Kwa nia Njema kabisa Mwenyekiti anasema Bila mabadiliko ya uchaguzi basi hakuna uchaguzi nchi hii,kama Serikali inawapenda wanachi na nchi yao hii mabadiliko ni kitu chepesi sana hata siku moja likitoka tamko kwa Raisi linaweza kuleta hayo mabadiliko kwa masaa kadhaa
Mbona kama kuna watu mnateseka hvi? Kuna wakati ukiumia moyo usiseme chochote kaa kimyaaaaaaaaaaaaaa.. Utaheshimika sana. Mh. Lisu chapa kazi kadri ya uwezo wako.
ujuw kwann kutwa anasema uchaguz maana umekuwa uchaguz wahaki na maonyesho ko anataka ata mwez10 uchaguz mkuuu waigeee ili uwee wahakii ili uone CCM itakavyopigwaaa chini
Very good mh lissu ❤❤❤ tunakukubali sana.
President of the hearts Tanzania's people
Kwa nia Njema kabisa Mwenyekiti anasema Bila mabadiliko ya uchaguzi basi hakuna uchaguzi nchi hii,kama Serikali inawapenda wanachi na nchi yao hii mabadiliko ni kitu chepesi sana hata siku moja likitoka tamko kwa Raisi linaweza kuleta hayo mabadiliko kwa masaa kadhaa
Mbona kama kuna watu mnateseka hvi? Kuna wakati ukiumia moyo usiseme chochote kaa kimyaaaaaaaaaaaaaa.. Utaheshimika sana. Mh. Lisu chapa kazi kadri ya uwezo wako.
Wapo wengi wanateseka
Unafaa kushika dola
Lissu achana na mambo ya uchaguzi njoo na strategies namna ya kushika Dola 😢😢Kila siku uchaguzi tu
Uchaguzi ni jambo muhimu nimfano kinachopaswa kifanyike Tanzania lazima kurudiwe ili wajifunze kwetu
Anataja mambo ya uchaguzi kwa kuwa ‘he is feeling guilty’ kwa dhihaka zake kwa Mbowe! Mungu atalipia
Guilty conscience itamtafuna
ujuw kwann kutwa anasema uchaguz maana umekuwa uchaguz wahaki na maonyesho ko anataka ata mwez10 uchaguz mkuuu waigeee ili uwee wahakii ili uone CCM itakavyopigwaaa chini
@@vickytorry100Nikajua umesha komaa kihakili kumbe Bado sana wewe ni mtoto achana na siasa
Watoto wa watanzania wanakwenda ingizwa barabarani ,wale watapiga watoto wa kitizedi watakiwa taget
Lissu ,bora utafte njia ya kuchukua nchi mkuu, achana na mambo ya chaguzi hizo ambazo zipo vile vile ,Kila sku ....
Nikiwa Kama mwanachama wa chama hiki napendekez lisu abadilishe mnyoo wake huo
👏
Hii busara kubwa tena ya kusema na kutenda maana kwa wezi na wajinga ni hofu na mashaka yakuondoka kwenye viti walivyonyang'anya
Jembe kama jembe
Tunasema tutaona kwa kuwa mmetutukana sana sisi pamoja na mwenyekiti wetu kana kamba hatukufanya chochote sawaa fanyeni nyie tuone
Familia hawa gombani ila wanapishana kidogo yanawekwa sana
Unaweza kutaja tusi hata Moja?
Wewe nenda kwa akina wasira huku tuko wenye akili zetu timamu.