MAOMBI KWA WAFANYABIASHARA NA WAFANYA KAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 136

  • @janewangui6124
    @janewangui6124 ปีที่แล้ว +4

    Praise God pastor,niko na deni nyingi inafika millions niombee inanikosesha amani kabisa

  • @joramjacob9426
    @joramjacob9426 ปีที่แล้ว +3

    Amen, roho za mdeni, roho za kichawi, roho za kufirisika, roho za magonjwa nakataa kwa jina la yesu

  • @arlnembone6844
    @arlnembone6844 ปีที่แล้ว +2

    Naomba mungu anifungulie njia niweze kusaidia familia yangu katika jina la yesu kristo

  • @user-ct6hf4hl6e
    @user-ct6hf4hl6e ปีที่แล้ว +3

    Mungu bariki kazi za mikono yangu funguwa milango ya baraka iliofingwa juu yangu ikafunguke kwa Jina la Yesu Kristo Amen 🙏

  • @UNIQUEMASSAGEDODOMA
    @UNIQUEMASSAGEDODOMA ปีที่แล้ว +5

    Asante roho mtakatifu kuniongoza kusikia haya maombezi Yani nilikuwa sipati wateja kabisa lakini kupitia maombi haya ya biashara MUNGU amenitendea Yani jana nilipata wateja wengi sana mpk wengine nikashindwa kuhudumia. Nimeona ukuu wa MUNGU Kwenye biashara yangu 🙏 Asante sana pastor GODWINI MUNGU azidi kukubariki na akuweke kwaajili yetu 🙏 Amina

    • @NasraSaidi-dq7fh
      @NasraSaidi-dq7fh 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu ulie mjibu huyu na mimi unikumbuke kwa jina la yesu

    • @irenengowi1540
      @irenengowi1540 4 หลายเดือนก่อน

      Nami mungu unitembelee kwenye maombi yangu

    • @ReginaOure
      @ReginaOure 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu bariki ka ya mume wangu Amen

  • @ElizabethHassan-b3h
    @ElizabethHassan-b3h 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa mungu kwa maombi yako mungu akubariki naomba uniombee Juu ya kazi yangu mungu akaniweke Juu zaidi na anipe wateja wengi nikawe wa viwango vya Juu kwenye kazi yangu mshara ukaongezeke kwa jina la yesu amen

  • @Belinda-m1v
    @Belinda-m1v 5 หลายเดือนก่อน

    Baba bariki biashara yangu nipe kibali katika biashara yangu na unipe neema ya kuwapata wateja watakao jiunga na mm wape wepesi wa moyo nakataa roho ngumu kwao katika jina la yesu Amen 🙏

  • @lall2037
    @lall2037 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba mungu niongoze niweze kupata kazi leo hii zije kazi 2 ivi tuweze kuondoka mm na mwenzangu kwa jina la yesu amen🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 amen

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 10 หลายเดือนก่อน

    Amen baba Mungu nifunguwe mimina uzaowatumbolangu wabitiwangu wakapate mandowa n’a visa y’a Canada naungine apate cotret kwakazi anayofanya kwadamuya yesu naMungu abarikikazi yamikono yangu kupitiya jinala yesu crsto

  • @R.n.t-ob8gr
    @R.n.t-ob8gr วันที่ผ่านมา

    Mungu nakuomba ukanionekanie wikii hii ni itwe kazini naomba nikiamin amen

  • @CelestineRosy
    @CelestineRosy ปีที่แล้ว +1

    Naomba Amani katika jina Safi la Yesu

  • @KuriaMilkah-mk1uo
    @KuriaMilkah-mk1uo 6 หลายเดือนก่อน

    Ashanti kwa maombi ungu Mungu afungue milango ya Baraka tubarikiwe.Amen

  • @NyagoIncmedia
    @NyagoIncmedia 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu unipe wateja wengi kama mchanga wa mahari kwenye biashara yangu na Kila bidhaa ipate wateja .....naona wakimiminika bila kukatika kwa jina la Yesu kristo Amina🙏🙏🙏I believe🤲🤲

  • @gracekayandakayanda3428
    @gracekayandakayanda3428 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu bariki kazi yangu baba naomba Unikubuke namie jehova🙏🙏🙏

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen nachukuru kwamaombi mutumishi waMungu rohozakigaga nakichawi ziniachiliye mimi nawatoto wangu kwa damuyayesu

  • @DativaMassawe-wk2nz
    @DativaMassawe-wk2nz ปีที่แล้ว

    Baba Mungu naomba ubariki kazi za mikono yangu kwa jina la yesu kristu wa nazareti

  • @neemakisanga5554
    @neemakisanga5554 ปีที่แล้ว

    Namuomba mwenyez mungu anipe kazi nzuri boss mzuri na mshahara mzuri

  • @chancematabishi9216
    @chancematabishi9216 ปีที่แล้ว +1

    Amen baba Mungu nikumbuke Namimi nafamille yangu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 หลายเดือนก่อน

    Napokea kufunguliwa kibiasha Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @consolataanyambilile-mr5ph
    @consolataanyambilile-mr5ph 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeni Mungu nahitaji ulinzi wako katika kazi nitakayoifanya kesho na keshokutwa nimalize salama

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 ปีที่แล้ว +1

    Amen napokeya kwa jina la Yesu chriti

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว +2

    Roho za madeni nazikataa katika jina la yesu

  • @ChrispinAkiliDieumerci
    @ChrispinAkiliDieumerci 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu bariki kazi ya mukono yangu,manyiyo iendeleye Siku zote

  • @francisonyango1796
    @francisonyango1796 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa maombi
    Mungu anisaidie
    Amen

  • @emmerentiennenyawenda5395
    @emmerentiennenyawenda5395 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU asifiwe sana mtumishi wa MUNGU naomba nifaulu bilan kurudia mitihani wowote

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 ปีที่แล้ว +1

    Mungu afungue milango ya pesa naawalete watenja kwenye Dukan langu Amen

  • @DativaMassawe-wk2nz
    @DativaMassawe-wk2nz ปีที่แล้ว

    Mungu naomba ubariki biashara yangu nipate wateja nakila ninaye mdai asiwe amani mpaka amenilipa kwa jina la yesu

  • @ElizabethHassan-b3h
    @ElizabethHassan-b3h 6 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa mungu mungu akubariki kwa maombi yako

  • @pamelakodhek4038
    @pamelakodhek4038 ปีที่แล้ว +1

    AAmen Amen barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @ElizabethHassan-b3h
    @ElizabethHassan-b3h 6 หลายเดือนก่อน

    Napokea kufunguliwa kwa biashara kwa jina la yesu amen

  • @ElizabethHassan-b3h
    @ElizabethHassan-b3h 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba kibali kikubwa Juu ya kazi yangu na nikawe Nuru ya bwana yesu kila mahali amen

  • @rigongobazil6896
    @rigongobazil6896 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu Wangu na Baba Yangu Bariki Kazi ya Mikono yangu

  • @gibsonsilungwe685
    @gibsonsilungwe685 ปีที่แล้ว +1

    Thank you pastor for your night prayer. Pray for my marriage we can't sleep together. God bless you.

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipe kibali kwa mkuu wangu mpya sehemu ya kazi kwa jina la Yesu

  • @ElizabethHassan-b3h
    @ElizabethHassan-b3h 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anibariki kwenye kazi yangu niweze saidia nawengine

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 หลายเดือนก่อน

    Napokea Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu nimepokea nguvu ya kumiliki na kutawala kiti

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu fungua biasharazangu rudisha biasharazangu zote zilizoibiwa na nguvuzagiza leo warudishe mara100 katika jinalayesu

  • @julianangina3625
    @julianangina3625 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu a bariki kazi yangu ni pate watenja

  • @MaryGud-bi9ll
    @MaryGud-bi9ll 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nijalia nipata kazi nikatunza familia yangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    I receive I receive I receive I receive I receive I

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki kazi ya mikono yangu

  • @juliekahambu7474
    @juliekahambu7474 6 หลายเดือนก่อน

    Amen. Fungua watenja tangusasa eh Baba

  • @FettySadru
    @FettySadru 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anifungulie milango biashara yangu aina wateja

  • @RecholRuhembe
    @RecholRuhembe 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumish wa Mungu

  • @emmerentiennenyawenda5395
    @emmerentiennenyawenda5395 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU asifiwe sana mtumishi wa MUNGU niombapo maombi hayo MUNGU kiukweri anajaza wateja wengi YESU asante mbarikiwe saana mtumishi wa MUNGU

  • @Belinda-m1v
    @Belinda-m1v 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu ainuwe biashara yangu amen

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nikamate utawala katika kiti ninachokalia

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    I receive I receive I receive I receive

  • @NanzuNanzu
    @NanzuNanzu ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 God bless you

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana sijawahi kuombea biashara yangu Kama ivi,Nina Hali mbaya siuzi naomba uniombee,

  • @LinetClementinaMajanja
    @LinetClementinaMajanja หลายเดือนก่อน

    Mungu niinuwe katika maisha yangu 🤲🤲🤲🤲

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen I receive I receive I

  • @alenamligo7335
    @alenamligo7335 ปีที่แล้ว

    Aminaaa barikiwa mtumishi

  • @annemkwizu6200
    @annemkwizu6200 5 หลายเดือนก่อน

    Baba Mungu naomba nea ya kuwa na hekima

  • @busingejuliet2665
    @busingejuliet2665 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 thank you pastor 🙏🙏🙏🙏

    • @ildaeduardoalberto-ev9nu
      @ildaeduardoalberto-ev9nu 11 หลายเดือนก่อน

      Asante babá yesu kwa kuomba na ninaaomba nifanyikiwe kwako AMe

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Asateee mtumishii kwa maombii mery kyara

  • @neemangoda1991
    @neemangoda1991 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi Asante

  • @joycemike7570
    @joycemike7570 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pasta amen

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe naitwa Elisha athuma mfuru Niko mwanza napatikana mtaa wa karuta

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 หลายเดือนก่อน

    I receive I receive I

  • @MaryGud-bi9ll
    @MaryGud-bi9ll 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu hanijali nipata kazi nilizomba nikafungulia mm makeba

  • @RachelMallya-gx1sv
    @RachelMallya-gx1sv 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu nipate wateja sahii wenye fedha

  • @JescaRichard-dz7zo
    @JescaRichard-dz7zo 5 หลายเดือนก่อน

    mungu baba naomba unibaliki na Mimi🙏

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi

  • @loreamusanga7145
    @loreamusanga7145 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen and amen 💖💖💖💖💖💖

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว

    Mungu abariki kazi yangu anipe kibali

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwamaombi baba

  • @zawadiz482
    @zawadiz482 7 หลายเดือนก่อน

    Amen ireceive in jesu name amen amen

  • @AdelaLuanda
    @AdelaLuanda 4 หลายเดือนก่อน

    Amina na mimi napokea

  • @R.n.t-ob8gr
    @R.n.t-ob8gr วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏

  • @karenkimambo3686
    @karenkimambo3686 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi

  • @janemichael-iu1ux
    @janemichael-iu1ux 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-mj3zp5ht3b
    @user-mj3zp5ht3b 7 หลายเดือนก่อน

    kwa Jina ni Ann asante kwa maombi mu

  • @user-eo6ii6rj2w
    @user-eo6ii6rj2w 10 หลายเดือนก่อน

    Nazidi kuomba mung u yupo utanitetea maisha yang u yakazi

  • @user-us8ku8ng1t
    @user-us8ku8ng1t 10 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏🙏🙏

  • @JescaRichard-dz7zo
    @JescaRichard-dz7zo 5 หลายเดือนก่อน

    Amene

  • @oman798
    @oman798 ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @MariaKipese
    @MariaKipese 9 วันที่ผ่านมา

    Baba niombee nfankiwe kwenye biashara yangu kilankipanda nashuka nabat yakupewa pesa ilasfanyichochote

  • @RehemaAnita-ei3zl
    @RehemaAnita-ei3zl ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏

  • @ajudamanuelndunguly6072
    @ajudamanuelndunguly6072 ปีที่แล้ว +1

    Glória a Deus

    • @ildaeduardoalberto-ev9nu
      @ildaeduardoalberto-ev9nu ปีที่แล้ว

      Asante bwana yesu kwa siku ya Léo nimeweza kuomba kwa nguvu zako nitazidi kukuomba kwa Kila siku uweze kunipa Baraka njingi kwa nguvu zako asante bwana yesu❤

  • @janewangui6124
    @janewangui6124 2 ปีที่แล้ว

    Roho za madeni ziondoke katika jina la yesu

  • @ChristinaRichard-up5cy
    @ChristinaRichard-up5cy 11 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombezi ya biashara yangu ya salon mery kyara

    • @marrykyara6247
      @marrykyara6247 11 หลายเดือนก่อน

      Amen amen bariki kazi ya mikono yangu

  • @user-sw8nz3ms5j
    @user-sw8nz3ms5j ปีที่แล้ว

    Ameni naomba uniombee nipate kazi

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Amen ameni mtumishii

  • @Diana-sk2wf
    @Diana-sk2wf ปีที่แล้ว

    Pastor pray for me please

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 ปีที่แล้ว

    Napokea kwajina layesu nyota kaziyangu naitaji baraka zamungu

  • @nancypeter4300
    @nancypeter4300 ปีที่แล้ว

    Mungu.akatende kwa ck yangu ya leo

  • @user-eo6ii6rj2w
    @user-eo6ii6rj2w 10 หลายเดือนก่อน

    Anashukuru

  • @LeocadiaMatinde
    @LeocadiaMatinde 5 หลายเดือนก่อน

    Power

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 ปีที่แล้ว

    Emen emen 🙏🙏

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Asatee kwa maombi mtumishi

  • @editaruta4845
    @editaruta4845 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @PrescillarMazera-tm4bn
    @PrescillarMazera-tm4bn 10 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba uniombee ninauza sola lakini sipati wateja

  • @hawahashim9186
    @hawahashim9186 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen🙏🙏🙏

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen