TAHARUKI IMETANDA FUONI WASHIKAMANA NJIA NI YETU SOTE MIAKA30 HATUKUBALI KUZIBA NJIA YETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

ความคิดเห็น • 35

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 2 หลายเดือนก่อน +6

    SHIDA ZANZIBAR TUNAUZA NA KUNUNUA VIWANJA KIHOLELA. PIA WATU WA MIPANGO MIJI HAWAFANYI KAZI ZAO KIKAMILIFU NA NDIO MWANZO WA MIGOGORO

    • @rajabmsinzia1715
      @rajabmsinzia1715 2 หลายเดือนก่อน +2

      Upo sahihi ndugu yangu Viongozi wa Serikalini ndio Chanzo cha matatizo yote ya Ardhi

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar saiv Ni mtihan kweli ,, Hakuna Iman wa Dini ,,, Yarrab atupe mwisho mwema lkn Ni mtihan kweli saiv C Zanzibar ile ya Zaman

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee alovaa pelo anasema kweli

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน +4

    Serikali ya Zanzibar haina utu tena mwenye pesa atafanya kila kitu.

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ata akija kiongoz msema kweli mwenye Dini na hekma zake,,, bas atafanyiwa fitna auwawe,,tumuogope Allah Jaman

  • @zuwenasaid9707
    @zuwenasaid9707 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mkuu wa wilaya wawakilishi na wabunge wetu mnakula posho bure hata oofisi hamna usanii tuu.

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Feza fezeha harufu ya rushwa inanukia wananchi msipopambana hakuna wa kukupambanieni haki sawa Kwa wote

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtihani Wallah 😢

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mie napenda wazanzibar wanavyoongea tu, nasikia burudaaani

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 2 หลายเดือนก่อน +2

    8:44 "Vijana wetu siku hizi wanatumia Mihadarati Atakuja na speed 80 Agaregare hapa" 😂😂😂

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini nadhani mwenye dhamana ya Nchi ya Zanzibar litamfika hili na kwa huruma zake hatakubali njia hio kufungwa.

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa Wilaya ameshalishwa halua .

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza tujuwe nani ni mmiliki wa Hilo Eneo.

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani mpaka mzee huyo anaongea kuwa barabara zote zimepita kwenye mashamba ya watu ni kweli. Na hata serikali yetu ikitaka kupitisha njia hata kama Kuna shamba la mtu basi njia itapita tu.

    • @user-lm3lt7xx6l
      @user-lm3lt7xx6l 2 หลายเดือนก่อน

      No haiwezi kupita mpaka makubaliano mm naushahidi km huo upo

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mtu itabidi awe na ndege yeke Au Brikopta

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 หลายเดือนก่อน

    Babu Kofia nyeus umemaliza kikao😊

  • @mozaaly3487
    @mozaaly3487 2 หลายเดือนก่อน

    Kuweka njia katika shamba lako ni sadaka yenye kuendele ,jamani fursa kama iyo ukiipata itumie tena ufurahi asaa .tuishi na watu kwa uzuri hakuna anaejua kesho yake unaweza kupata matatizo na pesa na jeuri yako visikufae wakaja kukufaa ao ao unaowaona hawana maana

  • @KhamisMakame-ie1uc
    @KhamisMakame-ie1uc 2 หลายเดือนก่อน

    Maamuzi ya yapo hata ukiwa hujasoma unaweza kutoka njia iwepo sasa huyo mkuu wa wilaya alie soma anashidwa kuona hakii ya wananchiii

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 หลายเดือนก่อน

    Na bado ngojeni idadi yenu iongezeke mitatiamkia Midanganyika shikamoo 😂 Si hamtaki Serikali moja nyie 🤣🤣 kadiba mpyaaaaaaa 🙏🙏

    • @abdulkidau3178
      @abdulkidau3178 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu mkubwa wee

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkubali Makonda awe Raisi, kwanza atafunga Taarabu zote, halafu Kila anaefanya makosa ale mikwaju, hakuna kuwafunga. Mikwaju TU mbele za watu sokoni na family yake iwepo.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      Ikifanyika hivyo ndani ya wiki moja nchi inanyooka!

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน

      Shenzi ww

    • @Sasakhamis
      @Sasakhamis 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @user-db3hn4fu3b
    @user-db3hn4fu3b 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni nazoea,Mpenzi khaki yake mwenye shamba lake.

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 หลายเดือนก่อน

      Njia kwani milki y mtu

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huku kuna wahuni kuliko Makonda

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie mkitembea hajulikani mwanamume Wala mwanamke wote mnatiingisha matako. Nyie Bora mwarabu arudi na bakora ndio mtanyooka

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 2 หลายเดือนก่อน +1

    Malalamiko Kila siku kama hakuna Serikali. Mleteni Sabaya atawanyoosha sawa sawa

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mpumbavu ww

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@KassimAlly-xp4dz Damu mlizomwaga za warabu, mtachukiana, hamtapendana, mtakuwa na Roho mbaya baina yenu mpaka Kiama. Hamtakuwa na Raha.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mansooralaisri5200we mpuuzi wewe vipi Syria na Yemen si waarabu wale na wanauwana wenyewe kwa wenyewe waarabu ndo Nani na alowaua ni Nani, hakuna sehemu ilotulia kila nchi inashida zake na changamoto zake ustake kuleta hoja ambazo hazina maana