@isaaclameck Kaa apo apo ukidhani wanaokunywa pombe wote hawana hofu ya mungu, nyinyi ndo wale waumini wanakufa njaa kwa kuona biashara flani flani ni za kidunia. Kaa apo apo na ufala wako
Lakini pia millard nakushukuru kwa hili. Unajua kututafutia watu wa kutufundisha bwana sasa apa isingekuwa hii kazi yako wewe huyu jamaa si rahisi kumfikia na kupata madini kama haya. Hongera sana kwa kazi yako nzuri
Nimekupata na nimekuulewa Baba Mimi kipindi nimemaliza Chuo Mwaka Jana Nilipofata Kazi Hotel Watu Au Wanafunzi wenzangu Walinicheka But Sasa Hv Wananambia Niwaunganishe Asante Mungu Kwaajili Ya Kila Mtu anaweza kutuelimisha🙏
Asee Milard Ayo wewe pia uko talented sana,huyo mwamba nimesikiliza mawazo yake sana,amejua kutenganisha elimu yake na maisha halisi,natamani nifike babati nimuone fanya mpango wa appointment mkuu
Dah Mulokozi huyu mtu siyo wa kawaida fikra zake zinaenda mbali jinsi anavyoishi na watu wa Manyara ni elimu tosha kwa jamii haamini katika ushirikina kabisa mwenyezi mungu aendelee kukubariki pia hongera za dhati kwa Ayo Tv na Millard Ayo kwa kutuletea interview bora kuwahi kufanyika Tanzania tunasubiri Episode ya 5
Millard thanks bro 🙏 hizi ndo interviews za kufunza hustlers in streets, MADINi ni mengi sanaa this is all we need to hear and not motivation speakers wa manyoya hadi kuku miaaa😂💥🔥much respect to u all, Millard & Mulokoz👊🫂next episode please 😅😂
Pia uamini Mali inasiri kubwa mno... siri yake ya mafanikio anaijuwa Mungu na yeye muhusika...kubwa ni kumuomba M/Mungu mwisho mwema..na tufate maagizo ya Mungu mtazame aliye chini yako upate kumshukuru Mungu usimtazame aliye kuzidi mafanikio ukapata kumkufuru Mungu....
Aise huyu kaka nimempenda tena namuombea kabisa kwa Mungu alimlinde na kumuongezea hizo baraka,binafsi nimefurahi sana kuona tajiri msomi maana watu washakariri matajiri hawana elimu 😒 this is such a powerful success story aise thank you millard
HONGERAA SAAANA KAKA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA NA KUKUWEKA. BIG UP MILARD BILA WW TUSINGEMJUA BWANA MULOKOZI. PIA NAMUOMBA KAMA ANA HOSP KWAAJILI YA STAFU NAOMBA KAZI HAPO MM NI MUUGUZI MSTAFU WA MWAKA JANA NAOMBA KAZI HAPO
Dakika ya 34:17 asee bonge 1 la point. Ushirikina ni mojawapo ya factor muhimu mno inayoturudisha nyuma sana sisi waafrika not only kwenye ishu ya maendeleo but also kwenye hali za maisha yetu wenyewe kwa wenyewe. Salute broh kwa kulitambua hilo.
Nimempenda saaaana huyu Don Simlizi zake zimenijenga sana. Sasa Naona siwezi tena kuwa hivi Nilivyo,maana ni viiiingi nimejifunza, I have big future.. Thanks Tajiri.
Tunahitaji wasomi wanyenyekevu wasio na majigambo kama Mulokozi, hukukata tamaa ulipoona partinerships zinafaili,kuna la kujifunza hapa.Pia hukuona majivuno ya kusoma nje ya nchi,umerudi na kuamua kuajiri watanzania wenzako,Mungu azidi kukuinua umepewa kipawa cha kuona mbali sana sana.Hongera mno kaka yangu ❤
This Episode 4 kuna madini hatari. Picha linaendelea... Dak 13 Mr Mulokozi anakuambia ana nguruwe 1'000+, farasi 20+, ngamia na nyati maji😮 doooh kama vile nauona utajiri wa king Solomon. Dak 23 Swali unategemea kustaafu ukiwa na umri gani,,, kama umesikia vizuri farasi kaguna kagoma jamaa asistaafu mapema😂 Dak 31 Nimejifunza kuficha mafanikio ni kuwa na nidhamu ya woga... Kama kweli mafanikio ya halali basi taja ili iwe funzo kwa wengine Dak 43 Tajiri ana hadi PA duuh Na bado hajafikia ndoto zake... INTERVIEW BOMBA SANA. Naisubiri Episode 5 🎉🎉🎉
Bravo Mulokozi. Uko 100percent correct. Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa nae Zanzibar. Alikuwa boss wa UNDP alihitaji kuajiri wafanyakazi,nikamuomba aniajiri Mimi akakataa na kunoomba tuendelee kunywa soda zetu. Nikashangaa. Nikamuuliza anahitaji watu wenye sifa ipi? Akanijibu anataka wale waliopata Division 4 na zero. Kwa sababu hao ana uhakika atakuwa nao muda mrefu na hawatamsumbua. Wale wa Division 1,2 na 3 hawataki kabisa maana Bado wanahamu ya kutafuta mafanikio mbele. GOD BLESS YOU.
Mmh uyu jamaa hakwenda japan na uingereza kuzurura tu ni mtu aliyeenda kutafuta maarifa kwa ajili ya taifa letu. Na ni mtu wa kujali . Ubarikiwe sana Boss
Wasomi wapo wazuri na wenye uwezo...hapo swala kubwa ni cheap Labor na watu wasiokuwa na taaluma ni rahisi kuwatawala na kuwalipa kiduchu ila msomi mtasumbuana. Ila Big up kaka ni Hatua kubwa sana kwa mtanzania maana tulisha zoea wahindi ndio wawekezaji Salute sana kaka
Congratulations Mr. Mulokozi for your generosity. You have made these natives whom you work with to live better lives out of . You have turned their misery life of joblessness to prosperity. May God-the-Almighty bless you 🎉🎉🎉🎉🎉.
Mimi kuanzia Leo Mr. Mulokozi ni role model wangu, nawish kumsikiliza Kila wakati, Asante sana Millard kwa kutuletea mtu muhimu na muwazi kama huyu ambaye amefanikiwa kwa njia ya kawaida sana ambavyo hata sisi wengine tukiamua tunaweza, kwa mfano nafkiria ameanza kiwanda nikiwa hapa ninapofanya kazi Hadi sasa, umaskini unaendelea kushamiri lakini yeye ameshafika mbali sana kimaendeleo. Ukifkiria hicho kiasi alichoanza nacho kiwanda sio kikubwa sana, so anani inspire sana kuanza Cha kwangu mwenyewe haijalishi ni kwa Hali ya chini kiasi gani, japo sijui pa Kuanzia, Mungu anisaidie! Hongera sana Kaka, Mtanzania mwenzetu🎉🎉🎉
Kuna mtu alikua atuuwe kabisa haki yamungu , ila hapana mungu anamipango . Hongera kaka tunajifunza mengi yani duu umetupa mwanga wa fulsa na namna hukutaka kampuni ife ukihofia kuuwa ndoto za wengi duuh. Fikiria namna matajir wengi waliishiwa na watu wakakosa ajira jaman familia zikaumia nyingi .
Hongera sana shemeji Mungu akupe maisha marefu siku moja na wish kuwa kama wewe nimejifunza Changamoto zisinikatishe tamaa nimeanguka kipato kabisa Mungu nipe maarifa mapyaa
Hongera sana Bro binafsi nimejifunza mengi nami nina ndoto za kuja kumiliki kampuni yangu , Mungu akufanikishe zaidi na moyo wa uzalendo kwenye nchi yetu, big up.
Hii interview imenitengeneza sana.. hongera sana Brother kwa hatua uliyofikia, pia nikupongeze kwa kushare mapambano yako... imenifanya niweze kufikiri zaidi.
Aloo am speechless, what a brilliant guy. Yes nyumba sio ya kifahari kama alivyosema but the things inside it it's dope. Imagine we look alike in business idea woow am into minerals liquor industry idea in my head, real estate and lastly pharmacistical as well . I am encouraged
Hongera sana kwa kweli nimependezwa sana na interview Yako . Nimejifunza kitu sana kupitia wewe nafikiria fursa nyingi sana . Ni mitaji TU tunakosa lakini kumbe hata kidogo unaweza kuanza kitu na ukafika mbali
Fundisho nzuri sana Mulokozi, kitu nimependa jamaa cyo mtu wa kujiinua yaani yuko kama mtu wa kawaida, huyu mtu ataenda mbali sana, Mungu akulinde akutunze somo nzuri sana, Manyara tuna mtu.
Itoshe kusema....every successfull point is measured by point of creation and point of implimenting....bilionea mulokozi nakubali umeweza kutujenga vijana juu ya kupambania ndoto zetu na kuamini mipango binafsi iliyobebwa na tafsiri kuu ya kuamini unachokipambania....kongole millard Ayo for the best interview ever here is 2024 ❤❤❤❤❤🎉
Kwa mambo ya ukabila hapo kiukweli my hands 🙌 down and I’m proud of you, wewe ni mtanzania mzalendo na hii ndiyo Tanzania 🇹🇿 tunayoitaka, Grand rising ✊🏾💯
Kaka shikamoo naomba sana sana nisaidie mtaji kaka nipo dar Sina kazi nilikua naendesha kirikuu nimenyanganywa nisaidie mkuu nipate kirikuu mkuu mungu akupe nguvu.
....hongera sn kaka mulokozi,kwa yote uyafanyayo,karibu sn mbeya au Green City kama ulivyosema,cku c nyng! Bnafsi nakusubiria haasa kwny project yako,utakayoianza.b blecd.
This is a power talk na kwa watakao fatilia aliosema hapa for sure watapiga hatua ....thank you for sharing ...umezungumza njia nyingi sana za mafanikio
Hapo kwenye nguruwe kasema kweli aisee Kama MTU unamtaji na hujui chakufanya plz anza na nguruwe utakuja nishukuru nakama huna utalamu wowte juu ya huo mradi tafadhali ntakusaidieni kuwaelekez hata japo kidogo 👍
Anajieleza vizuri sana, na anajibu maswali kwa ufasaha, maelezo yamenyooka, mifano hai na mengineyo. Mahojiano hayachoshi kabisa. Na kujifunza mtu unajifunza. Hongera millard hongera na kwa mulokozi piaa.
Chenye anasema jamaa ni pure true.. Alhamdulillah mm sima elimu ya veterinary lkn kuna veterinary doctor kwa kampuni yetu na inabidi mm nimpe elimu kulingana na experience Niko nayo cha ajabu anatumia elimu hio hio anakuja ku impliment kwangu ni kana kwamba yy ndo alkua anajua na hajui chochote na ametokq shule😂😂.. experience is more better than izo documents
Mimi nimekuelewa tofauti kidogo, haukutaka kutumia watu maarufu kutangaza biashara yako ila umeamua kutengeneza nyumba ambayo imetumika kutangaza biashara yako na umefaulu, hongera sana broo hii ndio maana ya elimu.
Leo nimepata bahati ya kusikiliza tena mahojiano ya kaka Mulokozi, nimeendelea kupata tafakari ya kina, nitajitahidi kufika Babati siku moja japo kukutana naye uso kwa uso tu nadhani itatosha maana kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwake hasa jinsi anavyoishi na kuyachuliwa maisha!
ubarikiwe Sana na kiukweli ume 38:28 barikiwasana asante kwa kuwakumbusha vijana kuhusu ajiira elimu ni nyenzo yako kuwa na uwezo kujikimu sio serikali ikupekazi kama tulivyo à wazazi time waamisha waatoto wetu laziima serikali dhana potofu
Uyu jamaa hata ukimpora mali zote abaki hana kitu atatajirika tena. Smart, wise, hardworking & God fearing 🙌🏼
Kweli huyu jamaa labda umpe uchiz ila ukimpora kila kitu baada ya mwaka jamaa anakupita tena kwa mawe 😂😂😂😂
God fearing ana piga pombe ?
@isaaclameck Kaa apo apo ukidhani wanaokunywa pombe wote hawana hofu ya mungu, nyinyi ndo wale waumini wanakufa njaa kwa kuona biashara flani flani ni za kidunia. Kaa apo apo na ufala wako
God protect u dear
Kwamba abaki na Ufala wake😂😂😂😂@@peterlujuo1640
Uyu billionaire yupo safi saaana ni smart saaana kichwani yaaan actually ana vitu vingi saaana me nimempa maua yake nice ❤
Ukiachana na mulokozi, milard ayo nae ni mtu mwenye akili sana. Mtakuja kunielewa baadae📌
Mungu amtunze sana huyu tajiri, huyu ni asset katika nchi yetu.
Sana kabisa
My son will be a next billionaire. Hongera sana kijana, the sky in not a limit.
Lakini pia millard nakushukuru kwa hili. Unajua kututafutia watu wa kutufundisha bwana sasa apa isingekuwa hii kazi yako wewe huyu jamaa si rahisi kumfikia na kupata madini kama haya. Hongera sana kwa kazi yako nzuri
Hii interview ina nondo kuliko kukaa darasani na kusoma biashara kwa miaka mitatu. Asante sana Millard.
Mimi nimepata degree tayari.
Sure then the guy is so generous
Mungu awafanikishe katika hilo la sim , mtaipatia nchi yetu Tanzania heshima na nitanunua sim yako Mulokozi nasubiri
Mulokozi Mungu akubariki sana
Wasomi wengi Tanzania tunachelewesha mendeleo ya nchi
Protocol nyingi kichwani lakini action mbov
Nimekupata na nimekuulewa Baba Mimi kipindi nimemaliza Chuo Mwaka Jana Nilipofata Kazi Hotel Watu Au Wanafunzi wenzangu Walinicheka But Sasa Hv Wananambia Niwaunganishe Asante Mungu Kwaajili Ya Kila Mtu anaweza kutuelimisha🙏
Nimependa sana jamaa anajielewa. Maisha yake ni ushuhuda👌.
God is everything
Asee Milard Ayo wewe pia uko talented sana,huyo mwamba nimesikiliza mawazo yake sana,amejua kutenganisha elimu yake na maisha halisi,natamani nifike babati nimuone fanya mpango wa appointment mkuu
Dah Mulokozi huyu mtu siyo wa kawaida fikra zake zinaenda mbali jinsi anavyoishi na watu wa Manyara ni elimu tosha kwa jamii haamini katika ushirikina kabisa mwenyezi mungu aendelee kukubariki pia hongera za dhati kwa Ayo Tv na Millard Ayo kwa kutuletea interview bora kuwahi kufanyika Tanzania tunasubiri Episode ya 5
Millard thanks bro 🙏 hizi ndo interviews za kufunza hustlers in streets, MADINi ni mengi sanaa this is all we need to hear and not motivation speakers wa manyoya hadi kuku miaaa😂💥🔥much respect to u all, Millard & Mulokoz👊🫂next episode please 😅😂
Haya yametimia sana masikioni mwetu,kumbe utajiri wa haki na unaodumu uko mikononi mwa mungu ..ni wazi unastahili pongezi sana brother Mlokozi
Libarikiwe tumbo la mama alie kuzaaa..wanawake msitoe mimba jaman yawezekana wanatolewa watoto kama hawa
Hata kama binadam.hatuwez kufanana kuna ataeza jambaz kahaba mweny kama huyo bas ili maisha yaende lazima tutofautiane
Ha ha ha 😂
Pia uamini Mali inasiri kubwa mno... siri yake ya mafanikio anaijuwa Mungu na yeye muhusika...kubwa ni kumuomba M/Mungu mwisho mwema..na tufate maagizo ya Mungu mtazame aliye chini yako upate kumshukuru Mungu usimtazame aliye kuzidi mafanikio ukapata kumkufuru Mungu....
Aise huyu kaka nimempenda tena namuombea kabisa kwa Mungu alimlinde na kumuongezea hizo baraka,binafsi nimefurahi sana kuona tajiri msomi maana watu washakariri matajiri hawana elimu 😒 this is such a powerful success story aise thank you millard
Usomi wake ametumia asilimja chache sana katika kutengeneza utajiri wake...uzoefu wa kazi ndio msingi wake
Kweli kabisa
HONGERAA SAAANA KAKA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA NA KUKUWEKA. BIG UP MILARD BILA WW TUSINGEMJUA BWANA MULOKOZI. PIA NAMUOMBA KAMA ANA HOSP KWAAJILI YA STAFU NAOMBA KAZI HAPO MM NI MUUGUZI MSTAFU WA MWAKA JANA NAOMBA KAZI HAPO
Dakika ya 34:17 asee bonge 1 la point. Ushirikina ni mojawapo ya factor muhimu mno inayoturudisha nyuma sana sisi waafrika not only kwenye ishu ya maendeleo but also kwenye hali za maisha yetu wenyewe kwa wenyewe. Salute broh kwa kulitambua hilo.
Nimempenda saaaana huyu Don
Simlizi zake zimenijenga sana.
Sasa Naona siwezi tena kuwa hivi Nilivyo,maana ni viiiingi nimejifunza, I have big future..
Thanks Tajiri.
Safi sana huyu mtu mi nlikua simjui kumbe tz wapo watu wenye hela zao na wametulia tu,hongera sana bro
Na huyo ni muhaya, lkn Hana sifa kama ambavyo inachukuliwa😂😅 kwenye jamii
Siku zoteee wat wenye hela hawanaga makelele daima ipo hivo
@fotunatusimsongole7341 mwijakua ni chizi
@@michaelmulokozi1512watu wana mawe kimya kimya wametulia tu...... hawa wajinga wajinga wa town ndo wanatuletea tabu km akina makonda.
Sasa makonda anahusikaje hapo tatzo unaroho ya wivu mno
Huyu mwamba namemwelewa. no fake yani, ametiririka kila kitu. Barikiwa sana. Yani hadi nimepata pa kuanzia
He is so real
Tunahitaji wasomi wanyenyekevu wasio na majigambo kama Mulokozi, hukukata tamaa ulipoona partinerships zinafaili,kuna la kujifunza hapa.Pia hukuona majivuno ya kusoma nje ya nchi,umerudi na kuamua kuajiri watanzania wenzako,Mungu azidi kukuinua umepewa kipawa cha kuona mbali sana sana.Hongera mno kaka yangu ❤
Nitakuwa natumia hizi interview kama great motivation kwenye safari zangu za kujikwamua kwenye umasikini God bless molokozi en you Millard ayo
Basi @millardayo katika interview zako zote hii ni the best interview kwangu narudia rudia yaani!!
Ndg Mulokozi hongera kwa kazi nzuri...ni jambo jema saana ila sasa
Wahaya mrudi muwekeze Kagera imesahaulika.. umetoa ajira babati bukoba jeeeee???
Niaje Deborah
Aisee mm nimvivu ku comment lakini kwa huyu jamaa nimeshindwa kunyamaza mungu akutunze broo
This Episode 4 kuna madini hatari. Picha linaendelea...
Dak 13 Mr Mulokozi anakuambia ana nguruwe 1'000+, farasi 20+, ngamia na nyati maji😮 doooh kama vile nauona utajiri wa king Solomon.
Dak 23 Swali unategemea kustaafu ukiwa na umri gani,,, kama umesikia vizuri farasi kaguna kagoma jamaa asistaafu mapema😂
Dak 31 Nimejifunza kuficha mafanikio ni kuwa na nidhamu ya woga... Kama kweli mafanikio ya halali basi taja ili iwe funzo kwa wengine
Dak 43 Tajiri ana hadi PA duuh
Na bado hajafikia ndoto zake...
INTERVIEW BOMBA SANA. Naisubiri Episode 5 🎉🎉🎉
😂😂👊👊
✊✊
@@millardayoTZAhuyu jamaa nampataje
@@millardayoTZABro nn maana ya PA nisaidie
Sana kaka
Haya madini ni aghalabu kuyapata duniani,,,,Big up Mulokozi
Aisee sichoki kukusikiliza Mungu wa mbinguni akulinde akutunze ,, uzidi kuwa mnyenyekevu
Big up brother wafanyabiashara wengi hukwepa Kodi wewe umekuwa mfano 🎉
Bro Mulokozi Safi sana. Nimependa uko muwazi hubani bani maneno. Mungu akubariki !
Bravo Mulokozi. Uko 100percent correct. Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa nae Zanzibar. Alikuwa boss wa UNDP alihitaji kuajiri wafanyakazi,nikamuomba aniajiri Mimi akakataa na kunoomba tuendelee kunywa soda zetu. Nikashangaa. Nikamuuliza anahitaji watu wenye sifa ipi? Akanijibu anataka wale waliopata Division 4 na zero. Kwa sababu hao ana uhakika atakuwa nao muda mrefu na hawatamsumbua. Wale wa Division 1,2 na 3 hawataki kabisa maana Bado wanahamu ya kutafuta mafanikio mbele. GOD BLESS YOU.
Ayo pia uko vizuri kwenye taaluma yako. Unatuletea mambo mazuri. Mahojiano na Mr Mulokozi ni ya Karne !
Watanzania tumshukuru Huyu baba kufunguka watu wa level hii huwa Hawafunguki
Matajiri wengi wabinafsi.
Huyu broo sio mchoyo wa maarifa ndio maana Mungu kambariki na anazidi kubarikiwa
Kweli kabisa
Huyu jamaa anajua sana. Hizi ndo interview zinazotakiwa kwenye media.
Huyu jamaa ni genius aisee
Mmh uyu jamaa hakwenda japan na uingereza kuzurura tu ni mtu aliyeenda kutafuta maarifa kwa ajili ya taifa letu. Na ni mtu wa kujali . Ubarikiwe sana Boss
Huyu jamaa ana madini - mpaka unatamani millard atengeneze episode 10. We still need to hear from this man. More episodes please Millard
Wasomi wapo wazuri na wenye uwezo...hapo swala kubwa ni cheap Labor na watu wasiokuwa na taaluma ni rahisi kuwatawala na kuwalipa kiduchu ila msomi mtasumbuana.
Ila Big up kaka ni Hatua kubwa sana kwa mtanzania maana tulisha zoea wahindi ndio wawekezaji Salute sana kaka
Yeah apo sure sema xx kawanyenyua wale kdgo maan wangekaa tu mtaani lbda wasengepata uwo uwezoo
Leo nacoment kwa mara ya kwanza huyu jamaa n mtu na nusu. Hongera mulokoziiii
Congratulations Mr. Mulokozi for your generosity. You have made these natives whom you work with to live better lives out of . You have turned their misery life of joblessness to prosperity. May God-the-Almighty bless you 🎉🎉🎉🎉🎉.
He is amazing, he is a gem for our nation, an example to young people
Kikubwa hapo imani ya dini yake...sadaka anazozitoa kwa jamii pamoja na kujituma ndio kilichomfikisha hapo ...tuna la kujifunza....hongera kwake
Huyu kaka anajua sana pia nashukulu kwakututambua naambao hatujasoma mungu asaidie azidikwenda mbali
This interview is so waoh, the man is so wisely. Nimsjifubza mnoo. Hongera sana Mr Mlokozi. Maono na Kampuni yako vizidi kutunzwa
Kuna kitu nimejifunza kwako bwana mulokoz, shukrani mirad
Safi bro uko very humble Mungu akubariki sana kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako🙏🙏
Mwamba anahofu ya Mungu anajua maisha yanapita ni mnyenyekevu af anajali watu wengine yani si mbinafsi
Mimi kuanzia Leo Mr. Mulokozi ni role model wangu, nawish kumsikiliza Kila wakati, Asante sana Millard kwa kutuletea mtu muhimu na muwazi kama huyu ambaye amefanikiwa kwa njia ya kawaida sana ambavyo hata sisi wengine tukiamua tunaweza, kwa mfano nafkiria ameanza kiwanda nikiwa hapa ninapofanya kazi Hadi sasa, umaskini unaendelea kushamiri lakini yeye ameshafika mbali sana kimaendeleo. Ukifkiria hicho kiasi alichoanza nacho kiwanda sio kikubwa sana, so anani inspire sana kuanza Cha kwangu mwenyewe haijalishi ni kwa Hali ya chini kiasi gani, japo sijui pa Kuanzia, Mungu anisaidie! Hongera sana Kaka, Mtanzania mwenzetu🎉🎉🎉
Kuna mtu alikua atuuwe kabisa haki yamungu , ila hapana mungu anamipango . Hongera kaka tunajifunza mengi yani duu umetupa mwanga wa fulsa na namna hukutaka kampuni ife ukihofia kuuwa ndoto za wengi duuh. Fikiria namna matajir wengi waliishiwa na watu wakakosa ajira jaman familia zikaumia nyingi .
Hongera sana shemeji Mungu akupe maisha marefu siku moja na wish kuwa kama wewe nimejifunza Changamoto zisinikatishe tamaa nimeanguka kipato kabisa Mungu nipe maarifa mapyaa
Brother ni kitabu cha kujikwamua kimaisha na Ayo unajua kuhoji maswari ya kujenga bravo
Uko vizuri sana unahela jalafu huna dharau watu wajifuze sana
Kukosa usingiz Insomina hiyo lazima ikupate ukiwa unatafuta maisha hongera sana
The best Interview ever! Hongera sana brother Mulokozi na ahsante sana brother Millard!
Hongera sana Bro binafsi nimejifunza mengi nami nina ndoto za kuja kumiliki kampuni yangu , Mungu akufanikishe zaidi na moyo wa uzalendo kwenye nchi yetu, big up.
Kumiliki kampuni raisi shida kusimama kiuchumi
Asante sana kaka kwa kufunguka. Haojaongea uongo kama King msukuma. Maana watu wa biashara tunakuelewa.sana
Hii interview imenitengeneza sana.. hongera sana Brother kwa hatua uliyofikia, pia nikupongeze kwa kushare mapambano yako... imenifanya niweze kufikiri zaidi.
Nashukuru sana tajiri wangu mungu akupe maisha marefu.
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza kwa sababu huna ubinafsi unafikiria sana nchi yako. Ni wachache sana wenye Moyo huo. Mungu akubariki sana.
Aloo am speechless, what a brilliant guy. Yes nyumba sio ya kifahari kama alivyosema but the things inside it it's dope. Imagine we look alike in business idea woow am into minerals liquor industry idea in my head, real estate and lastly pharmacistical as well . I am encouraged
KIUKWELI HUYU JAMAA NI SUPER GIFTED GENIUS
Father nataka kuongeya na wewe kidogo🙏, kwasababu nimekufahia sana na mimi nimeanze mwaka jana ila ningali na myaka 20old
Nimekuelewa kaka Mulokozi na nimepata elimu kubwa
Hongera sana kwa kweli nimependezwa sana na interview Yako . Nimejifunza kitu sana kupitia wewe nafikiria fursa nyingi sana . Ni mitaji TU tunakosa lakini kumbe hata kidogo unaweza kuanza kitu na ukafika mbali
Huyu Mulokozi yuko vizuri na kwa kweli elimu yake imeweza kumsaidia katika kutafuta fursa na pia amekuwa muwazi hii saaafi Saaanaaa!!
Safi sana na mm napambana kufikia mwaka 2030 nitakuwa bilionea mkubwa sana hapa Tz millard Ayo tunza hiyo comment
Na mimi nimeitunza.
@@SettaJoseph saf sana nataka mtu kama wew mwenye moyo mkunjufu
Bro respect you pia Mungu amwongezee marifa zaid katika kazi zake 🙏🙏
Fundisho nzuri sana Mulokozi, kitu nimependa jamaa cyo mtu wa kujiinua yaani yuko kama mtu wa kawaida, huyu mtu ataenda mbali sana, Mungu akulinde akutunze somo nzuri sana, Manyara tuna mtu.
Itoshe kusema....every successfull point is measured by point of creation and point of implimenting....bilionea mulokozi nakubali umeweza kutujenga vijana juu ya kupambania ndoto zetu na kuamini mipango binafsi iliyobebwa na tafsiri kuu ya kuamini unachokipambania....kongole millard Ayo for the best interview ever here is 2024 ❤❤❤❤❤🎉
Daa hongera sana Kaka millard naomba niombee kazi ndugu nipo mbeya aniajiri ktk kiwanda Cha iwambi _ mbeya.
Huwa nakatiza kusikiliza story ndefu , lkn hii mpk kufika mwisho naona km ndio unaanza ' wengi umetufumbua MULOKOZI big up
Hongera kwa kazi nzuri kuhusu usingizi Sali sana wenzio wanaamua kukutesa usilale na huo si mpango wa Mungu
Dahh millard huyu jamaa n genius aiseh.
Jameni asante sana kwa haya kwa pamoja na shukuru sana kwa mwandishi wa habari pamoja na mhojiwa
Asante nimejifunza kitu hapa
Da safi sana.....HILI NENO MILAD KALIONGEA MARA ELF 6
😂Hatar
😂
Thanks mulokozi we hv learnt alot , im watching from New zealand
Aisee nmejifunza vingi kupitia huyu jamaa, asante Millard kwa interview nzuri
Kama unamkubali mulokozi kutoka bukoba muhaya asilia like hapa❤
what an interview hii ni yenyewe kabisa nmechukua madini ya kutosha bonge la interview saan
Kwa mambo ya ukabila hapo kiukweli my hands 🙌 down and I’m proud of you, wewe ni mtanzania mzalendo na hii ndiyo Tanzania 🇹🇿 tunayoitaka, Grand rising ✊🏾💯
Mulokozi hapo nmekuelewa sana yaan kwamba ukiwa unafanya kazi Kuna time unatakiwa ujipongeze ni nzuri hyo nmeipenda sana❤
Bro respect you,,,pia Mungu amwongezee marifa zaid katika take🙏🙏
Bro respect you,, pia Mungu amwongezee marifa zaid katika kazi zake 🙏🙏
Kaka shikamoo naomba sana sana nisaidie mtaji kaka nipo dar Sina kazi nilikua naendesha kirikuu nimenyanganywa nisaidie mkuu nipate kirikuu mkuu mungu akupe nguvu.
Muombe Mungu kwanza aliye mmiliki ww na yeye utapata tu
Kwer
Hongera sana broo
Fanya kazi
....hongera sn kaka mulokozi,kwa yote uyafanyayo,karibu sn mbeya au Green City kama ulivyosema,cku c nyng! Bnafsi nakusubiria haasa kwny project yako,utakayoianza.b blecd.
This is a power talk na kwa watakao fatilia aliosema hapa for sure watapiga hatua ....thank you for sharing ...umezungumza njia nyingi sana za mafanikio
Hapo kwenye nguruwe kasema kweli aisee Kama MTU unamtaji na hujui chakufanya plz anza na nguruwe utakuja nishukuru nakama huna utalamu wowte juu ya huo mradi tafadhali ntakusaidieni kuwaelekez hata japo kidogo 👍
Toa namba zako
Laoiyadi tunaomba maelekezo
@@estherlufingo7299 tuma no yako nikucheki
Yaani kaka uko vizuri, umeongea madini tupu barikiwa sana kaka.. barikiwa Milard
Anajieleza vizuri sana, na anajibu maswali kwa ufasaha, maelezo yamenyooka, mifano hai na mengineyo. Mahojiano hayachoshi kabisa. Na kujifunza mtu unajifunza. Hongera millard hongera na kwa mulokozi piaa.
Exactly. Huyu anavyojieleza, unajua kabisa utajiri mbali ya mali, ni akili yake.
Chenye anasema jamaa ni pure true.. Alhamdulillah mm sima elimu ya veterinary lkn kuna veterinary doctor kwa kampuni yetu na inabidi mm nimpe elimu kulingana na experience Niko nayo cha ajabu anatumia elimu hio hio anakuja ku impliment kwangu ni kana kwamba yy ndo alkua anajua na hajui chochote na ametokq shule😂😂.. experience is more better than izo documents
Ndiyo faida ya elimu hiyo...!!!
Mimi nimekuelewa tofauti kidogo, haukutaka kutumia watu maarufu kutangaza biashara yako ila umeamua kutengeneza nyumba ambayo imetumika kutangaza biashara yako na umefaulu, hongera sana broo hii ndio maana ya elimu.
Huwa nashere hii story kwa mtt wangu wa kiume anayepambana naamini mungu atajifunza kitu
Leo nimepata bahati ya kusikiliza tena mahojiano ya kaka Mulokozi, nimeendelea kupata tafakari ya kina, nitajitahidi kufika Babati siku moja japo kukutana naye uso kwa uso tu nadhani itatosha maana kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwake hasa jinsi anavyoishi na kuyachuliwa maisha!
Uyu atakua ni mimi mnamo mwaka 2030...#Millard just keep this comment..🙂
Aisee ni neema ya ajabu kaka Mungu akulinde zaidi
Imekaa poa hiyo, greatly inspiring
Daah safi sana🔥🔥milard ayo sayed several times
ubarikiwe Sana na kiukweli ume 38:28 barikiwasana asante kwa kuwakumbusha vijana kuhusu ajiira elimu ni nyenzo yako kuwa na uwezo kujikimu sio serikali ikupekazi kama tulivyo à wazazi time waamisha waatoto wetu laziima serikali dhana potofu
A very bright, hard working & focused young man! Mungu akuzidishie!
A sentence with a lot of adjectives! Thanks 🎉
Kodi zaidi ya b1 kwa mwezi..! Aisee c mchezo brother ana ukwasi big up aisee 👏 👏 👏
Asante sana kwa darasa huru, Mwenyez Mungu atatuvusha.