
Mr una negative kuhusu aspect kuhusu airport,hizo ndege kusema hazina wateja umecheck idadi ya abiria wanazopata.
Kama hazina wateja si zingeshafilisika.
Hizo ndege zipo hata kabla ujazaliwa na zina operate
Viza feki, show money, ticket feki zipo tele kariakoo na watu kibao wamepigwa,ndo maana ya kuhoji umepataje viza
Asante kwa maoni yako
Maswali ya ajabu ajabu lengo ni kupata taarifa sahihi.
umepata wapi hiyo
Wachane mwamba
Kabisa aisee
Sauti ndogo
pole
Naitaji kukuona in box
Niandikie Ig @Witness Vlog
Ngoja kuna mtu namtumia hii video iende kwa mama direct kazi ndogo hii😡
Eishhh🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Yani umetisha sana kwakweli. Imfikie haswaaa
Ahsante sana utatusaidia wengi kaka
Sema kaka hata mimi yamenikuta hayo
@@aishafrancis7714 Pole sana kwakweli
@@Witnessvlog17:31
Jibu nimemfuata mamako
Calm down😊
Mengi ni uongo na chuki zako binafsi pale pana watu wa usalama zaidi ya 300 wasiyagundue uliyoyasema.
Kuongea ni haki yako lakini yote yana jibika.
Sasa kama ndomara yakwanza kusafilibona balaa
Yani wanakwaza sana . Ni kuhakikisha tu uko sawa ki documents