Yani hiii nyimbo ilifanya nirud kasisan ak kanisan nikutam jaman Mungu akubariki dadangu 🎉🎉🎉🎉🤲🤲 mke wangu anaipenda hii nyimbo hata usiku unakumta anaivheza satisa usiku mmmm mm nimkristo sitak vurugu
Barikiwa sana kwa uimbaji wako mtumishi hakika unanibariki na nyimbo zako🤷🤷🤷🤷 acha Mungu azidi kuchochea vipawa na karama ndani yako 🤝🤝🤝 na huduma yako isonge mbele zaidi.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Martha Mungu akubariki sana...mimi hubarikiwa sana na mziki huu...kila asubuhi husikilizq wimbo huu kabla ni toke...Mungu awabariki pia walio panga mziku huu na uchezaji
Ni wimbo mzuri sana ambao unatukumbusha upendo juu ya muumba wetu Yehova. Tunaoneshana upendo kila mara sisi kwa sisi lakini huwa tunasahau yule alotuumba sisi kwamba naye anahitaji tumjali na tumpe zawadi. Basi tusisahau kumpa Yesu zawadi ya sala, maombi ibada na hatimaye kumpa yeye maisha yetu maana bila Yesu hatujiwezi sisi kama sisi. Yehova kwetu ni msaada tosha. olevelmathematics.blogspot.com
Usifiwe, Uabudiwe uinuliwe😊😊😢😢❤❤ I love you my Lord Jesus. my hero. Weka like chini Uliekuja tena 2024
MUNGU ainuliwe kazi nzuri Sana barikiwa Sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💞🙏
Nyimbo nzuri yenye utamu kibaooo❤
Nyimbo nzuri yenye utamu kibaooo❤
Mungu aendelee kukuweka hai mama unanibariki sana kwa nyimbo zako
🇯🇲❤️🤲🤝poa
You just gained a follower. God bless you 🙏
Naipenda san hinyimbo yaniburudisha san haizeek2 ipo fiti kila dakika😂❤
Yani hiii nyimbo ilifanya nirud kasisan ak kanisan nikutam jaman Mungu akubariki dadangu 🎉🎉🎉🎉🤲🤲 mke wangu anaipenda hii nyimbo hata usiku unakumta anaivheza satisa usiku mmmm mm nimkristo sitak vurugu
Mungu aku ongeza kwa Dunia ili tu barikiwe zaidi aksanti ❤❤❤❤
Jambo madame Martha ubarikiwe kwa wimbou mungu akubariki,mimi niko mu Congo Mani niko pasteur apa Congo,
Well composed and a lot effort put into the video. Keep it up
Nakupenda xana ktk Jina l yesu mana nyimbo zko zote zinanibariki.
Uko vizuri mama
Be blessed mummy.nami Niko Yu tube jameni mum nisaidie msiniache Amen
Nini tena kizuri kupita upendo wa Mungu ?
Maua ya mungu like hapochini👇
Aseee Dada matha nyimbo zinatubaliki sanaaa
Nakubali sana kazi yako
Penda sana hii nyimbo❤
Nitampamba Yesu kwa sifa zangu.
Amen 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉 nice song...
Am here from instagram 2024 Huyu dada namfananisha na rose muhando same energy
Amen amen,maua ya sifa👏👏👏uinuliwe Bwana,majiana yote mazuri ni yako Bwana 👏🙏🙏
Yani nilikuwa nimelala nimeamka nyimbo inaimba tu ndani ya moyo nikasema Ngoja nije hapa
Yaan hii nyimboo sikuu nikizaaa to mtto wanguu namtoa na hii nyimboo yaani aky tam san
Mm nitatumia hii kumsuprize babangu mzazi siku ya Birthday yake
Barikiwa dada Martha.... Nathamani kuimba nawe siku moja Bwana apendapo ....
mungu akubalk sana
Tumpambe Yesu . Yesu ni wa thamani kuliko maua ya dhahabu
Pendga saaan wajina wangu mimi mungumuongezeeee aishi maisha malefu
Safisana mungu akubalik
My song🙌
Yesu mwema sana
Martha this is one of the greatest hits in your album! Pure talent ❤
Tumpambe kabisa, ubarikiwe dada nyimbo nzuri
Kwakweli ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu alie hai
Wimbo mtamu mpka raha ubarikiwe madam Martha baraka
I like da songs of this lady mungu azidi kimpa nguvu ya kuimba
Nipo hapa 2021, still feeling blessed by this song.
Nice song ilike😂😂🎉🎉❤❤❤❤
Ameen maua niishaara ya upendo maua haya ya chanue ndani ya moyoyetu
Hongera dada matha baraka napenda nyimbo zako mno
Napenda nyimbo zako dada matha
Barikiwa sana kwa uimbaji wako mtumishi hakika unanibariki na nyimbo zako🤷🤷🤷🤷 acha Mungu azidi kuchochea vipawa na karama ndani yako 🤝🤝🤝 na huduma yako isonge mbele zaidi.🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Sina cha kukupa dada zaidi mungu akuinue
Amen
It is really a surprise for Jesus and us
Had sasa naangalia video hii asnt Martha🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
The Way Of Charch, Ubarikiwe Mtumishi , Very Nice
Ameen barikiwa sana jamani.maua ya siri.kubwa sana Haleluya 👏👏👏👏
Hongera mpendwa kwayimbo nzr
Wimbo nzuri,,,love it
Nimependa sana huu wimbo❤❤❤❤❤
Mko kidunia zaidi mavazi ovyo
Wow! Aki hii nyimbo inakumbusha mbali sana ubarikiwe Martha,,,, hiii nyimbo iko sawa kwa wedo smarty
Barikiwa kwaajili ya jehova mungu akushike usitoke kwenye uwepo
Dada Martha wajina wangu sichoki kusikiliza nyimbo hii nakupenda buree mungu azidi kukubaliki my sister
Asante ubarikiwe sana
Balikiwa sana mtu wa Mungu
Jina la yesu lipewe sifa milele
Msenge sanaa
Mungu aendelee kukubariki mtumishi Martha Baraka unanibatiki sana
Martha Mungu akubariki sana...mimi hubarikiwa sana na mziki huu...kila asubuhi husikilizq wimbo huu kabla ni toke...Mungu awabariki pia walio panga mziku huu na uchezaji
Nyimbo inanifulahisha sana hii 😂😂😂
dada nyimbo hii ni kali sana
Surprise, I loved it
Hongers Kwa wimbo nzuri
I Like This Songs Nice And Congratulation
Usifiwe uabudiwe nimebarikiwa sana dada angu endelea kumtumikia mungu katika shida na raha pia
Nakupenda sana
Honger mam ubarikiwe ujumbe mzur
Wow amazing
💐💐💐💐🌼🌼🌼Haleluya💃💃💃💃💃💃🥀🥀🥀🌷🌷🌷
Wow ❣️ God is omnipresent to be praised highly 🙏🏻
God exactly but not jesus
Barikiwa sana mtu wa mungu
Ama kwer bwana ni mwema .nimebalikiwa Sana na wimbo huu
Powa sana hii
Nyimbo pendwa san Amina dada
🥀🥀maua yangu kwa Yesu.💝
Uko vzr Dada naipenda sn hii nyimbo mungu akubark sn
Excellent they are good for all generation because they scriptual
Wimbo mzuri ubarikiwe na MUNGU aliye mbinguni
Amen amen
Ni wimbo mzuri sana ambao unatukumbusha upendo juu ya muumba wetu Yehova. Tunaoneshana upendo kila mara sisi kwa sisi lakini huwa tunasahau yule alotuumba sisi kwamba naye anahitaji tumjali na tumpe zawadi. Basi tusisahau kumpa Yesu zawadi ya sala, maombi ibada na hatimaye kumpa yeye maisha yetu maana bila Yesu hatujiwezi sisi kama sisi. Yehova kwetu ni msaada tosha. olevelmathematics.blogspot.com
Asnte sn mungu akuongezee nguvu kwa kz yako pia azid kukuongezea iman asnte xn
Umetisha❤❤❤
napenda san nyimbo zako martha mung akubaliki pia akutie nguvu msalimie mwanao deriva mwanao
Hongera sana
Still in 2023 the song is very fresh God bless you more madam martha
🎆🎆🎆wonderful
Nimetafuta finally nimepata nimeisikia sana Kwa Bibilia usema radio 📻
Nice song. Mbalikiwe sana. Am Joshua
Amina nyimbo zuri mbwana akubaliki
Mungu akubariki 🙏 dadangu nabarikiwa sana kupita nyimbo zako👏👏🙏
Ameen. Pokea maua yetu ya sifa Bwana Yesu
Powerful praise song❤
Nimefurahishwa Na nyimbo zako,nyingi tumekuwa tukicheza kanisani,sauti yko pia inapendeza nakupenda Martha
Mupambe Yesu kabisa
God protect you every thing
Uko vema. Mungu akutunze mtumishi
Be blessed Siz this song inani bless too sana can't stop watching
iam here from fb 2024🎉
Kila nikikumbuka huu Wimbo, naitafuta niusikie.. I really love this beautiful song, be blessed
AMen 🙏 ❤ keep up sister ❤😂
Amen. Glory be to God. Nice song
kweli. Mungu akubariki sanAaaa mgogo
It really touch me I can't sleep without watch it 2 times
Naupenda huu wimbo miaka bukuuuu mungu akubariki mtunzi
Wimbo na upenda san
My favorite artist
Nakupenda dada
Nyimbo nzur hii