#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2020
  • Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 25

  • @user-my9hc6uf9l
    @user-my9hc6uf9l 4 ปีที่แล้ว +12

    Aliyevutiwa na utendaji kazi wa JKT naomba like hapo chini.

    • @ahmedelalawi6143
      @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว

      Za nini hizo like? Watu wanasaka hela ww unasaka like . Kweli mjinga sana ww

    • @frankoguta9792
      @frankoguta9792 4 ปีที่แล้ว

      Mm

  • @harmonmaelfumsevuasumani2167
    @harmonmaelfumsevuasumani2167 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mheshimiwa Magufuli. Mimi na Familia yangu tunakupenda na tunakuombea vizuri. Natamani ningekuwa moja ya vijana wako kazini. Msimamo wako unaridhisha

  • @juliuswambura3445
    @juliuswambura3445 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzur mheshimiwa rais

  • @a.a.a.s8322
    @a.a.a.s8322 4 ปีที่แล้ว +2

    Live bila chenga. Hongera JPM.

  • @patricksaid60
    @patricksaid60 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera rais wetu mungu akulinde na akupe maisha marefu

    • @swedisalumalaykuinnalilahw4537
      @swedisalumalaykuinnalilahw4537 4 ปีที่แล้ว

      Muheshiwa Raisi kweli wewe ni mzarendo wa nchi yetu mungu akutunze kwahili ikikupendeza uwe raisi asiye naukomo.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 ปีที่แล้ว +4

    Baba mzee mwenye hekima mzee baba Mh J.P.Magufuli mimi nimeamini kweli wewe ni baba mwenye baraka kubwa kweli maana tokea mwanzo wa utawala wako mvua inanyesha mara kwa mara baba kweli wewe ni Rais wa neema kubwa ambayo tulioletewa na Mungu

    • @musamswahili4438
      @musamswahili4438 4 ปีที่แล้ว

      Jamani watanzania wenzangu tumuongezee muda wa kuongoza miaka mia huyu mzee jamani

    • @frankoguta9792
      @frankoguta9792 4 ปีที่แล้ว

      Magufuli uko sawa nchi aiendeshwi kwa upole zidisha ukali walizoea tawala hizo zilizopita mungu akusimamie uzidi kuwatumbua

  • @agustinoedward2216
    @agustinoedward2216 4 ปีที่แล้ว +2

    Chinjia mbali hizo mizigo.kwanza ana kimbelembele sana huyo unayemuita mwanafunzi wako

  • @saidiissa8729
    @saidiissa8729 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee duh siomchezo

  • @malakibujiku8749
    @malakibujiku8749 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampongeza rais wet kwa kuendelea kuionesha nia yake ya dhati ya kuiona nchi Yesu inasonga mbele

  • @frankoguta9792
    @frankoguta9792 4 ปีที่แล้ว +1

    viongozi wa magereza mizigo tupu , kila wakielrkezwa awaelewi

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mkuu wa nchi yetu...

  • @miltonjohn8816
    @miltonjohn8816 4 ปีที่แล้ว +1

    Ambakisye Jermia acha ukabila. Tanzania hatuna ukabila hata kidogo, wewe ukitaka hivyo nenda mataifa mengine yenye ukabila.

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว +1

    Lakini muheshimiwa asilimia 99 ya mikataba umepitisha bila ya bunge kushirikisha . Mradi wa korosho hujashirikisha bunge. Mrandi wa herkopta 13 hujashirikisha bunge. Mradi wa ndege dreamliner hujashirikisha bunge. Sasa mradi hu tu ndio haujashirikishwa na bunge? Au umekusudia waziri hajakushirikisha ww?

    • @Mkrist
      @Mkrist 4 ปีที่แล้ว +1

      Ahmed El alawi Unaelewa vizuri madaraka ya rais Kisheria na Kikatiba?

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Mkrist HILI NDO TATIZO KUBWA kwa watz,hawajui Rais ana mamlaka gani na mikataba ina sainiwa vipi...wengi wanafata upepo

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Mkrist hili ni tatizo kubwa kwa watz,hawajui madaraka ya Rais wa Jamuhuri! na hawajui aina mikataba na inavyo sainiwa..wanafata wachosikia kwa wasiojua.DR.Abas aliwaambia,kama unataka kujua kitu cha serikali,uliza kitengo chake! utajuzwa tu .

    • @ahmedelalawi6143
      @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว

      Safi sana kaka Erry deo Unajua watz hawajui haki zao . Watakuja kujua mambo ya serikali? Mpe darasa kijana

  • @ambakisyejeremia4204
    @ambakisyejeremia4204 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumempoteza mnyakyusa mwezetu ndg Andengenye mkuu wakikosi cha zimamoto kwa vuliwa nyazifazake
    Tusubili labda atapewa nyakyusa mwingine.

    • @frankoguta9792
      @frankoguta9792 4 ปีที่แล้ว

      Zamu yetu sisi sio mnyakyusa