Pole sana ndugu yetu wakili msomi Madereka Mungu anae simama kwenye haki akutetee kwa Jina la Yesukristo. Mungu anaujua moyo wako kwamba huna hila! POLE SANA.
Vyeo vya kisifa vimepita neno la haki limesimama.Hongereni wote Mwambukusi mungu akupe agya uzidi kutetea wengi.Hongera Madeleka.Hongera watanzania wanaoomba haki itendeke.Ahsante mungu muonambali.
Nafurahi Kuona Tuna Watetezi Wa Wananchi Wengine Wapya Tena Wazuri Sana. Zamani Nilikua Namjua LISSU Pekee Lakin Saiv Nafurahi Kumuona Mwingine Mpya MWAMBUKUSI. Hakika TANGANYIKA Sasa Itakombolewa.
Nawapieni.Mungu Anaenda kuleta uamsho mkubwa sana Tanganyika.kuna uonevu mkubwa sana.waendelee tu kutesa watu.Mungu Atawafuta kama wamisri walivyofanyiwa na Mungu Mwenyewe
Nakukubali Sana wakili msomi mwabukusi jabali la kupigania haki na uwazi wa Mambo Mungu akulinde akutetee Sikuzote maishani mwako;;; Wakili wamwelewe viongoz wa umma maana mihimili yetu😂😂😂😂😂 duuuh Mungu akutetee pekee.
Nchi hii imejaa wahuuni ,naludia wahuni wamokwenye office za umma wahuni ni watu wabaya sana😮😮😮😮 naam kuna kiongozi wa wahuuni nchii analinyonya taifa kijasili na ujanjajanja 😮😮
Dua na sala ndio muhimu, masheikh dua zao tulizionq na majibu yake yalipatikana mapka mwenda zake akafa halfla sasa na nyie jikazeni na dua ili hawa madhalimu waondoke, hawafati sheria walizo ziweka wenyewe 👍
MUNGU AKUTUNZE sanaaaaa Yaani MUNGU AKULINDE....nakila silwha itakayoinuka juu yako haitafanikiwa....na kila atakuwa kinyume nawe imrudie mara mbili na Mungu awahukumu wote wanaokupwngia MABAYA...libarikiwe tumbo lilillomzaa mwambukusi....na hii ndiyo raha yakuwasomesha watoto wenye UCHUNGU na Nchi na uzalendo
Naweza kusema tu Nchi za kiafrika tuna Serikali za hovyo sana ukiwakosoa utatafutiwa kedi za ajabu ajabu na polisi na vyombo vingine vya usalama pasipo kufuata profesionalidm ya kaxi zao nao wanaingia kwenye mkumbo kwa kuwalinda watawala. Hii ni harufu mbaya kwa Nchi za kiafrika
Mimi nasema mdugu zangu haki kwenye nchii hii haiwezi patikana kwavifungu vya sheria tafuteni njia mbadala yakuleta ukombozi kwenye nchii hii maana watawala hawataki kutoa haki
😂😂Kama kuna mtu alimuona Askari Magereza alitaka kuwazuia watu baada tu kugeuka na kumuona Mwabukusi akalegeza kamba akampisha huku askari anatabasam akijua mhh kumbe wewe mwamba pita bhana😅😅
Huyu mwingine ni wakili kweli anaelezea kitu kinachoeleweka sio mwambukusi anavyoelezea ni kama yeye sio wakili ni mshitakiwa sisi tunafatilia tunahitaji kuelewa big u
Katika hizi Kesi Mwabukusi anasimama kama mwalimu kwa mtu wa kawaida. Hii inasaidia kuleta ufahamu na uelewa wa mambo ya professionalism yanavyotakuwa yaende ki professional. Na jinsi yanavyokiukwa au kutumiwa vibaya na walio katika madaraka. Hapa wananchi wa kawaida na mwanafunzi wanajifunza kuzungatia ueledi na sio vitendo vinavyo kiuka ueledi . ni aibu kwa Taifa na wahusika kupindishapindisha vitu kwa maslahi binafsi. Napenda kumwambia Mwabukusi na wengine walio na uzalendo kama yeye kuwa Mnalifanya liwapasalo katika Taifa kwaajili ya Leo kesho ya ya nchi hii Afrika na dunia
Nilisema, hii ni vita. Vita ina vita ndogondogo (battles) kadhaa. Battle ya Mbeya Mwabulusi mlishimdwa. Nikaasa msikate tamaa. Battle ya Arusha mmeshinda. Ushindi huu usifanye mkalala, vita bado kabisa mbichi. Nauliza hivi hakimu akikosea hawezi naye kushtakiwa?
Ndo muone vile mambo yanayoendelea katika serikari hii,unafukua kesi zilizofungwa Ili iweje huyo aliyefanya hivyo anatumika kwa nani,na je kwa Mtanzania w kawaida?na vipi kuhusu Mchungaji Mbarikiwa kuhusu aliyeua mtoto wake? Kwa madai yake!!! Ole wenu malipo ni hapahapa na kabla ya kukaa kaburini.
Najiulizaga maswali hivi elimu ya sheria inatolewa tofauti ? Maana navyoelewa sheria huwa iko wazi na namna inavyo jieleza sasa tofauti zinatoka wapi BANDUGU mbona kama mnataka KUWAZALILISHA WALIMU WA SHERIA HUKO VYUONI .
This is the true definition of warriors.We are proud of you both,may God bless you always.
Hongera sana Mwabukusi na wote Mungu akubariki sana
Mwabukusi we ni mpango WA mungu tumekujua kupitia hii ishu ya bandari tinamwomba mungu akupe maisha marefu
Asante wakili Mwabukusi MUNGU akutunze 👏👏👏👏
Mwenyezi Mungu akujalie Kila heri Mwambukusi na jopo lako
Asante wakili mwanbukusi mungu akulide katika kazi zako
Jaji Asante kwa ufuata haki mungu akubariki sana kumtoa Madeleka Asante.
Pole sana ndugu yetu wakili msomi Madereka Mungu anae simama kwenye haki akutetee kwa Jina la Yesukristo. Mungu anaujua moyo wako kwamba huna hila! POLE SANA.
Pole sana mpambanaji wetu
BRAVO WAZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....MIMILIONI YA WATANZANIA WAKO NYUMA YENU.
Vyeo vya kisifa vimepita neno la haki limesimama.Hongereni wote Mwambukusi mungu akupe agya uzidi kutetea wengi.Hongera Madeleka.Hongera watanzania wanaoomba haki itendeke.Ahsante mungu muonambali.
Hongera mwambukusi adv.kwa kutufungua machoo tumejua ambayo tulikuwa hatujui Mungu akubariki uwe na afya njema akuepushe na watesi wako..haleluya
MWABUKUSI, Mungu akubariki sana na kukulinda.
Jeshi la mtu mmoja heshima kwako wakili mwabukusi Mungu akutunze miaka 10000 tukiwa na watanzania kama hawa hakutakuwa na uonevu Forever
Bb wa mbinguni ataenda kutenda makuu juu ya haki ya watu wake hongereni sana haki ikatendeke
Nafurahi Kuona Tuna Watetezi Wa Wananchi Wengine Wapya Tena Wazuri Sana. Zamani Nilikua Namjua LISSU Pekee Lakin Saiv Nafurahi Kumuona Mwingine Mpya MWAMBUKUSI. Hakika TANGANYIKA Sasa Itakombolewa.
Mungu ni mkuu na mwenyehaki. Hingereni sana.
Kila ukiwasha simu ukaanza kupita mitandaoni,unachokutana nacho Ni uchungu tu,sijajua tuta kuja kuona haki kamili lini...
Amina Mungu akubariki sana sana Mwabukusa wacha Mungu akubariki mno wacha haki itendeke
Nawapieni.Mungu Anaenda kuleta uamsho mkubwa sana Tanganyika.kuna uonevu mkubwa sana.waendelee tu kutesa watu.Mungu Atawafuta kama wamisri walivyofanyiwa na Mungu Mwenyewe
Unamuapia nani ww uamsho upi uamsho si mliwaaeka ndani miaka 8
Nakukubali Sana wakili msomi mwabukusi jabali la kupigania haki na uwazi wa Mambo Mungu akulinde akutetee Sikuzote maishani mwako;;; Wakili wamwelewe viongoz wa umma maana mihimili yetu😂😂😂😂😂 duuuh Mungu akutetee pekee.
Barikiwa sana Mwabukusi
Safi sana hakika mungu mkubwa mbalikiwe watetezi was wananchi 🙏🏼🙏🏼👍🤝
Safi sana Mungu Mkubwa, so happy, God Bless vijana wa Tanganyika!!!!
YYESSS HAKI ITENDEKE 👏🏻👏🏻👏🏻
Mnaandikwa kwenye vitabu vya mashujaa wa ukombozi wa nchi yetu. Mungu awatie nguvu
Shalom! Kwakuwa unasimamia haki ya wanyonge tunakupmbea sana kwa Jehovah.ameni
BRAVO MWABUKUSI👊👊💪💪
Dhahabu husafishwa kwa moto madereka umeiva sasa hongera sana
Huyo tuu wakili kafanyiwa hivyo, Je sisi raia wa kawaida mtaani 😔 😟
Hapo sasa
Nihatar
Sis habar yetu ni mbaya sanaa
Mwabukusi mm nakukubali Sana Sheria unaijua na umehitimu mm nataka uwemwanasheria wangu katika kesi yangu ntakulipa harama yoyote#
Tunasubiri majibu ya mwumba wa mbingu nanchi kwakuwa haki inayeye peke yake AMENI.
Mwabukusi tunapenda kukusikia baba. Mkombozi wa nchi na wanyonge. MUNGU akupe maisha marefu
Wape shule,kama wanaweredi watajua,lakn Mungu amewanyima ufahamu ili waendelee kuwaibika
Hii nchi tuikabidhi mikononi mwa mungu maana sisi wanadamu hatuwezi
Pole sana jamani Mungu walinde sana na ninawapenda sana nyinyi mnazopenda tanzania
Mwenyezo mungu awaangazie kwakaz hiii kubwa mnayofanya yakuikomboa Tanzania 🇹🇿
Dah nakukubali sana
Mwabukusi hiki chuma hiki nakukubari Sana aise we Nizaidi ya kamanda
Asante wakili msomi nchi hii haipendi watu wasomi kama ninyi pongez kwen wanasheria
Kwel kabsaa wanapend vilaza
Tanzania imekuwa Nchi hovyo sana Yakuishi kwa sasa
Mungu ni mwema
MUNGU AWABARIKI SANAA
Mwabukusi kijana jasiri, jina lako litaandikwa kwa wino wa dhahabu
Mashaalah
Haleluya. Utukufu umrudie Mungu. Nimefurahii kumuona Madeleka ametoka jmani.
Ee Mungu wa haki jitwalie utukufu.
Asante yesu dah madeleka kamanda kaachiwa hii inaonesha kwamba kesi hizi zinatakiwa kuwekwa wazi media ni muhimu mahakamani
Mungu Akubariki mwabukusi
Mungu akutunze uendelee kututetea
Hii yote nia ya Samia ya kuharalisha dpw
mh samia anajikajaga aerewe zama za kikwete sio hizi atafeli kweli zama uwazi na ukweli kweli akili zake za kuambiwa aongeze na zakee
Judge Yohane asante sana
Freedom fighter
Ukiangalia kiundani viongozi ndo wanaharibu nchi yetu
Huo ndio ukweli wangu usio na pingamizi
Hapa nimenusa matumizi mabaya ya ofisi za Umma.
Huyo Ni wakili je mtu wa kawaida inakuwaje ?
Mungu Akubariki madereka
Safi sana wakili msomi
Mwabakusi mungu akulinde
Pole Kaka
It is yet blessing my heart to see you heros
Nchi hii imejaa wahuuni ,naludia wahuni wamokwenye office za umma wahuni ni watu wabaya sana😮😮😮😮 naam kuna kiongozi wa wahuuni nchii analinyonya taifa kijasili na ujanjajanja 😮😮
Naogopa sana haya mambo nimagumu sana
Dua na sala ndio muhimu, masheikh dua zao tulizionq na majibu yake yalipatikana mapka mwenda zake akafa halfla sasa na nyie jikazeni na dua ili hawa madhalimu waondoke, hawafati sheria walizo ziweka wenyewe 👍
Wazalendo hawana haki
Haya yote yanasababishwa na viongozi wa nchi hii mafisadi na wasio na maadili wameharibu sana nchi yetu ya Tanganyika
Tunawaombea sana... naamini Mungu atatutetea.
Tundulisu Yuko wapi yeye anataka apewe nchi aibe tu mahakamani haonekani kutetea wenzake
Haleruyaaa,jina moja tuuuu,ni
Yesu kristo,anaangalia na kutoa majibu,yaliosahihi,hakuna wa kushindana naye.
Mungu watu wanachukuwa cheo chako wahangalie kwa hadhabu kali
MUNGU AKUTUNZE sanaaaaa Yaani MUNGU AKULINDE....nakila silwha itakayoinuka juu yako haitafanikiwa....na kila atakuwa kinyume nawe imrudie mara mbili na Mungu awahukumu wote wanaokupwngia MABAYA...libarikiwe tumbo lilillomzaa mwambukusi....na hii ndiyo raha yakuwasomesha watoto wenye UCHUNGU na Nchi na uzalendo
Naweza kusema tu Nchi za kiafrika tuna Serikali za hovyo sana ukiwakosoa utatafutiwa kedi za ajabu ajabu na polisi na vyombo vingine vya usalama pasipo kufuata profesionalidm ya kaxi zao nao wanaingia kwenye mkumbo kwa kuwalinda watawala. Hii ni harufu mbaya kwa Nchi za kiafrika
1 )obtaining money by force (kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu)
2)money laundry (utakatishaji wa fedha)
Mimi nasema mdugu zangu haki kwenye nchii hii haiwezi patikana kwavifungu vya sheria tafuteni njia mbadala yakuleta ukombozi kwenye nchii hii maana watawala hawataki kutoa haki
Huyu mwambukusi alikuwaga wapi?nchi yetu inahitaji kina mwàmbukusi wengi sana muda huu.
Very true
😂😂Kama kuna mtu alimuona Askari Magereza alitaka kuwazuia watu baada tu kugeuka na kumuona Mwabukusi akalegeza kamba akampisha huku askari anatabasam akijua mhh kumbe wewe mwamba pita bhana😅😅
hapa kama unajuwa sheria Tz uguswi
MUNGU ni WA haki siku zote wahuni wa taifa hili siku zao chache sana Tena za hesabika
Huyu mwingine ni wakili kweli anaelezea kitu kinachoeleweka sio mwambukusi anavyoelezea ni kama yeye sio wakili ni mshitakiwa sisi tunafatilia tunahitaji kuelewa big u
We km humwelewi mwabuks basi utakuwa akili kisoda mbona jamaa kanyooka km rula hana kuremba wala mbambamba
Wakili was kweli
Katika hizi Kesi Mwabukusi anasimama kama mwalimu kwa mtu wa kawaida. Hii inasaidia kuleta ufahamu na uelewa wa mambo ya professionalism yanavyotakuwa yaende ki professional. Na jinsi yanavyokiukwa au kutumiwa vibaya na walio katika madaraka. Hapa wananchi wa kawaida na mwanafunzi wanajifunza kuzungatia ueledi na sio vitendo vinavyo kiuka ueledi . ni aibu kwa Taifa na wahusika kupindishapindisha vitu kwa maslahi binafsi. Napenda kumwambia Mwabukusi na wengine walio na uzalendo kama yeye kuwa Mnalifanya liwapasalo katika Taifa kwaajili ya Leo kesho ya ya nchi hii Afrika na dunia
Kwa mbaali anaonekana wakili msomi mdude nyagali akiwa amebebelea fail😆😆
Wanasheria wazalendo tunamba muwe mnawasaidia hata watusojua sheria jamani mtusaidie
Nilisema, hii ni vita. Vita ina vita ndogondogo (battles) kadhaa. Battle ya Mbeya Mwabulusi mlishimdwa. Nikaasa msikate tamaa. Battle ya Arusha mmeshinda. Ushindi huu usifanye mkalala, vita bado kabisa mbichi. Nauliza hivi hakimu akikosea hawezi naye kushtakiwa?
nakubaliana na ww
Nani mwenye number ya Rais Putin ANIPE nimpigie atusaidie KUHUSU haya maswala hatuelewi hii nchi inaendaje maana katiba inavunjwa na Sheria zipo
Kazi iendelée
Imagine mwanasheria mkuu anataka kumfutia vyeti Mwabukusi.Hii nchi hatuwezi kupata Uhuru kamili kama CCM bado iko Madarakani
Sawa kabisa jaji huyo mungu amubaliki, sana naamini amesoma kikamilifu, sana, huyu mungu amulinde sana
Eee Mungu utukuzwe uhimidiwe Madeleke kuwa nje
Ndo muone vile mambo yanayoendelea katika serikari hii,unafukua kesi zilizofungwa Ili iweje huyo aliyefanya hivyo anatumika kwa nani,na je kwa Mtanzania w kawaida?na vipi kuhusu Mchungaji Mbarikiwa kuhusu aliyeua mtoto wake? Kwa madai yake!!! Ole wenu malipo ni hapahapa na kabla ya kukaa kaburini.
Na hao aska magereza wanaonaga wamefika wanasahau mungu ni wa wore
Jembeee
Bora mungu umetusaidia jembe la haki madereka kutoka
Tunashukulu wabambanaji
Najiulizaga maswali hivi elimu ya sheria inatolewa tofauti ? Maana navyoelewa sheria huwa iko wazi na namna inavyo jieleza sasa tofauti zinatoka wapi BANDUGU mbona kama mnataka KUWAZALILISHA WALIMU WA SHERIA HUKO VYUONI .
Nyie ni miamba
Together as 1
Hiyo ni aibu kubwa mifumo ya hakijinai kunyanyasa watu na kuwanyima dhamana
Kiukwel viongoz wetu wa nchi hii ndio wavunja sheria na katiba, na ndio wanaotaka kuvunja amani ya nchi hii
Namkubal Sana kamanda
Hata wakikuvua usability ni bure tu?! Wewe ni wakili wa Mubngu pambana na Mungu atakusimamia maana unasema kweli na itakuweka huru
Ukiwa hakimu au polis kama utafanya mchezo mbingu unaweza ukawaona majirani zako wanaenda wewe unachezea moto kwa uonevu uliowafanyia watu.
Yani mi nanunuaga bando saabu ya mwabukusi tu