BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU ATUKUZWE NAJIUNGAMANISHA KTK IBADA YA KUGUSA MSALABA NA MM KHADIJA ALLY MBUNDA NAGUSA MSALABA WA NGOME YA YESU KRISTO KWA IMANI YANGU NAOMBA YESU KRISTO UNIPONYE MAGONJWA YOYOTE SUGU KTK MWILI WANGU BWANA YESU NISAIDIE 🇹🇿🇴🇲🇴🇲🙏🙏
BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU ALIE HAI NAOMBA NIPONYE VIDONDA VYATUMBO LEO KUPITIA IBADA HII YA KUGUSA MSALABA NA MM KHADIJA ALLY MBUNDA NIGUSE YESU KRISTO USINIPITE NIKUMBUKE BWANA YESU NISAIDIE NIPONYE MATATIZO YOYOTE SUGU KTK MWILI WANGU MUNGU WA KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NAOMBA NIPONYE 🇹🇿🇴🇲🙏🙏
Makuhani kwaya 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yenu hayo jamani kawimbo kazuri biti Kila kitu duh katamu Sana mkitoa kengine toeni kama huu haijawahi tokea , mtoe na frash basi tununue nyimbo zenu
Hakika tunazidi kuinuliwa na kubalikiwa kupitia kwa baba yetu kuwani na mwalimu musa richard mwacha hakika mungu wa ngomeni Ni nuru harisii❤
Amen💐🌹🥀🌺🌷🌸 pokea mauwa yako Yesu Kristo wa Ngomeni kwayale yote ume nitendea
Nakushukuru Mungu wangu kuniponya magonjwa sugu yaliyokua yananisumbua nakuja na maua ngomen
Asante Yesu wa Kuhani Musa Kwa mengi na makubwa uliyonitendea,Yesu wangu mwema Yesu wa Ngomeni nakushukuru Kwa kunishindia
Najiunganisha mimi na mumewangu nawatoto wangu ibadahi yaleo mungu tufungue niguse Emungu wangu
Mungu wa mbingu na Dunia asante Kwa kunifelisha hapa nilipo jina lako lihimidiwe
Nyimbo ❤❤nzuri sana
Amen mungu futa machozi yangu
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Nimekuja na maua 💃💃💃💃💃💃💃 mbele Zako Yesu nikushukulu 🙏🙏🙏🙏🙏
Huwa na barikiwa sana huu wimbo yesu wa ngomeni pokea mauwa yang
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Yesu Ndio kimbilio letu 🙏🙏🙏
❤❤❤❤Nyimbo ya mwaka
Nyimbo hii huwanalia sana ninayopitia mitihani najuwa ipo siku yesu ananifuta machozi yang asant yesu
Mungu ni mwema atatenda sawasawa na vile tunaomba usichoke kuomba tu
Yana mwisho nisehemu ya mapito mungu yu pamoja nawe
Mungu awabariki zaidi kwa nyimbo zenye baraka za rohoni, wimbo moto
Ameen Utukufu apewe Yesu
Ameen Utukufu kwa yesu
Naprnda mazuli haya
Imefanyika. Amiiina
Baba
Amiiina yesu
Amiiina
Amen nimekuja na mau mbelez zako Yesu nice song❤
Nabarikiwa Sana
Nimekuja na Maya💃💃💃💃💃💃💃💃 mbele Zako Yesu nikushukulu🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo huo ni moto asante yesu nakuja na maua kukushukuru kwa yote uliyonitendea ni makubwa mno
Amina nabarikiwa kutoka oman❤
Karibun sn Ngomen
Ni kweli nilikuja naumwa nilikuja nalia ninakuja mau🙏🙏 nakushukuru sanaaaaa
Asanten makuhan kwaya kwa wimbo mzuri, tunzi pokea maua yako kwa jina la Yesu
Aminaa 🙏🇴🇲🇴🇲🇧🇮👌
Asante yesu
Mungu awainue zaidi nabarikiwa sana huu wimbo naupenda sana sichoki jmn kuuskilaza
Ameen
Waooo nawapata huku niliko vzr mbarikiwe sana makuahan
Ameeen
Yesu asante
Gospel Dance Chritmas ni hii sasa💃💃💃💃💃💃mungu awabariki sana
Usichoke kuona na kukata tamaa Iko ck yk tuu muamnin mung
Nimekuja na maua bwana yesu uyapokee maana mimi sio bora
Amen nyimbo nzur makuani kway
Hakika nimebarikiwa ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU ATUKUZWE NAJIUNGAMANISHA KTK IBADA YA KUGUSA MSALABA NA MM KHADIJA ALLY MBUNDA NAGUSA MSALABA WA NGOME YA YESU KRISTO KWA IMANI YANGU NAOMBA YESU KRISTO UNIPONYE MAGONJWA YOYOTE SUGU KTK MWILI WANGU BWANA YESU NISAIDIE 🇹🇿🇴🇲🇴🇲🙏🙏
Hongera Makuhani kwaya tunawapenda sana
Amina wadunguyangu wangomeni
BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU ALIE HAI NAOMBA NIPONYE VIDONDA VYATUMBO LEO KUPITIA IBADA HII YA KUGUSA MSALABA NA MM KHADIJA ALLY MBUNDA NIGUSE YESU KRISTO USINIPITE NIKUMBUKE BWANA YESU NISAIDIE NIPONYE MATATIZO YOYOTE SUGU KTK MWILI WANGU MUNGU WA KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NAOMBA NIPONYE 🇹🇿🇴🇲🙏🙏
Hakika yesu anastaili maua kwa mengi aliyotenda kwetu❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo nzr sanaaa umenibariki sanaa
Amina baba napokeya baba
Mbarikiwe nyimbo nzuri sanaaaaaa
Kubwa halisi
Nabarikiwa sana wapendwa ktk maisha yangu, natmn San kumtumikia mungu Kwa njian ya uimbaji yesu naomba unikumbke na mm
Karibu dada uje tutumike pamoja usiogope karibu Ngomen
Amiiina ninajiunganisha na ngomeni YESU KRISTO Atukuzwe Amiiina
Mungu awazidishe muzid kufanya kaz yake zaidi ya hapa
Ameen
tunapokea kwa jina la Yesu Mungu Mkuu
Asantee eeeen wimbo unisuuza huuu❤🎉
Yesu niwetu
Tulinde mabaya yaduniya. Amiiiina
Amiiina. Ahsanteeeene.
Naipenda sana hii nyimbo
Ameen karibu sn Ngomen
Nimekuja mbele zako YESU nikushukuru
Amina najiungamanisha na madhabahu ya yesu Kristo kimara temboni.siku hii ya leo.namshukuru yesu ameniponya
Usilate tamaa Yesu atasikia kiloo chako tu
Hallelujah nimekuja na mauwa hakika
❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu.awabarki na.maua🎉🎉🎉🎉
Ahsante Yesu nimukuja na mauwa nikushukuru👏
😊❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Baba nimekuja namauwa
Axanteeee barikiwe
Mimi nataka frash
Amina
Good
Amina kubwa makuhani kwaya❤❤kwaya🙏
Kila mara nnapousikiliza wimbo huu najisikia kubarikiwa sana na YESU...mtunzi wa wimbo huu pokea maua yako pia...🌹🥀🌺
Ameeen karibu Ngomen kimara tembon
@@user-kf3ft8pk8e
Ahsante, nipo Mkoani lakini huwa nakuja kila mwisho wa mwezi...
Ameen karibu sn ngomen tunapokea kwa niaba ya mwi mwetu ameen
YESU asante YESU asante
Asante Yesu
Emen barikiwen sana WENGI HUWA TUNAKUJA NA RAWAMA TUU MBERE ZA MUNGU
Yesu atusamehe
Kwakwel nabarikiwa sana na kwaya za ngomen🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Aimeen karib sn
Aminaa
Hakija lazima tukuje na mauwa. Kutoka kenya nilata mauwa kwa ngome
Wimbo mzur sana jaman
Karibu sn mtumish
One of the best song 2023❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
BWANA YESU AWABARIKI MNO
Ameen atubariki sote
Emeen
Amen 🙏
❤❤❤❤❤
Amen Makuhani
Ameen
Hakika YESU KRISTO ni MUNGU MKUU na UKUU wake hauna mwisho
Wimbo mzuri sana
Ameen mbarikiwe sn kwa kutusaport
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameen baba
Nimekuja na Mau 🎉
Asante Yesu Kwa asubuhi ya Leo,kunilinda Mimi na family yangu Mary Soka
Asante yesu wa ngomeni nabalikiwa sana na mazabau ya ngomeni tupo pamoja sana .
@@UpendoChale-ux5wb❤
❤❤❤🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Makuhani kwaya 🎉🎉🎉🎉🎉 maua yenu hayo jamani kawimbo kazuri biti Kila kitu duh katamu Sana mkitoa kengine toeni kama huu haijawahi tokea , mtoe na frash basi tununue nyimbo zenu
Ameen ukutkufu kwa Yesu na yesu atukuzwe
Amina