hawa wameizulumu nssf. na Nssf amemzulumu mbia wake katani ltd wa tanga. na katani amewazulumu wafanyakazinwake. na washurika wake. madeni haya nssf anafaa ayalipe kwa sababu katani na nssf ninwashirika wabua wamoja. akifa huyu anasimamia huyu.
Mbona mwenye hizo mali na magari anaonekana hana furaha na badala yake analazimisha furaha na ndivyo ilivyo kwa matajiri wetu wengi. Hizi Mali ni miujiza tu usikute majeneza hizo gari
Baba mbona huyo sio saidi tunae mfaham? Saidi kakaa kasulu sana sii tunamfaha sana tu hadi washikaji zake akina yasini mi mwenyewe nimemunyoa sana saloni… jamani acha maigizo
Kamnyooshe mama ako😂😂fara wewe
We I dentify our selves we don't compare to others.Kujifunza kuridhika
😂😂😂
Very nice and motivation to Africans and Tanzanians youth 🇹🇿. Well done Mr lugumi 👍💰🔥
AMEN 🙏🏽
Ndio Said kabisa aliye kuwa KSL Mimi nimefanya nae kazi office Moja.
Bwana saidi Hamad lugumi nikweli anataka kumuowa binti myarwanda jina lake miss mutesi jolly nikwe ao
kwq kweli sielewi. said lugumi kumpa pesa kijana tajiri alafu amwambie akawawqshe kwenye bar zapombe au zamichezo. hapo ndio sielewi
Safi broo nimekumbuka Masaki na Maiko Mkuria (site)
bora nife masikini kuliko kutajirika kwa njia ya freemason
Atafirwa na tamaa zake😊
Mbona hawanaga familia Hawa majembe
Kipindi Cha JPM asingeweza kufanya haya mambo
Kwani lipi baya alilofanya
We rugumi tuweke pesa zetu za nssf bwana kwanini sisi wanyonge mnatukandamiza
Waoooh beautiful Rides
Great 🎉
Maa shaa Allah
Nakubali
Mashallah
Nipeni no za BOSS SAID LUGUMI
Saluti kubwa kwa mzee
Respect sana
Hapa ndipo ninapokuelewa Chief Godlove
Amen 🙏🏽
Ametoka kuliwa nn
Said balaaa
🔥🔥🔥
Uyu side lugumi apewe mauwa yake ,tusiwe wanafiki kuna wapumbavu wanamkashifu ila kulamaisha
hawa wameizulumu nssf. na Nssf amemzulumu mbia wake katani ltd wa tanga. na katani amewazulumu wafanyakazinwake. na washurika wake.
madeni haya nssf anafaa ayalipe kwa sababu katani na nssf ninwashirika wabua wamoja. akifa huyu anasimamia huyu.
Atapakwa baby oil....
Aya endeleen ip siku mbaya yaja
Salut
Huyo mgonjwa hata ukimuangalia hayupo sawa
😂😂
Kivipi
@@kagoziprotv😂😂
Mbona mwenye hizo mali na magari anaonekana hana furaha na badala yake analazimisha furaha na ndivyo ilivyo kwa matajiri wetu wengi. Hizi Mali ni miujiza tu usikute majeneza hizo gari
woow 😢
😂
Hahaha kaka tafuta ela furaha haionekani kwa macho Mzee
Acha wivuu kijan 😂😂
😂😂😂😂@@chrisswaller960 hakika umempa jibu nzr
Huyu ndiye anataka kumuowa Naomi wa Rwanda kweli ?huyu anafata pesa tu sio mke WA kuowa kabisa
Sio naomi,naomi kasha olewa ni miss jolly
Huu ndio uchawa makini
Chief wap hyo
fulaha yako IPO siku itakua kilio kikubwa sana
Acha vitisho Tafuta pesa
😂😂😂
Kweli kabisa fedha zako usipo kuwa makini zitakuchoma moto
th-cam.com/video/Wq3u0txyYto/w-d-xo.htmlsi=m1tMg_5_ztAMJqnf
😂😂😂😂😂
Baba mbona huyo sio saidi tunae mfaham? Saidi kakaa kasulu sana sii tunamfaha sana tu hadi washikaji zake akina yasini mi mwenyewe nimemunyoa sana saloni… jamani acha maigizo
@kenaniBishangazi humjui Saidi Lugumi 😅😅huyo hapo ndio Saidi Lugumi mwenyewe kama huamini nenda milard hayo utamuona ni huyuhuyu.