Bro ujumbe huu nimzuri sana umenigusa sana hakika wewe nimwalimu wa maisha wakweli nakumbuka wakati mgumu nilipitia rafiki wengi wakajitenga nami nilipokuja pata wakati mzuri wakataka kurudi nikafunga milango kwakujua kwamba hawakua watu sahihi. Ahsante kwa Ujumbe
Lecture yako imenigusa na yote ulosema ni ukweli kabisa na yamenitokea kweli na hata wanangu na baadae yanakuwa ni kheri kwetu. You're the best and God bless you 🙏
Safi sana tena maelezo nzuri sana, ni ukweli kabisa mambo haya. Nina rafiki aliye kataliwa na mzazi wake hapo basi akawa hana pakuenda wala pakukalia, lakini baada ya kuzungumzia na kijitia moyo asikate tama kuna sababu yake , leo hii anasema amejifunza vitu vingi kupitia changamoto hilo na amejifunza kumtegemea Mungu badala ya wanadamu Thanks for the upload Brother Joel💪👏👏
Asanteee sana brother Joel..nikiwa Dubai nimejifunza kila siku Mimi ni mwanafunzi na leo umenifunza kumbe wakati mgumu...ni funzi katika maisha haufai kulikwepa
Kiongozi umenigusa zaidi ya 100% Nina zaidi ya miaka 7 sasa ninahangaika lakini nashindwa kusimama tena. Nimepoteza marafiki kama wote. Mara ya mwisho wiki iliyoisha nimejaribu biashara fulani nayo ikaanguka vibaya na shida kubwa nawaamini sana watu. Na hapa nilipo nina majonzi mpaka nalia na ninajiuliza nimemkosea nini mwenyezi mungu!
ISSA MKONDOA uckate tamaa bora yan hapo mafanikio yako yapo karibu sana hivyo weka juhud zaid ,usilie tafakar na uangalie wapi unakosea na ujipange upya,kuwa na subra Muombe Mwenyez Mungu afu pia usipende kumuamin kila mtu sababu tupo katika dunia ilojaa hasad,chuki....inuka bro na uendelee kupigania ndoto yako ..bahar tulivu haitengenez nahodha bora...USIKATE TAMAA
Brother, Kiukweli mfumo huu wa kufundisha uko vzr kuliko ile ukiwa ofifisini, Unafundisha vitu ambavyo ni halisi ya maisha ha watu, Brikiwa sana mtu wa Mungu.. NAOMBA UONGEZE ZAIDI MASOMO MENGINE YA NAMNA YA KUPANGA BAJETI, NA NIDHAM YA PESA
Daaaaaaa bradha nimeshinda nimetapeliwa sana Kuna wakati nilitapeliwa kazini hakika nimeyashinda mungu mkubwa sana leo ndo najuwa kumbe nilikuwa natengenezewa njia
Yaani elimu unayoitoa n Zaid yA elimu dunia hayo n maarifa ya kiroho that's why ukiongea unaongea na roho mpaka nywele zinasisimka, nakupenda Sana Kaka ila nakuuliza unaandika vitabu?! Kama una vitabu vinapatikana kwa utaratibu upi maana hauzungumzii kabisa kuhusu vitabu kak
Nateseka sana mpk nguvu zimeniisha depression imeharibu kila ktu katk maisha yangu hakuna ktu chochote cha kunipa hamasa, nishajidhuru si mara moja wala mbili, nimejaribu kujiua sijui mara ngapi nishalazwa mental hospital miezi miwili lkn hakuna ktu kilichobadilika wallah natamani mda wng wa kufa ufike kwa haraka
Mimi wakati mgumu ulinilazmisha kufanya maamzi ambayo yamebadilisha sana maisha yangu kias kwamba nisingefanya maamzi saivi ingekuwa story nyingne asante sana kaka Joel Nanauka
“ kuna wakati mgumu mwengine inabidi ufanya maamuzi usipofanya wakati mgumu unajirejea ili kukulazima ufanye maamuzi”sahihi mno maamuzi wakati meengine yanauma unaweza kutoa maamuzi huku unalia ila inabidi ili utoke kwenye kifungo jpkua unapenda ilaukioonahupendwi br kutoa maamuzi na baadae vitu vyote hukaasawa ahsante dokta joel somo lako ninaonesha wAzi sikukokea pia nimejifunza
Hizo ndo changamoto nilizo nazo kaka nimejitahidi kujikwamua ngoma imezidi kuwa ngumu nilikuwa vizur kipindi cha nyuma nimekuwa mtu wakuangushwa tu na ndugu na mahusiano yangu ya mapenz nimepata mke lakin ambaye amekubali kuwa na mm lakin bado naona kabisa changamoto zimezidi nimekosa hata hela ya kodi na matibabu ya mke wangu, yupo hospital mjamzito muda si mrefu kuanzia sasa anajifungua wakwe zangu wananiona kama namtesa mtoto wao najisikia aibu sana kaka nakuomba unipe mbinu nyingine labda mungu atanibaliki na mm
Nimejikuta naiirudia Mara tatu tatu nakumbuka mwakajana kibiashara msimukamahuu nilikuwa pagumu sana kutokana namsimu wamvuaa mwakahuu kwakweli namshukuru mungu baada ya kuzibiti vilivyo kuwa vinanikwamisha japo sijavimaliza ila atilisti kigigo pamekuwa pepesi
Kaka somo hili linanihusu ,ninamiaka na hata sasa ninapita wkt mgumu,marafiki na watu wa karibu, ninaowaamin huniumiza sana yaani nimekuwa wa mtu wa kulia, kuhuzuni na kujutia tu kila wakati.nimejikuta nakosa imani na watu kabisa
Habari kaka Joel Mimi wakati ambao napitia ni pale ninapo fanya kaxi alfu sijui hela inaenda wapi nakuta naweka akiba kidogo nimeitoa Ile akiba Tena yan nashindwa kabisa kuelew nakwama wapi
Kwanza asant kwa topic lkn mm mwenyewe binafs napitia katk wakat mgumu sana wa mahusiano yangu maan nimempoteza mtu aliyekua na nafas ya kipekee sana ktk mahusiano yangu
Somo kubwa sana na la muhimu kwenye maisha yetu. Shukrani sana brother.
Success Path Thanks #SeeYouAtTheTop
Simon Zurich Sana nag linatia motorcycle ongera Sana kijana
brother Ezden, nakuelewa sana ukweli, nafurahi kuona pia nawe unajifunza kupitia watu kama wewe, nyote mbarikiwe pamoja na brother Joel
@@chaptech thanks Peter
@@successpathnetwork balikiwa Sana , Kwan mafundisho yako kiukwel yananijrnga sana
Bro ujumbe huu nimzuri sana umenigusa sana hakika wewe nimwalimu wa maisha wakweli nakumbuka wakati mgumu nilipitia rafiki wengi wakajitenga nami nilipokuja pata wakati mzuri wakataka kurudi nikafunga milango kwakujua kwamba hawakua watu sahihi. Ahsante kwa Ujumbe
Maneno Lugendo Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
Asante sana kaka kwa mafundisho mazuri,
Hayo yote unayosema! Ndiyo maisha yangu napata taabu Sana kwenye ndoa yangu lkn nashindwa kufanya maamzi, nisaidie nipate ujasili😭😭😭
Thanks for the speech kila jambo baya linatokea kuna kitu tunaepushwa.....sante bro
Lecture yako imenigusa na yote ulosema ni ukweli kabisa na yamenitokea kweli na hata wanangu na baadae yanakuwa ni kheri kwetu. You're the best and God bless you 🙏
Safi sana tena maelezo nzuri sana, ni ukweli kabisa mambo haya. Nina rafiki aliye kataliwa na mzazi wake hapo basi akawa hana pakuenda wala pakukalia, lakini baada ya kuzungumzia na kijitia moyo asikate tama kuna sababu yake , leo hii anasema amejifunza vitu vingi kupitia changamoto hilo na amejifunza kumtegemea Mungu badala ya wanadamu
Thanks for the upload Brother Joel💪👏👏
Hellen Ogego Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka Thanks for your uploads too, am greatly humbled
Nimekisoma kitabu chako cha ongeza kipoto kwakweli kinafundisha sana good job my brother
Hilary Godfrey Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
Asanteee sana brother Joel..nikiwa Dubai nimejifunza kila siku Mimi ni mwanafunzi na leo umenifunza kumbe wakati mgumu...ni funzi katika maisha haufai kulikwepa
Mammy Ali Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
Thanks so much ßrother NANAUKA ulipo nipo👍👍👍
Asante sana brother ....maana Dah nilihisi kupasuka moyo ....angalau
Thanks bro, kwa masomo unayoyatoa tunapata mengi mazuri sana.
Ubarikiwe sana brother Joel,amina!!umenena jambo muhimu sana limenionyosha jambo,
Keep it up brother.
Kiongozi umenigusa zaidi ya 100%
Nina zaidi ya miaka 7 sasa ninahangaika lakini nashindwa kusimama tena. Nimepoteza marafiki kama wote. Mara ya mwisho wiki iliyoisha nimejaribu biashara fulani nayo ikaanguka vibaya na shida kubwa nawaamini sana watu. Na hapa nilipo nina majonzi mpaka nalia na ninajiuliza nimemkosea nini mwenyezi mungu!
Pole issa usivunjike moyo amin unaweza jaribu tena utasimama 💪💪
ISSA MKONDOA uckate tamaa bora yan hapo mafanikio yako yapo karibu sana hivyo weka juhud zaid ,usilie tafakar na uangalie wapi unakosea na ujipange upya,kuwa na subra Muombe Mwenyez Mungu afu pia usipende kumuamin kila mtu sababu tupo katika dunia ilojaa hasad,chuki....inuka bro na uendelee kupigania ndoto yako ..bahar tulivu haitengenez nahodha bora...USIKATE TAMAA
Usikate tamaaa
Akhui kabla yakuanza jambo sema na ALLAH S.W atakujbu
Nashukur kwa somo zuriii Mungu akubariki..kitabu chako cha #timizamalengoyako naweza kukipata wap?,binafsi nipo iringa!
Brother,
Kiukweli mfumo huu wa kufundisha uko vzr kuliko ile ukiwa ofifisini,
Unafundisha vitu ambavyo ni halisi ya maisha ha watu,
Brikiwa sana mtu wa Mungu..
NAOMBA UONGEZE ZAIDI MASOMO MENGINE YA NAMNA YA KUPANGA BAJETI, NA NIDHAM YA PESA
Am proud of u bro najifunza sana kupitia wewe ubarikiwe sana na Mungu azidi kukuinua
elia leonard Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop

Asante kwa somo zuri kaka Joel.
hili ni la kwangu kabisa!
Najifunza mengi Sana kwa kila kitu naona maisha yangu yanaenda Sasa tanks nakupenda bure kaka
Naam kujifunza ni muhimu sana na Mungu anajua zaidi... Ahsante Mungu akubariki
Shukran kaka ..MUNGU AKUBARIKI SANA..
Thank you in advance once more MR JOEL
AMON KOMBA #SeeYouAtTheTop
Shukran sana Mtaalam...
Faida kubwa inapatikana kwa hakika katika Somo hili na mengine mengi unayo yaleta...
Ubarikiwe sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻, Mungu aendelee kukuinua, pia najifunza mambo mengi sana kutok kwako.
Shukrani you're my hero
Daaaaaaa bradha nimeshinda nimetapeliwa sana Kuna wakati nilitapeliwa kazini hakika nimeyashinda mungu mkubwa sana leo ndo najuwa kumbe nilikuwa natengenezewa njia
Asante kwa elimu nzuri mi niko kwenye tatizo hilo kabisa nahitaj elimu zaid nirud tena kwenye mstar
Yaani elimu unayoitoa n Zaid yA elimu dunia hayo n maarifa ya kiroho that's why ukiongea unaongea na roho mpaka nywele zinasisimka, nakupenda Sana Kaka ila nakuuliza unaandika vitabu?! Kama una vitabu vinapatikana kwa utaratibu upi maana hauzungumzii kabisa kuhusu vitabu kak
Yeah anaandika vitabu anavyo zaid ya vitano
@@martinemanuel9782 vinapatikana wapi Sasa mbna atangaz
Kama Uko arusha nikupe no za wakala wake boss
Andante snaa seif karibu sana unaweza kuwasiliana 0756-094875 kuvipata
Asante kwa mafundisho yako nimejifunza Sana barikiwa
Ubarikiwe sana mkuu. Kuna vitu nimejifunza katika somo hili
Nakuona kama wewe ni Role model katika maisha yangu.
Asante sana kaka jn kwa masomo yako mazuri nimejifunza mengi sana
Ni kweli kabisa somo nimelipokea vzr na nimeelewa Mungu akubariki
kiukweli napenda kukufuatilia sana broo unatuelimisha shukran Allah akujalie Afya njema na umri mrefu uzidi kutuelimisha zaid na zaid
Jamani Mungu anatoa somae kwa wkt , asante kwa somo zuri
Mungu kamrudisha Dr. Myles Munrol duniani kupitia Wewe mwili wako na akili yako 👍👍👍.
Hakika ni somo kubwa ktk system ya maisha yetu shukran kwako.
Nateseka sana mpk nguvu zimeniisha depression imeharibu kila ktu katk maisha yangu hakuna ktu chochote cha kunipa hamasa, nishajidhuru si mara moja wala mbili, nimejaribu kujiua sijui mara ngapi nishalazwa mental hospital miezi miwili lkn hakuna ktu kilichobadilika wallah natamani mda wng wa kufa ufike kwa haraka
Pole Sana Dear,,
Nitafute.
Thanks brother I appreciate
Mimi wakati mgumu ulinilazmisha kufanya maamzi ambayo yamebadilisha sana maisha yangu kias kwamba nisingefanya maamzi saivi ingekuwa story nyingne asante sana kaka Joel Nanauka
Shukran sana kaka nimepata funzo kubwa
Ubarikiwe Sana kaka kwa ujumbe mzuri
ubarikiwe sana joel,nilipotea kazi yangu ya kwanza nikajua ndio mwisho wa maisha lakini nikaja kupata bora zaidi ya ile ya kwanza
ubarkiwe kwa somo nzurii
Kaka Joel nimejifunza sana mambo mengi kupitia wewe Asante sana
Ahsante Joel
Kaka somo lako ni nzurii sanaa litatufundisha wengi
Salute big broo somo hatar sana
Asante my kaka wanifunza mengi na kunipa nguvu
“ kuna wakati mgumu mwengine inabidi ufanya maamuzi usipofanya wakati mgumu unajirejea ili kukulazima ufanye maamuzi”sahihi mno maamuzi wakati meengine yanauma unaweza kutoa maamuzi huku unalia ila inabidi ili utoke kwenye kifungo jpkua unapenda ilaukioonahupendwi br kutoa maamuzi na baadae vitu vyote hukaasawa ahsante dokta joel somo lako ninaonesha wAzi sikukokea pia nimejifunza
Asante sana mwalimu
Asante sana umenisaidia
Hizo ndo changamoto nilizo nazo kaka nimejitahidi kujikwamua ngoma imezidi kuwa ngumu nilikuwa vizur kipindi cha nyuma nimekuwa mtu wakuangushwa tu na ndugu na mahusiano yangu ya mapenz nimepata mke lakin ambaye amekubali kuwa na mm lakin bado naona kabisa changamoto zimezidi nimekosa hata hela ya kodi na matibabu ya mke wangu, yupo hospital mjamzito muda si mrefu kuanzia sasa anajifungua wakwe zangu wananiona kama namtesa mtoto wao najisikia aibu sana kaka nakuomba unipe mbinu nyingine labda mungu atanibaliki na mm
Najifunza sanaa mkuu,binafsi kunasehemu nipoo,nimeshindwa kutoka kabisaa,naitaji unisaidie mkuu
Asante sana kaka na mungu akubariki
Alhamdulilah mashaallah.Shukran
Asante sana nashukuru kaka
Sijui hata niandike nini, Mungu akubariki Sana na akuongezee maarifa
zawadi masali Amin nashukuru mnooo,endelea kuniombea
Ni kweli kabisa
Nimejikuta naiirudia Mara tatu tatu nakumbuka mwakajana kibiashara msimukamahuu nilikuwa pagumu sana kutokana namsimu wamvuaa mwakahuu kwakweli namshukuru mungu baada ya kuzibiti vilivyo kuwa vinanikwamisha japo sijavimaliza ila atilisti kigigo pamekuwa pepesi
Tunapitia wakati mgumu pia hata katika masomo tunajihisi kufeli kwa kutofikia malengo. Ahsantee kwa kututia moyo.
Napitia hali hiyo hivi sasa. Nashukuru kwa somo zuri.
Kweli kaka joel mimi napitiya ayo naomba msada
Asante kaka kwa somo hii mimi hapa napitia vitu vigumu mpaka nataka ku give up🙏🙏😘😁😁
Hongera kaka kwa somo zuri.
Mungu akubariki sana, ukweli nimepata kitu leo
Smart Kaka with smart brain🙏🙏🙏
asante brother mungu akubariki
Asante sana kwakuniongezea tena ujuzi
Mr.Nanauk yaan katik sik zot y 1 leo umenp kitu kubw sanaaaa ubarkiw mkuuuuu....
Abdul Halim Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
Nimejifunza mengi kk barikiwa
Asante Kaka umeleweka
Amen Joel barikiwa kwa hekima iii
Ubarikiwe sana Sana
🙏🙏
Asante kwa somo kaka napitia wakati mgumu ila tangu nikujue wewe umekuwa mkombozi wngu!
Iko vizuri sana
Mungu akubarik sana❤
Mwalimu mungu akubariki mm nafanyakazi na ndungu zangu lakini wananiharibia kazi kuwaondosha nilawama nifanye nini niepukane na huu mzigo
kweli umenigusa sana ktk maisha haya napitia magumu mengi mno mpaka Nakata
Shukran Sana broo
Napenda kwa kile unachokifanya. Umenisaidia sana hongera Nanauka
Asante kaka Kwa somo zuri , daah maana nipo kwenye wakati mgumu wenye maumivu makali
Asanteee
Nilichongewa KAZIN nikaumiasana,,,ila nimepata kazi nzuri KULIKO ile
Asante sana J
Umenigusa sana Mungu akujaze maono makubwa kuliko haya
Shukrani saaana kwa ushauri kiongozi
nimepitia wakati mgumu kazini cha kwanza kabisa nimejifunza juu ya wakati huu mgumu. later on is decision, thank you bro
Asante sana mr nanauka imenigusa sanaa
Many thanks bro
Kaka somo hili linanihusu ,ninamiaka na hata sasa ninapita wkt mgumu,marafiki na watu wa karibu, ninaowaamin huniumiza sana yaani nimekuwa wa mtu wa kulia, kuhuzuni na kujutia tu kila wakati.nimejikuta nakosa imani na watu kabisa
ubarikiwe brother
shukran brother J
asante sana "kuna kitu lazima nijifunze"
Ahsante sana kwa ushauri wako
Well Spoken Joel!!!!
Mungu amekutuma kwa ajili yangu kaka asante
Asante sana.
Habari kaka Joel
Mimi wakati ambao napitia ni pale ninapo fanya kaxi alfu sijui hela inaenda wapi nakuta naweka akiba kidogo nimeitoa Ile akiba Tena yan nashindwa kabisa kuelew nakwama wapi
Thanks Sana my brother!!!
Hello
Kwanza asant kwa topic lkn mm mwenyewe binafs napitia katk wakat mgumu sana wa mahusiano yangu maan nimempoteza mtu aliyekua na nafas ya kipekee sana ktk mahusiano yangu
Thanks for advice brother
Ubarikiwe kaka JOEL,
Nakushkuru sana mwalimu Nanauka
💯👏👏👏 Asante