Nawapongeza kwa kipindi kizuri sana kwa mafunzo ili kuleta ustawi kwa kizazi hiki;naomba unisaidie mawasiliano na huyu jamaa ni muhimu tafadhari naomba sana.
Tatizo letu tunapenda kulaumu serikali wkt cc wenyewe hatuna jitihada ya maendeleo(siyo wote) lkn wengi wetu. Nawasifia sana hawa jamaa zetu nao pia siyo lkn % kubwa wakiachiwa mali na wazazi wao maendeleo ya kuendeleza ni makubwa. Njoo kwetu( hapa pia nasema siyo wote lkn % ndogo ndiyo wanajiendeleza vizuri) tutaachiwa mali na wazee baada ya miaka mitatu tayari mali zimeishia kwa mademu magari starehe end of the day tutaanza kulaumu serikali na mambo mengine ya kijingajinga.
@@herculesthepower1544 mimi naamini kabisa vijana tukiacha kukimbilia mijini na kujifanya sijui wamachinga tukijikita kwenye kilimo na Ufugaji tukiwa na malengo kabisa tunatoboa vizur
Nimependa sana mmmmno. Please crown media mulete vipindi kma hivi. Vya jamii sio wengine wanaleta shaluwadu. Mara kungwi. This is motivation development ni society respect . Haya jamii elimu hizi
MashaAllah tabaraka Rahman, kiswahili kwenda mbele haweki English hata kidogo, wangekuwa hao wajinga wengine ,mwaka tu nje atia English, kuwa wakujivunia lugha yetu kiswahili,Allah akubariki twashukuru kwa elimu ya maendeleo
Mtangazaji upo vizuri sana na unauliza maswali yenye tija na msingi, hongera sana kaka. Tungeomba kupata vipindi kama hivi hata kwa mwezi au wiki mara moja tunajifunza mengi hapa
I am happy to see a Tz citizen young. Educated. Studied abroad. But decided to come back home to invest at home. And empower the local people. You are one example that young Tz people need to learn this
Hongera sana crown tv, hv ndio vpindi Bora vyenye manufaa kwauma, sio michawatu wanaongea upuuzi. Mala ICU, mala masham sham upuuzi tupu, pigeni kazi vjana
Mwandishi jitahidi kumwachia mwandishi akamilishe majibu mathalani swali la mbegu walizoagiza kutoka nje ameanza kutaja ukamhamisha. Hata hivyo kwa kiasi kikubwa uko vizuri.
Postive and Inspiring, natamani sana kukutana na Mr Richard Phillips wa Iringa nijifunze nadhani hawa ndo Giants wa Ufugaji Ng'ombe na Farasi Tanzania.❤
Kaka Huyu nimempenda Sana kasoma nje ila wangekuwa wenzangu na mimi wanaulizwa kwa kiswahili wanajibu kizungu ooo uknow I'm ... Hawa ndio watu tunaotaka kuwasikiliza watu kama sisi Wana Mali na hawajisikii wasaniii shida tuu
Katika maisha yakiafrica hatuna back ground yakuendeleza tulicho nacho Maana familia inakusomesha kwa kuuza hadi mashamba wakitengemea utakapo maliza ili uzirudishe lakn mambo hayawi rahis kias hicho kwahy ndio maana wa Africa wengi Hatuendelei.
Kwa kweli matajiri ndio hawa sio wakina mond ni kelele tu gari mara nyumba mara ofc.huu uwekezaji wenye maana kabisa na kuna chakujifunza kwa sisi masikini.sio mziki
Nzuri sana lkn chanjo nyingi sio nzuri kwa afya ufugaji wa kienyeji ndio bora mimi nimekaa Botswana ng'ombe wanaachiwa mitaani kisha wanarudi wao myumbani chanjo sio sana
@@innocentandrea6482 Botswana ng'ombe wapo huru mimi nimekaa miezi 4 ww umekaa wapi? Nimekaa Metsimuthabe,ndani ya Gaborone naijua Botswana vzr G.West mpaka mlapolole,kopong,Magodisane sehemu hizo ng'ombe wanaachiwa mitaani tu baadae wanarudi myumbani huwezi iba maana wamewekewa kitu hivyo GPS Inawaona...yapo maeneo wanakaa kwenye maeneo makubwa pia maana kule population ndogo mno hivyo wana maeneo ya ufugaji...
@@abdulbiro7656 ndio nimemwambia huyo Botswana naijua vzr sema kuna watu huwa wanabisha tu...Botswana zamani ilikuwa hakuna wezi lkn wakaja wazimbabwe ndio wakaharibu kila kitu..Ni sehemu nzuri sana siasa za magharibi ndio zinaletaga ujinga..Botswana hakuna sonara lkn ukimwambia mtu anabisha hahahaha
Nina Imani Crow media mtaibua vipaji vingi na kuibua wafanya biashara wengi wenye kufanya makubwa kwenye nchi ila hawajulikani jambo ambalo litawasaidia wananchi wengi kuwa inspired kupambana pasipo kukata tamaa
Hyo inaitwa Embro transfer we do it in our farms, nataman sana unialike tunaweza kufanya kwako pia. niko Dar es salaam alaf nakufaham sana brother nitakuchek kwa maana namba ninayo.
Akili kubwa Haya mambo ndiyo tunatakiwa kusikia kama vijana, jamaa Yuko open ana moral ana inspire lolote unaweza fanya kama una ndoto, na ufanye research kabla kuliendea Jambo, na ufanye Kwa ubora Wa hali ya juu, tumepata madini ndio maudhui mazuri tunayoyata kusikia
Tunashukuru nyote mliopenda maudhui haya, usisite kushare Link ya Maudhui haya kwa wengine ili wapate kuelimika zaidi
Nilichowapendeya mnazo camera safi pamoja na hivyo vipaza sauti aise mmehuwa kinyama
Jamaa anajua
Mtangazaji mkali Sana,KAZI Nzuri Sana,cool,logic ... Big up mtangazaji na crown media 🎉🎉🎉🎉
Nawapongeza kwa kipindi kizuri sana kwa mafunzo ili kuleta ustawi kwa kizazi hiki;naomba unisaidie mawasiliano na huyu jamaa ni muhimu tafadhari naomba sana.
Naweza pata contact number ya huyo brother? Please!
Hizi ndo mambo tunataka sio habar nani bwanawake nani kaachana na nani kaolewa na takatka sjui kuchafua hal ya hewa... fantastic
Kabisa nduguyangu mimi huwa napenda sana content hizi 💪
Tanzania bila umbea inawezekana
Tatizo letu tunapenda kulaumu serikali wkt cc wenyewe hatuna jitihada ya maendeleo(siyo wote) lkn wengi wetu. Nawasifia sana hawa jamaa zetu nao pia siyo lkn % kubwa wakiachiwa mali na wazazi wao maendeleo ya kuendeleza ni makubwa. Njoo kwetu( hapa pia nasema siyo wote lkn % ndogo ndiyo wanajiendeleza vizuri) tutaachiwa mali na wazee baada ya miaka mitatu tayari mali zimeishia kwa mademu magari starehe end of the day tutaanza kulaumu serikali na mambo mengine ya kijingajinga.
@@herculesthepower1544 mimi naamini kabisa vijana tukiacha kukimbilia mijini na kujifanya sijui wamachinga tukijikita kwenye kilimo na Ufugaji tukiwa na malengo kabisa tunatoboa vizur
Mawasiliano hamjatupa
Nimependa sana mmmmno.
Please crown media mulete vipindi kma hivi. Vya jamii sio wengine wanaleta shaluwadu. Mara kungwi. This is motivation development ni society respect . Haya jamii elimu hizi
Kabisa yaan una weza angalia ata na wazazi wako...!!
Maashaallaah God bless
Ujalazimishwa kuangalia wew kulinji
yan sio lazima kusema media nyingne ili kusifia media nyingne. ukiona kipindi hakikufai ujue hakikuandaliwa kwaajili yako ila kuna mtu anapenda
😂😂et kungwi
Msela sana huyu jamaa. Easy going Boss. Ukifanya nao kazi hao inakua simple. Hapo ofisini kwake kuna Quotes za kisela sela😅😅
MashaAllah tabaraka Rahman, kiswahili kwenda mbele haweki English hata kidogo, wangekuwa hao wajinga wengine ,mwaka tu nje atia English, kuwa wakujivunia lugha yetu kiswahili,Allah akubariki twashukuru kwa elimu ya maendeleo
Hana ulimbukeni anajua anachokiongea kitatusaidia wengi tusojua lugha
Kwa mara ya kwanza nacooment kwenye mahojia TH-cam, Mtangazi anajua kuhoji, nimependa swali alilofungulia kipindi, Kwa Wenye akili Ni swali gumu sana
Kweli me too
Mtangazaji kaenda shule big up sana
Haya ndio mahojiano ambayo ukiyasikiliza unapata kitu chakujifunza . Hongera mtangazaji
TEMIDAYO .. Utulivu Mkubwa Maswali Mazuri 🔥💪
Da yaani gafla nikamuona Pep guadiola😅😅😅 big up sana crown media kila kitu kiko very good quality
😂
Hilo gari ukikutana nalo njiani kaaa mbali huyo ni mbogo kweli mwamba yupo seriously syo mgen kwangu😂😂😂😂 #mullar weeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Utakuwa unapishana nalo sana mzee, huyo hanaga mwendo mdogo
Anaonekana ana mawazo chanya sana, ana utulivu wa akili na anaelewa maisha ya kitanzania!
Good job.. hii ndo nguvu inahitajika kwa Diaspora ya Kitanzania kuiga.. big up
Huyu ndio mtangazaji ana stahili kufanya mahojiano kama haya
Kweli kabisa
Huyu jamaa safi sana na niwakuingwa sio wasomi wetu wakipata Hela wanafungua mabaa ya pombe na kuharibu nguvu kazi ya taifa
hahahahaha huyu jamaa watatoa wapi pombe wasomi wetu wasipofungua Bar??
Mtangazaji upo vizuri sana na unauliza maswali yenye tija na msingi, hongera sana kaka. Tungeomba kupata vipindi kama hivi hata kwa mwezi au wiki mara moja tunajifunza mengi hapa
I am happy to see a Tz citizen young. Educated. Studied abroad. But decided to come back home to invest at home. And empower the local people.
You are one example that young Tz people need to learn this
😢kwa Nini usitumie kiswahili Ili ueleweke na Watanzania wengi Zaidi?
Hongera sana crown tv, hv ndio vpindi Bora vyenye manufaa kwauma, sio michawatu wanaongea upuuzi. Mala ICU, mala masham sham upuuzi tupu, pigeni kazi vjana
Ni kweli #HapaNiNyumbani aise noooooma. Nimeipenda makala hii
Mwandishi jitahidi kumwachia mwandishi akamilishe majibu mathalani swali la mbegu walizoagiza kutoka nje ameanza kutaja ukamhamisha. Hata hivyo kwa kiasi kikubwa uko vizuri.
Kaeni hivyo hivyo crown media msije kuwa machawa amen.
Mungu ibariki Tanzania yetu,na azidi kubariki pia vizazi vyetu.Amen
Brother Mulla jaribu pia SUA walikuwa na mbegu bora sana ya ng'ombe wa nyama.
Nimependa sana haya maongezi. Ninapenda ufugaji . Nitakutafuta. Shukrani sana.
Mahojiano ya juu sana haya mic zinachuja saut vizur pia mwamba anahoj vizur sana
Hiyo Familia Toka Babu ni watu kazi..wapo smart sana..lipo la kujifinza
Quality ya Video 🔥🔥🔥 na content
Noma sana 🎉🎉🎉
Crown hapa ni nyumbani❤❤❤❤
kazi nzuri ALLAH bless you this is what we need
Hapa ni nyumbani napenda sana kilimo
Ongereni kwa kazi nzuri mnazofanya
Hongera sana kwa uwekezaji mkubwa ulioufanya. Mungu azidi Kukutangulia🙏Pia mtangazaji Ubarikiwe
Safi sana Crown Media. Ki ukweli mmefanya interview bomba sana.
craun media, safi. sana.jikiteni kTka mambo mazri kamahaya,kuwenitofauti na wenzenu tumewachoka
Hapa ni nyumbani Crown media 👑 wote tunawapenda
Navutiwa sana na podcasts kama hizi.. Crow Media mmejua kunikuna roho haswa.. Mungu awatunze sana hao wengine yyte yawapate😅
Nahitaji number na email address ya huyo Mfugaji
Hongera sana kaka Kuna jambo kubwa la kujifunza hapa kwa vijana pia wa Tanzania wote
Postive and Inspiring, natamani sana kukutana na Mr Richard Phillips wa Iringa nijifunze nadhani hawa ndo Giants wa Ufugaji Ng'ombe na Farasi Tanzania.❤
Na mi Pia Ni Remy mzaliwea wa Buyenzi Kwa sasa nipo Egypt Cairo, Nimefirai kuskia Brother amezaliwa December 1991 kama mimi. much love bro.
😂😂😂😂
Sasa ww mpka sasa umeekeza ktk nn😅
Egypt ya Bunyokwa...😂
Urudi na wewe uwekeze mkuu
@@mvullamanasembona huendani naunayo yafanya 😢
Kaka Huyu nimempenda Sana kasoma nje ila wangekuwa wenzangu na mimi wanaulizwa kwa kiswahili wanajibu kizungu ooo uknow I'm ... Hawa ndio watu tunaotaka kuwasikiliza watu kama sisi Wana Mali na hawajisikii wasaniii shida tuu
Ni kweli kbs angeongea kimombo kitupu na kujifanya kiswahili akijui na utajiri alojaliwa
Jitaidi sana kuleta maudhui kama haya inaleta hamasa safi sana crown media
Kazi nzuri sana , vijana sisi tujifunze kuwekeza katika sector ya kilimo na ufugaji
Nakuunga mkono
Hii Interview inanifanya nipate fikra tofauti kabisa katika upambanaji wangu. Ahsanteni Crown Media
Crown ❤🔥🔥🔥🔥
Mtanagazaji , upewe maua yako best interview ever big up bro
Kipindi Bora kabisa cha maendeleo na uchumi,hongera sana muundaaji na team yako yote...
Makala muruwa kabisa! Hongereni Crown Media
nice job big up crown
Quality Voice & video.. 🔥🔥🔥🔥
Makala kali , na kamera njo uniseme sasa cool
Katika maisha yakiafrica hatuna back ground yakuendeleza tulicho nacho Maana familia inakusomesha kwa kuuza hadi mashamba wakitengemea utakapo maliza ili uzirudishe lakn mambo hayawi rahis kias hicho kwahy ndio maana wa Africa wengi Hatuendelei.
jamaa kavaa under armour. he is one serious dude
Kwa kweli matajiri ndio hawa sio wakina mond ni kelele tu gari mara nyumba mara ofc.huu uwekezaji wenye maana kabisa na kuna chakujifunza kwa sisi masikini.sio mziki
Broo af ukiangalia humo hamnaga vat hmnaga kodi yan huko kuna fursa
This was highly informative
Nice job
Kazi nzuri mkuu
Themidayo! You're the Best....Good Interview..👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hapa ni nyumbani ❤❤❤❤
Nzuri sana lkn chanjo nyingi sio nzuri kwa afya ufugaji wa kienyeji ndio bora mimi nimekaa Botswana ng'ombe wanaachiwa mitaani kisha wanarudi wao myumbani chanjo sio sana
Wacha bana,Botswana ipi
@@innocentandrea6482 Botswana ng'ombe wapo huru mimi nimekaa miezi 4 ww umekaa wapi? Nimekaa Metsimuthabe,ndani ya Gaborone naijua Botswana vzr G.West mpaka mlapolole,kopong,Magodisane sehemu hizo ng'ombe wanaachiwa mitaani tu baadae wanarudi myumbani huwezi iba maana wamewekewa kitu hivyo GPS Inawaona...yapo maeneo wanakaa kwenye maeneo makubwa pia maana kule population ndogo mno hivyo wana maeneo ya ufugaji...
Nikweli! Botswana ngombe ni wengi mitaani
@@abdulbiro7656 ndio nimemwambia huyo Botswana naijua vzr sema kuna watu huwa wanabisha tu...Botswana zamani ilikuwa hakuna wezi lkn wakaja wazimbabwe ndio wakaharibu kila kitu..Ni sehemu nzuri sana siasa za magharibi ndio zinaletaga ujinga..Botswana hakuna sonara lkn ukimwambia mtu anabisha hahahaha
Sio hivyo, huwezi kuuza nyama ulaya bila kuchanja mifugo yako
Crown 👑
Mko vzr
Safi sana, kuna soko kubwa sana la nyama quality hapa hapa Bongo, watalii zote wanakula nyama kutoka nje.
Hongera sana sana My Son Mulla. Move forward we need Young Boy s like you because foolish young are Many in the world. Well-done job.
Ata sikujua @temidayo yupo crown,,,,excellent work.tunategemea kuona zaidi vipindi bora kama hivi
Nzuri sana , interview yakiwango imeenda shule, tatizo hatujapata mawasiliano ya uyo jamaa wengine tupo mbali
New millard ayo
Huyu ni zaidi ya milardayo
Big up crown 👑 media
Mmeleta mageuzi kwel katika tasinia hii nawapa mwaka mmoja mtakuwa top ya TV zote za hapa tz
Temidayo 🎉🎉🎉
hi elimu nimeipenda Sanaa crown 👑 👏👏👏
This is a good thing to hear and to learn as well.Big up
Crown mko vzr Sana
Hapa ninyumbani. Hongera kwa mahojiano mazuri
Crown média ❤
Crown 👑 medir ni hattari... high qwerlty ❤❤❤
❤❤❤❤so good
Asante mtandazaji kutuletea mtu mwenywe maon kwenye Tanzania yetu
MashaAllah Mr Naweed, Allah akufanyie wepesi in shaa Allah, umeni impress
Background yake ina capital investment tutafute jinsi ya kuwasaidia wasio na msaada wa vizazi vyao
Daah aloo hii Ni level nyingine saana🎉
Crown be blessed mungu azidi wabariki❤
Everything is quality
Saf Sana Crown 🎉
Nina Imani Crow media mtaibua vipaji vingi na kuibua wafanya biashara wengi wenye kufanya makubwa kwenye nchi ila hawajulikani jambo ambalo litawasaidia wananchi wengi kuwa inspired kupambana pasipo kukata tamaa
Hyo inaitwa Embro transfer we do it in our farms, nataman sana unialike tunaweza kufanya kwako pia. niko Dar es salaam alaf nakufaham sana brother nitakuchek kwa maana namba ninayo.
Safi sana Crown media ama kweli Hapa ni nyumban#
Nimemkubali sana huyu mwamba hakika crown wako vizuri sio kama wale wanashindana kuvaa minyororo shingoni.Crown noooma
CrownMediaTZ nawaona mbali Sana baada ya mda mfupi tu🔥🔥
Thanks mr Naweed best interview 👌
Hongerèni crown sio wengine wanaleta vipind vya kipuuz
Safi sana 🎉🎉
Crown
Hongera sana wawelezaji kuwa waaminifu na serikali pia hongera
This is a profitable interview , nice , keep it up ,
Akili kubwa Haya mambo ndiyo tunatakiwa kusikia kama vijana, jamaa Yuko open ana moral ana inspire lolote unaweza fanya kama una ndoto, na ufanye research kabla kuliendea Jambo, na ufanye Kwa ubora Wa hali ya juu, tumepata madini ndio maudhui mazuri tunayoyata kusikia
Baharia kajipanga🤔 sana.. Big up bro.. uko vizuri💯👍👍
Nakubali
My next president mungu akulinde
This is nice, bring things like this, motivational
Safi sana. Kipindi kizuri. Hongera kaka yangu kwa uwekezaji.
Great interview brother ,ila age ya mwamba daaah
I love this kind of content ❤