USHAHIDI PEKEE TULIOUPATA.. NJIA KONGWE PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2018
  • Pemba TV is uploading videos for entertainment and educational purposes.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 99

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah. Mendhari. Ya. Pemba. Alhamdullh

  • @bajomba2010
    @bajomba2010 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera kwa ubunifu na taarifa.....tafuta asili ya vijiji kabla havijapotea na wakati...hio ni elimu faida mbeleni...lyrics za kwenu zitumilie ili clip ikamilike kutoa mazingira original ....hili wengi hawalijui...keep it up mtoto wa Dr.Kondo.

  • @muhammedkhamis1407
    @muhammedkhamis1407 2 ปีที่แล้ว

    Natamani Sana Kaka Japosiku Moja Utupatiye Historia Ya PANDANI KK Nitafurahi Zaidi 💯🙏👉

    • @muhammedkhamis1407
      @muhammedkhamis1407 2 ปีที่แล้ว

      @@daktari_mtangazaji Insha Allah Ila Tuma Link Ya Pandani Itakuwa Vyema Sana Kk

  • @alliymohammedbabliy31
    @alliymohammedbabliy31 5 ปีที่แล้ว +3

    Pemba ndio hom ila nyumbani huko hakuna barabara mzuri daah !!! Inaniuma sana

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 5 ปีที่แล้ว

      Hilo lipo lakini la muhimu pia ni huduma duni za hospitali

  • @rayamsaji3087
    @rayamsaji3087 5 ปีที่แล้ว +2

    Sisi tulioko mbali na makwetu unatupa faraja ww kaka Allah atakulipa kuujira waking

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante brother

  • @saidsahd1971
    @saidsahd1971 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana insha'Allah mungu akupe nguvu uzidi kuboresha kazi yako ya kujitolea kwani nimefurahi sana kuona ziwani kwani Niko na miaka 20 sijafika huko

  • @fatmaali8095
    @fatmaali8095 5 ปีที่แล้ว

    mashallah mashallah muhongo ndio ulio tukuza hongera kaka kwa kz yako nzur I LOVE PEMBA

  • @snsonlinetv8432
    @snsonlinetv8432 5 ปีที่แล้ว +2

    asante kaka ochu mungu akujaalie kila la kheri

  • @QuranFirst610
    @QuranFirst610 5 ปีที่แล้ว +1

    Namiss sana pemba, kwetu kuzuri lkn tu Maisha yametutenganisha

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kwakweli tunafarijika saaaaana kuona kwetu kwa sababu ni miaka mingi hatuko na tukija hatumalizi mote

  • @khamisally5436
    @khamisally5436 5 ปีที่แล้ว

    ziwani skuli, daaaaaaa nimesoma hapo hapo kuanzia la kwanza mpaka la kumi, nyumani ni nyumbani yaani burudaaani kwa kweli asante kaka Othman kondo fanya kazi kaka hongera sana endelea kutuonesha maziringa ya nyumbani kwetu pamba.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Allah akufanyie wepesi katika shughuli zako

  • @hafidhbakar7421
    @hafidhbakar7421 5 ปีที่แล้ว +2

    nakumbuka kipindi kile njaa kali ila tulistahamili nakuendelea kusoma katika hyo shule ya fidel Castro na allah alituvuusha salama jitahdini vjana wenzangu pambaneni ili mfankiwe

  • @jifunzemapishinalaylat3212
    @jifunzemapishinalaylat3212 3 ปีที่แล้ว

    Shukurani kwa ubunifu, mzuri mungu akufanyiye wepes kwenye kazi yako

  • @wazaswazas4009
    @wazaswazas4009 5 ปีที่แล้ว

    pemba kuzuri jamaniii nakuuunga mkono ndugu yangu unavyo izunguka pemba na sie ndo tunapoiona na kuijua vizur Allah akuzidishie

  • @saidmaulid523
    @saidmaulid523 4 ปีที่แล้ว

    Brother hongera Allah akulipe kheri kwa ubunifu wako siku zote mti wenye matunda hakosi kupigwa mawe uskate tamaa Allah atakuwezesha InshAllah

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @othmanally7456
    @othmanally7456 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi sana kuona mitaambayo nilikuwa nikipiga misere ila nitafurahi zaid siku ukifika mbuzini kwani nimiyaka 10 sasa sijafika

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 4 ปีที่แล้ว

    mwanzo mgumu musikate tamaa pba tv mutakuja juu tu inshallah

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim หลายเดือนก่อน

    Porojo jingi, upunguze kidg

  • @azizasaidsaid8630
    @azizasaidsaid8630 5 ปีที่แล้ว +1

    Othmani kondo hapo nikwetu huyo mwenyewe nimuwarabu mzee shamis nitakuelezea zaidi

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 5 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahia kuona nyumbani

  • @rayamsaji3087
    @rayamsaji3087 5 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah nimefurahi kuona kwetu

  • @azizasaid6941
    @azizasaid6941 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah .Alhamdulillah nimeiona home ziwan na shule niliyoisoma japo kwa mbali nimefurah na umenikumbusha mbali enzi zile tunaita mabanda njaa (shule) asante kaka

    • @azizally3129
      @azizally3129 5 ปีที่แล้ว

      Aziza Said Mambo aziza?

    • @azizasaid6941
      @azizasaid6941 5 ปีที่แล้ว

      @@azizally3129 poa vp kwema

    • @azizally3129
      @azizally3129 5 ปีที่แล้ว

      Aziza Said Kwema naomba unitumie namba yako tuweze kuwasiliana samahan lakini nakuomba

  • @missnassorgugh4672
    @missnassorgugh4672 5 ปีที่แล้ว

    Maashaallah uko vzr broo Allah akupe wepesi na afya njema upige hatua ziada achana na wakunja sura wasopenda maendeleo yk in short uko vzr binafsi na enjoy km nipo nyumbani vl hadi raha big up sn

  • @sudafaki9699
    @sudafaki9699 5 ปีที่แล้ว

    mashaallah mchanga kwale nimefurahi kuona maeneo ya home,hongera kaka

  • @khamikhan5091
    @khamikhan5091 5 ปีที่แล้ว

    nyumban kabisa kisiwan kwa bint abeid. Inapendeza sana...

  • @abdullahsuleiman8200
    @abdullahsuleiman8200 3 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

    Kama kuna watu wanakushambulia au kukusema vibaya sema alhamdulullah hiyo ndio fadhila ya mja hata utende jema gani kazi bure

  • @zeewasubra1532
    @zeewasubra1532 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka ochu tupo pamoj

  • @saqrymo379
    @saqrymo379 ปีที่แล้ว

    CALTEX ilikuwa ina supply mafuta. Na ni company yaki British. Kama Vile Shell, BP na nyingine.

  • @alliwazir1767
    @alliwazir1767 5 ปีที่แล้ว

    Mjomba hakuna mkamilifu isipokuwa Mola wetu basi hao wanaokukosowa waombee Dua.Wala usikasirike wapo wengi hao wanaojuwa zaidi inatosha hivyo unavyo tuonyesha kisiwa chetu Mungu atakulipa kwa furaha utupayo

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa napandisha mavungwa hadi semewani hapo nakupata vizuri sana

  • @ibrahimrashid7017
    @ibrahimrashid7017 5 ปีที่แล้ว +1

    Assam asylum, nimefurahi Sana kuona home caltex Kwa mzee shamis

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 4 ปีที่แล้ว

    Kule Kuna itwa Kidemen kile kiji
    Cha Mbali kule chini pale mchanga kwale

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +1

    Na ule mchezo wetu wa mrembo kipofu part 3 vp othman km bado fanyeni jitahidini kwani kazi ya kujitolea ina mambo mengi ya kukatisha tamaa ila ww simama na kamba ya Allah tu bass inatosha

  • @mamamuu8217
    @mamamuu8217 3 ปีที่แล้ว

    Unakera mtangazaji kuhoji mpaka muhogo, hakuna asiejua muhogo fuatilia mambo mengine ,kipindi nakipenda lkn mengine yanaboa bro

  • @bajomba2010
    @bajomba2010 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaribu kufanya utafiti kwanza kuhusu taarifa baadae uingie vijijini kwa taarifa za ziada. Usiingiz e maneno ya kiingereza labda iwe hapana budi...tafuta wstu wanaoelewa suala kwa ukamilifu ..kimbia habari potofu ...nakusudia usiwe kama mapapasi wanavyowapa taarifa za chumvi watalii kwa tamaa ya kuonekana wanaelewa kwa taarifa sio sahihi...tumia watu waxima zaidi kwa historia ...

    • @mohamedally1460
      @mohamedally1460 5 ปีที่แล้ว

      Hata na mimi nimeliona hilo linatoa ladha ya taarifa Zeke

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 5 ปีที่แล้ว +1

      Lakn kashasema mwenye kufahamu amtafute. Na Bahati mbaya, jamaa zetu wengi hawataki kuulizwa au kuonekana.

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +4

    Hao wanao kushambulia ww ni wajinga sana na hawaijui thamani yake hio kazi unayo ifanya tu ndg yng othman sio ndogo mm ni mpemba wa kisiwani kwa bnt abeid na nipo nje ya africa lkn hua napenda sana kukufuatilia ww vipindi vyako vya pemba tv na nikija pemba in sha Allah nitakutafuta ongeza juhudi kakaangu tu baas

  • @IbrahimAli-nk3kv
    @IbrahimAli-nk3kv 5 ปีที่แล้ว +1

    Wazungu Zaidi ya kutushinda ilaa wananchi wake wanachangia ushuru mkubwa yani Tax Kwa serekali au wanao shirika kupokeya Tax hawaibi hizo pesa alafu zina Rudi Kuwa Mali ya uma na Pesa nyengine wanarudishiwa wananchi wake tukifanya hivyo nchi za kiafrica Zita kua bali sana Pesa nyingi Wana pewa wenye mabiashara makubwa kuendeleza na kuandika watu kazi

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 5 ปีที่แล้ว

    Pemba inahitaji juhudi za daraja ya juu ili kuhifadhi mazingira yake.Zamani ardhi ilkuwa ina rutba na vipando vikimea vizuri.Sasa hay o yanatoweka.Ukataji wa miti ovyo na ukulima usiozingatia utaalamu wa hifadhi ya udongo ndio sababu ya matatizo

  • @nassder
    @nassder 5 ปีที่แล้ว +1

    Chombo kwa hewa

  • @saqrymo379
    @saqrymo379 ปีที่แล้ว

    Hii barabara sijui ina mkosi gani ni tokea wakoloni inavyoitwa. Tokea Karume alisema ataitengeneza mpaka leo ikon hivyo hivyo.

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 ปีที่แล้ว

    Ami kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri ila ilikua utupeleke na kusini nyumbani hasa mtangani kuna mbuyu mnene wa kihistoria tunaona choyo kila siku kaskazini tuuu

  • @ahmedsaidi850
    @ahmedsaidi850 4 ปีที่แล้ว

    Kaka nenda KIUNGONI mda sana kafanye interview kwann kiungoni

  • @rashidaljabri9569
    @rashidaljabri9569 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana toka Oman

  • @khamikhan5091
    @khamikhan5091 4 ปีที่แล้ว

    kisiwani kwa binti abeid love

  • @ibrahimkhamis178
    @ibrahimkhamis178 5 ปีที่แล้ว +1

    Amii tupeleke na kusini kidogo

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 5 ปีที่แล้ว

      kweli babuu inabidi atupeleke kusini nimekumis sana mtangani

  • @salimmauly3035
    @salimmauly3035 5 ปีที่แล้ว +1

    nitafute kuhusu Pba

    • @allymtz4348
      @allymtz4348 5 ปีที่แล้ว

      @@daktari_mtangazaji watu kama hao usiwajibu kaka

  • @mahmoudsalum9294
    @mahmoudsalum9294 5 ปีที่แล้ว

    Piga kazi kaka achana na vichwa ngumu

  • @suleimankhalfan8856
    @suleimankhalfan8856 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi Sana😊

    • @hajihajirajab609
      @hajihajirajab609 5 ปีที่แล้ว

      Keep it up, we love to see home. Blessed beautiful island of Pemba. Shukran.

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 5 ปีที่แล้ว

    Tupeleke mji wa fundo

  • @azizally3129
    @azizally3129 5 ปีที่แล้ว

    Uliposema wazungu ndugu zetu mmoja sikubaliani nalo kabisa ila kwa kazi yako unayofanya nakusaport

    • @mashamumba5175
      @mashamumba5175 5 ปีที่แล้ว

      Aziz Ally ndio wazungu ndugu zetu tena wa damu

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว

    Othman Fanya utuonyeshe mishe za mafuta Pemba

  • @hamadmkadam7111
    @hamadmkadam7111 5 ปีที่แล้ว +1

    Be static brother. come on upon your briflications. don' t reanswer back to us brother ok

  • @suleimankhalfan8856
    @suleimankhalfan8856 5 ปีที่แล้ว

    Na kwan Othuman Kondo ni mpemba wa wp ww?

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 5 ปีที่แล้ว

    Alafu pia nenda na maeneo ya mkoan tunataman kuyaona mazingira yake......

    • @massplayzshorts
      @massplayzshorts 5 ปีที่แล้ว

      Dah kama najiona vile napita na vespa yangu nakwenda wete kuwatembelea washkaji zangu nikitokea machomanne kwa mohd salim kichocho ndie mdingii wangu

  • @nassorkhamis8186
    @nassorkhamis8186 5 ปีที่แล้ว

    Kiongozi uko poa ila kwanza fanya utafiti kisha aplod video yako na pangilia safari yako vizuri watu wanaham ya kuona na kufaham pemba hususan walio mbali na Zanzibar ukifanya vizuri utakuwa umetengeneza account kubwa ya wafuasi au zaidi angalia video za wataliana ili kwa kujifunza na kupata maarifa zaidi.napendekeza mtafute Anna mazzoti katika italianissimo

  • @hafidhbakar7421
    @hafidhbakar7421 5 ปีที่แล้ว

    allah aijalie

  • @wasafitv2366
    @wasafitv2366 5 ปีที่แล้ว

    kidog kdg ndyo mwendo othman kondo

  • @batulimohamed7597
    @batulimohamed7597 5 ปีที่แล้ว

    Apo ulipo wachuuzi hutupa majani ya vumba haoo

    • @suleimanhemed6573
      @suleimanhemed6573 5 ปีที่แล้ว

      salim hemed hapo ungatupeke mtambwè huko kitoweo c mchezo mbele kidogo km kilomia 4 kuna mtu anakaa daya anaitwa bakari mataka huyo ni bingwa wa kuotesha spers yaani viungo mdalasini wake huwezi uona popote vanila hiliki pilipilimanga nk .hongera baba

    • @suleimanhemed6573
      @suleimanhemed6573 5 ปีที่แล้ว

      broo.othima jitahidi sana kutafuta wenyeji ili tupate ile kiini cha hayo majina .km hapo tandavili ushauri tu

  • @azizasaidsaid8630
    @azizasaidsaid8630 5 ปีที่แล้ว

    Mwanawe yupo hapo hapo caltex wengekwenda akakuelezea

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 5 ปีที่แล้ว

    Piga Kazi tupo pamoja, kwa ss tulio mbali twashawishika kuja kutembea nyumbani. Kwani ipo cku nyumbani kuta noga, tutarudi. PBA kuzuri bwana asikwambie mtu.

  • @salimmauly3035
    @salimmauly3035 5 ปีที่แล้ว

    unajaribu kuelezea khsu Pba lakini hufaham chochote fanya utafiti kwanza

    • @alwatanalgilgilan-y3078
      @alwatanalgilgilan-y3078 5 ปีที่แล้ว

      Mwanzo nzuri Kaka,we ndie unaejua asemae hujui mwambie ashike Mike na yy afanye

    • @bajomba2010
      @bajomba2010 5 ปีที่แล้ว +2

      Katika falsafa ya elimu...usitumie maneno ya jumla jumla yasiomsaidia kumuelimisha mtoa mada..tumia kauli za hoja mbadala ili umuongoze mtoa mada kwa "fact" unayoifaham wewe ili aelimike ajue makosa yake...ikiwa wa kurejea shule atajijua mwenyeww ...ikiwa wa kuendelea kwa marekebisho atajiendeleza kwa kuisaidia jamii. Msaidie asaidie. Kauli za jumlajumla kama ...hujui chochote , katafute kombe uvue..hio si kazi yako kalime muhogo ...hizo hazisaidii..MSAIDIE ASAIDIE ...hasa vile kakubali kuwa yeye si mkamilifu. Mtoto wa Kondo ...endelea kutuletea vitu..nukta za wakati zitadhihirisha uwezo wako.

    • @zuhuramohd6195
      @zuhuramohd6195 5 ปีที่แล้ว +2

      Kuna watu wengine wameletwa duniani kukosoa wenzao tu , wao wana mapungufu tele na wala hawakosolewi na mtu , tumia kauli nzuri usimvunje binadamu mwenzako tamaa , hakuna alozaliwa anajua , sote tunajifunza ndipo tunajua .

    • @hudHud-lo3il
      @hudHud-lo3il 5 ปีที่แล้ว

      usijesahau na ngomahazingwa ,perezini ....na sehemu kadhaa

    • @hudHud-lo3il
      @hudHud-lo3il 5 ปีที่แล้ว

      umejitahid mola akupe mno

  • @issajohn6174
    @issajohn6174 5 ปีที่แล้ว +4

    Babkubwa endeleya kutupa uhondo hongera sana wape hi machizi wangu wote pale tennis basketball man . Haina noma ni West hapa nakufagiliya kinoma

    • @masoudkhan7755
      @masoudkhan7755 5 ปีที่แล้ว

      Uko vizur kama Wana kuponda si tuna kukubali tuko pamoja naomba usogee pale michakaini kuna Jumba kubwa LA zamani sana LA wahindi utupe history yake kidogo na ile shule ya michakaini ulio somesha watu wengi ila boy uko vizuri kwenye utangazaji hongera boy

    • @issajohn6174
      @issajohn6174 5 ปีที่แล้ว

      Swadacta yaaani wale wote wanaokuponda ni watu wenye chuki na hawapendi maemdeleo yako , ila ukweli nikwamba uko fit na unaweza kila kitu mashallah

    • @suleimanhemed6573
      @suleimanhemed6573 5 ปีที่แล้ว

      safi kwa kweli tunarahi sana kuiyona pemba na mahojiano kmhy 💪