Huyu mkaka kwa kweli kila siku namuombea dua Mungu ambariki kwa kila anachokifanya. Maneno yake yalinisaidia sana kuweza kupamba na stress kipindi hicho nilikua nimeathirika sana na msongo wa mawazo,, Mungu akupe kila hitaji la moyo wako kaka angu
@@joelnanauka Natanani Sana kujifunza mengi kupitia kwako b'coz u are like blood brother to me Moja ya ndoto yangu au moja ya section za safari ya mafanikio yangu ni kukutana na wewe na kuwa karibu sans na wewe kwani you always bring changes in life millions of people hope utasoma hii comment kwa umakin na uhisia wa huruma sana 0711304521 my number brother
Kwa kwel bro Joel Inafika muda nashindwa pata neno la kukusifia coz kama ni kusifu tume sifia sana Kama ni kupongeza tume pongeza sana Ila ipo siku utakuja uone matunda uliyo yapanda katika shamba langu you will see me at the top I promise you bro⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲
shuback mashinga Ahsante sana Shuback,naamini unaendelea vizuri sana.Nitumie namba yako pia nitapita hapo nikiwa Naenda DRC August tuma kwenye 0756-094875
Nashukulu Sana kaka mm nko ndan ya mausiano ambayo yanankosesha fulaaha kabsa Ila cjui ntumie njia gan maana mm uwa najihic mpweke kwaiyo naona nkikaa ndan ya mausiano naweza kupata fulaaha lakin naona inakua tofauti Ila ntajitaid kua Cha nashindwa Ila ntajitaid kufuata somo hili ili niwe mmiliki wa fulaaha yangu mwenyewe
Habari kaka.First of all napenda kukupongeza sana kwa elimu unayoitoa kiukweli imenisaidia kwa kiasi kikubwa sana ktk maisha maisha yangu.ila naomba unisaidie zaidi jinsi ya kupanga bajeti maana kila ninavyo jitahidi lakini nashindwa najikuta bado Niko namipango isiyo endelea asante.
Wow this one is for me thanks to my mother for sharing the link i am going though all the four steps you've mentioned confusion, unworthy, giving up, don't care and doing nothing as you said being an idol thanks very much God bless I really need help idol bless you daddy 😉😄😊😍😍😍🙇🙌💪barikiwa sana
Naomba ushauri kaka angu kitu kinacho ninyima furaha n mazingira yangu y kazi,inafika wakati nataka niache kazi,mazingira magumu n uhamisho serikalini umekuwa mgumu sana nakosa raha
hii ya kusimamia ninachokiamin hasa ndo huwa sometimes inanikosesha amani na furaha but Leo ntaongezea hzo tips zingne ili niweze kuwa stable, #SeeYouAtTheTopToo
Nimejua funza kitu leo nahisi nilikuwa nimechelewa maana niko kwenye mahusiano lakini nimekuwa ni mtu wa kukosa furaha kila siku mimi ni kulia barikiwa kaka joel
Nashkur sana kaka @joel nanauka kwani nimekuwa nikifanya mambo mengi sana yaliyo kinyume na dhamira yangu, pasipo kujua kama ndio chanzo cha kupoteza furaha yangu, kuna kipindi nlikuwa najikuta najawa na huzuni lkn sikuwa najua kama sababu ni hii ya kufanya mambo kinyume na dhamira(malengo)yangu. #nashkuru sana kwa somo hili na MUNGU andelee kukubariki.
Kwakel hali ipo mbaya sana kiuipande wangu natafuta furaha lakin inaondika wakat nikifiria mambo yalio pita hapo awali naomba ushauri katika jambo hili
Joel naomba ushauli. Nashindwa kuamua npo ndan ya kaz yenye changamot ila ninamda wa miaka 4 ila changamoto inazid . Ikabd niweke mahesabu yangu vzr ili npate mda wa kuacha kaz sasa kuna m2 kaniambia niende kufanya nae kaz na mda nliopanga kuacha hii kaz bad ila changomoto ndo zinazid je nifanyeje kaka joel
Mimi naishi Alusha kwakweli nimefika mwisho kwa Akili zangu naomba ushauli naishi na mwanaume asiye taka niwe na chochote kwenye maisha yangu,Mimi ni mchungaji,Hataki nisafili kuhubili Hataki nisuke au nipendeze,anasema Mambo hayo Niyadunia,kwamba nisijifananishe nawengine ,siluhusiwi kushauli kitu chochote,Mimi niwandiyo Sasa kunavitu vinanikosesha fulaha kwanza mulnekano wangu,wakieoee,unanipa hofu,nalata Tamaa,naomba ushauli.
Huyu mkaka kwa kweli kila siku namuombea dua Mungu ambariki kwa kila anachokifanya. Maneno yake yalinisaidia sana kuweza kupamba na stress kipindi hicho nilikua nimeathirika sana na msongo wa mawazo,, Mungu akupe kila hitaji la moyo wako kaka angu
Asiah Mariam Ameen nashukuru sana kwa kuendelea kuniombea kila siku
Mimi bwana naona mambo yananizidi kaka Kila ninalofanya halitimii mpaka sipati usingizi vzr nifanyaje kaka nisaidie
Ujazo wa roho mtakatifu unaleta furaha ya kweli.tunda la roho
Kaka Joel nanauka Mungu akubariki na akupe maisha marefu uzidi kuwasaidia na wengine.. Naomba kuonana na wewe Kaka cjui ntakupataje..
Joyce Laizer Amee Joyce karibu sana,tuwasiliane 0756-094875
Asante mtaalam nimejifunza kitu nikikosaga pesa furahi nakuwasina nifanyeje Ili nikikosa pesa niwenafuraha
MUNGU azidi kumtunza mama joe make kazaaa mussa anako tutoa ni kugumu Sana juu ya mafundisho yake yanazidi kutuinua upya
Naomba unisaidie namna ya kurudisha furaha yangu
Kaka angu mungu akuweke daima maan unatutoa kweny giza na kutupereka kweny mwanga
Thax bro
Umeniona maana leo nimesikia taarifa mbaya kuhusu mimi nusu nidate but kupitia somo hil
Niko vzr now
Barikiwa bro
Furaha nikitu mhim sana ktk maisha mda mwingine huwa nina jirazimisha kuitafuta
I learned Something Furaha yangu,mabadiliko yangu na mafanikio yangu yana mchango wako mkubwa sana kaka
Saeed Kakere kabisa saeed huo ndio ukweli wenyewe
@@joelnanauka Natanani Sana kujifunza mengi kupitia kwako b'coz u are like blood brother to me Moja ya ndoto yangu au moja ya section za safari ya mafanikio yangu ni kukutana na wewe na kuwa karibu sans na wewe kwani you always bring changes in life millions of people hope utasoma hii comment kwa umakin na uhisia wa huruma sana
0711304521
my number brother
Nimejifunza kitu kupitia video i Thanx kaka
In fact, uko vzr sana kaka Joel binafs una ni inspire kwa kunifanya nijione mpya daily thank you so much..
Asante sana brother, mimi suala la pili na la nne naenda kuvifanyia kaz
Kwa kwel bro Joel
Inafika muda nashindwa pata neno la kukusifia coz kama ni kusifu tume sifia sana
Kama ni kupongeza tume pongeza sana
Ila ipo siku utakuja uone matunda uliyo yapanda katika shamba langu you will see me at the top I promise you bro⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲
shuback mashinga Ahsante sana Shuback,naamini unaendelea vizuri sana.Nitumie namba yako pia nitapita hapo nikiwa Naenda DRC August tuma kwenye 0756-094875
Joel identity engineering is most important note usifanye k2 nje ya dhamira yako itakusuta maishan
Ningependa sana ushauri wako vipi kwa yule aliye athirika na michezo ya bahati nasibu
Nashukulu Sana kaka mm nko ndan ya mausiano ambayo yanankosesha fulaaha kabsa Ila cjui ntumie njia gan maana mm uwa najihic mpweke kwaiyo naona nkikaa ndan ya mausiano naweza kupata fulaaha lakin naona inakua tofauti Ila ntajitaid kua Cha nashindwa Ila ntajitaid kufuata somo hili ili niwe mmiliki wa fulaaha yangu mwenyewe
You inspire me👏👏👏
Asante Kaka Mimi huwa nakksa furaha bila sababu
Asante sana brother kwa somo lako zuri endelea kutujenga ili tufanikiwe katika maishe yetu
Habari kaka.First of all napenda kukupongeza sana kwa elimu unayoitoa kiukweli imenisaidia kwa kiasi kikubwa sana ktk maisha maisha yangu.ila naomba unisaidie zaidi jinsi ya kupanga bajeti maana kila ninavyo jitahidi lakini nashindwa najikuta bado Niko namipango isiyo endelea asante.
Thanks br 🙏
Asante kaka yangu, hapo kwenye kufanya kitu ambacho kiko kinyume na dhamira yangu huwa inanitesa sana, umenifungua kaka yangu
Nikweli kuishi nje ya uwadilifu kunapoteza sana furaha ili limekuwa tatizo kweli nipone kwenye eneo hili
Masomo yako yamenibadirisha sana sana Mungu akazidi kukusimamia kaka Joel
Asante sana kaka Joel
Ubarikiwe sana🙏mimi jamani naamini ntayashinda haya
Nimeipenda sana kingine brother najitahid sana kufanya kitu kwa mwendelezo lakini najikuta nashindwa nafanyaje ili niweze kutoka kwenye hillo tatzo
Thank you so much...Najikuta kuanza n.a. vyote....nmefurah
Asante sana kaka. Nadhani kwenye point ya stand on ur believe ni dhamiri na siyo dhamira....
leo wa 1 kuingia darasani. asante sana kaka .4 kusimamimia ninacho kiamini kwangu ni iko nzuri sana.
Mungu akubariki sana kwa somo nzuri utanisaidia je kaka nahitaji ushauri wako
Wow this one is for me thanks to my mother for sharing the link i am going though all the four steps you've mentioned confusion, unworthy, giving up, don't care and doing nothing as you said being an idol
thanks very much God bless
I really need help
idol
bless you daddy 😉😄😊😍😍😍🙇🙌💪barikiwa sana
Maua #Flower Malenso Thanks Maua,you future is very bright.Lets keep on learning.Msalimie sana mama na mwambie nashukuru kwa kushare na wewe
Okay thanks nimeelewa
Naomba ushauri kaka angu kitu kinacho ninyima furaha n mazingira yangu y kazi,inafika wakati nataka niache kazi,mazingira magumu n uhamisho serikalini umekuwa mgumu sana nakosa raha
Asante kaka joeli nimepnda soma lako kiukweli mungu akubariki
Asante kaka kwa ushauri wako
nitakupataje ili unishauri zaidi
hii ya kusimamia ninachokiamin hasa ndo huwa sometimes inanikosesha amani na furaha but Leo ntaongezea hzo tips zingne ili niweze kuwa stable, #SeeYouAtTheTopToo
Asante sana kwa somo zuri kwakweli nimejifunza kitu
Mungu akujalie afya njema
Asante sana Kka yangu nimejifunza kitu
Kaka napenda sana masomo yako na amini kuhitaji mini na kujiamini ni siraha tosha
Kaka me ninahufu nasijui ninahofia nn naomba unishaur
Yan km unajua ninayopitia, be blessed broo
Nimejua funza kitu leo nahisi nilikuwa nimechelewa maana niko kwenye mahusiano lakini nimekuwa ni mtu wa kukosa furaha kila siku mimi ni kulia barikiwa kaka joel
aiseee huyu kaka MUNGU Anapata heshima,big up Nanauka
Nashkur sana kaka @joel nanauka kwani nimekuwa nikifanya mambo mengi sana yaliyo kinyume na dhamira yangu, pasipo kujua kama ndio chanzo cha kupoteza furaha yangu, kuna kipindi nlikuwa najikuta najawa na huzuni lkn sikuwa najua kama sababu ni hii ya kufanya mambo kinyume na dhamira(malengo)yangu. #nashkuru sana kwa somo hili na MUNGU andelee kukubariki.
Thank you brother ❤
Asante saaaana kk maana nimejifuza kitu stand on your believe hapa nimejifuza kitu thanks
Thanks brother for wonderful massage😘😘😁😁
Hapo kwenye uimara wa kihisia ni kwa nn nashindwa et jaman
Safiii kk mungu akubariki
Asantee kaka yamenigusa saanaa karibu yote yananihusu
Uko sahihi kabisa Bro pamoja
Kaka haponakuelewa sana pia nashukuru sana kwa elim na maalifa unayonipatia kilamara maananakufatilia sana
Ahsante sana mkuu
Wow thanks....... mi binafsi naona inabidi nijitafute upya kwanza ndio itakuwa chanzo cha furaha...Be blessed bro
Mashaallah... Mungu akupe afya
Mungu akubariki sanasanaaaa,
Kaka mi nakupongeza tu kwa ubora Wa video zako. Chakula kizuri cha kushiba sharti kiwe ktk sahani safi km hivi. @joelnanauka.
Kaka asante sana mim naitaji namba YAKO mana Na matatzo makubwa Na naitaji msaada wako sana
Hoja zako zinaeleweka. Asante kwa kutafuna sisi tunameza tu. Usichoke kutafuna kaka. Barikiwa sana.
Kuna wakati unapata furaha Sana lakini baada ya muda unaanza kuumwa Moyo na kuwa na hasira please naomba unisaidie katika hili.
Kuwa on the move ni bora.. Every single time we have to prepare our future. ASANTE KAKA. You inspire me so much.
Hasante sana
Barikiwa sanaa
Kaka umekuwa mwalimu mwema katika maisha yangu na pls jambo hili limekuwa mzigo kwangu cna furaha ya kudum ila ntajitahid kufuata haya uliyotueleza
Simon Kidamui Ahsante sana Simon,Mungu Akubariki sana
Amen kaka
Asante bro Mungu akutunze
mungu akubariki napata kitu
kuimarika kihisia ni jamb muhimu sana, ahsante bro
Thanks nimejifunza kitu
Ahsante sana kaka kwa somo la Leo mimi nanza na point no 4 stand on what u believe
Asante kaka kwa Somo zuri love
Nikikuhitaj ki ofisi nakupataje
Emotional Stability hio litu imenigusa sana, Identify re-engineering nilikuwa naifanya pasipo kujijua kwa maelekezo ya Biblia yan umenibariki sana.
Kaka mm nimetawaliwa na isia Sana nikimpenda mtu naumizwa nashindwa kufanya kitu chochote kile atakula sili nashinda nikilia na lala nikilia
emotional stability is the first step to take on because nothing can be implementing without emotional. thank you for sharing
Bro be blessed, unatujenga saana tunakuwa imaraa
Stand on what you believe
Pointi ya kwanza ndo unaninyima furaha sana nisaidie ili nipate kuwa na misimamo stabte
Kutiruhu vitu vidivyo vya nuhmu kuingia kwangu
Kwakel hali ipo mbaya sana kiuipande wangu natafuta furaha lakin inaondika wakat nikifiria mambo yalio pita hapo awali naomba ushauri katika jambo hili
Asante sanaaaaaaa sana,barikiwaaa
Asante kaka Joel kwa mchango unaotoa kwa Jamii."No one is incharge of your happiness except you".
Clara Prosper d
ASANT SANA MWALIMU NANAUKA JOEL KWA ELIMU NZURI
Asante sana.
Naomba no . Ako
Nakukubaree👏👏
Emotional stability kweli imekuwa shida bro.......stay bleced bro.....
Asante mtu anakudharau na Hanoi umuhimu wako inaweza kuchukua hatua gani?
Joel naomba ushauli.
Nashindwa kuamua npo ndan ya kaz yenye changamot ila ninamda wa miaka 4 ila changamoto inazid . Ikabd niweke mahesabu yangu vzr ili npate mda wa kuacha kaz sasa kuna m2 kaniambia niende kufanya nae kaz na mda nliopanga kuacha hii kaz bad ila changomoto ndo zinazid je nifanyeje kaka joel
Shukran
Thanks
Thanks, brother.
God bless you brother
Mimi naishi Alusha kwakweli nimefika mwisho kwa Akili zangu naomba ushauli naishi na mwanaume asiye taka niwe na chochote kwenye maisha yangu,Mimi ni mchungaji,Hataki nisafili kuhubili Hataki nisuke au nipendeze,anasema Mambo hayo Niyadunia,kwamba nisijifananishe nawengine ,siluhusiwi kushauli kitu chochote,Mimi niwandiyo Sasa kunavitu vinanikosesha fulaha kwanza mulnekano wangu,wakieoee,unanipa hofu,nalata Tamaa,naomba ushauli.
Ahsante kaka
Nikweli
U nani bariki sana
Misina flaha kwakua nimeingia kwenye mausiano sio chaguo langu kila nikijitoa inashindikana
dah hiki kinatokea Sana Mim
Emotional stable ✅
kwa kweli najifunza sana
Bro nkupt vzr sn
Napenda unacho kifnya
kinaleta faida kubw kwngu
🙏🙏Mungu akupe uimala wakuzd
kutupatiya elimu yenye faida kubwa