Congratulation to all for the good song, May Almighty God bless you all abundantly and fullfill your ambitions each one of you for wherever you go and whatever you do,more congratulation to priest kisaka
Aisee mmefanya kazi nzuri sana. Sana kwa kweli, beats, sauti, vocals, dressing, dancing steps aisee mpo juu sana ndugu zetu. Am proud of you guys! Mungu wa Baba yetu Kuhani Musa awainue kimataifa. Mzidi kung'aa kimataifa kabisa. Hii song inatakiwa iuzwe online katika platforms kubwa. Yesu Kristo wa NGOMENI akatangazwe kimataifa kupitia nyinyi. Once again congratulations Mungu awainue zaidi katika karama na kipawa chenu cha uimbaji
Tuko salama kweli Ameeeeeeeeeeeeeen
Hongereni sana Mungu mkuuu❤
Ameeen
Mbarikiwe sana❤❤
Aminaa kbwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo nzuri Sana na mavasi yenu yanapendesa Sana ongera kwa Rabi kwaya
Aminaa ❤❤
Amina napokea upoko wa ngomeni ❤Recho kutoka kimbiji
Mungu atabaki kuwa mungu milele Amina
❤❤❤❤❤❤❤❤ MUNGU AWATUNZEE SANA NA KUWALINDA ZAID SANA KUWAINUA
Congratulation to all for the good song, May Almighty God bless you all abundantly and fullfill your ambitions each one of you for wherever you go and whatever you do,more congratulation to priest kisaka
Ameeeeeeeeeeeeeeeeen
Nipo spitali lakini Na Imani nipo Salama.........
Ameni bwana wetu mwema kwa ulinzi wake
Mungu awabalik San lab kwanz kwa kaz yen nzul san
Tukosalaaaama ,. Tuko. Salaamaaaaanapenda. Saana
Wimbo mzuri sanaa, mbarikiwe sanaa
My Almighty God lead them to your ambitions in Jesus Christ, and bless them abundantly Amen
Mbarikiwe sana wapendwa katika Bwana Amen❤❤
Hakika wimbo ni mzuri mbarikiwe sana ngomeni
Najisikia nipo Tanzania Walahi tena ❤❤❤❤❤ Asante 🙏🙏 mupo vizuri sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲💯💯💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
Kwakweli hii nyimbo naipenda sana sichok kuisikiliza mungu awabariki
😅 gloire à Dieu 🇨🇩
hakika ngomeni tuko salama
Mmefanya kaz nzur sana jina la Bwana linatukuzwa kupitia nyie
Tunashukuru kwa nyimbo. Tupo salama Ngomeni
ngomen tuko salama
Du mavazi asilimia mia,na wimbo binge la ujumbe,
nampenda kuhani mussa apewe maua yake🎉🌹🌹
Tupo salama Wana ngomeni tupo salama
Amina kubwaaaaa
Salama kweli kq
hakika ngomeni tuko,
Kweli kwa yesu tuko salama baba yangu wakiroho mungu akuweke milele
MUNGU AMETOA OFA KWA WANYAKYUSA KUWAONGEZEA CK NYIMBO ZETU ZINAMGUSA SANA
ngomeni kwa YESU tuko salama
Ngomeni tupo salama kwa yesu cristu wanazareth aliye hai mubakiwe sana rabi kwayo wimbo mzuri saaaaaana
Mmetisha saana
Hakika tuko salama hata Mimi Niko salama Hongera mwalimu mussa vijana wanafanya kazi nzuri tunapaswa kujifunza sis kama vijana ❤🙏👆👍🔥🔥🔥
Yesu wa ngomeni yupo juuu
Hakika Mungu nimwema ❤❤❤
Amina sana kwA yesu ni salama
Wonderfull Ngome ya Babalao
Hongera sana
Hakika huu wimbo wa wana ngomeni umenibariki sana mungu awabariki zaidi ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu awqbqriki sqna kwa huduma nzur
Nimebarikiwa sana na huu wimbo
It's nice song
❤❤❤
Waooo wimbo ni mzuri❤❤
Mungu awainue sana wanangomeni ❤❤❤❤❤
Nice ngomeni
Kwa yesu Kunaraha wana ngomen
Amina 🙏 kazinzuri kwakweli
Aisee mmefanya kazi nzuri sana. Sana kwa kweli, beats, sauti, vocals, dressing, dancing steps aisee mpo juu sana ndugu zetu. Am proud of you guys! Mungu wa Baba yetu Kuhani Musa awainue kimataifa. Mzidi kung'aa kimataifa kabisa. Hii song inatakiwa iuzwe online katika platforms kubwa. Yesu Kristo wa NGOMENI akatangazwe kimataifa kupitia nyinyi. Once again congratulations Mungu awainue zaidi katika karama na kipawa chenu cha uimbaji
Amen ubarikiwe sana
Kweli kabisa
NafurahikWanymbohi mungu awàbariki 'i nimimi apendeki kristine
Tupo salama na baba yetu wa kiroho kohani musa🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awabaliki mmeimba vizuri waooo mmependeza
Nime barikiwa Sana kuhani mussa Mungu akupe miaka ming ya kuishi 🙏🙏🙏🙏
🎉🎉🎉🎉
Yaaani nimependa Hili kanisa Jamani na watch kutoka saudi arabia
Nawapenda Sana🔥🔥🔥
Hakika popot tupo salama
Wearing styles wapendwa mmenibariki sana na wimbo pia
Mubarikiwa saana waibaji
Amen
Asee labii kwaya wanahiimba napenda sn hiinyimbo ongera Kuhani mussa kwa hawa vijana
Ameen
Hongera rabi kwaya
Kwakweli mnatisha mmbarikiwe sana❤❤
Mungu awa bariki mume tu bariki kwa nyimbo
Tumewaelewa m nafanya kazi nzur ya uinjilishaji
Hakika ngomeni tupo salama hongera sana Rabi kwaya❤
Kweli tupo salama baba
Wanangomeni tunalindwa nae MUNGU mwenyew
❤❤❤❤❤
Nabarikiwa Sana na huu wimbo
Kweri wimbo umenigusa sana
Hakika tuko salama mikononi mwa YESU KRISTO MNAZARETH ALIYE HAI AMINA.
❤ ongela san
ngonen tuko salama
Tuko salama kwa jina la yesu
MUNGU WA NGOMENI awalinde makuhani wote,aamina
Jamaniii love so much
Wamependeza sana wanajua kuimba vzr sana
Ongereni ngome ya yesu nawapenda
Good dance
Good job. Great n blessing messages. Thank you. May God bless and keep you shining.
Kweli tupo salama
Mmependeza kila kitu kizuri kwa Mungu
Welldone, voval, instrument, steps na vionjo beats. Mungu wangu aendelee kuwapigania. Yaaani najisikia kuwepo peponi. Amina.
Jamani kwayesunilaha kweli jamani gomeya yesu inatishasana kiukweli
Natamani sana nikanyagetena gomeni daaaa mungu wakuhani msanikiboko wayote😅
🙏
Nabarikiwa na hii nyimbo mungu awarinde saaana
mungu awabarik san labi kway
Ngomeni raha sana jamani👌🏽😊
Bonge la wimbo Mungu akujalie sana
Tuko salama wanangomeni tunalindwa nae mungu mwenyewe
Hakika tulliopo ngomeni tupo salama nchi pia IPO salama
Pongezi saana kwaya na nyimbo nzuri saana
Hongera nimewakubari
Amen amen Kwa yesu
Haleluya
Kwer tupo salam
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏 mubarikiwe na mungu Sana Kwa huduma yenu
Jamn najuskia vibya sna cjauzuri ibada yasiku hii
Salama kwa jina la yesu