MZEE KUTOKA PEMBA ATANGENEZA BOTI YA FIBER KUPITIA MADUMU YA MAFUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2023
  • เพลง

ความคิดเห็น • 19

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 หลายเดือนก่อน +2

    Umasikini unejaa vichwani mwetu yaani hapo kaonekana kafanya jambo la maana sana na la ajabu hadi Tv zinamfuata kumuhoji 😂 yaani CCM wametutia umasikini hadi tunaona jambo la kawaida huyo mzee lilompelelekea kufanya hio boat ni umasikini tu

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 หลายเดือนก่อน

    😂😂faida ya madumu ndio nini acheni uninga huo

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazai kajifunze dar utakua muwandishi mzuru

  • @abubakaralliy8435
    @abubakaralliy8435 9 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji anaoneka yupo field ila kajitahid san mashallah

  • @adammwadin5381
    @adammwadin5381 9 หลายเดือนก่อน +3

    JOMBA SHAIBU LAZIMA AENDELEZWE KABLA WAJANJA HAJASHTUKA

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 หลายเดือนก่อน

      Babuu hiyo sio mpya ila kwa elimu yake ameituma sana akili yake hayuko vibaya, ukitakakuona zaidi angalia nchi za Asia hasa Indonesia, wao mpaka engine wanafanyia modification, na wanatumia mapipa ya plastic yale ya litre kama 200, na wengine wachovu wachovu ndo kama huyo wetu, usiangalie mambo ya ovyo tafuta ya kujifunza utakua mjanja

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa 8 หลายเดือนก่อน

    Daaah hongera

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 28 วันที่ผ่านมา

    mzee usije ukaitia baharini hiyo ngoma

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji Ovyo hamna kitu

  • @khalidsuleiman946
    @khalidsuleiman946 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za huyu mtu

  • @TwahirHamdaniTwahir-xx7hk
    @TwahirHamdaniTwahir-xx7hk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Matajiri mchukuweni huyo ni uwekezaji mkubwa huo itumieni fursa, haya serikali muezesheni başı kipajikiendelezwe

    • @saidnassormohammed9589
      @saidnassormohammed9589 หลายเดือนก่อน

      😂😂eti serikali wamuwezeshe mbona umasikini tuna ufungulia feni ndugu zangu huyo kafanya hio boat kwa vile hana uwezo wa faiba acheni kufungulia feni shida fungueni macho

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 5 หลายเดือนก่อน

    Ila watangazaji hawaelewi wanahoji nini hv asa

  • @user-sd1bu2li8u
    @user-sd1bu2li8u 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba namba zake

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid หลายเดือนก่อน

    Yote hayo ni maisha yalivyo kua magumu hapo serekali baada kusapoti basi atambiwa alipe kodi

  • @KomboKhamis-ku2jd
    @KomboKhamis-ku2jd หลายเดือนก่อน

    Kila sehemu vipaji vipo lkn havina muendelezo

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 5 หลายเดือนก่อน

    Tuwekee mawasiliano yake binti

  • @user-xh6fy4oc9u
    @user-xh6fy4oc9u หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji neno LABDA unalidhalilisha kwa kutamka RABDA

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 18 วันที่ผ่านมา

      Mbagala na Mbagara lipi neno sahihi mbona wengi wanatamka yote mawili na hatuoni kuwa wanakosea, hiyo ni lafdhi tu ya kutamka lkn neno linaeleweka na ujumbe unafika, kwamfano neno magharibi wapo wanatamka mangaribi wapo magalibi, au mahagare wapo wanatamka maharagwe na wengine wanatamka maalage, au barabara wapo wanatamka balabala wengine, kwaiyo kwaiyo neno Labda na rabda bado wapo wengine wanatamka labuda na wengine rabuda kwaiyo unashangaa nini, neno ni hilohilo tofauti ni lafdhi ya matashi, nasiyo kwa kiswahili tu hata lugha nyengine ni hivyo hivyo, Jifunze usiropoke