Wow roho wa bwana na uwe mwalimu wangu milele it so powerful I just feel the presence of God am so blessed. Cos without the holy spirit of God we are nothing. Mungu awabariki sana na azidii kuwainua zaidi na zaidi .🙏🙏
From Tiktok here I am am blessed 🙌 😇 🙏🏼 ☺️ wale tumefika hapa 31st August eka like ukisonga Mungu nataka kuvuka Mwezi wa Tisa uwe wa baraka kwangu na wengine.....yote tumeomba kwa siri Mungu tujibu kwa wazi🎉🎉🎉🎉❤
Ameen pastor hii wimbo inanitiya nguvu be blessed all the time apanuwe kipawa chako cha uimbaji pamoja na group yako akuongeze kwa kila jambo in jesus name ❤❤🙏🙏🙏
Nice worship my brethren in Christ 🙏❤❤❤,, congratulations all👏👏🙏🙏🙏👍,,,enyewe bila ww siwezi yesu nataka univukishe ng'ambo moyo wangu ufurahi🙏🙏❤🙏,,, thankyou lord Jesus,, amen
IT IS SO AMAZING HOW AND WHEN GOD SAID: HERE IS YOUR LANGUAGE AND/OR DIALECT, THIS IS YOURS, ETC. ETC. TO EVERY SINGLE HUMAN RACE ON EARTH. LOVE IT ALTHOUGH I DON'T UNDERSTAND ONE WORD. MAY THE GOOD LORD BLESS YOU FOR SHARING OUR GOD-GIVEN TALENT! FONOIA FA. PETERS
Am listening to this song again and again!!! Roho mtakatifu wa Mungu nifundishe kukaa na wewe, kutembea kwa njia za utakatifu na kufanya mapenzi yako. The song is my daily prayer to God.😭😭😭😭😭
Huyu wimbo umefanya nimefikiria mbali saana ambapo nilikataliwa ,nilikejekewa lakini mungu Naye ni nani Leo Daddy amefuta machozi na Kuma mengi natarajia anifanyiwe 😭😭😭😭👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🍰mat God bless you so much man of God for such an amazing song🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sijui wagapi tumelia Mungu atuvukishe kiwango kingine😭😭😭this song has blessed my heart 🙏Whenever I listen your songs I in the Holy Spirit leading more people by your songs! May God bless you 🙏na akuogoze ufike salama🙏🙏
Guess who is here in the new year..Nimevuka kwa Jina la Yesu na Moyo wangu imefurahi..Praise God 😢🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nataka kuvuka Mwaka na Bwana Mwokozi wa Maisha yangu..Who’s with me today 31 Dece,2025 to 1st New Year🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
I like this song, congratulations
Powerful
hii wimbo inanitiya nguvu sisi wenye tunafanya inji za mbali term strong mungu ako na ss hadi mwisho be blessed mtumishi all the time❤️❤️❤️🙏🙏🙏
❤
Good song@@echaraitlopua6227
Tuko wengi mama ila tutafuka kwa jina la yesu
For sure dear
Good job mtumishi wa Mungu
Asante sana kwa nyimbo za mungu nipenda sana mubarikiwe sana pamoja na mcheza keyboard
Bwana niongozee❤
Encouraging message from you man of God. God I need this anointing🙏🙏
Today I listen ❤go go power of God is alone the best
W love you song pastor
Wow roho wa bwana na uwe mwalimu wangu milele it so powerful I just feel the presence of God am so blessed. Cos without the holy spirit of God we are nothing. Mungu awabariki sana na azidii kuwainua zaidi na zaidi .🙏🙏
Amen
God help me through this powerful songs at work they increase my salary in the name of Jesus
God bless you brother God is leading u to change the world
Amen
Amen
Am nothing without you God
Amen Amen Amen Amen glory glory Jehova continue reigning,,,,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nivukishe yesu 😭😭😭siwezi bila wewe Bwana🙏🙏
Mungu Saudia huyu mtumishi wako afike mbali❤❤❤
Barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana kabisaaa nataka kufuka fafa baba amen amen
Listening to this song for the 1st time...making me crying😢😢😢
Very nice song nimeipenda sana inanitia nguvu.
a very powerful worship song,be blessed man of God
😭😭😭😭😭😭😭I kept playing this yesterday...and for sure I received my miracle. God Al the way 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Glory
Glory to God,and forget to support the work of God
So touching be bless
Amen glory to God
This is what we need right now in Kenya, people worshipping Almighty God in truth and spirit🙏🙏🙏.Mungu niongoze nikiwa uku Saudi Arabia🙏🙏🙏🙌🙌
Congratulations 💯💯 best song ever ❤❤❤
Yees
From Tiktok here I am am blessed 🙌 😇 🙏🏼 ☺️ wale tumefika hapa 31st August eka like ukisonga Mungu nataka kuvuka
Mwezi wa Tisa uwe wa baraka kwangu na wengine.....yote tumeomba kwa siri Mungu tujibu kwa wazi🎉🎉🎉🎉❤
N wimbo wenye huruma Sana umenikumbusha mengi may God remember me
Glory
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
I like that song ptr colo
Amen.nisaidie kuvuka nifike ng'ambo moyo wangu upone
God Job pastor Collins
Ameen pastor hii wimbo inanitiya nguvu be blessed all the time apanuwe kipawa chako cha uimbaji pamoja na group yako akuongeze kwa kila jambo in jesus name ❤❤🙏🙏🙏
Nimebarikiwa kwakweli mungu awazidishie mkawe wa viwango vyajuu zaidi
Bwana niongoze nifike salama❤❤❤❤❤
God bless you servant of God.
This is a genuine well/spring of living water from the heavenly throne.
Blessed be the name of the Lord 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo huu unanitoa machozi maana napotia machungu ee mungu nitetee usiniache amin
Roho wa Bwana na uwe mwalimu wangu milele 🙏🙏🙏
Kaka nyimbo zako zote Zina mguso sana zinafungua vifungo vyote vya muovu ibilisi🤲🤲🙏🙏🙏
Bwana niongoze nifike ngambo salama katika jina la yesu kristu mwana wamungu alie hai Amina 🙏🙏🙏🙏
Amen napenda nyimbo zenu,,,mubarikiwe xana❤
This powerful pastor
Wooie 😢😢hii ndio nyimbo inanitoa machozi sasa ivyi, holy spirit ananishukia na kishindo jaman😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
Hii song ina nguvu za Mungu....❤❤❤
Nice worship my brethren in Christ 🙏❤❤❤,, congratulations all👏👏🙏🙏🙏👍,,,enyewe bila ww siwezi yesu nataka univukishe ng'ambo moyo wangu ufurahi🙏🙏❤🙏,,, thankyou lord Jesus,, amen
Be blessed mtumishi wimbo huu umenitia nguvu sana
Wimbo wanibariki nikiwa nko chini napata nguvu🙏
Bwana nipe neema.....naomba roho wa bwana uwe mwalimu wangu milele!
Bila wewe mungu siwezi pekee yangu
Ooh Jehovah jire,naomba usaidizi waki na ulinzi waki ili nikaweze kuvuka nifike ng'ambo, thanks for that great spirit of God
Amen barikiwa mtumishi. Wimbo wa kutia moyo sana.
Amen
I like this song ,bila wewe mungu Mimi siwezi, Amen
I like this worship,mungu awabariki kamamnavyotubariku sisi.
God remember me...nataka kuona uso wako, Holy spirit lead me❤
IT IS SO AMAZING HOW AND WHEN GOD SAID: HERE IS YOUR LANGUAGE AND/OR DIALECT, THIS IS YOURS, ETC. ETC. TO EVERY SINGLE HUMAN RACE ON EARTH. LOVE IT ALTHOUGH I DON'T UNDERSTAND ONE WORD. MAY THE GOOD LORD BLESS YOU FOR SHARING OUR GOD-GIVEN TALENT! FONOIA FA. PETERS
Am listening to this song again and again!!! Roho mtakatifu wa Mungu nifundishe kukaa na wewe, kutembea kwa njia za utakatifu na kufanya mapenzi yako. The song is my daily prayer to God.😭😭😭😭😭
Help us Lord, hatuwezi bila wewe
Roho wa bwana na huwe mwalimu wangu milele
huu wimbo nimeusikia Leo imenigusa sana moyo wangu mungu akubariki sana mchungaji wa mungu
Ubalikiwe mtumishi wa mungu nyimbo zina upako
❤❤❤Amen Amen Mungu nifukushe nitoke kwa kudharuliwa.
answer her prayers weka yeye aketi na wafalme
Amen Amen Amen finally nimepata slow thanks watumishi navuka ng'ambo moyo wangu ufurahie 🙏🙏❤️❤️❤️
Bwana nivushe ng'ambo ya pili... Amina
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri zilizojaa nguvu na Uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Amen
October 22 2024 listening to this song worshipping together, trusting God for a miracle...i will be here for a testimony soon 🙏🙏🙏
God Protect you Mr and Pastor Collin's
Mungu akuonkezee Nkuvu zaidi
Blessings man of God. 🎉🎉🎉maombi yetu yafike kwenye kiti cha enzi
Roho wa bwana na uwe mwalimu wangu milele Amen
Wimbo mtamu huu umeningunza moyo wangu wafutaho na ninaima bwana asomaye mawazo ya moyo atajibu maombi yangu🙏🙏
My daily bread,thank you pastor.
Inspiring song. God bless u pastor.
Mungu akubariki pastor Collins wimbo hu uleta roho yawtu karibu adui waibike. Nimevuka ngambo
Amen
I have come to this songs at the right time 😢 I most needed God.
Glory
Naipenda nyimbo zako Pastor....Lini una Mshabaha wa kisura nami
Ubarikiwe Sana mutumishi wa mungu uinuliwe mpaka madui zako wayibishwe
Amen
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen bwana uwea mwalimu wangu milelea
Barikiwa sana mtumishi wa mungu hii wimbo iko safi sana amen amen
❤❤ Full of encouragement song, keep the fire 🔥🔥🔥 man of God.
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen
Amen mtumishi kweli Roho wa bwana mwalimu wetu milele
Tutavuka kwa Imani.
God be praised.
Very much blessed.
nataka kuvuka bwana nivukishe nfike ngambo na ww bwana siwezi bila ww katika maisha yangu
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo za mchugaji@ zinashukisha uwepo wa mungu. God bless you pastor . Unabadilisha mioyo wa watu wegi
Hallelujah
It's touching, God bless u pastor
Huyu wimbo umefanya nimefikiria mbali saana ambapo nilikataliwa ,nilikejekewa lakini mungu Naye ni nani Leo Daddy amefuta machozi na Kuma mengi natarajia anifanyiwe 😭😭😭😭👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🍰mat God bless you so much man of God for such an amazing song🙏
Hizi nyimbo zako pasta zina inizogeza mbele katika safari ya wokovu, mungu akuzidishie neema Kwa jina la yesu kristo
Amen
😢😢Bwana niongoze mpaka nipike salama, hallelujah am blessed
Hakika bwana nivukishe,roho wa bwana na uwe mwalimu milele
The kind of songs I like. Keep on the servant of God
Glory to God
Ujumbe mzuri wenye matumaini ee Baba asante kwa kila hali
Amen, Amen. roho wa bwan na uwe mwalimu wangu milele. so grantly blessed.
Yesu niguze yesu nivushe naomba kuvuka kristo uko na sababu kwa huu wimbo AMeni
Amen hongera kwa song zuri
God bless you brothers karibu turkana tufanyie mungu kazi.
Amen tutakuja,Mungu awabariki
Bwana fanya njia Kwa ndoa yangu nione Baraka za watoto
Nataka kuvuka bwana univukishe nifike ngambo moyo wangu ufurahi 😭😭🤲🤲
Mungu ni mwema ninaposikia huyu wimbo napata nguvu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sijui wagapi tumelia Mungu atuvukishe kiwango kingine😭😭😭this song has blessed my heart 🙏Whenever I listen your songs I in the Holy Spirit leading more people by your songs! May God bless you 🙏na akuogoze ufike salama🙏🙏
Hii nyimbo inanibariki sana maana moyo wangu ukotiyari kuvuka
Be blessed man of God. That song has encouraged and has given me hope
Roho wa bwana na uwe mwalimu wangu milele, Amen
Hallelujah men of God so powerful and keep it up.
Man of God ubarikiwe sana worship zako zina initiative nguvu sana❤
You are a blessing,,,,,, waiting for a2hr worship,,, nonstop
Coming soon
@@pastorcollinskhisa5862 Glory to God,,,, be blessed