HOTUBA YA MAGUFULI: ALIVAA JESHI LA POLISI "DHAHABU ILIPITAJE?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2019
  • HOTUBA YA MAGUFULI: ALIVAA JESHI LA POLISI "DHAHABU ILIPITAJE?"
    Rais John Pombe Magufuli leo katika makabidhiano ya dhahabu yene uzito wa kg 35. ambazo zilikamatwa katika uwanja wa ndege wa Kenya kutokea Tanzania, amezungumza mengi kubwa zaidi amesisitiza kudumisha upemndo na mshikamaano..
    Pia amesema anamshukuru rafiki yake Uhuru Kenyatta kwa kuwa mzalendo kwa kukamata dhahabu ambazo ziliibiwa Nchini humu mwaka jana 2018.
    JPM ameongeza " Namshukuru sana Kenyatta na pia nawashukuru Wakenya wote kwa ujumla"
    Huu ni uzalendo na alichokifanya Kenyatta ni uzalendo na uaminifu wa hali ya juu sana..
    Ameongeza kuwa "Kenya wameahidi kununua unga kutoka Tanzania badala ya mahindi, huu ndio undugu na urafiki wa kweli.."
    "Mali za wananchi ni lazima zirudi kwa wananchi kwa ajili ya maendeleo, Kenya na Tanzania ni kitu kimoja.."
    #MAGUFULI#DHAHABU
    th-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 19

  • @mchaelshirima1784
    @mchaelshirima1784 5 ปีที่แล้ว +14

    Wanaompinga raisi wetu John Pombe Magufuli wote ni wachawi kama unaamin gonga like hapa

  • @bxgdhydydh6505
    @bxgdhydydh6505 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki Kenya na Tanzania

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 5 ปีที่แล้ว +8

    President Magufuli you are very special to our Country, I am very inspired by your leadership and actions. Keep it Mr President

  • @masoudrashid6180
    @masoudrashid6180 5 ปีที่แล้ว +6

    Wazalendo tunakuelewa sana mhe.rais Mungu akupe nguvu ya kuendelea kututumikia watanzania

  • @jocenocha8846
    @jocenocha8846 5 ปีที่แล้ว +8

    Upendo wa kipekee wa Rais Magufuli kwa watanzania!

  • @bashir4725
    @bashir4725 5 ปีที่แล้ว +4

    Hope of Africa

  • @jenifajafari7670
    @jenifajafari7670 5 ปีที่แล้ว +8

    I love you Daddy

  • @jocenocha8846
    @jocenocha8846 5 ปีที่แล้ว +3

    Hapa ndio mtu mwenye busara anajiuliza je haya yanayofanywa na Rais ndio mabaya mpaka baadhi ya watu wanambedha? Wengine wanajiita wasomi wanabeza haya mazuri je Elimu gani hiyo! God bless our president!

  • @nyamolamfungo9576
    @nyamolamfungo9576 5 ปีที่แล้ว +3

    safi sana mh

  • @letssee204tuone2
    @letssee204tuone2 5 ปีที่แล้ว +7

    Siku moja Mungu akipenda Tanzania na Kenya itakuwa nchi moja yenye katiba moja rais mmoja , katiba moja ,n.k....

  • @samsonhaule8816
    @samsonhaule8816 5 ปีที่แล้ว +2

    Rais wetu Magufuli na Uhuru kenyata Oyeeeee. Harafu wanazitokeza watu wazembe Wanatuletea Wakara!! Huo wakara sisi hautusaidii kitu.

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 5 ปีที่แล้ว +1

    Aibu sana jeshi la polis la Tz aliko makini rushwa inawanukia pumbapuu

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 5 ปีที่แล้ว +1

    Rahaa sanaaa huyu jamaaa big leader
    Alafu kuna mikundu inamusumbua.pumbavuuuu

    • @saidseleman6004
      @saidseleman6004 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali sawa mkuu ila niwashezi sana hao ndg yangu

  • @jeremiahmwanyika4441
    @jeremiahmwanyika4441 5 ปีที่แล้ว +2

    Alafu mpumbavu mmoja anajitokeza anakuita wewe mshamba..!!
    Yule mbwa hana shuklani kabisa
    RAIS WETU MUNGU AKUONGOZE USIFE MOYO ENDELEA KUTULETEA MAENDELEA BILA KUJALI..
    ATA MUNGU ATAKULIPA UZIMA WA MILELE..
    Baada ya miaka kumi tutaandamana tanzania nzima uendelee.. MUNGU AKUBALIKI SANA BABA WA TAIFA LETU..!!

  • @abelsundi6105
    @abelsundi6105 5 ปีที่แล้ว

    Good!

  • @davidchesco52
    @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว

    Sawa our father

  • @jumarajab7645
    @jumarajab7645 4 ปีที่แล้ว

    Sasa wewe Mhutu Jiwe mbona ulichoma vifaranga vya Wakenya? Acha roho mbaya halafu uone aibu sana.
    Wenzako wana moyo na sio figisu figisu tu.