MAOMBI YA KUOMBA UTULIVU WA MOYO - Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 101

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu 7 หลายเดือนก่อน +28

    Kama umependa maombi like hapo

  • @BramaMrama
    @BramaMrama หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba unipe moyo wa utulivu na nibalikimwe amen

  • @annadadi3427
    @annadadi3427 7 หลายเดือนก่อน +5

    Asante Yesu Kwa wema wako Naomba Roho ya Utulivu ndani ya zmoyo wangu ktk kila Eneo la Maisha yangu Ikiwa kuna changamoto Magonjwa nk Roho ya Utulivu Itawale Moyo wangu naFamilia yangu Ameen Ameen

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba unipe roho ya utulivu kwa kila jambo 😢❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BramaMrama
    @BramaMrama หลายเดือนก่อน

    Napokea roho ya utulivu kwa jina la yesu na kazini kwangu kutakuwa na amani amen

  • @mooses667
    @mooses667 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa maombi haya ! Mungu achilia roho ya utulivu na amani vijae ndani mwangu , na familia yangu .nakataa roho ya kupanic isitawale ndani yetu ,katika jina la Yesu mkombozi wangu.

  • @victoriaanderson3459
    @victoriaanderson3459 4 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu naomba unipe roho ya utulivu ndani roho ya moyo wangu

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi nimemokea Bwana Yesu Leo naomba uendelee kunionbes

  • @ScholarsticaMarwa
    @ScholarsticaMarwa หลายเดือนก่อน

    Ee mungu wangu nipe moyo wautulivi na uliopondeka usikiapo neno lako unatetemeka

  • @judithjoseph4028
    @judithjoseph4028 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno zuri la kunijenga ili niwe na roho ya utulivu. Barikiwa sana.

  • @IraneShirindo
    @IraneShirindo หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu unipe roho ya utulivi nitulie mikononi mwako

  • @RebeccaAmisi
    @RebeccaAmisi 7 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah MUNGU asifiwe sana milele na milele

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee MUNGU naomba unipe roho ya uturivu nda ya roho yangu. Moyo mwangu Nipe kibari Cha kazi Nipe uturivu kila hali Nipe uturivu katika shida dhiki hata. roho wako. Wawe na Mimi kila siku family yangu. Iwe na uturivu. Wa roho

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa maalifa haya ya kuomba utulivu wa mungu wa kiungu utawale kwa roho mwili na nafsi yangu pia kila eneo roho ya utulivu initawale kutoka na kuingia kwangu ameni 👏🤭

  • @naeema8155
    @naeema8155 5 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu wangu naomba unipe roho ya utulivu kwenye maisha yangu

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙌 mungu nipe roho ya utulivu moyo wangu unahangaika

  • @MaryKilahama
    @MaryKilahama 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu naomba unipe roho ya utulivu. Ndani ya Moyo wangu! Ameeen mtumishi ubarikiwe sana!..

  • @Sally1to
    @Sally1to 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen. Mwema Mungu naomba unipe utulifu ndani ya Moyo wangu.

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe roho you utulivu kila eneo la maisha yangu pamoja na familia yangu katika jina la Yesu kristo

  • @AntoJojo-ny1yt
    @AntoJojo-ny1yt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu niumbiye Roho ya utlivu

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukulinda mtumishi wa Mungu maneno yako yamenisaidia sana kujuwa kuomba

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niwe na moyo wa utulivu. Mungu nipe moyo wa uvumilivu, mungu nipe moyo wa busara, mungu nipe moyo wa hekima ktk jina la yesu krito amen.

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki Sana pastor 👏 mungu azidi kukulinda na kukubaliki pia 👏

  • @JenipherIsack-f2t
    @JenipherIsack-f2t หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nijarie roho ya utulivu ktk maisha yangu ameen❤❤

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe Roho ya utulivu

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe roho ya utulifu kila eneo la maisha yangu katika jina la Yesu kristo

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU nijalie Roho ya utulivu ndani yangu

  • @grecevitariss6363
    @grecevitariss6363 5 หลายเดือนก่อน

    Nimempokea Bwana YESU awe bwana na mokozi wamaisha yangu

  • @LilianFelix-my1ew
    @LilianFelix-my1ew 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen Yesu kristo naomba utulivu wa moyo wangu,niondolee wasiwasinahofu kwajina laYesu aaameen

  • @IbrahimSamwel-r9k
    @IbrahimSamwel-r9k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh Mungu unipe roho ya utulivu ndani yangu🙏🙏🙏

  • @LinaMsele
    @LinaMsele 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie niwe na moyo wautulivu ,Mungu nipe moyo wa busara ,Mungu nipe moyo wa upendo ,Mungu nipe moyo ya hekima katika jina la yesu Amina

  • @sekelamwakyosi9999
    @sekelamwakyosi9999 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi MUNGU naomba
    unipe Roho ya utulivu

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu Kwa kupata nafac nyingne ya kupata chakula cha uzima neno lako

  • @hadijaMuhi
    @hadijaMuhi 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen and amen 🙏🙏 barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @mareiaMerry
    @mareiaMerry 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe utulivu wa moyo

  • @judithjoseph4028
    @judithjoseph4028 6 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu naomba unipe roho ya utulivu katika kila hali. Amen

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asante Sana kwa maombi haya

  • @marystelaswai5174
    @marystelaswai5174 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Bwana Yesu kwa kuachilia Roho ya utulivu ndani yangu

  • @JusDreemurr
    @JusDreemurr 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu ameona nilivyo leo! Oh my God nimekuwa na mfadhaiko mkubwa mawazo, wasiwasi, na woga fulani.
    Hakika Mungu ninmwaminifu.
    Amen mtu wa Mungu

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nipate Roho ya amani kwenye mapito ninayopitia
    Asamte Mtumishi

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi. Nimempokea bwana yesu Leo

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU mpe Roho ya utulivu Binti yangu ktk mitihani yake afanye vizuri na ufaulu mzuri ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareth

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nimepokea bwana yesu na neno lakoamen

  • @mariamwanga464
    @mariamwanga464 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu wape watoto wangu na mume wangu roho ya utulivu

  • @tatubanadi4710
    @tatubanadi4710 6 หลายเดือนก่อน

    Nijalie Roho ya utulivu na amani ndani yangu . Bwana Yesu.

  • @remymukosa7928
    @remymukosa7928 7 หลายเดือนก่อน

    Namimi naomba mungu anipe roho ya utulivu

  • @GraceMgalla-w6z
    @GraceMgalla-w6z 19 วันที่ผ่านมา

    Napokea roho ya utulivu kwa Damu ya yesu

  • @prayerwomen3444
    @prayerwomen3444 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU nisaidie kuwa na moyo wa utulivu na kutulia ndani yangu katika kipindi chakujaribiwa ao changamoto mbali mbali

  • @rachelshadrack2896
    @rachelshadrack2896 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe Roho ya utulivu isaya26:3

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie kua na moyo wa utulivu

  • @RebeccaAmisi
    @RebeccaAmisi 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wangu nipe roho ya utulivu Kwang na watoto wangu

  • @lenajeff1240
    @lenajeff1240 7 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu wangu na baba yangu nakuomba unipe roho/moyo wa utulivu.

  • @aminaaa3227
    @aminaaa3227 7 หลายเดือนก่อน

    Baba Mungu naomba roho ya utulivu ndani yangu

  • @mariamwanga464
    @mariamwanga464 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu nipe roho ya utulivu, nisipanic nikiwa kwenye mitihani yangu ijayo na hata nikiona kitu cha kuniuzi

  • @GraceMbasha
    @GraceMbasha 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nijalie roho ya utulivu maana moyo wangu umekuwa na majeraha mno🙏🙏🙏

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nimepokea bwana yesu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nimepokea bana yesu Leo l

  • @benardndunguru8186
    @benardndunguru8186 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Mteule wa Mungu

  • @victoriaanderson3459
    @victoriaanderson3459 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe yesu wa huruma

  • @ShukuruManu
    @ShukuruManu 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba rohoyawutulivu

  • @Janet-di7ei
    @Janet-di7ei 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeshukuru sana

  • @LilianFelix-my1ew
    @LilianFelix-my1ew 4 หลายเดือนก่อน

    Makupenda Yesu wangu

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante Yesu

  • @stellathomas9987
    @stellathomas9987 7 หลายเดือนก่อน

    Baba wa Mbinguni naomba unipe Roho ya Utuli

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba. roho wa uturivu ukapate kunisaidia kufanya maamuzi ya muhamiko

  • @JenifferShikuku
    @JenifferShikuku หลายเดือนก่อน

    Nnaitaji maombi

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 7 หลายเดือนก่อน

    To be continued 🙏🏻

  • @RehemaRahima
    @RehemaRahima 7 หลายเดือนก่อน

    Mngu nipe roho yautulivu

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu หลายเดือนก่อน

    Ameni👏

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏🏽 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @Fridah-jt8en
    @Fridah-jt8en 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba roho ya utulivu ndani yangu

  • @JenifferShikuku
    @JenifferShikuku หลายเดือนก่อน

    Emungu nperoho ya utulivi

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 7 หลายเดือนก่อน

    Najiunganisha na mathabaho Haya

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 7 หลายเดือนก่อน

    natamani sana kupata number za hyu mtumish wa Mungu ,, ananigusa sana😢

  • @francisomary5284
    @francisomary5284 7 หลายเดือนก่อน +1

    BWANA anipe Roho ya utulivu na Amani na wote walio jeruhiwa

  • @judithnaliaka972
    @judithnaliaka972 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 7 หลายเดือนก่อน +1

    Room mtakatifu naomba unipe utulifu ili nifanye mapenzi yako ktk maisha Kanisani Taifa let na Taifa teule israel

  • @NoizerNoizer
    @NoizerNoizer หลายเดือนก่อน

    👏👏

  • @Princesscareen-z1z
    @Princesscareen-z1z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mfano me nifanyeje ili nipate roho ya utulivi

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  7 หลายเดือนก่อน +4

      Omba haya haya maombi. Nimefundisha vizuri na nimeomba pia. Kwa hiyo sikiliza hilo somo kwa makini, na uombe haya maombi kwa imani

  • @Suplier
    @Suplier 7 วันที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Hakika yesu anatujua tulivyo Yesu naomba roho ya utulivu ndani yangu

  • @LilianSenerwa
    @LilianSenerwa หลายเดือนก่อน

    Mungu anijalie utulivu katika jina la yesu

  • @RestitutaMpipi-tw3dj
    @RestitutaMpipi-tw3dj 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi tuko pamoja nimempokea yesu kristu

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @janslinjanslin9889
    @janslinjanslin9889 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @Millicent-f8v
    @Millicent-f8v 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NiceAkundael
    @NiceAkundael 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @youngsonboniface8397
    @youngsonboniface8397 4 หลายเดือนก่อน

    Amen