"Ningekuwa na BINTI Ningekupa BURE Wewe, UMENIFURAHISHA Sana" - MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2019
  • "Ningekuwa na BINTI Ningekupa BURE Wewe, UMENIFURAHISHA Sana" - MAGUFULI
    Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 04, ameanza ziara yake rasmi katika mkoa wa Songwe, Ambapo mbali na kuzungumza na wananchi ameweka pia jiwe la msingi katika mradi wa maji wa Vwawa Mantengu...
    #RaisMagufuli
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    GLOBAL RADIO TV:
    th-cam.com/users/playlist?list...
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:
    th-cam.com/users/playlist?list...

ความคิดเห็น • 43

  • @segeru127zablon6
    @segeru127zablon6 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Rais wetu Magufuri hakika wewe ni shujaa wa maendeleo kwa nchi yetu.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +6

    big up MR.PREZ..ndo maana hukwenda UN..kila rais kutoka Africa kuhutubia,wazungu ndo wanaenda break kunywa chai!!!

  • @luizersemhando2941
    @luizersemhando2941 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde Baba

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 ปีที่แล้ว +8

    Sasa muheshimiwa nakuelewa lkn hapo awali nilikuwa sikuelewi muheshimiwa, nami nitafungua kiwanda inshaallah

  • @abubakarothman2521
    @abubakarothman2521 4 ปีที่แล้ว +5

    Ahsante baba na mungu aendelee kukulinda ili Watanzania wote tunufaike.

    • @neydenyo6786
      @neydenyo6786 3 ปีที่แล้ว

      Pole ndugu yangu, mungu amempenda zaidi

  • @aludomakori7692
    @aludomakori7692 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mwema atatutetea

  • @alfredbyangwamu9821
    @alfredbyangwamu9821 4 ปีที่แล้ว +2

    Hata Mungu anaagiza kiboko kwa mtoto , apigwe ili aokolewa nafsi yake na kuzimu kwa matendo yale. MITHALI 23:14-15

  • @bensonmogaka93
    @bensonmogaka93 4 ปีที่แล้ว +6

    mimi ni mkenya nampenda sana rais magufuli . naomba kama Magufuli was to be the
    president of kenya for only 2years . Kenya will be like Europe.HONGERA
    BABA MAGUFURI . KUMI TENA

    • @mumyhendry3126
      @mumyhendry3126 4 ปีที่แล้ว +1

      Thanks my brother...you are warmly welcome to Tz

    • @dorothyannan8184
      @dorothyannan8184 4 ปีที่แล้ว +1

      Was to be President of Kenya...halafu Watanzania tubaki na nani?

    • @edwineronde8144
      @edwineronde8144 4 ปีที่แล้ว

      It's so hurting to see our president doing nothing about corruption while TZ are doing good job without madeni za china jameni

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 ปีที่แล้ว

    Unforgettable 🇹🇿🖤

  • @athumansaidi9159
    @athumansaidi9159 4 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @edwinmbelle4207
    @edwinmbelle4207 4 ปีที่แล้ว +8

    jamani tunaombeni mtuboreshee uwanja wa ndege wa songea Ruvuma tuzifaidi ndege zetu!

  • @edgarkivambe7188
    @edgarkivambe7188 4 ปีที่แล้ว +6

    asiye kuelewa, huyo anakuwa miongon mwa Wale mafisadi ambao kwa sasa matumbo joto piga kazi baba, watanzania tulisha kata tamaa, ila kwaspid hii matumaini yapo

  • @shaabanabdulrahman9458
    @shaabanabdulrahman9458 4 ปีที่แล้ว +1

    ahsanteee kwa juhudi zakooo . lakini nasi wa Lushoto tuangalie tena hususani watu wa Mlalo .

  • @erickkihanga9292
    @erickkihanga9292 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde miaka yote baba

    • @neydenyo6786
      @neydenyo6786 3 ปีที่แล้ว

      Pole mpendwa , mungu amempenda zaidi

  • @zabibukivyele7407
    @zabibukivyele7407 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakuelewa baba

  • @robertkasike4061
    @robertkasike4061 4 ปีที่แล้ว +4

    Viva Mr. President

    • @selestineaniceth4766
      @selestineaniceth4766 4 ปีที่แล้ว

      Hakika unadhihirisha ukweli na thamira iliyo dhabiti ya kuunjenga uchumi imara ,big up!!

    • @abdallahabdul3228
      @abdallahabdul3228 4 ปีที่แล้ว

      Viva

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka hapo kuzaa nako mnazaa, kwani kuzaa siyo kazi?

  • @williamhalinga3584
    @williamhalinga3584 4 ปีที่แล้ว +6

    Sijui tukupe nini raisi wetu

  • @rahimahussein1530
    @rahimahussein1530 4 ปีที่แล้ว +1

    Mr.president alikuchagua mungu kimakusudi na si kwa akili tu za watanzania i wish uongoze miaka yote...mtetezi wa wangonye mola azidi kukupa nguvu na kukuongoza ktk kazi nzito uliyonayo.

    • @bucksonbenjamenbenjamen3756
      @bucksonbenjamenbenjamen3756 4 ปีที่แล้ว

      Hongera sana muheshimiwa Magufuli mungu akubariki na akujaalie afya njema ili uendelee kuchapa kazi

  • @rahmamazee2858
    @rahmamazee2858 4 ปีที่แล้ว +9

    mweshimiwa Rais wewe ni kioo kwa viongozi wanaokuja.

  • @michaelmwakasaba6552
    @michaelmwakasaba6552 4 ปีที่แล้ว

    mzee ukojuu sana iposiku utanipa mic

  • @davidmbilinyi2545
    @davidmbilinyi2545 4 ปีที่แล้ว +1

    JPM njoo Ludewa tunakusubir jembe

  • @jacobchemponda8373
    @jacobchemponda8373 4 ปีที่แล้ว +3

    Poa sana

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 4 ปีที่แล้ว

    Tumezinduka kweli kuna magonjwa ya kutengenezwa ili nchi isiendelee, mara ebora, sijui gonjwa gani linaletwa na mbu!! Sasa hawatupati tena watengeneze tu yatawarudia wao ss hatufi ng'o!! Na utajiri tunapata!!

  • @johnmfutakamba4837
    @johnmfutakamba4837 3 ปีที่แล้ว

    Miongoni mwa Hotuba za Hayati Rais Magufuli,kuhusu Waafrika kujitambua!

  • @sashawande7606
    @sashawande7606 3 ปีที่แล้ว

    akumbukwe kwa mazuri yake

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว

    Mbona haiishi nyie