MAOMBI YA KUKOMESHA MATATIZO YANAYO JIRUDIA | MWL EZEKIEL MALANDO | 07 Septemba, 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Nahumu 1:9
    Mwl. Ezekiel Malando
    +255 769 305 016
    +255 657 889 217

ความคิดเห็น • 388

  • @HellenNyaboke-z4z
    @HellenNyaboke-z4z หลายเดือนก่อน +2

    Naamini Kwa jina la yesu magojwa na laana zote na ndoto mbaya za kunirudisha nyuma si shundwe Kwa damu ya yesu Kristo amina

  • @Dianamunga
    @Dianamunga หลายเดือนก่อน +3

    Nimekomesha makosano yanayo jirudia katika ndoa yangu nimekomesha kwa jina la yesu naomba uniombee

  • @HawaMalima-v1g
    @HawaMalima-v1g 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nakomesha hofu n waiwasi moyoni mwangu kwa jina la yesu kristo🙏

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 7 วันที่ผ่านมา

    Amina nakomesha ma agano mabaya yanayo jiludia katka maisha yangu roho zauharibifu mashambulizi na mavamizi kwa jina la yesu kiristo 🙏🙏🙏🙏

  • @Theoristerbulamu
    @Theoristerbulamu 26 วันที่ผ่านมา

    Ameen napokea uponyaji wangu leo,kibali,nyota yangu, biashara iliyokufa irudi. roho yakukataliwa naikomesha, roho ya mafarakano naikomesha kwa jina la Yesu Ameen asante baba kwa Maombi mazuri ameen

  • @zainabukiponza
    @zainabukiponza 5 วันที่ผ่านมา

    Nakomesha hofu , wasi wasi na sauti zinajirudia kichwani kwangu katika Jina la Yesu Amen

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 หลายเดือนก่อน +2

    Nimepokea uponyaji kupitia maombi haya ubarikiwe mtumishi kwa maombi

  • @ambrosekaseka9346
    @ambrosekaseka9346 หลายเดือนก่อน

    nakomesha ndoto mbaya zinazojirudia zinazoashilia kukwama kucheleweshwa kurudi kuachwa ni magonjwa kwa damu ya yesu Amen

  • @RoseMboya-u8d
    @RoseMboya-u8d หลายเดือนก่อน

    Nakomesha magonjwa kwenye familia zetu,ajali,ulevi na wizi kwa jina la YESU. Mtumishi maombi yako sana

  • @AAoo-c8f
    @AAoo-c8f หลายเดือนก่อน

    In the name of Jesus Christ 🙏 walai this prayer is powerful if you have faith mm nmekua naumwa na tumbo but finally nmepokea uponyaji 🙏❤️ mungu apewe sifa milele 🙏🙏 najua ata ashabadilisha ndoto yangu 🙏

  • @JuliusLealmusia
    @JuliusLealmusia 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Nakomesha Magojwa katika familia yangu madungu sangu Na madada yangu kuotaa Ndoto mbaya Nafunja yote katika jina la yesu mungu wagu Niondolea hayo yote Nirundishie Maisha mypa Nyota yangu ingare katika maisha yangu yote Amina God bless you my man of God🙏🙏🙏🙏🙏

  • @IanLuval
    @IanLuval หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisamehe makosa yangu nakaata rohoza kunyonga kupitia kwajinalayesu hizoroho ziniondokee kupitia kwajinalababa nalamqana nalaroho mutakatifu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Amina Muñgu akubariki Mtumishi ubarikiwe sana Nina Imani nimepona ❤❤❤

  • @LilianPeter-qt1vc
    @LilianPeter-qt1vc 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakomesha ugonjwa wangu usio Julikana unaojirudia rudia kupitia jina la yesu kristo Mnazareti aliye hai 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 21 วันที่ผ่านมา

    Amen kwa damu ya Yesu nimekombolewa asante Mungu

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu unipiganie sana kwa hili asante Yesu amina

  • @EffaYanga
    @EffaYanga หลายเดือนก่อน

    Nakomesha roho za magonjwa katika Maisha yangu na kwa watoto wangu na mume wangu

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 4 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumish. Mungu amenionekania amen

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 4 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumish. Mungu amenionekania amen

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 4 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumish. Mungu amenionekania amen

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 4 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumish. Mungu amenionekania amen

  • @jacksonnibigira670
    @jacksonnibigira670 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen mtumishi mungu baliki kwaku tupa maombi

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b หลายเดือนก่อน

    Nakomesha magonjwa katika jina la Yesu

  • @edinahmoraa-z5x
    @edinahmoraa-z5x 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakomesha visirani kazini in Jesus name 🙏 wanipatie amani

  • @pasyanmwaikimba5616
    @pasyanmwaikimba5616 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakomesha ndoto za kuludi Kijijin kiroho kwa jina la Yesu ndoto za kuludi shule kwa jina la Yesu nakomesha roho za kucheleweshwa kwa jina la Yesu🙏

  • @NyemoBernadeta
    @NyemoBernadeta 19 วันที่ผ่านมา

    Nakukomesha plesha inayo jirudia kwa jina la yesu na kw ADAMU ya YESU

  • @NellyKombe
    @NellyKombe หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi

  • @hffh7717
    @hffh7717 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen amen pastor wacha mungu akutie nguvu

  • @BenedictherLibelatus
    @BenedictherLibelatus หลายเดือนก่อน

    Nakomeshesha magonjwa yanayonisumbua, nakomesha kila ndoto mbaya zinazoniandama nakomesha umasikini na mateso kwenye maisha yangu🙏

  • @DianaDeusdedith
    @DianaDeusdedith 2 หลายเดือนก่อน

    Ameni kila baya limekoma Mungu mwema 🙏🙏🙏

  • @sherryfuraha3076
    @sherryfuraha3076 5 หลายเดือนก่อน +6

    Nakomesha ndoto za kujirudiarudia hali ya kusumbuliwa na nguvu za Giza zishindwe,ndoto za kurudi shule zishindwe,Kuota kufanya mapenz viishe,roho ya umaskini itoke kwa Jina la yesu

  • @GekoBueb
    @GekoBueb 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana pastor

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen nakomesha Figo Inn utumbo kushindwa kupumua kwajina layesu😢

  • @Jackine-gm9tn
    @Jackine-gm9tn 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anilinde Mimi nauzao wangu

  • @Morinefonga
    @Morinefonga หลายเดือนก่อน

    Amen napokea 🙏

  • @LydiaKarioki
    @LydiaKarioki หลายเดือนก่อน

    Nakomesha yoho ya magojwa inajirundia na monitoring spirit in the mighty name of Jesus

  • @somboi422
    @somboi422 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu nakushukuru kwa kukomesha vyote vilivyo kuwa vinanitesa.Nakurudishia utukufu mateso hayatanirudia tena. Nah 1:9 ktk JINA LA YESU KRISTO AMEN AMEN AMEN

  • @AderinaKachenesa-tg9qj
    @AderinaKachenesa-tg9qj 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba nasikia kufunguliwa katk jina la yesu

  • @esthermoindi7097
    @esthermoindi7097 หลายเดือนก่อน +1

    Nakomesha ndoto za majini kimapenzi zinazo jirudia mara Kwa mara kisirani roho ya kukataliwa ipigwe na moto wa yesu🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @emilywambui9920
    @emilywambui9920 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekua nikiota nafua imejirudia mara tatu, barikiwa sana pastor

  • @BihusiMagogo-ci7vr
    @BihusiMagogo-ci7vr 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ñataka nipone tatizo la ndoto za kujirudia kwenye maisha yangu na watoto wangu leo litoke kwa damu ya yesu ñataka CHEDI apewe jibu ashinde mtihan leo

  • @Morinefonga
    @Morinefonga หลายเดือนก่อน

    Amina napokea🙏

  • @ruthmaina1996
    @ruthmaina1996 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks for prayers man of God.

  • @AdiaChidy
    @AdiaChidy หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nipone magojwa yote yanayo ludiya ludiya

  • @dearyzebedayo5827
    @dearyzebedayo5827 2 หลายเดือนก่อน

    Eee Yesu nikumbuke Baba unapodhuru wengine namimi usinipite

  • @tfashy_hub9156
    @tfashy_hub9156 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa jina la Yesu nakomesha roho za magonjwa juu ya familia yangu, hasa mwanangu na mama yangu. Magonjwa yaondoke na yasirudi Tena. Ni katika jina la Yesu Kristo Naomba. Amen 🙏

  • @Caroline-iz1se
    @Caroline-iz1se 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu Kwa maombi ila nakomesha magonjwa yanayojirudia Kwa watoto watu yakome kabisa kuanzia leo in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @merinamkocha3818
    @merinamkocha3818 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ukakomeshe ajali za kujirudirudia za kuteleza na kuvunjika Kwa Damu ya Yesu iniponye. Ameen

  • @chaohappy6328
    @chaohappy6328 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa damu ya yesu

  • @MerrymwendaMerryMwenda
    @MerrymwendaMerryMwenda 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mjuuku wangu afunuliwe awwze kuongea mungu nakataa magonjwa ya kujiludialudia mungu nilinde biashala yangu isiludi nyuma tena nisonge mbele wanangu wafaulu kama walivyofaulu wengine mungu nisaidie

  • @ChanellePfukamusenge
    @ChanellePfukamusenge 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiw sana papa

  • @emmyemanueli
    @emmyemanueli 3 หลายเดือนก่อน

    asant mungu kwa maombi aya nakomesha magonjwa yalioshikilia tumbo langu ktk jina la yesu magonjwa yasiotaka kupona ktk jina la yesu naamini nimepona kesi ya magonjwa amina

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho หลายเดือนก่อน

    Nakomesha ndoto madhabau za giza sinazojirudia nikiwa shule nafanya mitihani nafuga njiwa naota napaa navunja hayo madhabau katika jina la yesu Amen

  • @GalileAmani
    @GalileAmani หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mchungaji

  • @MwavitaRashidi-z5m
    @MwavitaRashidi-z5m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hee mungu kilahahina zote zamatatizo zishindwe kwa damu ya yesu

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 3 หลายเดือนก่อน

    Moto kwa damu ya Yesu

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 2 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana kwa maombi hayo

  • @HareneKipande
    @HareneKipande 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto zakuota nanguka nakemea kwajina la yesu

  • @JessyBeauty-h6u
    @JessyBeauty-h6u 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu shusha damu yako ikomeshe matatizo ya watoto wangu na familia yangu katika jina la yesu,....

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 2 หลายเดือนก่อน

    Nakomesha ndoto zinazo jirudia kwa jina la yesu

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipone izi ndoto zinazokaa zinajirudia, naomba kuondolewa izi shida zinazokaa zinajirudia kwangu, naomba niondolewe changamoto zinazokaa zinajirudia namateso kwangu, amina🙏🙏

  • @marywaweru6089
    @marywaweru6089 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hili teso halitarudi tena katika Jina LA Yesu amen

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi tatizo lakuto fanikiwa kiuchumi haliishi linajirudia sifanikiwi

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 9 หลายเดือนก่อน

      Niombee mtumishi

    • @rehemamatano3164
      @rehemamatano3164 8 หลายเดือนก่อน

      Niombie mtumishi wa mungu umasikini madeni kudharauliwa magojwa ndio vimetutawala naomba Amani na uzima

  • @MussaWanna
    @MussaWanna 5 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa ajili ya maombi ya uponyaji naamini nimepona ktk jina lako amini

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi

  • @grecekalist6202
    @grecekalist6202 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nakemea roho ya kurudi nyuma kimaendeleo roho ya kukataliwa na roho wa madeni na mkomesha kwajina la yesu

  • @OliverMwaky
    @OliverMwaky 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba mumwombee mume wangu anatumiwa na maadui kutukana jirani pia kukosesha amani ya familia yakome yasijirudie tena kwa jina la yesu

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen nakomesha magonjwa kwenye maisha yangu na watoto wangu kwa jina la Yesu

  • @matildamati9222
    @matildamati9222 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa jina la Yesu nakomesha kiungulia na mgongo maumivu yanayojirudia, Mungu alishamiponya sitaki kurudi kwenye mateso ya nyuma, bwana Yesu nionekanie

  • @nafigasper2814
    @nafigasper2814 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu

  • @RadiyaHassan-m7g
    @RadiyaHassan-m7g 8 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea kufunguliwa roho ya kucheleweshwa na kukataliwa

  • @NaumiBaya
    @NaumiBaya 8 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba uniombee mtumishi wa mungu mimi na shida inanirudia rudia

  • @RehemaMwambugu
    @RehemaMwambugu 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeni nakomesha kila magojwa yanayonifatilia kwajina la yesu asante mtumishi wa mungu

  • @AluaFrank
    @AluaFrank 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeni nakomesha magonjwa kwa mama angu naamini atapona🙏

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 2 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu tunabalikiwa kuptia mtumishi wako Amina Amina

  • @claireantonie9574
    @claireantonie9574 7 หลายเดือนก่อน +1

    I receive I receive I receive 🤲

  • @evethabarnaba77
    @evethabarnaba77 3 หลายเดือนก่อน

    Amina nakomesha hali ya presha na mateso katika uzaz wangu Mungu akatende miujiza yake safari hii niweze kupata mtoto salama kwa jina la Yesu🙏

  • @marywaweru6089
    @marywaweru6089 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ingilia jehova mjengo wangu katika Jina LA Yesu amen

  • @SHAKILANADE
    @SHAKILANADE 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mngu akubariki

  • @DenisNchimbi-oi8wt
    @DenisNchimbi-oi8wt 7 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu niponye Afya yangu na Afya ya mama angu mzaz kwa jina la Yesu Ameeen.

  • @MarkoMboje
    @MarkoMboje 6 หลายเดือนก่อน

    Nakomesha mateso ya kifua Cha mke wangu afunguliwe kiafiya apone kifua namafua Amina kwaimani

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 2 หลายเดือนก่อน

    Nakomesha kabisa mateso yanayo jirudia kwa jina la yesu

  • @siwemachilongola
    @siwemachilongola 8 หลายเดือนก่อน

    Navunja madhabahu zote za kuzimu zilizonenwa kwa ajili ya maisha yangu na familia yangu, changamoto zinazonikabili zishindwe kwa jina la YESU

  • @RaymondMahundi
    @RaymondMahundi 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba yangu naomba ukomeshe mateso yangu amen

  • @benardwankoka3447
    @benardwankoka3447 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 3 หลายเดือนก่อน

    Amina sitafukuzwa kazi wala kusimamishwa kazi kwa jina la Yesu

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa jina yesu kristo mwana wa Mungu aliye Hai 🙏🙏

  • @hffh7717
    @hffh7717 หลายเดือนก่อน

    Pastor kumbuka watoto wetu pia

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa jina la Yesu Naomba Mungu akomeshe kumtoa huyu mtu ambaye anasumbua maisha yngu asimumize Bali aendelee na maisha yke

  • @andersonmkare
    @andersonmkare หลายเดือนก่อน

    asante nimepoana nilikuanaumwa chiniyauchiwangu kupitiyamaombinimepona

  • @JosephineErupe-x4l
    @JosephineErupe-x4l 6 หลายเดือนก่อน

    Jehova naomba ukomeshe nagonjwa yanayo jirudia kwa watoto wangu na pia roho ta kukosa pesa kwa familia yangu..yaaninaomba kazi permanent kw mume wangu ili tusiteseke tena kwa jina la yesu

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa jina la yesu navunja nguvu za ibilisi!; zinazoharibu :; afya yangu;! Ufahamu wangu!; na UCHUMI WANGU;! Shida zote hizo kwa JINA LA YESU HAZITARUDI TENA;!

  • @TeclaLyimo
    @TeclaLyimo 6 หลายเดือนก่อน

    Nakomesha magonjwa ya kujirudia kwenye mwili wangu kwa jina la yesu kristo🙏🙏

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ukawakomeshe watesi wangu ktk eneo langu la kazi naifunika kazi yangu kwa damu ya Yesu

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 6 หลายเดือนก่อน

    Eeee mungu naomba ukomeshe magonjwa yote yanayo jirudia kwa jina LA yesu

  • @RoseHenjewele
    @RoseHenjewele หลายเดือนก่อน

    Nakomesha shetan anaecheza na maisha yangu

  • @MarthaChuwa-o6b
    @MarthaChuwa-o6b 7 หลายเดือนก่อน

    Ee yesu naomba uniponge na mateso na vita katika maisha yangu kwenye huduma yangu ya uwimbaji kwenye ndoa na kwenye uchumi ee Yesu nitoe kwenye dhoruba hii ya kujirudia nimechoka naenda lakini narudishwa nyuma nakataa Kwa JINA LAYESU KRISTO Nitetee mfalme wa amani

  • @PerusePheles
    @PerusePheles 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwadam ya yesu akomeshe pepo layuliki ugojwa wamifupa

  • @DemuyuMuyumba-ky5re
    @DemuyuMuyumba-ky5re 3 หลายเดือนก่อน

    amén piya n'a miye iyi magojwa isinirundiliye tena n'a katala ka bisa mungu uniponye papa unisaidiye kwa île lego

  • @tmaniacell1731
    @tmaniacell1731 6 หลายเดือนก่อน

    Amen nakomesha matatizo yote yanayojiludia kwa jina la yesu kwnya familia yangu