Usipomsikiliza huyu mzee kwa makini, utaishia kutukana lakina ana hoja sana. Achani ushabiki. Sikiliza kwa makini na sikio lisilo la kishabiki then toa maoni yako, hata lisu ana mapungufu yake mengi tu.
Mimi sio Mwanachadema na sina chama ila hapa anaitajika kionhozi kama Lisu kwa wakati huu hata kama kamati kuu itabaki ile ile. Mbowe abaki kua mshauri mkui kwa sasa
Amesema atamjadili Kila atakaye gombea. Ngoja Mbowe asema anagombea, na mwingine yeyote. Kisha wakishaeleza maono yao kama Lissu, ndipo na wao maono na hoja zao zitajadiliwa
Ccm wenyewe walimuweka JPM kugombea urais 2015 siyo kwamba hawakujua madhaifu yake, ila nyakati zenyewe zilikuwa zinahitaji mgombea na kiongozi wa vile kulingana na chama kilipokuwa kimefikia, hata kwa upande wa CHADEMA kilipofikia na kwa siasa za kibabe za ccm ni lazima apatikane kiongozi wa kwenda kwa kaliba hiyohiyo ila ndani ya sekretarieti ya chama wawemo washauri wenye busara ambao watashauri ni muda gani majibu na matamko fulani yatolewe ili chama kisiumie. Kwahiyo mbali na madhaifu ya Lissu ila kwa nyakati tulizonazo tunamuhitaji awe mwenyekiti, pia naamini siasa zake za harakati zinaweza kubadilika kulingana na nafasi aliyonayo yaani ukishakuwa kiongozi wa juu ni lazima hekima kutumika ktk kufanya maamuzi, kwahiyo kwa msimamo wake dhidi ya wabunge 19 wa viti maalumu naamini atatumia hekima kumaliza hili.
Yeye anaweza kuwa mkakamavu kwenye harakati lakini wanachama wako tayari kuwa kama yeye? Tulishuhudia maandamano yalipotangazwa viongozi walitokea lakini wanachama hawakuonekana
1. Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa miaka mingapi? 2. Ataendelea mpaka lini na je ni kina nani wengine wanoandaliwa kichama kuwa wenyekiti? 3. Madudu ni madudu, hayo na kama kuna wadudu kwenye chama, mwisho wa siku kama hayafanyiwi kazi kwa utaratibu unaoeleweka na kukubaliwa bora yaanikwe. 4. Ninadhani Lissu, pamoja na kwamba tunajua anayo mapungufu yake, anakosa ushirikiano wa kichama unaohitajika. Anaokosa pia wapapambanuzi wa ndani ya chama wanaoweza kumtia moyo, kumshauri, na kukukosoa. 5. Niendelee..?
..vyovyote iwanvyo,CDM inahutaji mabadiliko ya utendaji,na kwa siasa za sasa za nchi-Lisu ni mtu sahh,Tz haihitaji siasa za ndio mzee,siasa za kubembeleza wasio bembelezeka,anahitajika mpinzani aliyekata tamaa za maisha,aliye tayari kujilipua wkt wwte,aliye tayari kuharibikiwa yy binafc kwa ajili ya kutimiza malengo ya taasisi yake..
Siasa ni zili e zile tangu enzi TAA NA TANU MAZUNGUMZO NI MUHIMU! Palestine na Israel wanapigana tangu 1948 bado watu wazunguza, hatutaki Sudan ya CCM & CDM TANZANIA!
Shaban, hoja yako njema Ila haijabeba ukamilifu wa unachokiunga mkono, taasisi haifanyi Kazi Kwa mtu mmoja katika maamuzi na KUWAJIBIKA, unaposema tunahitaji M/kiti anayeweza kujitoa muhanga hata ikibidi kujilipua, unadhani akijilipua au akijidhuru M/kiti peke yake bila utayari na ufuasi wa wajumbe na wanachama inatosha kusaidia kuleta mageuzi au kutimiza malengo? Vipi akijilipua kuwa tunaandamana au tunazuia hiki na kile, ataungwa mkono na wafuasi wake? Mbona last time mtangulizi wake aliitish maamuzi magumu hayohayo halafu wote wakaufyata, inamaana wewe na supporters wengine mlikiwa likizo? Siku ya maadhimisho ya siku ya vijana Mbeya Ruanda Nzovwe, misafara ya vijana na viongozi wote ilikuwa broker na walipiga sana viongozi akiwemo LISSU aliyepigwa na kusafirishwa kikatili na kama haitoshi akiwa ofisi za kanda Mbeya aligoma kutoka na akatolewa na kutandikwa na kupakizwa kwenye karandinga to Dar, na pia M/kiti taifa, unadhani napo Ni udhaifu wa maamuzi ya the present chair? Hakuweza alipokuwa ofisini kumobilize wanachama waandamane na kuwashinda Polisi? Wote wana haki, Ila lazima kuwe na busara katika kutangaza nia na sio kuchafua wengine anaweza ku
Akili yako inaamini kuwa urais ni sawa na uenyekiti wa chama cha upinzani? Fikiria mifumo, sheria, raslimali, nk. vinaelekea kwa nani na vinamwelemea nani. Mmoja analishwq, mwingine anajitfutia. Mmoja analjndwa, mwingine anatishwa. Mmoja anaishi maisha ya mteremko,.mwingine anapanda mlima. Karama zao zinafanana?
Machawa wa Mbowe ni wengi, na ni wa muda mrefu. Huyo Lissu mwenyewe alikuwa chawa wa Mbowe wakati Zitto na Kitila wanafukuzwa uwanachama kwa "kosa" hilo hilo la kugusa kiti cha mheshimiwa.
Kwa watu wenye akili timamu wwsiokuwa na ushabiki wa vyama wakimsikiliza vizuri MSIGWA point zake alizokuwa akihojiwa atagundua Chadema inauongozi mbovu sana. Hata tukio la kuletwa wapiga kula wakafichwa kwenye hoteli kisha wakaletwa kwa siri na kupiga kula mbona haujalizungumxia*
Uchambuzi mzuri lakini kuna jambo moja muhimu sana unaakiwa ujue ni kuwa mwenyekiti ana nguvu kubwa ya maamuzi ndani ya Chama ama jumuia yoyote. Mfano mzuri ni Mbowe mwenyew na alikiri hadharani kuwa yeye alitaka maridhiano lakini wenzake walikataa, na maridhiano yakafanyika mpaka baadaye alivyokuja kujuta
Siyo kweli. Hili hata Lissu amelifafanua vizuri kwamba kunakuwa na mijadala katika vikao na wanatofautiana hoja lakini maamuzi yakipita yanakuwa ni yao wote kama kikao au chama. Maamuzi ya mtu mmoja ni udikteta. Na kama Lissu ndiyo anavyotaka basi hafai uenyekiti
Juu ya kibwagizo siyo hoja, kunaibuka madhehebu mengi ambao tofauti zao ni ndogo, wala hutambui sababu za kuibua hayo madhehehu. I've hoja ya kibwagixo cha Wimbo! Ugulumo hujanishawishi.
Hongera SK Media kuna watu wengi wanakufulia kwa kila neno unalotamka, wape elimu wataelewa tu. Kimwagizo cha chama cha mapinduzi kwa sababu wanasema Msigwa kalipia ukumbi sijui
Nimegundua kumbe wewe Ngurumo ni chawa wa Mbowe. Tundulisu atashinda tu hata umpige vita. Chama kinahitaji mabadiliko. Mabadiliko hayo shart mbowe atoke. Lisu yuko sahihi
Uchawa ni thambi mpya TZ, yaani kugombea tu, machawa wa Mbowe wote wamajitokeza. Hivi kuongoza miaka 20 haijatosha? Kwanini Chadema wasinifunze kwa Zitto Kabwe.
Mmesikia wajinga wakisema Lissu hana busara wakidhani Mbowe ndiye mwenye busara kuliko Lissu. Lakini mimi nawaambia Mbowe akigombea awamu hii atakuwa hana busara kabisa. Busara ni kumwachia Lissu aingie kinyang'anyiro na Heche
Critiques zako juu ya mkutano wa Lissu ni za kuokoteza sana. Kuna watu wametoa critiques juu ya huo mkutano ambazo ni konki kuliko zako. Mfano: Yerico Nyerere. Msikilizeni
Huyu Muhaya apuuzwe, huyu ni mnufaika wa Mtandao wa Mbowe huko aliko. Lisu alisema mambo ya fedha lazima yawe wazi na Chama kijiendeshe kwa uwazi, hii ni kauli inayo wafanya Wapambe na wanufaika wa Mbowe wachanganyikiwe...
Huyu bwana anaongelea masuala ya Chadema, haongelei mambo ya kabila la wahaya au kutetea kabila fulani. Suala lako la kumhukumu mtu huyu kwa kutanguliza kabila yake ni upumbavu uliopitiliza!
Umeishiwa hojà kabisa! Ukabila tena kweli tumerudi hatua nyingi nyuma,mwalimu Nyerere uko wapi! Taifa lako ulilolipenda limekwisha! Jana tulisikia mimi ni Mzanzibari watu wanapiga makofi! Ngorongoro sio eneo la Wamaasai tunapiga makofi ! Kuna changamoto kama Taifa!
@simonnaivasha6393 Jinsi nchi yetu inavyosonga mbele watu wake wanapoteza uwezo wa kufikiri, miaka michache ijayo tutajikuta tuna kizazi cha majuha na mazezeta!
Acha uchawa we mzee.na acha kuwagombanisha.na kuweza kusambalatisha chama.Tundu ni Kiongozi tunaemtegemea kuleta mabadiliko kwenye chama.Mh mbowe apumzike
Hukupaswa kumjadili sasa Ili Kubadili upepo wa WANACHADEMA MBOWE ANA WAJUMBE WENGI KTK KAMATI WACHAGA HIVYO HOJA ZA MABADILIKO MPAKA ZIUNGWE NA MBOWE SI MWINGINE.PESA ZA CCM ZINAWATESA CHADEMA/MBOWE.CCM WANAMTAKA MBOWE
Kwa nini tunamchambua sana Lissu baada ya kuchukua fomu? Kwa nini tusisubiri mpira ukawekwa kati na tusubiri dakika 90 tu za wapiga kura? Au labda watu wanataka uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA ukitangazwa zipigwe kura za ndiyo au hapana kwa Mbowe? Wanachama wanapochukua fomu za kugombea nafasi fulani ndani ya chama,waachwe wafanye hivyo.
Damu za watu walizomwaga kwa kuisingizia serikali sasa inawatokea puani .Mbowe na Tundu Lisu ni watu wawilli tofauti (1) Mbowe anaficha hasira zake (2) anajua vizuri sana kupambana na wanaomtatiza (3)anatoka kanda tajiri ya kaskazini (4)Anatoka kanda ya watu wanaojua kubebana Lakini Tundu Lisu (1) hujui kuficha hasira zake (2) hujui kupambanua mambo kila jambo hutaka kutumia kifua chake kulitatua bila kutanguliza busara (3)anatoka kanda masikini (4)anattoka kanda ya watu ambao hawaijui kubebana watakuunga mkono kwa maneno lakini hawako hayati kushika mifuko yao kukusaidia (4) Anapenda sana kulipiza visasi (5) hujui kuchagua neno la kusema yaani ni msema ovyo (6) ni mwongo aliwahi kumsingizia Magufuri eti alipofariki walikuta nyumbani kwake pamejaa madola ya pesa lakini hakutuambia habari hiyo kaijuaje au kama alishuhudia kwa macho yake.(6)ni dikteta hatari sana akitawala nchi anaowatumia sasa ndio atakaoanza kuwachinja mara ashikapo madaraka. Huu ndio mwisho wa Chadema. Chadema inakufa kifo cha NCCR ya Mrema,inakufa kifo cha CUF ya Lipumba. Wale mliosoma kitabu cha "simu ya "KIFO" cha H.H.Katalambula mauaji alikuwa anaitwa nani? Francis Andrea Mbozio "FAMBO"je Fambo wenu ninyi Upinzani ni Nani je ni Uroho wa madaraka na pesa? mtajaza wenyewe.
Siasa ndio ilivyo haya madogo Sana kwa Nini tunamlaumu mama kama raisi Hana nafasi ya mabadiliko, time for LISU and other who will take form , nafikiria nawe mpigie cm mzunguze nae umkosoe kama mlivyoahidiana
Iki chama kinataka mwanaume kama Lisu, Mbowe hawezi siasa zilipofikia sasa zinataka mtu mwenye kutoa amri ya kupeleka watu mbele kuipigania demokrasi ya kweli na si kudai ila kuipigania. Mbowe hawezi kwanza amesababisha wapinzani kuwa na roho ya uoga pale wanapotaka kupigania haki yeye anawazuia huku ni kujenga upinzani wa waoga na ndio sababu hata serikali inanyanyasa sana viongozi wa upinzani lkn wanachama hawachukui hatua zozote sababu ya roho ya uoga iliopandikizwa na Mbowe. Ebu fikiri aliitisha maandamano ya kudai katiba mpya mfululizo wa zaidi ya miezi miwili yeye ndie akageuka na kuwa trafiki matokeo yake watu walitembea kama maandamano ya mshikamano!! Wote tunajua maandamano yanayoleta katiba ni maandamano ya shari lakini kwa sababu ya roho ya uoga iliopandikizwa na Mbowe watu walitembezwa kama wajinga halafu unasikia Mbowe anasema wanachadema na watanzania wametembea kwa wivu mkubwa shame on you. Lisu akishika uenyekiti heshima ya upinzani itarudi si tu kwa chadema hata kwa vyama vingine vya upinzani. Mimi nnaitwa Denis Joel ni Katibu wa Chaumma-Mkoa wa Mara.
Naanza kuwa na mashaka kwamba yawezekana wewe ni chawa Mbowe unawezaje kuhoji kibwagizo, kwani mbowe slogan ya 5 tena wanayotumia wafuasi wake mbona hauhoji. Siasa zimebadilika tunataka kiongozi mpya atakaendana na siasa zilizopo, Mbowe zilipendwa.
Ngurumo nakuheshimu sana,ushauri wako na upendanga sana.Lissu sionmnafiki anachoamini anapenda kukiweka wazi.Mbowr pia ni baba mzuri sana anafaa sana ila apumzike.hata kama sio Tundu Lussu agombee mtu mwingine.
Huyu hana uchumbuzi wowote ni vile tuna mheshimu tu hatutasema nini kinamsukuma kusema haya ....sisi tunaenda kumpa Lissu aongoze Chama. Huo unaoita udhaifu wake ndo unatakiwa kwa nyakati tulizonazo.Mh Mbowe alitufaa hizo nyakati ila sio hizi.Kama kweli Mkt wetu ana busara basi azitumie kwa kukaa pembeni
Ahsante kwa uchambuzi wako mzuri kama ambavyo siku zote umekuwa unaweza kutupa mfano wa mtu asiye na mapungufu kila mtu ana strength na weakness waachie wanachama ndiyo waamue pamoja na kuheshimu mawazo ya kawaida mbona Trump amerudi kwenye uongozi wa kupigiwa kura pamoja na kuwa ni mtu anayesema kilicho kweli kwake waachieni wanachama waamue tofauti na hivo ninyi wachambuzi jitokezeni mgombee au ba ww ni timu x
Mchambuzi uko sahihi.Lissu ana haki ya kugombea huo uenyekiti ila namna alivyowasilisha nia yake kwa kumponda Mbowe hadharani kana kwamba wana ugomvi hapo ndipo panaponitia shaka.Hapa Tundu Lissu ilitakiwa atumie busara na hekima zaidi.Hapa Lissu kateleza kidogo.Kwa upande wangu kwenye hiyo nafasi ya uenyekiti Mbowe bado anafaa kuendelea kuongoza na hata Lissu anafaa kuongoza akipewa nafasi japo ningekuwa karibu na Lissu ningemshauri amwachie Mbowe aendelee kuongoza ili kuleta mshikamano kwa sababu maadui wasiokitakia chama hicho mafanikio ni wengi hususani chama tawala.
Hoja zako ni dhaifu mno kutosha kumkosoa Lisu kwa hatua kubwa na muhimu aliyoichukua. Hoja zako hazina tofauti na wanazotumia ccm kuengua wagombea wa upinzan
Ni ukweli mchungu, kifupi ni kwamba hawa wawili wote waachie uenyekiti kwa mtu mpya nje yao. Inaelekea Lisu alikuwa anamwogopa Mbowe kumkosoa ktk mambo hayo aliyo yaorodhesha. Na ni kweli kuyasema mapungufu ya mwenyekiti wake hadharani ni kama kutafuta nguvu ya kura kwa kupitia mapungufu hayo. Hawa wawili hawako vizuri kwa kufikiri vzi kulingana na matukio yanayo.jionyesha kwa upande wa Lisu. Mbowe kwa matamko yake ktk mihadhara yooote anajitahidi sana kuficha tofauti zao ili kuepusha mgawanyiko ila Tundu Lisu hana huo mpango, ni sawa na mtu aliyechoka na kusema liwalo na liwe. Ukimsimiliza Lisu hata kabla ya uchaguzi wa serkali za mitaa alijikatia tamaa ya wazi kuwa tumeshindwa kwa sbb hatukujipanga sawasawa, nikahisi hapatakuwa na wagombea Chadema. Alivunja watu nguvu sana. Kipindi hicho M/kiti Mbowe alikaa kimya kama hayupo. Bila kupepesa macho hawa wawili hawako vizuri na inaleta mashaka makubwa kwa uimara wa chama kwa uchaguzi mkuu ujao. Tundu Lisu hamkubali Mbowe waziwazi na hamwamini kwa chochote na ana mashaka na Mbowe kama vile Mbowe ni sehemu ya CCM. Kisiasa, kiungozi, trufu ya uchaguzi mkuu ni ya kusukuma tu kirahisi kwa CCM kutokana na migongano hii. Ingekuwa ni rahisi hata ugombeaji Urais apewe mtu nje yao awe ( Boniface Kajunjumile MWAMBUKUSI au mzee Wily Slaa mara miamoja)
Kumtaja Slaa(swila nyoka mwenye vichwa viwili, mnafiki msaliti) ni sawa na Msigwa. Kuupaka matope upinzani hadharani kwa nia ya kuudhoofisha au kuua je hapo mwanzo alikuwa anapinga kweli au ulikuwa ni unafiki. Hypocrisy at it's highest level.
Sawa ndugu yangu,ila mi sikoupande wa mbowe Wala tundulisu kwenye kufuatilia hii hoja.wewe nilichogundua 1-hujui mamlaka ya mwenyekiti kwenye vikao. 2-muziki au vibbwagizo hujui kuwa Sanaa au kazi ya watu.
Huyu mzee nilikuwa na mheshimu ssna ila nimemuona wa hovyo sana ameonyesha chuki kubwa sana kwa lisu hawa ndoo wale wanaogopa mbowe akiondoka ugali wake haupo
Mzee wetu wa busara mungu akuongezee maisha marefu
Hongera Ansbert, una matumizi mazuri ya akili! Uchambuzi uliobeba uhalisia, wenye maono ya mbali na usiobeba ushabiki. Great!
Huyu NI shabiki maelezo yake Tu Yana Toa taswila ya upande wake
Huyu ni shabiki wa mwamba
Balance story zungumzia na mambo ya mbowe kila kitu kina mwanzo na mwisho chadema ni kubwa kuliko mbowe
Kwani Mbowe ametangaza nia? Au hatuwezi kujadili ya Lissu hadi tumtaje Mbowe? Hii ni ya Lissu. Vuta subira!
Lissu ni Chuma aungwe mkono
Ngurumo ni mwanachadema aliejificha kwenye kimvuli cha Uanaharakati😅 hongera kwa kuimarisha chama kwa njia ya Uanaharakati🎉
Tena mfuasi sugu wa Mbowe kama ukimchunguza vizuri.
Huwezi msikia hata siku 1 akitumia falsafa zake kujadili wenyekiti wa miaka 20 wa Mbowe.
Badala ya kusaidia, na yeye anauzidisha huo anaounyesha kama mpasuko.
Kabisa kabisa kabisa
Kwenye namwona Hana Raha kabisa anapata tabu Sana
Sio mwana harakati, ni mwandishi wa habari anayechambua, sio ku ripoti tuu!
Samia nizaid magufur,mungu amempa nguvu ya kuwamaliza kwakujinyonga waokwawao,
INAWEZEKANA UNAYOSEMA NI KWELI LAKINI WAFUASI WA LISU HAWAWEZI KUKUELEWA ILI WATU WOTE WAKUAMINI UNGEANZA NA KUMJADILI MBOWE ILI KU BALANCE STORY YAKO
Mbowe hajatangaza nia ya kugombea na hajaongea na waandishi wa habari
Mantiki hairuhusu kumjadili mtu katika suala linalohusu mtu mwingine. Mbowe akitangaza nia itakuwa zamu yake kujadiliwa.
Mzee mungu alikupa karama kubwa ubarikiwe sana
Usipomsikiliza huyu mzee kwa makini, utaishia kutukana lakina ana hoja sana. Achani ushabiki. Sikiliza kwa makini na sikio lisilo la kishabiki then toa maoni yako, hata lisu ana mapungufu yake mengi tu.
Ni kweli KABISA KABISA. Tundulisu ni mpinzani wa milele ataipinga serikali ya CCM daima. Namwamini
Kumbe ndiye tunayemuhitaji.
Afu ngurumo anayoyasemea yalishajibiwa na Lisu.
Mwacheni Lisu We2 tutambe nae kwenye uenyekiti mh Mbowe apumzike,Kwa Lisu ataleta joto jipya la chama,pia Mzee jua Mbowe na Lisu ni watu wawili tofaut kabisa kimisimamo mwache tundu afanye yake!.
Huo ni mtazamo wako,ila Lissu ndio anaenda kuifanya chadema kama mbwa koko 😢, much speaking is not solution to go one step 😢
Kingereza cha ugoko, siuongee kiswahili tu utaelewekaaa...@@ameirzapy1318
Kumbe si lissu kuchuana na Mbowe bali kuachiwa uenyekiti.
Eh ?
Lissu sio mnafiki
Uchawa ni ugonjwa ambao hata wew aujakuacha salama kiongozi..chadema bila mabadiliko yakiuongozi itadumaa,,mbowe alipofikia inatosha bwana
Mimi sio Mwanachadema na sina chama ila hapa anaitajika kionhozi kama Lisu kwa wakati huu hata kama kamati kuu itabaki ile ile. Mbowe abaki kua mshauri mkui kwa sasa
Mzee lisu anafaa kuwa mwenyekitu
Well spoken 🎉
Uko vizuri kuliko nivyofikiri. Mjadili na Mbowe ili kuweka balance
Hamjadili Lissu bali tukio.
Ngurumo siyo kiwango cha chini kiasi cha kujadili watu.
Bora tungesikia swali lake.
Au?
Mbowe siyo level
Amesema atamjadili Kila atakaye gombea. Ngoja Mbowe asema anagombea, na mwingine yeyote. Kisha wakishaeleza maono yao kama Lissu, ndipo na wao maono na hoja zao zitajadiliwa
Ushauri mzuri na wabure kabisa
Ccm wenyewe walimuweka JPM kugombea urais 2015 siyo kwamba hawakujua madhaifu yake, ila nyakati zenyewe zilikuwa zinahitaji mgombea na kiongozi wa vile kulingana na chama kilipokuwa kimefikia, hata kwa upande wa CHADEMA kilipofikia na kwa siasa za kibabe za ccm ni lazima apatikane kiongozi wa kwenda kwa kaliba hiyohiyo ila ndani ya sekretarieti ya chama wawemo washauri wenye busara ambao watashauri ni muda gani majibu na matamko fulani yatolewe ili chama kisiumie. Kwahiyo mbali na madhaifu ya Lissu ila kwa nyakati tulizonazo tunamuhitaji awe mwenyekiti, pia naamini siasa zake za harakati zinaweza kubadilika kulingana na nafasi aliyonayo yaani ukishakuwa kiongozi wa juu ni lazima hekima kutumika ktk kufanya maamuzi, kwahiyo kwa msimamo wake dhidi ya wabunge 19 wa viti maalumu naamini atatumia hekima kumaliza hili.
Yeye anaweza kuwa mkakamavu kwenye harakati lakini wanachama wako tayari kuwa kama yeye? Tulishuhudia maandamano yalipotangazwa viongozi walitokea lakini wanachama hawakuonekana
Uchawa unakutesa mzee wa heshima. Umenishangaza sana!
Tundu lisu❤❤
1. Mbowe amekuwa mwenyekiti kwa miaka mingapi?
2. Ataendelea mpaka lini na je ni kina nani wengine wanoandaliwa kichama kuwa wenyekiti?
3. Madudu ni madudu, hayo na kama kuna wadudu kwenye chama, mwisho wa siku kama hayafanyiwi kazi kwa utaratibu unaoeleweka na kukubaliwa bora yaanikwe.
4. Ninadhani Lissu, pamoja na kwamba tunajua anayo mapungufu yake, anakosa ushirikiano wa kichama unaohitajika. Anaokosa pia wapapambanuzi wa ndani ya chama wanaoweza kumtia moyo, kumshauri, na kukukosoa.
5. Niendelee..?
Nilitaka nijipe muda tu ila awali nilijua ww ni mtu wa aina gani mbali na kuwa ww ni kipenzi cha mbowe ila siasa za ukanda zinakutesa sn
Mbona hujawahi kutupa uchambuzi wa Mbowe kipindi hiki Cha maridhiano na siasa za Tanzania.
Ungetoa wewe
Huyu yupo pamoja na mh mbowe wewe sikiliza uchambuzi wake .utagundua tu mbowe anatumia busara sana lisu ni mwanaharakati zaidi
Duh kwa maneno haya kweli Chadema ya Mbowe ilichangia Tundu Lissu kushambuliwa Dodoma.....
..vyovyote iwanvyo,CDM inahutaji mabadiliko ya utendaji,na kwa siasa za sasa za nchi-Lisu ni mtu sahh,Tz haihitaji siasa za ndio mzee,siasa za kubembeleza wasio bembelezeka,anahitajika mpinzani aliyekata tamaa za maisha,aliye tayari kujilipua wkt wwte,aliye tayari kuharibikiwa yy binafc kwa ajili ya kutimiza malengo ya taasisi yake..
Siasa ni zili e zile tangu enzi TAA NA TANU MAZUNGUMZO NI MUHIMU! Palestine na Israel wanapigana tangu 1948 bado watu wazunguza, hatutaki Sudan ya CCM & CDM TANZANIA!
Shaban, hoja yako njema Ila haijabeba ukamilifu wa unachokiunga mkono, taasisi haifanyi Kazi Kwa mtu mmoja katika maamuzi na KUWAJIBIKA, unaposema tunahitaji M/kiti anayeweza kujitoa muhanga hata ikibidi kujilipua, unadhani akijilipua au akijidhuru M/kiti peke yake bila utayari na ufuasi wa wajumbe na wanachama inatosha kusaidia kuleta mageuzi au kutimiza malengo? Vipi akijilipua kuwa tunaandamana au tunazuia hiki na kile, ataungwa mkono na wafuasi wake? Mbona last time mtangulizi wake aliitish maamuzi magumu hayohayo halafu wote wakaufyata, inamaana wewe na supporters wengine mlikiwa likizo? Siku ya maadhimisho ya siku ya vijana Mbeya Ruanda Nzovwe, misafara ya vijana na viongozi wote ilikuwa broker na walipiga sana viongozi akiwemo LISSU aliyepigwa na kusafirishwa kikatili na kama haitoshi akiwa ofisi za kanda Mbeya aligoma kutoka na akatolewa na kutandikwa na kupakizwa kwenye karandinga to Dar, na pia M/kiti taifa, unadhani napo Ni udhaifu wa maamuzi ya the present chair? Hakuweza alipokuwa ofisini kumobilize wanachama waandamane na kuwashinda Polisi?
Wote wana haki, Ila lazima kuwe na busara katika kutangaza nia na sio kuchafua wengine
anaweza ku
Na wanachama wamuunge mkono siyo hawa waoga waoga
Kama CHADEMA mlimwamini kugombania urais,nashangaa kwa nini mnahoji kugombea uenyekiti.Hivi kati ya urais na uenyekiti,ni nafasi gani ngumu zaidi?
Inaonekana hujamsikia au hujamwelewa mchambuzi
Akili yako inaamini kuwa urais ni sawa na uenyekiti wa chama cha upinzani? Fikiria mifumo, sheria, raslimali, nk. vinaelekea kwa nani na vinamwelemea nani. Mmoja analishwq, mwingine anajitfutia. Mmoja analjndwa, mwingine anatishwa. Mmoja anaishi maisha ya mteremko,.mwingine anapanda mlima. Karama zao zinafanana?
Machawa wa Mbowe ni wengi, na ni wa muda mrefu. Huyo Lissu mwenyewe alikuwa chawa wa Mbowe wakati Zitto na Kitila wanafukuzwa uwanachama kwa "kosa" hilo hilo la kugusa kiti cha mheshimiwa.
Ni zaidi ya chawa huyu kwa mbowe
Mpemba ni tundu,ngulumo ni mbowe,ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,samia juuuuu zaidi,mama love you
Kwa watu wenye akili timamu wwsiokuwa na ushabiki wa vyama wakimsikiliza vizuri MSIGWA point zake alizokuwa akihojiwa atagundua Chadema inauongozi mbovu sana. Hata tukio la kuletwa wapiga kula wakafichwa kwenye hoteli kisha wakaletwa kwa siri na kupiga kula mbona haujalizungumxia*
..kwa akili zako timaru unaamini maneno ya Msigwa, mbona hakusema wakati huo ilipotokea..?
Msigwa hakuwa mpinzani bali mganga njaa.Msigwa angekuwa mpinzani kweli asingekubali kujiunga ccm.Angeenda act au cuf.
Sio kweli unachisema,Lissu ni chiama!
Tatizo la watanzania hawajui tofauti ya siasa na wanaharakati,
Mimi nampenda sana tundu lisu, lkn kwa siasa za tz, mbowe ndie anatakiwa, tundu lisu, anafaa kwa tuongoza kwa mapambano tukitokea porini
Uchambuzi mzuri lakini kuna jambo moja muhimu sana unaakiwa ujue ni kuwa mwenyekiti ana nguvu kubwa ya maamuzi ndani ya Chama ama jumuia yoyote. Mfano mzuri ni Mbowe mwenyew na alikiri hadharani kuwa yeye alitaka maridhiano lakini wenzake walikataa, na maridhiano yakafanyika mpaka baadaye alivyokuja kujuta
Siyo kweli. Hili hata Lissu amelifafanua vizuri kwamba kunakuwa na mijadala katika vikao na wanatofautiana hoja lakini maamuzi yakipita yanakuwa ni yao wote kama kikao au chama. Maamuzi ya mtu mmoja ni udikteta. Na kama Lissu ndiyo anavyotaka basi hafai uenyekiti
Juu ya kibwagizo siyo hoja, kunaibuka madhehebu mengi ambao tofauti zao ni ndogo, wala hutambui sababu za kuibua hayo madhehehu. I've hoja ya kibwagixo cha Wimbo! Ugulumo hujanishawishi.
🙏✔️
uyu mzee kalewa
Pombe uliompa au?🍻
ujitambui
Huyu mzee ni team Mbowe!
Huyo mwamba yupo good Sana,mnaombeza nyie ni machawa wa ccm mliingia siku hiyo na ndo mlioimba ule wimbo
Hata mimi naona vijana wa magwanda ya kijani wako kazini kweli kweli hadi wakajisahau wakaimba wimbo wao 😂
UMEEGEMEA KWA MBOWE KILA MTU AMEONA KWA JINSI UNAVOONGEA
Hongera SK Media kuna watu wengi wanakufulia kwa kila neno unalotamka, wape elimu wataelewa tu. Kimwagizo cha chama cha mapinduzi kwa sababu wanasema Msigwa kalipia ukumbi sijui
Kasoro ulizo ongea mbona hazina mashiko au we Mzee kwasababu unampenda sana Mbowe!?😂
Huyu si ndo mkumbizi wa kujitakia
Siyo anampenda tu Mbowe bali ndiye katibu mteule wa Mbowe! Mipango tunayo yakutosha
Nilijua wewe ni mwaandishi makini kumbe na wewe pia ni chawa wa mbowe tunamkubali sana mbowe lakini lisu naye tunamkubali
Sasa Mbowe kaingiaje kwenye kauli ya Lissu? Nilidhani unasikiliza kwa umakini? Kuna hoja ya Mbowe hapa?😂😂😂
Huyu jamaa hii clip CCM wataitumia kupiga chadema eti Tundu akiongoza serikali ataipinga yaani hili ni bomu
Nimegundua kumbe wewe Ngurumo ni chawa wa Mbowe. Tundulisu atashinda tu hata umpige vita. Chama kinahitaji mabadiliko. Mabadiliko hayo shart mbowe atoke. Lisu yuko sahihi
Ni kweli Lissu Yuko sahihi, lakini hiyo Haina maana kwamba hoja zake na maono yake visichambuliwe!😅
Ulweli ni kwamba sasa ni Lissu mbowe atulie
Waliomshawishi Lissu kugombea hawaeleweki. Wamempotosha
Wewe ni chawa wa Mbowe. Demokrasia my foot.
Mmzoea udikteta!
Sio chawa wa Mbowe ,mchambuzi yuko sahihi.
Uchawa ni thambi mpya TZ, yaani kugombea tu, machawa wa Mbowe wote wamajitokeza. Hivi kuongoza miaka 20 haijatosha? Kwanini Chadema wasinifunze kwa Zitto Kabwe.
Kwa zito kabwe Chadema wajifunze jambo Gani ?. Zito kabwe ni team maslahi anapoyaona ataingia Kwa nguvu zote, ni kigeugeu na mchonganishi.
Mmesikia wajinga wakisema Lissu hana busara wakidhani Mbowe ndiye mwenye busara kuliko Lissu. Lakini mimi nawaambia Mbowe akigombea awamu hii atakuwa hana busara kabisa. Busara ni kumwachia Lissu aingie kinyang'anyiro na Heche
Kwani Heche ametangaza nia?
Critiques zako juu ya mkutano wa Lissu ni za kuokoteza sana. Kuna watu wametoa critiques juu ya huo mkutano ambazo ni konki kuliko zako. Mfano: Yerico Nyerere. Msikilizeni
Siyo lazima zifanane ndiyo maana ya kwenda shule. Hata wewe unapaswa uwe na maoni yako.
Huyu Muhaya apuuzwe, huyu ni mnufaika wa Mtandao wa Mbowe huko aliko. Lisu alisema mambo ya fedha lazima yawe wazi na Chama kijiendeshe kwa uwazi, hii ni kauli inayo wafanya Wapambe na wanufaika wa Mbowe wachanganyikiwe...
Huyu bwana anaongelea masuala ya Chadema, haongelei mambo ya kabila la wahaya au kutetea kabila fulani. Suala lako la kumhukumu mtu huyu kwa kutanguliza kabila yake ni upumbavu uliopitiliza!
Umeishiwa hojà kabisa! Ukabila tena kweli tumerudi hatua nyingi nyuma,mwalimu Nyerere uko wapi! Taifa lako ulilolipenda limekwisha! Jana tulisikia mimi ni Mzanzibari watu wanapiga makofi! Ngorongoro sio eneo la Wamaasai tunapiga makofi ! Kuna changamoto kama Taifa!
@simonnaivasha6393 Jinsi nchi yetu inavyosonga mbele watu wake wanapoteza uwezo wa kufikiri, miaka michache ijayo tutajikuta tuna kizazi cha majuha na mazezeta!
Huu ndio uandisha wa habari unaohitajika…. Tujadili bila mihemko
😂
Nilishakuambiaga wewe ni chawa wa mbowe
Kweli
Acha uchawa we mzee.na acha kuwagombanisha.na kuweza kusambalatisha chama.Tundu ni Kiongozi tunaemtegemea kuleta mabadiliko kwenye chama.Mh mbowe apumzike
Point ya kwanza na ya pili juu ya kasoro zake hazina tofauti.
Hukupaswa kumjadili sasa Ili Kubadili upepo wa WANACHADEMA MBOWE ANA WAJUMBE WENGI KTK KAMATI WACHAGA HIVYO HOJA ZA MABADILIKO MPAKA ZIUNGWE NA MBOWE SI MWINGINE.PESA ZA CCM ZINAWATESA CHADEMA/MBOWE.CCM WANAMTAKA MBOWE
Vibwagizo wamekosea ila kawaida tu, warekebishe Asante
Yaan hata wasemeje Lissu ni hatari ni wakati wake!
Kwa nini tunamchambua sana Lissu baada ya kuchukua fomu? Kwa nini tusisubiri mpira ukawekwa kati na tusubiri dakika 90 tu za wapiga kura?
Au labda watu wanataka uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA ukitangazwa zipigwe kura za ndiyo au hapana kwa Mbowe?
Wanachama wanapochukua fomu za kugombea nafasi fulani ndani ya chama,waachwe wafanye hivyo.
Lissu bado hajachukua fomu ndugu. Ametangaza nia tu
Acha porojo sema Tu upo upande WA mbowe na umeona kwa hiki kinaleta mpasuko
Kamungu fulani na wewe unamuona ndiyo mungu ulichamba watu walio sema magu kwa kauli hizo hizo kweli nyani haoni makalio yake😅
Kwani kuna ubaya gani mbowe kuachia madaraka
Ngurumo uko sahihi!
Huu wimbo CDM wameshautumia mara nyingi sana
Damu za watu walizomwaga kwa kuisingizia serikali sasa inawatokea puani .Mbowe na Tundu Lisu ni watu wawilli tofauti (1) Mbowe anaficha hasira zake (2) anajua vizuri sana kupambana na wanaomtatiza (3)anatoka kanda tajiri ya kaskazini (4)Anatoka kanda ya watu wanaojua kubebana Lakini Tundu Lisu (1) hujui kuficha hasira zake (2) hujui kupambanua mambo kila jambo hutaka kutumia kifua chake kulitatua bila kutanguliza busara (3)anatoka kanda masikini (4)anattoka kanda ya watu ambao hawaijui kubebana watakuunga mkono kwa maneno lakini hawako hayati kushika mifuko yao kukusaidia (4) Anapenda sana kulipiza visasi (5) hujui kuchagua neno la kusema yaani ni msema ovyo (6) ni mwongo aliwahi kumsingizia Magufuri eti alipofariki walikuta nyumbani kwake pamejaa madola ya pesa lakini hakutuambia habari hiyo kaijuaje au kama alishuhudia kwa macho yake.(6)ni dikteta hatari sana akitawala nchi anaowatumia sasa ndio atakaoanza kuwachinja mara ashikapo madaraka. Huu ndio mwisho wa Chadema. Chadema inakufa kifo cha NCCR ya Mrema,inakufa kifo cha CUF ya Lipumba. Wale mliosoma kitabu cha "simu ya "KIFO" cha H.H.Katalambula mauaji alikuwa anaitwa nani? Francis Andrea Mbozio "FAMBO"je Fambo wenu ninyi Upinzani ni Nani je ni Uroho wa madaraka na pesa? mtajaza wenyewe.
Siasa ndio ilivyo haya madogo Sana kwa Nini tunamlaumu mama kama raisi Hana nafasi ya mabadiliko, time for LISU and other who will take form , nafikiria nawe mpigie cm mzunguze nae umkosoe kama mlivyoahidiana
Iki chama kinataka mwanaume kama Lisu, Mbowe hawezi siasa zilipofikia sasa zinataka mtu mwenye kutoa amri ya kupeleka watu mbele kuipigania demokrasi ya kweli na si kudai ila kuipigania. Mbowe hawezi kwanza amesababisha wapinzani kuwa na roho ya uoga pale wanapotaka kupigania haki yeye anawazuia huku ni kujenga upinzani wa waoga na ndio sababu hata serikali inanyanyasa sana viongozi wa upinzani lkn wanachama hawachukui hatua zozote sababu ya roho ya uoga iliopandikizwa na Mbowe. Ebu fikiri aliitisha maandamano ya kudai katiba mpya mfululizo wa zaidi ya miezi miwili yeye ndie akageuka na kuwa trafiki matokeo yake watu walitembea kama maandamano ya mshikamano!! Wote tunajua maandamano yanayoleta katiba ni maandamano ya shari lakini kwa sababu ya roho ya uoga iliopandikizwa na Mbowe watu walitembezwa kama wajinga halafu unasikia Mbowe anasema wanachadema na watanzania wametembea kwa wivu mkubwa shame on you. Lisu akishika uenyekiti heshima ya upinzani itarudi si tu kwa chadema hata kwa vyama vingine vya upinzani. Mimi nnaitwa Denis Joel ni Katibu wa Chaumma-Mkoa wa Mara.
Hamia Chadema ndugu
Naanza kuwa na mashaka kwamba yawezekana wewe ni chawa Mbowe unawezaje kuhoji kibwagizo, kwani mbowe slogan ya 5 tena wanayotumia wafuasi wake mbona hauhoji. Siasa zimebadilika tunataka kiongozi mpya atakaendana na siasa zilizopo, Mbowe zilipendwa.
Uko sahihi,nilishangaa sana kuimba nyimbo ya ccm, au kuna mkono ama anafuata mchungaji😮
We mwandishi usipotoshe khs Lissu.. kuwa mkweli haimaanishi kuwa ni mpinzani wa hujumu! Kumbuka siasa zimebadilika, haswa hizi za huyu mama na ya Magu
Kazi mnayo
Ngurumo nakuheshimu sana,ushauri wako na upendanga sana.Lissu sionmnafiki anachoamini anapenda kukiweka wazi.Mbowr pia ni baba mzuri sana anafaa sana ila apumzike.hata kama sio Tundu Lussu agombee mtu mwingine.
Kwa mara yakwanza uchambuzi wa mzee umeegea upande tunaitaji pia uchambue mapungufu ya mbowe
Yatakuja Mbowe atakapochukua fomu, na kuongea maono yake
Huyu n nan ??machawa wa mbowe
hakuna pointi apo ...ni pumba tu kaongea
Huyu hana uchumbuzi wowote ni vile tuna mheshimu tu hatutasema nini kinamsukuma kusema haya ....sisi tunaenda kumpa Lissu aongoze Chama.
Huo unaoita udhaifu wake ndo unatakiwa kwa nyakati tulizonazo.Mh Mbowe alitufaa hizo nyakati ila sio hizi.Kama kweli Mkt wetu ana busara basi azitumie kwa kukaa pembeni
Ahsante kwa uchambuzi wako mzuri kama ambavyo siku zote umekuwa
unaweza kutupa mfano wa mtu asiye na mapungufu kila mtu ana strength na weakness waachie wanachama ndiyo waamue pamoja na kuheshimu mawazo ya kawaida mbona Trump amerudi kwenye uongozi wa kupigiwa kura pamoja na kuwa ni mtu anayesema kilicho kweli kwake waachieni wanachama waamue tofauti na hivo ninyi wachambuzi jitokezeni mgombee au ba ww ni timu x
Duh kwahiyo unamzuia mtu asifanye kazi inayompatia kipato? Hiyo ndiyo kazi na taaluma yake
Ukweli ukichanganywa na nguvu ya msukumo wa uongo, huwa uongo.
Mwenyekiti ana last say
Siyo kweli hakuna demokrasia ya hivyo. Kwahiyo ina maana Lissu anautaka uenyekiti ili awe na last say? That’s totally wrong
Mchambuzi uko sahihi.Lissu ana haki ya kugombea huo uenyekiti ila namna alivyowasilisha nia yake kwa kumponda Mbowe hadharani kana kwamba wana ugomvi hapo ndipo panaponitia shaka.Hapa Tundu Lissu ilitakiwa atumie busara na hekima zaidi.Hapa Lissu kateleza kidogo.Kwa upande wangu kwenye hiyo nafasi ya uenyekiti Mbowe bado anafaa kuendelea kuongoza na hata Lissu anafaa kuongoza akipewa nafasi japo ningekuwa karibu na Lissu ningemshauri amwachie Mbowe aendelee kuongoza ili kuleta mshikamano kwa sababu maadui wasiokitakia chama hicho mafanikio ni wengi hususani chama tawala.
Hoja zako ni dhaifu mno kutosha kumkosoa Lisu kwa hatua kubwa na muhimu aliyoichukua. Hoja zako hazina tofauti na wanazotumia ccm kuengua wagombea wa upinzan
Nasikiliza hii nakuona kabla hata sijamaliza kusikiliza hutba yako nakuona uko upande wa Mbowe Freeman.
Uchambuzi makini sana mzee wetu
huyu mzee ni Kumna sana
Lissu anaenda ccm, trust me
Hilo nalo neno. Maana kwa mapungufu haya kupata uenyekiti Chadema siyo kazi rahisi
Umeanza kuzingua sasa na wewe baada ya miaka mingi ya kuwa smart.
Dhambi inazunguka,nasasa inawatafuna sana
Kusema ukweli hiki kitu kimeigawa chadema, lisu anapendwa lkn hana fuasi wengi kama mbowe huo ndio ukweli
Huyu simwelewagi kabisaaa
Kwasababu akili yako ndogo sana
@@MsabahAli-d6uhuenda hana akili kabisa....😂
Wewe mwenyewe hujielewi,utamuelewa nani?
Uwezi kumwelewa kama huna afya ya akili
Inategemea na IQ yako 😊 au hata IQ hujui maana yake
Ni ukweli mchungu, kifupi ni kwamba hawa wawili wote waachie uenyekiti kwa mtu mpya nje yao. Inaelekea Lisu alikuwa anamwogopa Mbowe kumkosoa ktk mambo hayo aliyo yaorodhesha. Na ni kweli kuyasema mapungufu ya mwenyekiti wake hadharani ni kama kutafuta nguvu ya kura kwa kupitia mapungufu hayo. Hawa wawili hawako vizuri kwa kufikiri vzi kulingana na matukio yanayo.jionyesha kwa upande wa Lisu. Mbowe kwa matamko yake ktk mihadhara yooote anajitahidi sana kuficha tofauti zao ili kuepusha mgawanyiko ila Tundu Lisu hana huo mpango, ni sawa na mtu aliyechoka na kusema liwalo na liwe. Ukimsimiliza Lisu hata kabla ya uchaguzi wa serkali za mitaa alijikatia tamaa ya wazi kuwa tumeshindwa kwa sbb hatukujipanga sawasawa, nikahisi hapatakuwa na wagombea Chadema. Alivunja watu nguvu sana. Kipindi hicho M/kiti Mbowe alikaa kimya kama hayupo. Bila kupepesa macho hawa wawili hawako vizuri na inaleta mashaka makubwa kwa uimara wa chama kwa uchaguzi mkuu ujao. Tundu Lisu hamkubali Mbowe waziwazi na hamwamini kwa chochote na ana mashaka na Mbowe kama vile Mbowe ni sehemu ya CCM. Kisiasa, kiungozi, trufu ya uchaguzi mkuu ni ya kusukuma tu kirahisi kwa CCM kutokana na migongano hii. Ingekuwa ni rahisi hata ugombeaji Urais apewe mtu nje yao awe ( Boniface Kajunjumile MWAMBUKUSI au mzee Wily Slaa mara miamoja)
Kumtaja Slaa(swila nyoka mwenye vichwa viwili, mnafiki msaliti) ni sawa na Msigwa. Kuupaka matope upinzani hadharani kwa nia ya kuudhoofisha au kuua je hapo mwanzo alikuwa anapinga kweli au ulikuwa ni unafiki. Hypocrisy at it's highest level.
Boniface ndio zero kabisa, baada ya kupata cheo, lime limekua jinga
Sawa ndugu yangu,ila mi sikoupande wa mbowe Wala tundulisu kwenye kufuatilia hii hoja.wewe nilichogundua
1-hujui mamlaka ya mwenyekiti kwenye vikao.
2-muziki au vibbwagizo hujui kuwa Sanaa au kazi ya watu.
Sifa ya mtu ndio jaribu lake
Sema we ngurumo ni timu lowasa Rudi nyumbani ukimbizini ni mbaya pakichafuka huko unakimbia tena
😮ooo 0:08 jolly
Nimependa style yako, Haubagui Unakosoa chama Chochote
Ni chawa wa nani?
Huyu mzee nilikuwa na mheshimu ssna ila nimemuona wa hovyo sana ameonyesha chuki kubwa sana kwa lisu hawa ndoo wale wanaogopa mbowe akiondoka ugali wake haupo
😊
Ooh no hiki chama kisiwe merchant wa c
ruling part plz.Tundu nafikiri ukisali moyo utakunyima kumpinga Mbowe
Mzee yupo upande wa MBOWE hana hoja za msingi.Mbowe ridhia uone she ukomavu