JPM "Chuo cha Kampala ni cha hovyo, Ukila Utaliwa Tu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2018
  • #RaisMagufuli #UDSM
    JPM "Chuo cha Kampala ni cha hovyo, Ukila Utaliwa Tu"
    Ni kongamano linalohusu hali ya uchumi na siasa nchini Tanzania ambalo linafanyika Novemba 1, 2018 katika ukumbi wa Nkurumah Hall jijini Dar.
    Kongamanio hilo ambalo limehudhuriwa na Rais Dkt John Magufuli, ambapo wanasiasa, wataalamu wa uchumi wanachambua mambo mbalimbali ya kimaendeleo yaliyofanywa katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake.
    #RaisMagufuli #UDSM
    SUBSCRIBE: Global TV Online: goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 119

  • @vincentmuli4283
    @vincentmuli4283 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akutie nguvu maana peke yako huwezi. Nasi tunakuombea kwani katika jitihada zako kuhakikisha uwajibikaji kazini nami naonja matunda yako. Asante sana mh. Raisi wangu.

  • @silvanitemba5216
    @silvanitemba5216 5 ปีที่แล้ว +13

    Shukrani MKUU KWA JITIHADA MWENYEZI MUNGU AKUPE NGUVU

    • @agnesraphael7873
      @agnesraphael7873 5 ปีที่แล้ว +1

      mwenyezi mungu akulinde San a n.a. husda za walimwengu amina

  • @chigarizedbiki4134
    @chigarizedbiki4134 5 ปีที่แล้ว +1

    Dr. J. P. Joseph Magufuli is on top of things. He knows and understands his job thoroughly. He's quite articulate and clear about what he wants (and does) for TZ. This is the right mentality befitting of a progressive African President. If Africa could just get 10 "Magufulis" the much touted Africa's renaissance could become a reality in a life time.

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +7

    THIS IS THE PRESIDENT I LOVE AND MY COUNTRY NEEDS. MAY GOD BLESS YOU MORE THAN HE BLESSES YOUR PEOPLE. DR JPM

  • @razacqgates346
    @razacqgates346 5 ปีที่แล้ว +14

    Nampenda sana Raisi wangu . Mungu akujalie afya njema

  • @hidayahassan9455
    @hidayahassan9455 5 ปีที่แล้ว +1

    I understand you the icon of Tanzania. God bless you!

  • @jacksonkinange4605
    @jacksonkinange4605 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Sana mpambanaji wa Taifa nasi tutajifunza kwako.
    Mungu wa mbinguni
    Akubariki sana Mh.Magufuli

  • @muluriwanjara7304
    @muluriwanjara7304 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya katika jamii yetu ya watanzania.

  • @karigokihoko2264
    @karigokihoko2264 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Mh JPM kwa kazi nzuri unayoifanya.

  • @denismabeyo5971
    @denismabeyo5971 5 ปีที่แล้ว +3

    Tulikuwa tunafundishwa maisha ya ajabu vijana yasiyokuwa na kujitoa kwa ajili ya taifa,usanii tu,kwasasa tunakuelewa sana Rais

  • @jabirikilagilile9799
    @jabirikilagilile9799 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sanaa Rais wangu ndoto zako zinafanana na zangu kiukweli nakuamini sanaa tutafika

  • @fredkyando4542
    @fredkyando4542 5 ปีที่แล้ว +5

    nakupenda rais wangu kutoka moyoni hata kama sisi tuko mjini lakini tuna ndugu zetu vijijini wacha nao wapumzike kwa kupitia serikali ya awamu ya tano elimu unayotoa inafariji mungu akulinde popote

  • @sophyeliah954
    @sophyeliah954 5 ปีที่แล้ว +17

    Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu na viongozi woote!

    • @fredmankaingu4172
      @fredmankaingu4172 5 ปีที่แล้ว

      Umechoka we, Rais mwenye kuteka watu unasema abarikiwe

    • @sophyeliah954
      @sophyeliah954 5 ปีที่แล้ว

      @@fredmankaingu4172 usilazimishe tufanane mawazo kila mtu anasema anachokiamini.

  • @ayubumusa4008
    @ayubumusa4008 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akusaidie nakukulinda daima

  • @specialtracks5438
    @specialtracks5438 5 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana! Mungu akutangulie kwa kila jambo brother!

  • @josephhaule415
    @josephhaule415 5 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania sisi wavivu sana utasikia maisha magumu sana wakati ukiamka asubuhi tu kwenye soga vijiweni.....tufanye Kazi ili tugawane mapato kupitia miradi inayoletwa na serikar

  • @dannyruben5775
    @dannyruben5775 5 ปีที่แล้ว +10

    Uyu mzee anapambana kwa ajili yetu lakini kuna watu wao ni kumkwaza tu,tena hasa hawa wapinzani ni vilaza balaa arafu wanajifanya wanajua kukosoa mweshimiwa raisi magufuli piga kazi zidi kuwakazia hawa mafisadi hadi wakome sisi tupo pamoja nawe tunakuamini,

  • @raphaelluyela5666
    @raphaelluyela5666 5 ปีที่แล้ว

    Rais natamani itawale Tanzania milele ni rais mzalendo hakika asante Mungu kwa rais wangu magufuri,bara,zima la Afrika linatamani-kila rais Afrika ajifunze kutoka, kwako, moyo wa uzalendo-Tanzania ndo nchi pekee Afrika inayotoa rais bora baada ya baba wa Taifa,sasa binafsi ni wewe rais bora tena Tanzania,afrika john pombe magufuri Mungu akuongozeee-tunu njm, afya njm, ili siku 1-tanzania iwe London of afrika(Amina)

  • @twilikashilongo7887
    @twilikashilongo7887 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mimi nataka ukae miaka 20 madarakani kwa maslahi ya wananchi. Mana hatujui ajae atafanya kwa maslahi ya nani.
    Kikubwa utulinde sisi raia usalama wetu uwe maximum mana kutekwa na kupotea kwa watu kumekuwa ni kawaida siku hizi.
    Chapa kazi baba sisi tupo na wewe in Jesus name.

  • @GNSSAfrica
    @GNSSAfrica 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa data sasa mmm...Hiki ni Kichwa
    May God protect you.

  • @mudathiriali1801
    @mudathiriali1801 5 ปีที่แล้ว +1

    Truth never lie, keep up Mr president

  • @freymuch7112
    @freymuch7112 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up my president JPM

  • @dannyruben5775
    @dannyruben5775 5 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mawazo yangu mwishimiwa naomba tuongeze elimu zaidi kuanzia chini kuhusu swala la taxes hata kama kuongeza masomo kwa watoto wetu umuhimu wa kulipa kodi na mambo mengine hii ni kwa ajili ya kutengeza uzalendo na mwanga zaidi juu ya maswala haya

  • @shindanopapaya2084
    @shindanopapaya2084 5 ปีที่แล้ว +3

    Shikamoo JPM hapa kazi 2 wengine tupa kuleee

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +5

    Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza vyema raisi wetu

  • @nicodemmabala1904
    @nicodemmabala1904 5 ปีที่แล้ว +6

    Baba piga kazi sisi tuko nyuma yako wanaokubeza wengi wao ni mafisadi au walikuwa wanufaika wa ufisadi kwa hio wasikupe shida hata kidogo.

  • @vigeniajimmy1026
    @vigeniajimmy1026 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtetezi wa wanyonge mungu akuweke miaka mia

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว +1

    BABA ETU GOD BLESS U.

  • @youngclevertatizomoyo5371
    @youngclevertatizomoyo5371 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana babu!¡!!! PGA kaz..

  • @caristomwango937
    @caristomwango937 5 ปีที่แล้ว +6

    Arafu mtu anafananisha uyu mzee msomi naka kamutu kenye hakiri ya mbu eti mage kimambi bila aibu.unaskia takwimu anazo zitowa

  • @geofreychambua2560
    @geofreychambua2560 5 ปีที่แล้ว

    Tunakuombea sana Rais wetu

  • @masoudymichael1434
    @masoudymichael1434 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda jpm kitendo cha kulitaja jina la mungu nafarijika sana ktk speech zako

  • @kareembesta1057
    @kareembesta1057 5 ปีที่แล้ว +4

    My president"

  • @michaelsukwa4371
    @michaelsukwa4371 5 ปีที่แล้ว

    Tunakuombea RAIS wetu MAGUFULI

  • @jumannempweza568
    @jumannempweza568 5 ปีที่แล้ว

    Nc speech

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว

    Umeelewa tofauti, Chuo Cha Kampala kilichoongelewa ni vile vijimatawi vinavyojiita ni tawi. Fikiri kabla ya kuandika jambo.

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 5 ปีที่แล้ว +6

    nakupenda sana magufuri mungu akuongoze

    • @flugencemallya4609
      @flugencemallya4609 5 ปีที่แล้ว +2

      Kama ni raisi tumepata, tujivunie kuwa na rahisi ambaye uzalendo mzr wa kitanzania,Mungu hakuongoze katika uwongozi wako .

    • @flugencemallya4609
      @flugencemallya4609 5 ปีที่แล้ว +1

      Kama ni raisi tumepata, tujivunie kuwa na rahisi ambaye uzalendo mzr wa kitanzania,Mungu hakuongoze katika uwongozi wako .

    • @fabiansukube4652
      @fabiansukube4652 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu mjalie Rais wetu mpendwa

    • @saidimaulid1304
      @saidimaulid1304 5 ปีที่แล้ว +1

      Piga baba

  • @habibomary7444
    @habibomary7444 5 ปีที่แล้ว +2

    yani huyu mzee hua ananikoshaga kwenye hesabu dar ...yani anatema madini kama yote vilee ...hakika unakila sifa ya kua mhe.president.

  • @ezekielphilemon9257
    @ezekielphilemon9257 5 ปีที่แล้ว

    safi Sana jpm

  • @lucasngasa3695
    @lucasngasa3695 5 ปีที่แล้ว +1

    Ungekuwepo uwezo wa kuongeza maisha yangu ili uishi maisha mengi baba

  • @yohanandalahwa983
    @yohanandalahwa983 5 ปีที่แล้ว +3

    Atakaye shindwa kukuelewa hapa hataelewa hata wakija Malaika.

    • @nsolachalo
      @nsolachalo 5 ปีที่แล้ว +1

      yohana ndalahwa kweli kabisa asiyeelewa sijui ataelewa nini daaaa raisi huyu ni zawadi kutoka kwa mungu

  • @wamburachacha1248
    @wamburachacha1248 5 ปีที่แล้ว

    Vizuri Rais wetu endelea kupigania maendeleo ya watanzania

  • @jumannemuhenga7038
    @jumannemuhenga7038 5 ปีที่แล้ว +8

    Dah huyu mzee mzalendo asante mungu kwa kutuletea Raisi huyu mfanye aweze kutawala miaka 20.

    • @williamugulumu5471
      @williamugulumu5471 5 ปีที่แล้ว

      Let us be realistic our Hon. Presidents' performance is notably significant over the past decades. Let our Almighty God protect him forever!

  • @eustacevenant4567
    @eustacevenant4567 5 ปีที่แล้ว

    Hongera SANA Muheshima Raisi lakini kumbuka hule mfano wa Baba wa Taifa Dr Julius kambarage nyerere
    Mchumba aliyekuwa Akichumbiwa kwa sharti moja usisikilize huyohuyooo....usiwasikilize Sacco Chadema.

  • @mengoentertainment4101
    @mengoentertainment4101 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Ndio mzalendo.Nakuunga mkono 100%

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 5 ปีที่แล้ว

    Nadhani hivi vyuo vinavyoambiwa ni vya hovyo vingechukulia kama ni changamoto tu ya kufanya mambo mazuri zaidi ambayo yangewafanya hao wanaoona hivyo wafikirie upya. Wasomi wanaotakiwa kwenye nchi ya viwanda wanahitajika sana watu wenye upeo fulani wa kufikiri na kubuni mambo na wanahitajika kwa wingi. Mtu mwenye elimu ya chuo kikuu halafu akajifunza ufundi wowote au kilimo au ufugaji atakuwa bora zaidi kuliko ambaye hana hiyo elimu.Mitizamo unaotolewa hapa ukiuchunguza utagundua kwamba ni ule wa kuona kwamba graduate ni wa kuajiriwa tu. Vyuo vyetu viwe encouraged kuunganisha masomo yao na polytechnic schools hapo hapo ili graduates wa fani mbalimbali wajiajiri au wawe wanatafutwa badala ya kutafuta ajira. Tuone kwamba wanaojitolea kuwekeza kwenye Elimu ya juu ni wa muhimu na wanahitaji kusaidiwa kuonyeshwa direction ya uwekezaji . BA au BSC tuone pia kwamba ni maandalizi ya kusomea profession mbalimbali

  • @suphytz0750
    @suphytz0750 5 ปีที่แล้ว +4

    Nawac wac majambaz yanarudi kuiba 2025 tunakuomba ubaki mpaka 2035

  • @petermwenda5179
    @petermwenda5179 5 ปีที่แล้ว

    huyu mh ana busara sana mungu MPE nguvu raid wangu

  • @adenihalisi4218
    @adenihalisi4218 5 ปีที่แล้ว

    Hakika hii ni kazi iliyotukuka mno!

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 5 ปีที่แล้ว

    Nikikumbuka adha ya mgao wa umeme huwa najiuliza....hivi ulipotelea wapi???? Ni kweli tulikuwa tunachezewa kwa maslahi ya wachache!!!

  • @yajueulanga2615
    @yajueulanga2615 5 ปีที่แล้ว +1

    JPM piga kazi na mimi natamani nifike hapo

  • @bizimanaleo3275
    @bizimanaleo3275 5 ปีที่แล้ว

    nakuelewa MKUU, piga kazi

  • @youngclevertatizomoyo5371
    @youngclevertatizomoyo5371 5 ปีที่แล้ว

    Malion 50, kla kijij we mwehu nin unaona anachofanya rais wetu nikidogo wew MBNA hata million kum huna achen kukuza mambo PGA kaz babu ucbabaike...

  • @nsolachalo
    @nsolachalo 5 ปีที่แล้ว

    huyu raisi watanzania tumuongezee mda atuongoze hata miaka 20 ijayo.ameiweka nchi pazuri mpaka sasa.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 3 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wastafu wanawashwa 🥵🥵🥵

  • @davidgichogo6414
    @davidgichogo6414 5 ปีที่แล้ว

    Katiba mpya ndo basi tena

  • @sarafutatu5946
    @sarafutatu5946 5 ปีที่แล้ว

    Who has counted the yellow lines.
    Ni mimi tu nachukia hizo adverts ama kuna wengine??
    Ukitala kuepuka hizo adverts subscribe kwa chanel yangu, nitakuwa naelezea jinsi ya kuziepuka hizo adverts

  • @julianpeter7165
    @julianpeter7165 5 ปีที่แล้ว

    TUNAKUOMBEA AFYA NJEMA RAISI WETU SINA ZAIDI CHA KUKUPA ZAIDI YA MAOMBI MEMA KWAKO

  • @denismabeyo5971
    @denismabeyo5971 5 ปีที่แล้ว

    Tuwe wazalendo,tusikubali kutumiwa,mzee tunakuelewa

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzalendo namba moja tunakuelewa. Mkuu I

  • @innocentmalaki2227
    @innocentmalaki2227 5 ปีที่แล้ว

    piga kazi baba tupo nyuma yako

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 5 ปีที่แล้ว

    Pambana tu Mzee.MUNGU yupo pamoja na wewe.Waambie,hao waongo kwamba,utamu wa degree ni kuisomea.

  • @hamisiomary3336
    @hamisiomary3336 5 ปีที่แล้ว

    pambana na sisi tupo nyuma yako

  • @mwitawambura8920
    @mwitawambura8920 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa president upo vizur ww tusongeshe mbele tu, sahiv zimebak ajira tu na kuongeza mishahara kwa wafanyakaz hapo tutakuwa mbali

  • @mbarouksalim2792
    @mbarouksalim2792 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa basi tugawane hizo fedha zilizookolewa ili tupate motisha

    • @kazungumathias9195
      @kazungumathias9195 5 ปีที่แล้ว +1

      Kura angu naifurahia sana maana anakifanya nilichokitarajia nampenda sana my rais wangu mzalendo wa kwanza

    • @kazungumathias9195
      @kazungumathias9195 5 ปีที่แล้ว +1

      Ww mbuzi kweli unataka ugawiwe kwa njia ipi hujui anavokuletea maji umeme maji barabara ndo kugawana kwenyewe

    • @adamumahayu7229
      @adamumahayu7229 5 ปีที่แล้ว

      Hongera mh kweli unafaa kizazi hichi

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 5 ปีที่แล้ว

    Duh !!! Upo ubakhili hii komesha hata mtoto haijulikani kaolewa au la eh kazi ipo

  • @onlinemovie8580
    @onlinemovie8580 5 ปีที่แล้ว

    Saa moja mb mh😕😕

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +1

    Waisilama hawapo hapo mbona bwana wako yesu tu...

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga na udini. Mbona mheshimiwa aliyepita alijaza serikali yote na Waislamu na Wakristo walimuacha tu? Sasa hata kwa salamu unapiga kelele kama kichaa?

    • @kfastak
      @kfastak 5 ปีที่แล้ว

      @@gosbertrwezahura3645 pumbavu yako wewe kaa kimya

    • @elyudsaleh6044
      @elyudsaleh6044 5 ปีที่แล้ว

      makamu wake na waziri mkuu hawatoshi kukukumbusha kuwa huyu c mdini?

  • @mbarouksalim2792
    @mbarouksalim2792 5 ปีที่แล้ว +2

    Fedha tumeokowa lakini hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu, mm nilitegemea kwa vile sasa tunakushanya fedha nyiingi, maisha ya wananchi yangeimarika zaidi

    • @kazungumathias9195
      @kazungumathias9195 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hyo kipindi maisha yako vzuri jiulize ulifanya nn acha unafiki ww

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha uvivu ndugu yangu. Fanya kazi acha kulialia na maisha magumu. Sote tuko nchi hii lakini tunaofanya kazi na kujibidisha maisha yanaendelea kuwa bora.

    • @jacksonkinange4605
      @jacksonkinange4605 5 ปีที่แล้ว +1

      Huwezi kuibuka tu ghafla tumia nafasi yako ulipo kutumikia taifa lako
      walalamikaji wengi hufa Masikini

  • @kilalamadevi8722
    @kilalamadevi8722 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli awe rais wa milele

  • @tumainimsilanga8427
    @tumainimsilanga8427 5 ปีที่แล้ว

    Imesahaulika barabara ya Mabwepande

  • @faeshanoor4129
    @faeshanoor4129 5 ปีที่แล้ว

    Sio kila king'aacho ni dhahabu hata mh.mwinyi ana uwezo wa kusmama akakitetea chuo chake cha kampala vile vile na akakiponda UD siasa ni siasa tu kla mtu anajua how he /she is fighting their own lives!!! Wazee wetu wanahangaikia sisi kupata elim wajib wao ni kuboresha elim n sio kutubana kila sekta na kutuponda chuo chetu...asante sana rais... Hata mtoto mchanga hajazaliwa akatembea alianza kidogo kidogo hivo nna imani kubwa na chuo changu na natumai ipo siku tutafika vilipofika vyuo vengine.mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki elim yetu ya afya pia ndo kipao mbele

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 5 ปีที่แล้ว

      Ndugu tuulize tuliosoma kampala kile sio chuo ni takataka ndugu yangu....kama unataka elimu hapakufai ila kama unataka majengo nenda

    • @feyzalyusuph14
      @feyzalyusuph14 5 ปีที่แล้ว

      Kiufupi ndugu chuo hiko uongozi wa chuo ndo hovyo kabisa lakini wakirekebisha naamini kitakuwa safi

    • @nelsonnevlin2919
      @nelsonnevlin2919 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna chuo pale...kama mpaka raisi wa nchi analijua hilo bors ujipange upya kaka

    • @paulinambalilaki9206
      @paulinambalilaki9206 5 ปีที่แล้ว

      Faesha Mohammed Noor Fanya kuhama chuo faster kabla mambo hayajawa worse

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว

      Acha kung'ang'ana na chuo kisicho na sifa. Kama uko hapo jipange kuhama fasta!

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe bado tunakopa?

    • @kidebanzi7972
      @kidebanzi7972 5 ปีที่แล้ว

      I wish kama mheshimiwa Magufuli unge kuwa Raisi wa ichi yetu DRC Congo

    • @nsolachalo
      @nsolachalo 5 ปีที่แล้ว

      hivi unajua hata marekani inakopa benki ya dunia?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

      nsola chalo hahahaaa,,,,

  • @seniornyungu9718
    @seniornyungu9718 5 ปีที่แล้ว +1

    Mili 50 kila Kijiji,ahadi ni DENI

    • @kazungumathias9195
      @kazungumathias9195 5 ปีที่แล้ว

      We uwe unajitambua Na ukumbuke kupanga Ni kuchagua

    • @seniornyungu9718
      @seniornyungu9718 5 ปีที่แล้ว

      Kazungu Mathias ni kweli,nilichosema ni KWELI pia.

    • @makameabdalla8928
      @makameabdalla8928 5 ปีที่แล้ว

      Tumlani shetani tushirikiane ktk kulijenga taifa letu malumbano mapambano kijicho chuki choyo husuda na uadui havitatufikisha mahala. Tumuunge mkono JPM na tunapomshauri tumshauri kwa hekima na busara na sio kwa kejeli kebehi na dharau aidha mhe JPM nae hivyo hivyo lugha iwe ya stara kwani wahenga wametuasa maneno matamu humtoa nyoka pangoni. Mhe JPM ni Rais makini endelea kuchapa kazi na Allah aibariki Tanzania yetu.

    • @makameabdalla8928
      @makameabdalla8928 5 ปีที่แล้ว +1

      JPM Mungu akulinde
      Hakika unagonga nyundo kwenye utosi.
      Mungu akutangulie baba

    • @japhetndobeji5278
      @japhetndobeji5278 5 ปีที่แล้ว +1

      baba katikajinala YESU ninaomba ulinzi juu yalaisiwetu muepushenakila wapingamaendeleowote

  • @dannyruben5775
    @dannyruben5775 5 ปีที่แล้ว +11

    Uyu mzee anapambana kwa ajili yetu lakini kuna watu wao ni kumkwaza tu,tena hasa hawa wapinzani ni vilaza balaa arafu wanajifanya wanajua kukosoa mweshimiwa raisi magufuli piga kazi zidi kuwakazia hawa mafisadi hadi wakome sisi tupo pamoja nawe tunakuamini,